Daah juzi nilikuwa Star Park Morogoro, then kama zali DJ akagusa hii ngoma. Usinitanie wahuni wakataka irudiwe na hivyo ikawa. Respect and RIP Langa, Chid huyu ni nomaaa.
Hakuna watu wakuziba mapengo yenu respect Sana lengends mnajua mmejua mmefanya zaidi ya Sana aisee mungu awape baraka na r.i.p langa mungu akupunguzia adhabu ya kabri huko ulipo na akupe mwanga wa milele
2024 still listening this song
Hii ngoma iwekwe kwenye Makumbusho ya Taifa🔥🔥🔥
2021 signatures
Daah juzi nilikuwa Star Park Morogoro, then kama zali DJ akagusa hii ngoma. Usinitanie wahuni wakataka irudiwe na hivyo ikawa. Respect and RIP Langa, Chid huyu ni nomaaa.
Ngoma inaishi sana
Tulikua wote Star Park Sema kunguru ni wengi xn pale
@@issamachashi5078 Umetisha sana bruv. Kunguru wengi hakikisha hauwi samaki bob. Ha ha ha
Moto sana🔥🔥🎧
2024.
2024 still hit
Hii ngoma ni noma.. Rest in Eternal Peace, Langa.. Mzee wa Matawi ya Juu
Daaah km bado upo mwana kumbe ushatutoka leo ni miaka 11 bila uwepo wako
Dizasta utakumbuka sana hii hipo hop ni kubwa ndo ile tunayoitaji..salute sana
Hakuna watu wakuziba mapengo yenu respect Sana lengends mnajua mmejua mmefanya zaidi ya Sana aisee mungu awape baraka na r.i.p langa mungu akupunguzia adhabu ya kabri huko ulipo na akupe mwanga wa milele
Tanzanian legends..heshima
Daah r i p langa kileo
Langa Kileo, Endelea kupumzika Mwamba
Daaaaaah Rest in peace Langa Kileo Rest in peace Mr Kileo & Mrs Kileo
Daaaah langa k leo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥, R.I.P bro 🙏🙏🙏
Kuna huyo mpuuzi mmoja hapo chid benzino alivoingia sasa ni hatari mnooo🔥🔥🔥
Laaaaaangaaa.....so gifted. Rest easy.
Langa fundi. Huyu mwana huyuuu
Classic hiphop
Hujafa hujasifiwa
Me and my friends form one tulibishana sana who killed this song . shout out to tegeta high school ilikua best days.
Kwa content LANGA alitisha, kwa style Chid Benzi alitisha
Oya Kuma make hatar🔥🔥🔥
The living rhymes rip langa
2023 like hapa
✌️🔥🔥
R.i.p langa , true boy 🇹🇿 fire boy 🔥
Langa mwamba sana lkn uyu chid kitu alichokifanya umu....chid gooo...chid mathematical...
RIP Langa, yaani ni kama ulikua unatabiri vile itavyokua, ukitaka kumficha mwafrika weka ujumbe kwenye vitabu
Rest in peace .nakukubali sana man.
Kingkong master mtu mbad
Benz mkali mkali j
RIP langaaaa mtetezizi wa wanyonge
Dah...Rip
R i p Langa
Langa kileo dhaaa aisee...
2pac wa bongo
Ma nigga rip😢
rest in peace bro
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌
Kaza chid
Langa rest in peace ww ni zaidi ya langa
Bonge la collaboration benzino & lang kileo 🙌🙌🙌🔥
Rest easy Rasta angu Kileo
R.I.p Langa
hii ngoma haina video daah
MAP Meku
Langa One of the best kila mdaa 😭
Rip langa kileo
16/05/2024
Langa I m the best
Rip Ranga
Still listening to this song today 27th June 2023
31 August 2023🤛
My artist
Mks
Langa the only type of people exist in life once.
He got sick flow
Mad lyrics