SHUKRAN HABIBTY leo nitapika nzidi mbichi kama hivi unavyopika wewe nataka nifate kama ulivyopiks mashallah allah akubarik kwa nice mafundisho na mabadiliko ya chakula tunakushukuru sana
ALHAMDULILAH nimepika kama ulivyoona mashallah tamu kuliko ninavyopika mie kila siku nuru ya allah ijae on your life ishallah kwa msaada rahisi unatupa wa nice food
Masha Allah mimi niko kenya lakini napenda sana mapishi yako uko makini unajua kueleza na usafi wako 💯 your the best Allah Akupe afya na ujuzi zaidi ili nasi tufaidike
MashaAllah looks yummy wallahy.. shukran kwa mapishi hayo ila please ongea na sauti ya juu angalau tuskie kwa uzuri karibia Videos zako zote sauti yako ipo chini Yumma
Hello sister.....Wow i am from Daresalaam I am so happy to see your site you cook excellent food. If you can show recipe ya boho bokho it's probably a Tanzania dish or an Arab dish. Thanks God bless.
I love your UA-cam cooking videos.Good work.At least any time I watch the videos I end up learning a lot of new recipes.Are the bananas regular raw bananas?
Thank you so much, am glad to know that you are benefiting something. The bananas are not the regular bananas in raw state but if you dont have you can use the regular bananas in raw state I do too coz its difficult to get the the special cooking bananas if you are not in Africa , make sure they are completely raw
SHUKRAN HABIBTY leo nitapika nzidi mbichi kama hivi unavyopika wewe nataka nifate kama ulivyopiks mashallah allah akubarik kwa nice mafundisho na mabadiliko ya chakula tunakushukuru sana
nawal sultan that's my video
Mashallah. You explain so humbly. Thank you for sharing . Allah will reward you.Ameen
Shukran, Amin
Allah akupe uzima na uhai wakutufunza haswa sisi tunaoishi mbali na nyumbani great i appreciate
Amin kwetu sote, ashante
nakupendaje 😙😙😙😙 ivi dada haujafungua darasa tuje kujifunza zaidi
Ahsnate, mie nipo America huku mbali dear
lovely wallahy..natamani sana sana urusi hatupati ndizi mbichi..ntakula kwa macho.shukran
Aswadikul Amin pole darling si peke yako mie pia nazitamani hapa huzipata kwa Bahati nasib napia si nzuri basi tu
waooooo antiwangu we bingwa wamapishi mungu akuzidi shie
maa shaa Allah habibty nayapenda mapeshi yako hakika na enjoy alhamdullah tunapata ujuzi tofauti kupitia wewe thank u so much
Youa are welcome ahsante sana kwa kupita mitaa ya huku
Napenda mapishi yako,ni rahisi sana,nilichokipenda ni usafi wako🙌chakula kiwe haraka na hygienic hiwe 100%
Nashkuru, hygine lazima dada kwani hichi chakula nawalisha familia yangu lazima iwe 100%
Posted 5 years ago and still relevant today, Napika leo hii- Thank you very much..
Thank you
mashaallah
najifunza mengi kutoka kwako mungu akuzidishie
AMIN
Allah akupe kheri zaid kwa sadaqa unaojitole
ALHAMDULILAH nimepika kama ulivyoona mashallah tamu kuliko ninavyopika mie kila siku nuru ya allah ijae on your life ishallah kwa msaada rahisi unatupa wa nice food
Shukran, hongera sana kwa jitihada. Amin kwa dua njema
Aroma of Zanzibar afwan mugwana duwa zangu juu yako kila ninapijaribu vile unapika food mashallah kipaji cha pekee allah amelujalia
Alhamdulilah shukran habibty
Ndizi mshale ni ngumu zitaiva happy kweli
Kila ndizi ni tofauti dear
ahsante sana da fathiya Allah akuzaidishie amiin
dada naomba nijifunze pilau
mashallah. anti ningefurahi kutuonyesha jinsi ya kupika pokopoko
Inshallah dear,
mashallah tunafurahi kuona mapishi zaidi ya ki kwetu
Mashallah ni tamu zinaonekana
shukran jazakallahu khayran ni nzuri sana nitajaribu huu upishi wako
Shukran, thanks for yr support
Safi sana nafuatilia sana mapishi yako. Asante.
ahsante sana kwa support
safi sana, Hongera kwa mapishi mazuri.
wooow 👉nimeipenda hio upishi 👌,inakaatamu sana na rahisi kupika ,nitaipika.....asante sana.❤❤❤❤❤❤❤
karibu
Woow pishi zuri sana, kama sina nazi zitapendeza maana nimetamani kupika sahvi.
Nazi inaleta ladha nzuri
Safi sana...nimetumia hii leo na imekuwa nzuri, kazi nzuri Dada.
Asante sana dada yangu
Hongera sana ndizi zinaonekana nzuri
Mashallah
Leo umenisaidia sana nimesifiwa mno kwa haya mapishi kidogo niumbuke huku ukweni thanks aroma
Hongera dada
natamani nizitoe nile vyakula vyote mashallah😘😘
Asante mumy nimejifunza mapish mengi.
Ndizi nzuri, na zinaonyesha tamu...Umetutia njaa usiku huu...
Pole saana kwa njaa
Mashallah napenda aroma of zanzibar mapishi yake, anafundisha vizuri mashallah
Ahsante sana
mchemsho mzuri sana dada sioni mafuta mengi ahsante kwa kutufundisha
Ahsante sana, nimefurahi umepitia hapa. Thanks for your support
Hi dear
Ndizi aina gani hiyo😃 nimependa
Ndizi za ughaibuni hazina jina dear
Natamani. Zaonekana tamu sana 😋😋😋 all the way from 🇬🇧 uk
Nzuri, hata mimi sasa hivi nazitamani
Masha Allah mimi niko kenya lakini napenda sana mapishi yako uko makini unajua kueleza na usafi wako 💯 your the best Allah Akupe afya na ujuzi zaidi ili nasi tufaidike
Shukran, amin kwetu sote
Mashallah my Mnzuri nimekuelewa sanaa
asante mummy kwa kuniongezea ujuzi,familia yangu inapata madikodiko mapya daily
Asante sana chakula nzuri saana hii
Allah akubariki na inshaaAllah nitapika kama hizo zako hata
Nimezitamani sana
waao umenirudisha uchagan aisee
🥰🥰nimeipenda sana
mashallah so tasty nimesikia njaa na kutamani ishallah nitapika like that thanks habibt
Inshallah
mashallah😘😘nimependa like the way you cooki will try ishallah
Wow!!MashaAllah habbtiy hata mate yanidondoka kwa hizo ndizi nitajaribu huo upishi inshaaAllah tunavyo pika ss nitafauti na wako
Inshallah
Jamani ndizi tamu hizi asante aroma of zanzibar
napenda ndiz nyama ..asante kwa hili pishi
Masha Allah ndizi na rojo rojo lake tamu
Ahsante
love you sister mungu akulipe
MashaAllah, I really adore u wallahi,and am welmed with ur aroma dishes
Thank you so much 😊
Mashaa Allah muko vuzuri
Shukran kwa mapishi hizi watolea na kitu gani
Zinakitoaeo tayari cha nyama ndani
Nakupenda sister uko mtaratibu na kazi Yako safi sana
Shukran dear
wow Masha Allah, my favorite dish
you are doing a great job
Thanks dear
assalam alekum mashallah sasa wanangu wataweza kula ndizi saum na Ramadan Kareem
Alhamdulilah, natamani zije huku pia maana mpka leo sijapata ndizi nzuri za kupika
@@aromaofzanzibar izi ndiz gan mpenz
Asantee my nimepata somo
MashaAllah looks yummy wallahy.. shukran kwa mapishi hayo ila please ongea na sauti ya juu angalau tuskie kwa uzuri karibia Videos zako zote sauti yako ipo chini Yumma
Shukran, nitajaribu na labda pia uongeze sauti ya vifaa kwani nikisiliza naona sawa tu, shukran kwa kunijulisha
mashaallah! jazakallwah kheir
Arafs Aaa shukran, amin
Nimependa
Ahsante
I watched the video and a friend translated it. beef is the meat. Thank you
I have the same video in English as well
@@aromaofzanzibar thanks for recipe. Kindly share the link for English version I will like to try, thank you
@@mbengchristel6732 ua-cam.com/video/sP5UgQ3GFGo/v-deo.html
mashaallah mmy nzuri sana
Asantee saan my dear
nimependa sana hilo pishi la ndizi nitapika na mimi
Shukran
beautiful island Zanzibar
Nakupenda bure Habibty
mafunzo mazuri kweli
napind
Kwa mara ya kwanz nimejifunza pishi online na likatoka vizuri, dada ubarikiwe sana
Hongera
Shukran
Mimi napenda sana mapishi yako
Shukran sana kwa support
Shukran habbty yaonesha ziko taste
Huyo Dada napenda sautii yako
Hello sister.....Wow i am from Daresalaam I am so happy to see your site you cook excellent food. If you can show recipe ya boho bokho it's probably a Tanzania dish or an Arab dish. Thanks God bless.
Yes sister, thats in my wish list too. Its an Arab/Yemeni food adapted in many part of Africa as well. Thank you for the kind words
Aroma of Zanzibar
shukran sister.
You are welcome
nimezpenda
Ooh yummyyy our sister bless you always
Shukran dear
Nakupenda sana unafundisha vizuri
kwa hiyo sauti tu nimeshiba vizuri kabisa
Alaa kumbe, basi utakufa kwa njaa :)
sio utani, unaongea vizuri sana ,
naomba mapishi ya biryani ya mbuzi, nipo single najaribu kupika vyakula vya nyumbani
Ahsante sana
Biriani ya mbuzi bonyeza hii link hapa ua-cam.com/video/HS5Q50Y-u0k/v-deo.html
my favourite dish.... 😁
Mine too
Ashant Sister, Eid Mubarak .
Je naweza kutumia ndizi mbichi za kawaidha ? ama nilazima nitafute hizo ndizi special ?
let me know where are you I might be able to help you
MashaAllah
dada asante nilikuwa sielew napikaje ndiz
hizo ndizi zinakaa tamu .I will try that.
Mashaallah yummy
hi do you have this in english
Misbaah Gulamnabi Yes all my recipes are in both languages, here's the English version ua-cam.com/video/sP5UgQ3GFGo/v-deo.html
mashallah
Thank you darling
Shukran saaaaana..
sister what part of the beef are you using.
Not sure but ribs will or any thing with bones
nzuri sana
Yummy yummy food 😋 😋
You never dissapoint me😁😁 recipe ya ndizi za utumbo je ipo? 😘😘
Thank you dear, niipata fursa ya kupika nitaleta
Thank you so much God bless you
My pleasure, amin
I come from Germany and I don't know where to get this spices
Sheilla Adhiambo Are you referring to the tumeric, look for Indian stores they should have it
I love your UA-cam cooking videos.Good work.At least any time I watch the videos I end up learning a lot of new recipes.Are the bananas regular raw bananas?
Thank you so much, am glad to know that you are benefiting something. The bananas are not the regular bananas in raw state but if you dont have you can use the regular bananas in raw state I do too coz its difficult to get the the special cooking bananas if you are not in Africa , make sure they are completely raw
🤩🤩🤩🤩👌
asante ma
Nice
Thanks
it so yummy walahy
I wish ungekuwa na darasa huku dsm
Inshallah
Aroma of Zanzibar naomba maboga ya nazi
ام عبر الرحمن عبد الرحمن inshallah huku maboha mpaka miezi ya Oct Na Nov
Shukran
mashaallah
Asante sana
shukran nakupenda tuuu sana
Shukran sister , namie nakupenda
napenda sana mapishi yako dada,ila hapo umetumia ndizi za aina gani? mshale,bukoba au?
Ahsante, samahani sana ndizi za huku hazina majina , lakini kwa huko unaweza kutumia mshale
Aroma mbona sioni muhogo wa Nazi mpendwa metafutaaa sijaona ... Nahitaji🙋
Sijapata pata fursa ya kupika muhogo bado
Yummy