Mkasi | SO9E09 with Dudubaya

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 сер 2014
  • Follow MkasiTV on
    Facebook : / mkasitv
    Twitter : @MkasiTV
    Instagram @MkasiTV
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 12

  • @kentinakalantine1025
    @kentinakalantine1025 10 років тому +1

    time ni ndogo sana but thank you guys mpo faster ku apload vipindi vyenu on time yani ,....we can just wait fo alikiba lol

  • @virungamountains
    @virungamountains 10 років тому

    Napenda waaminifu wake.
    Nathani Watanzania Walisikiliza matatizo, wasanii wanashughulika nayo!
    Shukrani, ilikuwa sana elimu, kuelewa Mapambano ya Wasani.

  • @stormingfoh
    @stormingfoh 10 років тому +1

    Safi! Big up to Salama n Crew! It opened my eyes to Dudubaya....he is right in his beliefs! Keep it up!

  • @salumiddy173
    @salumiddy173 10 років тому

    yeah wapo faster sana ndivyo inavyotakiwa wengne tulipo hatuna uwezo wa kuangalia tv so cm zetu bdo mpango mzima

  • @sabrinamustafa7749
    @sabrinamustafa7749 10 років тому

    Kweli mdau nakuunga mkono SJ aongeze minutes like sporah show unangalia mahojiano mpaka unaridhika but gud job

  • @funny6960
    @funny6960 9 років тому

    Dudubaya babalao.

  • @darlinmamawatatu6411
    @darlinmamawatatu6411 10 років тому

    Dudu kanichekesha lv salama always

  • @amisiokey8532
    @amisiokey8532 10 років тому +2

    Time ni kidogo sana muongezee time atleast 40 min

  • @babumakumba3023
    @babumakumba3023 7 років тому +1

    Hahaaaaa ukampa vitasa

  • @aleckkaizilege5414
    @aleckkaizilege5414 10 років тому

    gudo

  • @paulonyongole260
    @paulonyongole260 5 років тому

    konk konk

  • @andreapeter4146
    @andreapeter4146 10 років тому

    Salama unatsha unapga show za ukweli sana mdada unatisha na napenda sana unavyokosoa watu wanaofanya vbaya!