Alafu anatokea mbunge mmoja anasema Eti nani hii awekewe sanamu!! Yan unaakiri kweli uache kuweka sanamu la Profesa jay au watu km hawa, alaf ukawekee la Wabana pua na kuimba Matusi
Nakupenda sana Brother Proff Jeezey! Asante kwa nyimbo zenye jumbe na tabiri za kweli🙌🏾 Najivunia kukua nyakati zako siyo hizi za #magodorotunalowekamaji😏 nyimbo zako zitaishi my brother 🙏🏾 polekwa changamoto za kiafya ndio ubinadamu kaka. Mungu akurehemu daima kwa mapungufu yako ukiwa hai.Wewe ni tunu musically hapa TZ Thank you
nakuoenda sana kaka mngoni mwenzangu toka muda ulikua una ndoto ya kua kiongoz wimbo huu2 unawakilisha nn ulikua unakitaka mungu mwema kakupa ulichokua unakihtaj
Kama bado unaskilza ngoma hii 2023_24 gonga like❤️❤️❤️
2024 Ukwapi ??!. Like Hapa.
Tujuane tuliokuja hapa baada ya kusikia spika Ndugai kajiuzulu
Alafu anatokea mbunge mmoja anasema Eti nani hii awekewe sanamu!! Yan unaakiri kweli uache kuweka sanamu la Profesa jay au watu km hawa, alaf ukawekee la Wabana pua na kuimba Matusi
Nikajita mungu mtu nikajita nabii🔥🔥🔥
Wapi Ndugai
Huu jamaa awekewe sanamu
Nani tuko nae 2021 July 11??
Gonga like 💥💥
True life reflection of leaders with no conscience! Deep lyrics!
Job ndugai like hapa
Nimekuja hapa baada ya Ndugai kung'atuka gonga like tujuane
Get Well Soon...Brother Jay.🙏
Hapa ndio unatambua mziki halisi wa Tanzania sio how wakaina nanii
Wazee hili Goma Jamani,kama unabii hivi?? Mh!!!!???
This song should be played in every Kenyan radio station like national anthem
The situation in Kenyan government is getting worse
True
Bonge ya ngoma, bigup Prof.
If you are listening to this in 2022 your a legend. With love from Kenya, it's camping time and politicians should listen to this 🔥🔥🔥
True
Hakuna ubishi wa kuitwa Professor Jay. Hizi ni tungo za MTU mwenye uwezo mkubwa wa Akili, hongera sana MKUU kwa kipawa ulichobarikiwa na Jah.
Nakupenda sana Brother Proff Jeezey!
Asante kwa nyimbo zenye jumbe na tabiri za kweli🙌🏾 Najivunia kukua nyakati zako siyo hizi za #magodorotunalowekamaji😏 nyimbo zako zitaishi my brother 🙏🏾 polekwa changamoto za kiafya ndio ubinadamu kaka.
Mungu akurehemu daima kwa mapungufu yako ukiwa hai.Wewe ni tunu musically hapa TZ
Thank you
Nitajitahidi sana niskilize ngoma zako zote, ni zaidi ya chuo 💪💪
Still Hadi Leo musyoka killed this beat
6/January/2022 legend never die.akili kubwa.maana halisi ya mziki usiokufa✊
Nani kaja kusikiliza uku baada ya jobo Ndugai kujiuzulu😂😂😂🙌🏻
🇰🇪 Reminds me of "NAIRO" Mwafrika show in ghetto radio. 🇰🇪🇰🇪
Utaendelea kudumu
Nimekuja kuisiliza tena leo baada ya ndugai kujiuzuru
Kaka Kaka this is the jam of century,nchi yangu Tanzania.
#254..kuna siku pia nitang'atuka
This song is in my daily routine because it reflect the current situation of.....country
Believe that hip hop inaishi brother
hatari sana, tungo zilizokwenda shule hizi
Prof big up...! Hapa ndo thamani ya wakongwe inaanza kuonekana kwa waliokua hawajui thamani ya wakongwe na wataalam wa music
Prof j alimaliza Kila kitu kwenye wimbo huu,big up kaka mkubwa
08/01/2022 bonge la nyimbo aiseeh hii ni maalumu kabisa kwa Mh Ndugai
Majani ni nguli kwenye utengenezaji wa midundo hapajawahi tokea.
Prof Jay, wewe ni mbonge la Msanii. Daima tutakusifu.
Sawa bwana ila bado nitakuaminia sana
Jay you're more than artist in this joint you were prophesizing things that happened to some of us👏👏
Huu mzik utarud lin jaman ewe mungu tumeumiss huu mziki watoto wanaimba matusi nw dwyz dah so sad tulifaid sana this song
Mziki mtamu yani bila kiki wala sidhani kama inaweza jirudia mana vizazi hivi kwasasa ndio vinaishia
Hayo ndio maisha mungu nikila jambo
nakuoenda sana kaka mngoni mwenzangu toka muda ulikua una ndoto ya kua kiongoz wimbo huu2 unawakilisha nn ulikua unakitaka mungu mwema kakupa ulichokua unakihtaj
Time to do a sequel to this banger😂😂😂😂😂😂
Rapper kutokea kusini Songea
Reminisce of the old hip hop...Professor you're and remain in hip hop
Daah ipo cku nami ntang'atuka
Aminia jay real talent man love from somalia
Oh! Jehovah. Mponye na kumuimarisha Mwana Fasihi wetu huyu Professor Jay, maana kwetu amekuwa MTU muhimu.
Nzur sana
Hii ngoma ina akisi hali halisi
Prof J lyrical icon,rhymes kuruka
Nyimbo zinazoishi🔥🔥
Ili goma limfikie aliekua spika wa bunge Mr ndugae, limemgusa mazima.
Tukubali professor jay yote aliyoyasema kwenye huu wimbo yametimia 2023
First comment 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥
Hii nyimbo inanikumbusha mbali sana
Dakika za mwisho shetani hugeuka malaika........utabiri huuu naamini utatokea
umeshatokea na umeisha
Dah kila unapo uploads is songs una nikumbusha nyuma sana mpk natokwa Na machozi
Yeah, Mziki ni memory ambayo huleta taswila ya huzuni baada ya kurudisha mawazo yako nyuma.
this song tell us what kind of leads we should elect
Daah, yametokea yute uliyoyatabiri.
Hongo kwa trafki sikuizi zimebadilishwa jina eti zinaitwa #majiyakunywa.
Niligawa mali nyingi kwa matajiri wa ng'ambo nikazusha mtafaruku kati ya machinga na mgambo
mungu wangu nisamehe🇹🇿nang'atuka.jay
😂
In Africa, getting a corrupt leader resign is like draining water from a stone.
Ndio mzee, kikao Cha dharula na nangatuka, ebu zifanyie video kabisa
Brother wewe Ni mtu tuliyemsubili kwa miaka mingi. Nyimbo zako bado zinaishi
Ndungai pole sana njoo upate ujumbe huku 2022
19th Wednesday October 2022 🔥🔥🔥 254 Kenya Representing! Masterpiece.
Heavy waight
Akili kubwa
oyy
the legender 🎁🎁🎁🎁
I love this song
Professor!! 😂😂
Feom ndiyo mzee to kikao cha dharula and final is nang'atuka...nigga z genius
Pamoja ✌️✌️💪
Hii ngoma ni kama unabii uliowatabiria watawala maandazi kama akina ndugai sabaya na makonda
Eh, Mwenyezi Mungu nisamehe!
Kama unasikiliza hii ngoma 2021 gonga like
Iko🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Inyimbo bonge lanyimbo
2021 nan anaskiliz hili goma
Mimi
2025
Mwenda zake
Nabii 😹 Kenyans can relate
Nice
Yes
dah jamaa wewe unakipaji unajuaga mpaka yatakayo tokea kesho
Nasikiliza mala kwamala hii nyimbo nikiwa peke yangu dani do utaweza kuthamini wezio zaid
6/1/2022
On fire
Gd
Prof. Uko juu htreee!!!
Currently
Jay 👏👏👏👏
Mbn baadhi ya maneno ya hii nyimbo inamlenga rais flan ivi wa tz
2023 goma hilli daaaaa,
sopoa ingoma
2023
2023 October hii mko wapi?
Til 2022
Heavy Weight MC, kuna mtu ka'sample beat yako aisee > ua-cam.com/video/dRK3d0PfmfU/v-deo.html
Niligawa mali nyingi kwa matajiri wa ng'ambo nikazusha mtafaruku kati ya machinga na mgambo