BADILI FIKRA!! MAJIBU YA SHIDA ZAKO HAYA HAPA!!!!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 224

  • @eutropiangido9684
    @eutropiangido9684 4 роки тому +11

    Mungu wa rehema unajua taabu na mahangaiko yetu. Unapokuja kutupa msaada tunaanza kulalamika na kutoa vijisababu vya kulaumu wengine. Uturehemu tupe neema ya kujitwika vigodoro vyetu twende mbele. Maana umeshatuponya na kututengenezea njia tayari.
    Asante Pastor na timu yako. Mungu aibariki huduma hii

  • @user-co5vo5kc4b
    @user-co5vo5kc4b 16 днів тому

    Mwenyezi mungu tutunzie huyu mchungaji,nikikusilikiza hata kama nina shida,huwa siioni kabisa,mungu akubariki sana mchungaji.

  • @liliankeruboq6948
    @liliankeruboq6948 4 роки тому +6

    Ukwel binadamu twajiroga wenyewe, shukran muhubiri. Funzo nzuri kwel.

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 4 роки тому +11

    Mungu akubariki mchungaji napenda mafundisho yako🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼💓💗😍🥰

  • @beatricemageka7972
    @beatricemageka7972 4 роки тому +4

    Nashukuru pastor kwa funzo la hekima kwamba majibu ya shida na najaribu yetu tunayo ila tu hatutambui,Mungu atusaidie tuweze kujitambua na tusonge mbele kimaisha na kiroho pia,amina

  • @elizabethtondo5178
    @elizabethtondo5178 4 роки тому +3

    Mwenyezi Mungu naomba unisamehe kwani nimekuwa mlamimishi sana KATIKA maisha yangu. Pastor Mungu akubariki kwa somo hili hakika nimepata silaha ya kusimama tena kwenye maisha yangu.

  • @francisthomas748
    @francisthomas748 Рік тому

    Asante pastor uko namahuburi masuri sana ninakusilisa sana kutoka hapa Kenya 🙏🙏🙏 ubarikiwe sana.

  • @rachelmanema9044
    @rachelmanema9044 4 роки тому +5

    Asante mchungaji hubiri lako limenifungua kwa mengi Mungu akubariki sanaaaaa

  • @rubias2978
    @rubias2978 2 роки тому

    Asante pst kwa mafunzo mazuri ameni mungu atie nguvu uendelea kuhubiri neno la mungu

  • @mussaharuni2250
    @mussaharuni2250 Рік тому

    Ubarikiwe mch nakupataga vizuri kwenye mafundisho Yako yananibariki.

  • @JC-lk3me
    @JC-lk3me 4 роки тому +1

    The best teacher on the tv
    Mwalimu kweli.
    God is good.

  • @karennyabuto7977
    @karennyabuto7977 4 роки тому +7

    I wish this pastor could come to our church one day.God bless him.

  • @trustalid5968
    @trustalid5968 4 роки тому +5

    Asant mchungaji kwa neno, kweli akili imefunguka kwa Siku ya leo, Amen

  • @alicemjomba2644
    @alicemjomba2644 4 роки тому +2

    Amen, Mtumishi nashukuru kwa Neno Hili nimefunguka macho nakuelewa zaidi, Barikiwa Mungu azidi mukutumia Asante.

  • @tabithamintextilefabricind9838
    @tabithamintextilefabricind9838 4 роки тому +10

    Mimi Sina Mtu imekuwa Kilio Cha watu wengi, iwe makanisani, misikitini, kazini, Vyuoni ,shuleni, kwenye Ndoa , katika familia nk.
    Acha kutafuta watu wa kulaumu..mpelekee Mungu shida zako, yeye ndiye anakujua maana ndiye aliyekuumba na kukukomboa kwa kukufia msalabani ,mwambie shida yako yeye.
    Acha kukata Tamaa, Jaribu kusimama uendelee mbele.
    Usikate tamaa

  • @vivatiki5331
    @vivatiki5331 3 роки тому +2

    Jamani mungu anatupenda kwa kutupa mafundisho kwakila njia hatunabudi kumwambia mungu asante kwa yote hasa kwamchungaji huyu David mbaga asantemungu

  • @vicknessngenzi6146
    @vicknessngenzi6146 4 роки тому +1

    Nabarikiwa sana Pastor na mahubiri haya kweli Mungu amenitoa sehemu na kunisogeza karibu na yeye kupitia mahubiri haya.

  • @elizarodrick7356
    @elizarodrick7356 4 роки тому +2

    Kwa kweli ni mara yangu ya kwanza kusikiliza mafundisho yako pastor, lakini yamenivusha sana Mungu wa mbinguni akubariki sana.

  • @bonphasngasa4644
    @bonphasngasa4644 4 роки тому +4

    Nimekuelewa Pastor. Ni ujenzi bora tumeupata. God bless us!

    • @khadijaabdallah8775
      @khadijaabdallah8775 4 роки тому

      Mungu akubariki PR. MTU akikutukana! Hilo limenijenga sana. Maana tunanung,unika sana juu yahilo. Hasa ukionewa! Aaa! Ahsante Yesu.

  • @judithmakoye6592
    @judithmakoye6592 4 роки тому +1

    Amina pastor Mmbaga ubarikiwe na timu yote pia, nakuelewa pastor majibu ya shida zangu yako ndani yangu

  • @upendomasasi3218
    @upendomasasi3218 4 роки тому +2

    Pastor mungu akubariki Sana na kukulinda ili uendelee kutubariki kwa masomo yanayobadilisha maisha yetu na kutupatia tumaini jipya la uzima wa milele

  • @user-no2tw5vb8j
    @user-no2tw5vb8j 2 роки тому +1

    Doreen Edasi watching from saudi arabia, wonderful teaching from the true man of God, it's touching my heart deeply, thanks alot and May God bless u and your family in Jesus name Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 4 роки тому +3

    😅😅👏👏🙏🙏🙏nimecheka,nimebarikiwa na mahubiri yako mchungaji wa mungu.🙏

  • @josephobedi5969
    @josephobedi5969 4 роки тому +2

    "Ukitaka usifanikiwe katika maisha tafuta mchawi" very informative sentence

  • @bentaonsomu6480
    @bentaonsomu6480 4 місяці тому

    Asante na Mungu akubariki. Hautajua hii maubiri yanamaanisha nini kwangu. Ila Mungu amenieleza mambo mengi. Na nimeshtuka kwa kuwa umerudia Jambo nililokuwa ninasema, lakini sasa kulisikia kutoka haya maubiri, ni green light kutoka kwa Mungu.

  • @user-pi5bj9qz2m
    @user-pi5bj9qz2m 6 місяців тому

    Tunashukuru kwa mahubiri yako, tunabariiwa
    Mungu wa mbinguni akubarikiwa

  • @dianarobert7953
    @dianarobert7953 2 роки тому +1

    Jitwike godoro lako uende.yesu ametangulia mbele.aminaaa

  • @rastarasim5810
    @rastarasim5810 Рік тому

    Nazidi kujifunza mengi ,,,,,,,,,mungu awabariki watumishi wake,%🙏

  • @kalebumwaiponya4644
    @kalebumwaiponya4644 2 роки тому +1

    Nimelipenda sana hili fundisho. Mungu akubarika sana pastar Mbaga

  • @kakajaymoe8713
    @kakajaymoe8713 Рік тому

    Ameen aksante sana kwa mafundisho yako pastor🙏🙏💓

  • @josephinemwita8883
    @josephinemwita8883 4 роки тому

    Nimejifunza mengi kutoka kwenye hubiri hili! Ubarikiwe sana pastor Mbaga mungu akulinde ,akutunze na uendelee kutulisha chakula cha Mungu

  • @wordskabadi6421
    @wordskabadi6421 4 роки тому +1

    Nabarikiwa Sana mchungaji na mafundisho ubarikiwa

  • @MiriamSando-fe9ll
    @MiriamSando-fe9ll 6 місяців тому

    Nabarikiwa sana pr,mmbaga

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 4 роки тому

    Mungu akudhindie PR.MMBAGA UMEFUNULIWA UMEPEWA KULIJUA NENO TUSAIDIE SANA MUNGU ATAKURUDISHIA

  • @loicesalano931
    @loicesalano931 Місяць тому

    Naamini kabla miaka 38 nitapata mume Nina watoto wanne outside wedlock.God is faithful 🙏

  • @FreddyKakule-kz8uc
    @FreddyKakule-kz8uc 9 днів тому

    Asante kwa neno paasta mimi nisani toka kongo diarci niombeye ninakaaa Kivu yani béni asante

  • @sheilaombongi8086
    @sheilaombongi8086 4 роки тому +1

    Funzo la hekima kabisa pastor nina shukuru sana Mungu akubariki sana Amina

  • @josephinemwita8883
    @josephinemwita8883 4 роки тому +2

    Ni kweli Pastor Mbaga. Mimi Dodoma siondoki nikistaafuu!

  • @elizabethbwire1480
    @elizabethbwire1480 Рік тому

    Amina mchungaji kwasomo mzur hakika limenifungua akir

  • @hassanmatumba5272
    @hassanmatumba5272 2 роки тому

    Mtumishi halisi wa Mungu, umenibariki sana na fundisho hili. ninatamani siku zote Bwana aka ndanj yng nifanane na mcha Mungu wa kweli.

  • @millicentmashakamakungu5140
    @millicentmashakamakungu5140 4 роки тому +1

    Ninabarikiwa na mahubir yako mtumish wa Mungu

  • @linetflorah6871
    @linetflorah6871 3 роки тому +1

    Amen Daddy nami nimejifunza pia nimejua niko kwenye nafasi gani

  • @teclamastone7098
    @teclamastone7098 3 роки тому +1

    Mungu aendelee kukutunza pastor 💪🙏

  • @chibugamedia7313
    @chibugamedia7313 4 роки тому +1

    Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU
    Endelea kutuombea na sisi pia

  • @timothywandera1681
    @timothywandera1681 3 роки тому

    Hi Mtu wa Mungu, kila somo lako lanijenga sana, kana kwamba unayaona ninayopitia. Mungu akubariki sana, Timothy Wandera kutoka Kenya county ya Eldoret.

  • @itsmeanna8286
    @itsmeanna8286 3 роки тому +1

    be blessed Pastor kwa ujumbe mzuri.

  • @dottodaniel7535
    @dottodaniel7535 4 роки тому

    Pr. Mungu akubariki kwa ujumbe huu ni mzito .kwa kweli tumekuwa walalamishi mno Mungu atusaidie

  • @stellamariki6852
    @stellamariki6852 4 роки тому +2

    Leo nimekuelewa Pr, kumbe nilipofanya kazi nikadhulumiwa mshahara na posho zngu, Kumbe nisahihi kudhulumiwa maana ni Sawa na ADA NIMELIPIA ya ujuzi nilioupata. Mungu aendelee kukutumia Pr kwa kutuelimisha.

  • @janetkahada5206
    @janetkahada5206 4 роки тому +5

    😭😭God forgive me in my work give me a strong heart to be pertinent in every ways in Jesus name amen. Just a big points. Ubarikiwa muchungaji.

  • @comembwelwa1518
    @comembwelwa1518 3 роки тому +1

    Napenda sana mafundisho ya huyu kaka lakini watu wengi wanabeza kisa yy in msabato tatizo nn sijaelewa kabisa nampenda bule nashinda utubu kumsikiliza kila siku

  • @safishimirimana9465
    @safishimirimana9465 4 роки тому +1

    Ubarikiwe Sana mtumishi. Kwakweli uwaunanibariki

  • @karennyabuto7977
    @karennyabuto7977 4 роки тому +1

    A very good message.CARREN kisii Kenya.

  • @dianamwalongo9732
    @dianamwalongo9732 2 роки тому

    Waoooooo someone zuri Sana balikiwa Sana mtumishi.

  • @ibrahimsiwale5059
    @ibrahimsiwale5059 2 роки тому

    IWE HELI KWAKO NA HATAKWETU.....MUNGU atupatie nemeema na ufahamu tuzidi kulijua neno la mungu na tuwe na uelewa nalo

  • @aloycegasper5188
    @aloycegasper5188 4 роки тому +4

    Ni kweli PR,siyo PhD tu kuna watalaamu wa uchumi lakini wao masikini...MWENYEZI MUNGU NIONESHE KARAMA YANGU

  • @carolynadhiambo2543
    @carolynadhiambo2543 4 роки тому

    AMEN AMEN, BARIKIWA mtumishi MUNGU Azidi kuku BARIKI

  • @neemaloy889
    @neemaloy889 4 роки тому +2

    AMEN AMEN MTUMISHI WA MUNGU

  • @damarisonserio4788
    @damarisonserio4788 3 роки тому

    Thanx be to the Almighty God man of God your statements are very clear and loud

  • @filorammbaga5710
    @filorammbaga5710 2 роки тому

    Nitashinda ubaya kwa style hii.
    Asante Mtumishi Mungu akuinue juu Sana.

  • @irenenyambeki3094
    @irenenyambeki3094 4 роки тому

    Amina barikiwa pastor mbagga nakufatilia kutoka kenya

  • @shackplustv7462
    @shackplustv7462 2 роки тому

    Nimefarijika na kubarikiwa sana na somo hili

  • @shemnyangate5306
    @shemnyangate5306 4 роки тому +2

    we as christians we judge outside instead of we judging in the inside..hw does our relationship between us and God.. Nice sermon

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 4 роки тому +1

    Amina Amina. Asante sana mchungaji.

  • @winnievienda1623
    @winnievienda1623 4 роки тому

    Ubarikiwe kwamafunzo masuri mungu hakutiye ngufu yakuendeleya gutu funza

  • @jackneymasamson8335
    @jackneymasamson8335 4 роки тому

    I'm Connecting faith through Christ Jesus and I Agree, believe and receive this powerful Prayers upon my life and my Son and my family in the Mighty name of Jesus Christ because our Help Comes from Jehovah God the maker of the Heaven and Earth in Jesus Might name amen and amen

  • @lidiaawino4740
    @lidiaawino4740 2 роки тому

    Asante Yesu kwanzia leo nitajitwika godoro langu

  • @eliasbufula2482
    @eliasbufula2482 3 роки тому

    Asante sana mtumishi wa Mungu, umesema na mimi.

  • @janviershaminya2485
    @janviershaminya2485 2 роки тому

    mungu ndiye anaye kuwa na na malipo piganisha usikose kuingiya nakuombeya tutaonana huko.SI

  • @natihaikamjema6130
    @natihaikamjema6130 4 роки тому +1

    Ubarikiwe pastor

  • @alonto8159
    @alonto8159 2 роки тому

    Barikiwa sana lovely dad.

  • @angelinaomare3055
    @angelinaomare3055 4 роки тому +8

    Neno ili limenielimisha ajabu kwa kweli...nimejifunza kitu Kimoja “kujifunza kulalamika ila tu Kushukuru na kunyenyekea

  • @sanurasadickmshana7481
    @sanurasadickmshana7481 4 роки тому

    Mungu akubariki mtumishi,umenigusa sana maisha yangu.

  • @adrianarespicius8683
    @adrianarespicius8683 4 роки тому

    Napenda mafundisho yako yananibarki,, barkiwe pastor

  • @user-wq9pv3uz8f
    @user-wq9pv3uz8f 4 роки тому

    Hakika nimejifunza mengi tangu nianze kuskiza mahubiri TV maisha yangu yanaendelea kubadilika sana nakishukuru sana.pastor

  • @mashaeliazer7433
    @mashaeliazer7433 4 роки тому +1

    Barikiwa pr kwa kunibariki

  • @mtctz9844
    @mtctz9844 2 роки тому

    Asante, nimebarikiwa, ubarikiwe

  • @shukranjs4307
    @shukranjs4307 3 роки тому

    Mungu akubariki sana pastor

  • @jjss4493
    @jjss4493 4 роки тому

    Amen amen yesu wajua shinda zangu

  • @user-jg2sj1yc6n
    @user-jg2sj1yc6n 4 місяці тому

    Amen amen amen

  • @rosepeter8996
    @rosepeter8996 3 роки тому

    AMINA🙏

  • @betykallomo5587
    @betykallomo5587 Рік тому

    Barikiwa mtumishi

  • @user-sr3rn1ty9g
    @user-sr3rn1ty9g 3 місяці тому

    Amen

  • @sammywanje2686
    @sammywanje2686 3 роки тому

    Kwa kweli Mchungaji umenifungua sana kwa mafundisho haya,, umenifungua minyororo niliyokuwa nayo,,,, Ubarikiwe sana mchungaji, na huyu MUNGU tunayemuabudu kila siku akupe nguvu na azidi kukubariki kwa mafundisho unayotufundisha mara kwa Mara,, aamen

  • @jamesbaraka940
    @jamesbaraka940 3 роки тому

    asante pastor mungu akubariki

  • @mwinamilapaul352
    @mwinamilapaul352 4 роки тому

    Amina Mtumishi, asante kwa kutupa Neno la uzima

  • @julianajohn7917
    @julianajohn7917 3 роки тому

    Yaan umenielimisha mno nabarikiw sna na mahubiri yko Mungu azidi kukuongoz na kukulinda

  • @rachelndege3819
    @rachelndege3819 4 роки тому

    ASANTE mchungaji Mungu akubariki Sana

  • @witnessmalangalila91
    @witnessmalangalila91 4 роки тому +1

    Barikiwa sn Mtumishi

  • @witnessmalangalila91
    @witnessmalangalila91 4 роки тому

    Amen barikiwa Mtumishi

  • @rosemutinda3076
    @rosemutinda3076 4 роки тому +5

    Pastor huwa unachekesha😂😂😂hapo pa malaika pamenimbaba. Aki Mungu na malaika zake huwa wanajionea mambo 🤣🤣🤣

    • @damah8431
      @damah8431 4 роки тому

      😃😃😃😃😃

  • @hoglawawuda8145
    @hoglawawuda8145 4 роки тому

    Nimejifunza kitu...asante Pastor

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 4 роки тому

    Ubarikiwe Sana Mtumishi....

  • @jeniferliberatus3003
    @jeniferliberatus3003 4 роки тому +16

    amina ndg zangu wasabato mmuobee huyo pastor

  • @heriethmbwambo8272
    @heriethmbwambo8272 3 роки тому

    Pastor barikiwa kwamafundisho yako

  • @edithmakwakwa9489
    @edithmakwakwa9489 4 роки тому

    Barikiwa pastor Sana🌹🌹

  • @majaliwacosmas4632
    @majaliwacosmas4632 3 роки тому

    ,nikweri mch mungu azidi kukupabania

  • @FrancisLyamuya-ou1eb
    @FrancisLyamuya-ou1eb 7 місяців тому

    Asante sana ndugu

  • @Patience763
    @Patience763 9 місяців тому

    Amina

  • @elvisomari638
    @elvisomari638 4 роки тому +2

    Uko sawa pastor ukweli huu

  • @lenatidagabriel3358
    @lenatidagabriel3358 3 роки тому

    PR. NI mwaka umepita tangu ufundishe somo hili lakini kila SIKU ni jipya, unanibariki mno PR, MUNGU akutunze PR.