SASA NIMECHOKA MATUSI NA UFUNJAJI WA AMANI KWA INCHI YETU CHAMA PIZANI SASA YATOSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 50

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 2 дні тому +2

    Ulikosea sana mama kumukaribisha uyo asie taka kujali watu wake pamoja na nchi yake Yaan uyo basi tu mungu anamuona uyo fisi anataka kuiyaribu nchi yetu ya tanzania

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 2 дні тому +2

    Ni kweli mama unaongea ukweli waking lissu wanalete ufunjivu wa amani na vili vile uwaribifu wa nchi yetu isio fanana na nchi zingine Ila usijali mama maan mungu yupo Ila mama ikiona unazidiw tafuta njia mubala

  • @saidnyonzo850
    @saidnyonzo850 2 дні тому +1

    Hongera mama kanyaga mwendo, inchi Iko imara

  • @ModeMlimbila-vz6de
    @ModeMlimbila-vz6de 3 дні тому +3

    Mungu mpe miaka rais wetu ana hekima na maarifa mapana najivunia Tanzania yangu

  • @EstherJerald-tc6ct
    @EstherJerald-tc6ct 8 днів тому +4

    Pole sana mama
    Mungu akutie nguvu

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 днів тому +2

    Lissu na Lema waache kutuchafua😢

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 5 днів тому +2

    Lissu,Lema na Mbowe ndio viongozi wa funjo,kwa vi I e wanalipwa Wametumwa tuka huko ughaibuni.Lissi na Lema ndio hao .Wakati wanaishi nchi mbili Ubeljiji na Kanada😢

  • @josephatmhamiji4886
    @josephatmhamiji4886 5 днів тому +1

    mh rais nakuombea kwa mungu hekima amani itaware wewe nimama wataifa retu mungu akupe hekima

  • @FatumaBaruti-qw6jm
    @FatumaBaruti-qw6jm День тому +1

    Ndiooooo.buruza wotee hao warudi walikotoka.mungu akuweke.mitano Tena Mama mi baba kabisa haina mana

  • @WinnerP-z2f
    @WinnerP-z2f 3 дні тому +1

    Mama yangi❤❤❤

  • @robertigohe7477
    @robertigohe7477 5 днів тому +1

    Sisi Watanzania hatutaki umwagaji damu ndani ya nchi yetu,kwa namna na maelezo yoyote,tunataka Kuona tunaishi kwa amani,usalama,haki na huduma bora

  • @LuciaMagari-h8o
    @LuciaMagari-h8o 2 дні тому +1

    Siasa maridhiano uliyoyataka mdo hayo c ulimwona maguful mjnga? ss pambana km una2maliza 2malize

  • @IvetaSteven-b9z
    @IvetaSteven-b9z 7 днів тому +2

    AMANI GANI NA WATU WANAKUVA

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 8 днів тому +2

    Samia utasikia joto la jiwe mwaka huu

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 2 дні тому

    Mama usipo wazibiti wajinga lissu basi nchi yetu itaribiwa na hao watu wanaongozwa na mabeberu

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 3 дні тому

    Jivunie masikali nadola kuwa watu hatawezekana

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 днів тому +1

    Hao mafezuli kila mwisho wa uchunguzi huaanza porojo lao twanga risasi.

  • @AlyAliymohammedi
    @AlyAliymohammedi 4 дні тому

    Viongozi tum cheni mungu Dunia tuna pita

  • @LongidaMahetye
    @LongidaMahetye 4 дні тому

    😢😢😢

  • @BawiliemediEzdori
    @BawiliemediEzdori 9 днів тому

    Uku kwetu marecani ni kawaida hiyo

  • @AbdulWaheedAlRawahi
    @AbdulWaheedAlRawahi 6 днів тому +1

    Wale wanaojifanya hawaogopi serikali hebu na wajaribu kuvunja sheria zilizowekwa halafu wasiseme wameonewa, Ndugu mtanzania mwenzangu usikubali ushabiki wa viongozi wa vyama vya upinzani unaweza kupoteza maisha au ukatiwa kilema cha maisha tulia nyumbani ulee watoto wako, ukija kupata matatizo hakuna kiongozi wowote atakaekuja kukufariji na kukupa matumizi ya watoto wako.

  • @samwelimuhali6913
    @samwelimuhali6913 4 дні тому

    saws

  • @SimonJoseph-qd3ww
    @SimonJoseph-qd3ww 4 дні тому

    Iiiiiiiiiiiiiiiii kuna shida

  • @ThomasLaizer-k8x
    @ThomasLaizer-k8x 7 днів тому

    tikwa

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja1995 9 днів тому

    Sema mama

  • @modestusndunguru7183
    @modestusndunguru7183 8 днів тому

    Jpm alishukufundisha ..wanyoshe

  • @mtuporiandimu6436
    @mtuporiandimu6436 7 днів тому

    Duu ngulelo

  • @EliasMoyo-g3p
    @EliasMoyo-g3p 2 дні тому +1

    Mama usipo wazibiti wajinga lissu basi nchi yetu itaribiwa na hao watu wanaongozwa na mabeberu

  • @ThomasNgelata-sd5hk
    @ThomasNgelata-sd5hk 8 днів тому +3

    Mungu akutie nguvu mama yetu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @keemome158
    @keemome158 4 дні тому +2

    mwenyeezi mungu atakusimamiaulinzi wake. na hifadhi yake

  • @yasiniSwedi-qg5oc
    @yasiniSwedi-qg5oc 8 днів тому +1

    C ulimsaliti jpm? Mwenzio alishawajua kuwa wale ni wafuluktabu wewe ukawaona ni wema swali ww na jpm nani alipatia? Juyahao wfluktab?

  • @mahamoudjumaa4373
    @mahamoudjumaa4373 День тому

    Mama nakuombea kwa mungu akujaalie uongozi wako Bora Mimi kama Mimi nakuomba kama wewe amri jeshi wa jamuhuri ya Tanzania kaza Buti heahima iwepo Tanzania Asante mama mpendwa

  • @SaidMkambo
    @SaidMkambo 11 годин тому

    Heko mama usitishwe na yeyote na wala wasi kutoe kwenye leli kwamatusi yao kazi iendelee

  • @HASSANWAZIRIGAO
    @HASSANWAZIRIGAO 15 годин тому

    HAO HAWANA CHA KUFANYA WAMEMUUWA ALLI KIBAO ILI WAPAISHE CHAMA CHAO TUMEWAGUNDUA

  • @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq
    @JanethEmmanuelEmmanuel-qo9fq День тому

    Hongera rais kwa kulinda aman yetu tusiwe kama ilivowapata ribya kwa ushamba wao

  • @sulaimanmallecha6134
    @sulaimanmallecha6134 5 днів тому +1

    Amrijeshi😢😢😢😢utazilipa dam zawatanganyika tena kwa liba kubwa,na wapiga makofi wenzio.

  • @JumaNtasimba
    @JumaNtasimba 6 годин тому

    Samia unawachekea sana quga risasi hao

  • @jumahamisa5408
    @jumahamisa5408 День тому

    Mama eeeh fnya kazi yko mitano tena inakuhs❤

  • @isakalusiani3063
    @isakalusiani3063 2 дні тому

    Mambo yenu yakuweka makilpu ya samià mkome

  • @IddiMponela
    @IddiMponela 17 годин тому

    Mama achananaoo awo piga kazi mama

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 3 дні тому

    Mauongo atutaki mauongo hapa samahani

  • @abdulki9k8kamil17
    @abdulki9k8kamil17 День тому

    Uko sawa mama

  • @Elimishatv
    @Elimishatv День тому

    🇹🇿

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 днів тому

    Kwa sababu wewe ni mwanamke wa Zanzibar.ndio maana wanakunyanyasa ubaguzi na udini upo.mbona enzi za kikwetu magu na mkapa walikuwa hawana ufedhuli

    • @nurumohammed1310
      @nurumohammed1310 3 дні тому

      Acha uwongo ety anachukiw kisa yy mzanzibari marehemu mwinyi hakutawala??? Zanzibari ndo nini sasa si kama mji mwengine tu

  • @CajerMomade
    @CajerMomade 6 днів тому

    Wafinye hao nyumbu

  • @GeolgeYuli
    @GeolgeYuli 7 днів тому

    Safi sana mama❤