TUNDU LISSU AZICHAPA NA MWIGULU NCHEMBA | AMEPATA WAPI HELA YA KUMILIKI TIMU YA MPIRA NA.........

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 93

  • @FaustineJololo
    @FaustineJololo 6 місяців тому +5

    Wajnga kama mm hatutomuelewa tutamtus na kukomet ujinga ushangaee mh LISU mungu yuko naww❤❤❤🎉

  • @ShewaiKiondo
    @ShewaiKiondo 7 місяців тому +11

    Mwenyezi mungu akupe umri mrefu rizki nyingi afya nyema ili uzidi kuwatetea wanyonge

    • @simonshija2476
      @simonshija2476 7 місяців тому +1

      kusema mtu anatimu ndo kutetea!

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 6 місяців тому

      ​@@simonshija2476 huwezi mwelewa Tundu Lissu kwa sababu ubongo wako umechanganyikana na wadudu aina ya chawa

  • @DaudiJulius
    @DaudiJulius 5 місяців тому +1

    Lissu mtu mwema sana anaongelea haki kabisa

  • @EzekielMatimbwi
    @EzekielMatimbwi 6 місяців тому +5

    Wananchi wa nchi hii nisawa na mpira mbovu, utakakopgiwa ndiko utakakoelekea

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 2 місяці тому +1

    Maugufuli hkuwa mjinga kuwatumbus hawa wtu.Mama kawapa shavu ndio wnatuumiza wanachi wachini.Nilazima watunge visheria vyakutumiza wananchi Kwkodi.Ila mama haoni jmna.

  • @robertlary6007
    @robertlary6007 7 місяців тому +1

    Mhe. Lissu 😄😄😄 Wenzako wanamiliki team za mpira ili vijana wapate ajira kupitia talents walizobarikiwa na Mungu, Kazi Iendelee 🇹🇿
    #NasimamanaSamia

    • @AlbertLemau
      @AlbertLemau 7 місяців тому +2

      Hzo Hela za kumilik team wanazitoa wapi , ukilinganisha na mishahara wanao lipwa Serikalini ??? Njoo Kwa hoja amby haitakuaibisha

  • @FaustineJololo
    @FaustineJololo 6 місяців тому +3

    Wanichi wa tanzania hatutakua waelewa hata tusome kumaliza madrassa na vyuo vyote yani nibora liende naserekal yetu hatuk kubadirka tutanyoka 😅😅😅😂

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 6 місяців тому +2

    Wanaibua vipaji kipindi cha nyuma timu ilikuwa simba na yanga tu saiv mpira umekuwa asantn viongz wetu

  • @Paulkessy-j8n
    @Paulkessy-j8n 5 місяців тому +2

    Umeongea ukweli raisi wangu wa siku zote

  • @SureJR-yd3zm
    @SureJR-yd3zm 7 місяців тому +4

    Hapo umeongea vizuri mzee

  • @khamis9187
    @khamis9187 5 місяців тому +1

    Kwakweli waafrica tunafanana, tatizo sio ccm, ni utayari wa viongoz waliopo madarakani, mbona nchi nyingi za africa zinapokezana zam ktk uongo lakin hakuna mabadiliko chanya!!.

  • @DeograsiadNsembele
    @DeograsiadNsembele 6 місяців тому +1

    Ilike your presentation

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 6 місяців тому +2

    Mimi sio ccm sio chadema ilo naliweka wazi ila ccm na andazi Mimi nachagua andazi

  • @YusuphMchomvu
    @YusuphMchomvu 5 місяців тому +1

    Huyu mwigulu hafai kuwa hapo alipo, anatoa wapi hela yakumiliki timu ya mpira.

  • @jumaigoti7541
    @jumaigoti7541 4 місяці тому +1

    Waseme wote ila kwa magufuri unakosea .mengine sawa ila ukimsema magu utapondwa mawe

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 5 місяців тому +1

    Ndo maana hii mizigo mikubwa ya KODI na TOZO wanayotubebesha kila uchawo haiwezi kupungua na kuisha , kwa huu ubadhirifu wa kutisha 😢😢

  • @MagilaiLobangutii
    @MagilaiLobangutii 4 місяці тому +1

    Lisu bwana

  • @khamis9187
    @khamis9187 5 місяців тому +1

    Kwani tanzania hii hakuna msomi mwenye uwezo wa kushikilia wadhifa wa wizara ya fedha zaidi ya mwigulu, atupishe akatumie alizoiba...

  • @SaidiGandi
    @SaidiGandi Місяць тому

    Hahaaa mchane baba nakukubali

  • @JohnAlex-z3i
    @JohnAlex-z3i 4 місяці тому +1

    Nakukubali miaka buku uko vizul ukweli ndio huwo.....

  • @SeifuJambia
    @SeifuJambia 4 місяці тому +1

    Umekosa hoja kaa upumzike kalime mbona ulivyo ugua pesa zao ulipokea ww umefanya nn
    Ww kutukana wanaokusaidia unafaidika nn ww

  • @JemaMhagama-oz6me
    @JemaMhagama-oz6me 5 місяців тому +1

    Muache bana bora amiliki timu wengine wanaiba hatatimu hawana.

  • @BakariMtangenange
    @BakariMtangenange 6 місяців тому +1

    Ni ufisadi2 uliopo ndani ya ccm

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 6 місяців тому +1

    Dhambi mwanasiasa kumiliki timu wakati wa mwalimu alikua mwanasiasa hata biashara haruhusiwi kutokana na kuogopa wasitumie wadhifa wao kwa mali za uma

  • @masoudalriyamy6298
    @masoudalriyamy6298 6 місяців тому +1

    Maneno hayo wanasiasa yanakuhusuni maneno mazito hayo maneno hayo ambizaneni mkaa pamoja msioneane haya

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 6 місяців тому +1

    Na Bashingwa nae anaandaa Tim ya mpira

  • @justinjasson7070
    @justinjasson7070 6 місяців тому +1

    Kumiliki timu ya mpira sio dhambi, umekosa hoja

  • @JohanesGesabo
    @JohanesGesabo 5 місяців тому +1

    Aise tumechoka na ccm

  • @NtanduNjiku-ck4kw
    @NtanduNjiku-ck4kw 6 місяців тому +1

    Watanzania wanechoka ccm,leteni Sera zinazomgusa mwananchi dola mnaipata bila shida,fenyeni tafiti za kisiasa na mwelekeo wa upepo wa kisiasa,punguzeni matusi wapeni nafasi wanchi kusema wale wanayohitaji hakika mtaibuka kidedea

  • @ShundeBajuta-xn6yp
    @ShundeBajuta-xn6yp 6 місяців тому +1

    Kazi wameisahau bali wanajaribu kufanya udanganyifu

  • @DicksonAmbilikile
    @DicksonAmbilikile Місяць тому +1

    Hata wewe utamiliki tu kama kweli ni mdau wa vijana utanunua timu lakini hayo yote ni mambo ya siasa tu

  • @NtanduNjiku-ck4kw
    @NtanduNjiku-ck4kw 6 місяців тому +2

    Usichukie mwigulu kumiliki timu,kaka pambania hoja za msingi ,Kama maji ,vyuo singida hakuna hata chuo kikuu singida vyuo vya Kati hakuna,viwanda,

    • @BakariMtangenange
      @BakariMtangenange 6 місяців тому +1

      Ameuliz2 anabiashara gani mpka aweze kumiliki tim ilo ndio swali lake km unalo mjibu

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 5 місяців тому

      We mpuuzi MWENYE ufinyu wa fikra
      Hujui kumiliki kwao timu ndio sabab ya wewe kukamuliwa Kwa KODI na TOZO kuongezewa kila wanapojisikia !
      Kusoma hujui je hata picha huoni ?

  • @Omarimakuka
    @Omarimakuka 6 місяців тому +1

    Hakuna sera hapo ni ujinga tu

  • @mohamedkidamiharo4887
    @mohamedkidamiharo4887 7 місяців тому +7

    Kwa hilo la mwigulu daa nauli zilipandishwa mama yupo nje pesa zinalipa wachezaji

  • @MartinGao-pq3ed
    @MartinGao-pq3ed 6 місяців тому +1

    Huyu mtu Hana jipya staafu siasa uheshimike

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 7 місяців тому +1

    Acha porojo na kusema wenzako .Hizo ndiyo Sera za kutaka nchi .Wewe ultimate kuwa mbunge miaka kumi ulifanya nini?Tundulisu kila

  • @Reynoldsmgaya
    @Reynoldsmgaya 6 місяців тому +1

    Hii nchi ina mambo yake tuuh tuyaache

  • @lucasdominick3256
    @lucasdominick3256 5 місяців тому +1

    kweli

  • @RehemaSalum-vp6rf
    @RehemaSalum-vp6rf 6 місяців тому +1

    Uyo mama enu kazi yake kuzulula tu ... Ajali lolote

    • @alyakida5262
      @alyakida5262 6 місяців тому

      Ww uliekuwa huzururi umo ndani tu hutoki toka ulipozaliwa unajali familia yako ?

  • @charlesmsengi332
    @charlesmsengi332 7 місяців тому +2

    Facts

  • @khamis9187
    @khamis9187 5 місяців тому +1

    Kwenye mpira kuna niniii!?!?.

  • @chidmtata
    @chidmtata 3 місяці тому +1

    Rahim Rai 🫡

  • @NtanduNjiku-ck4kw
    @NtanduNjiku-ck4kw 6 місяців тому +1

    Pambana lisu

  • @EdwardSemwenda
    @EdwardSemwenda 6 місяців тому +2

    leta hoja za msingi acha na mpira

    • @mzeebabumzee
      @mzeebabumzee 6 місяців тому +1

      oja ya msingi pesa wa mezitoa wapi ya kumiliki timu viongozi wa sele kali au auja muwe lewa miliki timu kama una weza mmiliki kocha uchebe uwone zinduka wewe

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 5 місяців тому

      ​@@mzeebabumzee
      Vilaza kama hawa ndo wamejaa KIBAO hawana wanalolijua juu ya mustakabali wao wa maisha Afu wengi wao ndo walalaHoi, yaani wana tuchelewesha kinoma !
      Hajui kama yeye mpiga Kura ana haki ZAKE za msingi inabidi azipate kupitia viongozi hawo wa serikali ndio maana kipindi cha uchaguzi anafuatwa kuombwa kura akiahidiwa aahadi KIBAO atafanyiwa.
      Lkn baada ya kuwapa Kura yake AHADI hizo zinaota mbawa anachoambulia ni ONGEZEKO la TOZO na KODI kila uchao !!!

  • @salumsaid7301
    @salumsaid7301 7 місяців тому +2

    Amechemmmmmkaaaaaa kwakweli

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 6 місяців тому +1

    Watanzania wanapenda mpira ko kura zipo hapo mzee

  • @PeterIdd-d3c
    @PeterIdd-d3c 7 місяців тому +5

    Wanyiramba tubadilikeni hawa CCM kero tupu

    • @PatsonMbugh
      @PatsonMbugh 7 місяців тому

      Osptl biashala zaudi

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu9498 7 місяців тому +1

    Wewe hunahoja bn achakuingilia mpira kamahujui watu wamepata ajira na niwengisana nahapa ndiotunapandisha sokaletu hayo mengine nimawazoyakotu achawatu wampira wafanyemambo yampira wewe kwenyempira haupo ndiomana unatafuta kiki kupitia mpira

    • @ce-08
      @ce-08 6 місяців тому

      Shida sio watu kupata ajira watu pesa wametoa wapi za kununua timu ya mpira watu wanaficha hela walizoiba huko

  • @Man_of_valor
    @Man_of_valor 6 місяців тому +1

    Where are the policies?

  • @JeradiMwalingo
    @JeradiMwalingo 7 місяців тому +2

    Mpaka mama nae ana timu jaribu kuitafuta itaipata

  • @ramadhankhamis886
    @ramadhankhamis886 7 місяців тому +1

    Mwisho utakodi watu wa kukusikiliza

  • @nuruworldinsight2957
    @nuruworldinsight2957 5 місяців тому +1

    Huyo Mwingulu alitumbuliwa na Mwendazake kwa mambo hayo hayo ya mpira na ushabiki wake ulopitiliza kwa Yanga.
    Kwanza akamuonya ,chagua moja kati ya mawili !
    Aidha chagua ushabiki wako wa mpira
    Au fanya kazi ya serikali kwa kuwatumikia wananchi
    Akaendelea kushupaza shingo ... 😅😅😅

  • @jessalmas2122
    @jessalmas2122 7 місяців тому +1

    hawa jamaa wanatuibia pesa zetu hawafai kuiongoza nchi yetu ccm niwezi yani ccm ni kama familia ya panya

  • @أبويوسف-ق1ل6د
    @أبويوسف-ق1ل6د 6 місяців тому +1

    Tumbon kaweka nin

    • @nuruworldinsight2957
      @nuruworldinsight2957 5 місяців тому

      Kama lile aliloweka babako , kamulize babako akikujibu 😂😂😂

  • @ConsalvaMumbara
    @ConsalvaMumbara 7 місяців тому +2

    Kwani shida nini tunahitaji sokaikue

  • @JumaKiyogomo
    @JumaKiyogomo 7 місяців тому +1

    Ongea sera

  • @YusuphJilala-r4e
    @YusuphJilala-r4e 6 місяців тому +1

    Mzee chizi huyu

  • @Prisca-ge4ig
    @Prisca-ge4ig 6 місяців тому +1

    Huna hoo

  • @MILHAJIABDALLAH
    @MILHAJIABDALLAH 7 місяців тому +1

    Una tafuta kiki huipati Ng,o

  • @alisuleiman303
    @alisuleiman303 7 місяців тому +1

    Hapo unachemka ujue ulitaka wafanyeje kwa jamii

  • @ChinaBoy-jh8bm
    @ChinaBoy-jh8bm 7 місяців тому +1

    Wewe nyamaza aunalolote wewe lisu akuna maali unaenda naiyo

  • @RichardWambura-w9o
    @RichardWambura-w9o 7 місяців тому +1

    Kuna ubaya gani kumiliki team?hapo umechemka

  • @sebastianbenedict3090
    @sebastianbenedict3090 7 місяців тому +3

    huna hoja mpira ni burudani tu

  • @ChristerKoku
    @ChristerKoku 7 місяців тому +3

    Tuelimishe,ni makosa viongozi kumiliki timu za mpira?

    • @mohamedkidamiharo4887
      @mohamedkidamiharo4887 7 місяців тому

      Mwigulu alipokua wazili awamu ya tano ikapanda singida alipotolewa ikashuka alipolidishwa ikawa big star sasa kanunua ihefu

    • @GibsonNtamamilo
      @GibsonNtamamilo 7 місяців тому

      Haihitaji Elimu ya chuo kikuu, mtu wa kawaida huwezi kumiliki timu ni gharama sana inahitaji fedha ya kutosha. Usajiri tu ni hatari ndugu, Ihefu wapo mapro wengi kwa mwezi sio chini ya Miloni 100 na zaidi.

  • @AmmyMakita-bt4ip
    @AmmyMakita-bt4ip 7 місяців тому +2

    Kwakwel anapatia hela wap jaman

  • @alfanmussa3041
    @alfanmussa3041 7 місяців тому +1

    Akuna kitukibaya kama kufiliska kifikra

    • @ThobiasAlex-ez6fj
      @ThobiasAlex-ez6fj 7 місяців тому

      Watanzania wengi bongo zetu zimeharibika,sasa unataka sera gani?

    • @samwelsimon7392
      @samwelsimon7392 7 місяців тому

      ​@@ThobiasAlex-ez6fjubelgiji ndio chaguo lake

  • @FrankaagusyinoMkangala
    @FrankaagusyinoMkangala 7 місяців тому +1

    Tafuta sera

  • @SaidAdam-xw3jh
    @SaidAdam-xw3jh 7 місяців тому +1

    Hapo umechemka

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 6 місяців тому +1

    Wee umekaa mbunge singida miaka ata kisima tu hukuchimba kazi yako ilikuwa kukosoa

  • @mbikamtanganaki
    @mbikamtanganaki 7 місяців тому +1

    Na wewe una miliki Nini , wakala wa mashoga au unafikir ujulikan

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 5 місяців тому +1

    Na Bashingwa nae anaandaa Tim ya mpira