Samahani sana mama mpishi. Kiswahili chako ni kibovu mno. Matamshi yako ni yakusikitisha, pilipili boga unasema "hoho", "thaum" unasema kitungu saumu. Wewe kuzungumza Kiswahili ni kama mchina kuzungumza kichaga. Bora uzungume kwa lugha ya kwenu. Sisi huku tutajitahidi kutafsiri.
@@Odama-dn7xyPilipili boga kwa KIingereza ni CAPSICUM au BELL PEPPER. Pilipili hoho ni BIRD'S EYE CHILLI. HOHO ni jina limetkona na Spanish "hau hau".ambayo kikwao wanaandika "gau gau".
Nakupenda maana hauna uzungu,,unatufundisha cc watanzania wa kawaida,and your food is affordable
YUMMY, VERY HEALTHY, asante sana showing the steps
I love your recipe bcoz is simple and tasty
Wooow very simple, amazing and yummy 🤗
Unaweza❤️❤️
Uko vizur kwa kuelekeza. Ubarikiwe
Asante
Tc really amazing, be blessed
Easy and lovely recipe, Asante sana!
Barikiwa sanaaa
Looks yummy 😋
I love your voice, Ika
Aika tutengenezee menu plan ya week nzima.Menu plan ya mtu wa kipato cha kawaida
Najifunza mengi kwako
Nice maaa
Samahani sana mama mpishi. Kiswahili chako ni kibovu mno. Matamshi yako ni yakusikitisha, pilipili boga unasema "hoho", "thaum" unasema kitungu saumu. Wewe kuzungumza Kiswahili ni kama mchina kuzungumza kichaga. Bora uzungume kwa lugha ya kwenu. Sisi huku tutajitahidi kutafsiri.
Asante mwalimu wa Kiswahili…. Huku kunaitwa UA-cam Ticha. Video ni nyingi sana huku, wewe tafuta yenye kiswahili fasaha uangalie..
Sasa pilipili boga ndo nini na wewe
@@Odama-dn7xyPilipili boga kwa KIingereza ni CAPSICUM au BELL PEPPER. Pilipili hoho ni BIRD'S EYE CHILLI. HOHO ni jina limetkona na Spanish "hau hau".ambayo kikwao wanaandika "gau gau".
Wow nice
Waaaaoooo nzr san
Wowwww❤❤❤❤
Asante hizi ndizi bukoba ni aina gani ni matoke au ndizi za kuliwa na wali ambazo hazijaiva
uganda dear
Asante nimejua kuipika
So sweety😋
Nice🥰
Mtori na chapat😋
Yaaaaani
♥️❤️
asante
Nimeipende thanks
Karibu
Utamuuuuuuuuuuu🤤🤤🤤🤤🤤
🥰
😋😋😋😋😋
Naomba nije unifundishe mapishi plz
Uko vizur kwa kuelekeza. Ubarikiwe