KACHORI ZENYE NYAMA NDANI😋 IKA MALLE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 270

  • @nuruhafidh3347
    @nuruhafidh3347 Рік тому +2

    Mungu akuongezee kipaji umetuokoa wanawake wengimno ❤️🙏

  • @zakariacharahani6709
    @zakariacharahani6709 3 роки тому +13

    Jamani umeniispire na mm nataka nifanye biashara ya bites....Mungu anisaidie kwa kweli🙏🏻

    • @nurdininanjota4056
      @nurdininanjota4056 Рік тому

      Naimani itakuwa umepiga hatua nakama bado wapi umekwama✌️

  • @azizaaboubakar5752
    @azizaaboubakar5752 4 роки тому +5

    Ika malle asantee sana kwa kutufundisha na mwenyezimungu akufanyie wepesi katk mambo yako yotee na nimependa sana hizi kachori hizo mm ntakula na juice ya baridii😋😋love you

  • @janeffermuthoni1059
    @janeffermuthoni1059 3 роки тому +3

    Just like that!!! Amazing cook. Nimejifunza kweli, will experiment over the weekend. Asante sana.

  • @peninaamour2802
    @peninaamour2802 4 роки тому +8

    We ni creative sana da ika hujawai niangusha kabisa😍😍

    • @Ukhtyzuhura
      @Ukhtyzuhura 8 місяців тому

      ni mbunifu maana tumezowea chapati za maji za kawaida na kachori za viazi tu....very creative❤

  • @jank3079
    @jank3079 3 роки тому +5

    I love Kacholi. Glad I have learned how to make it. I will definitely try to make

  • @salmasaid177
    @salmasaid177 4 роки тому +7

    Kamaji kadogo tu nmecheka kwa nguvu hahahaaaaa Leo lazima nipike hiyo asanteeee

  • @prissykil
    @prissykil 4 роки тому +14

    Linapokuja swala la kupika na kuelekeza ika you are the best mama🥰

  • @salhasaid9667
    @salhasaid9667 4 роки тому +2

    Waooooh Jamaniiii....Ntaweza kufunga vzr km hvy kwl...

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому

      Utaweza tuu.... wee jaribu

  • @addo1776
    @addo1776 4 роки тому +3

    Mashaallah kachor nzur tusipo jua kupika basi tena

  • @fatmafaki6163
    @fatmafaki6163 3 роки тому

    Mashaallaah, kinaonekana kitamu Ila Ungetafuta jina sio kachori za nyama

  • @priscaalex5294
    @priscaalex5294 4 роки тому +5

    Daaaa. Ni amazing sana dada anguuuu naisi breakfasts imetulia sanaaa kwa kachori asanteee kwa somo

  • @edinahmaganga2722
    @edinahmaganga2722 3 роки тому +1

    Jamani tam nimependa unaelekeza vizuri ubarikiwe sana👌

  • @patriciashokala9512
    @patriciashokala9512 4 роки тому +2

    Napenda kula na soda..hongera sana wewe ni mwal mzuri sana nimekuelew vzri sana

  • @annenamwanda8021
    @annenamwanda8021 3 роки тому +4

    Nimependa Sana, asente kwa Hilo funzo🥰

  • @zainabuissa9312
    @zainabuissa9312 3 роки тому

    Nakupenda wewe dada....umenielimisha sana yan saiv mambo ya jiko sipitwi ni kama nipike tu mda wote...

  • @kilifikenya2568
    @kilifikenya2568 4 роки тому +2

    Huku kwetu tukishatia nyama katikati twatia kwa mayai alafu twa choma....mashaallah😋😋😋

  • @neemamorice1999
    @neemamorice1999 3 роки тому

    Napenda kupika mnooo na video zako zinanifundisha mapishi mengii,, hongera ika

  • @florakibona8042
    @florakibona8042 4 роки тому +1

    Unaelekeza vizuri tofauti na wale Wa Zanzibar wanatuelekeza mambo mengi

  • @dianaspot4651
    @dianaspot4651 3 роки тому +3

    Pishi tamu... kwenye channel yangu nimepika chakula vingi but hii recipe bado, thanks nimepata idea mpya... jumamosi ntaweka hii video

  • @ashanaftali893
    @ashanaftali893 4 роки тому +1

    Nakupenda sana unaelekeza vizuri hongera sana ika Mungu akubariki sana

  • @dorisnanjala
    @dorisnanjala 3 роки тому +1

    Wow! Mate yanidondokaaaa aaaha

  • @fatmaali8451
    @fatmaali8451 3 роки тому +1

    NYC soooo delicious. Simple receipy. Allahu barik

  • @sekundaasenga2102
    @sekundaasenga2102 Рік тому

    Asante sana kwa mapishi mazuri ya kacholi

  • @trizermelow3527
    @trizermelow3527 3 роки тому +2

    Wow! Yummy yummy yummy 😋 I really like it 👍👍

  • @khadijabakari3407
    @khadijabakari3407 4 роки тому +2

    Waooo so yummy
    Me nkipata na juic langu zito la embe

  • @bingwainspiration
    @bingwainspiration 3 роки тому

    I love your easy descriptive style. Upishi ni kama sanaa, wataka ujuzi, ilimradi tuenjoy tunapokula si kutimiza kujaza tumbo tu. Ika, I love your presentations and every delicious outcome 😋. More power to you.
    Kaka Jeffa - Nakuru, Kenya.

  • @angelaluka433
    @angelaluka433 4 роки тому +4

    Ubarikiwe sanaaa Dada pamoja na uzao wako

  • @bernadettenyakundi3295
    @bernadettenyakundi3295 3 роки тому +2

    A must try i love this

  • @foodbae124
    @foodbae124 4 роки тому +4

    Umenifanya nmekua mpishi mzuri siku izi jmn 😍

  • @magdalenakiige3599
    @magdalenakiige3599 4 роки тому +5

    Uko vizuri mpz, unaelekezs vizuri hatari❤️ na vyombo vyako vizuri sana

  • @njambimwangi3260
    @njambimwangi3260 3 роки тому +1

    Wow I gonna try this one

  • @dianajohn8391
    @dianajohn8391 Рік тому

    Mummy nimependa hongera sana

  • @lynetetyang4814
    @lynetetyang4814 3 роки тому +5

    In love with this wow💓💓💓💓

  • @eliasjanuary1244
    @eliasjanuary1244 4 роки тому

    ika malle kwanza hongera kwa kazi nzuri kwa kuelimisha mapishi mazuri hizo kachori mwenzake juisi mama

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому

      Umeona eeeh 😋😋

  • @paulinemusyoki7542
    @paulinemusyoki7542 3 роки тому +4

    Wao. I gonna try this. ♥️♥️

  • @anansiauronu441
    @anansiauronu441 3 роки тому +1

    Thank you dear. Hivi kachori ndio katiles pia?

  • @ZalinaEdisoni-ey6gs
    @ZalinaEdisoni-ey6gs 10 місяців тому

    We unaelekeza vizul sana kuliko wengine ❤

  • @husnamkulila755
    @husnamkulila755 8 місяців тому

    Safii sana Ika male

  • @litowatown1553
    @litowatown1553 4 роки тому +1

    Ika kila unapo fundisha nikijaribu napatia yaan so amazing dear mungu akueke miak buku💕💕💕

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому +1

      Wooooow! Am happy nikisikia mtu amejaribu Na akapatia 🤚🏽 Inanipa moyo wa kufundisha, na ninaona Najitahidi kuelekeza Vizuri Pia.... Asante Mnooo

    • @litowatown1553
      @litowatown1553 4 роки тому

      @@ikamalle tnx darling mor lif mmy wang

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 4 роки тому +2

    Mambo poa da ika mashaallah

  • @hadaikaislamic5671
    @hadaikaislamic5671 3 роки тому +1

    Wow that's amazing

  • @saidatyshabani4824
    @saidatyshabani4824 4 роки тому +8

    You are something else ika ❤️❤️❤️

  • @JosephathumanHamis
    @JosephathumanHamis Рік тому

    Mh vitamu asante kwa kufundisha

  • @Donathamagwaja
    @Donathamagwaja 3 місяці тому

    Wooh meipenda hyo tafanya pia

  • @maryjohn9138
    @maryjohn9138 4 роки тому +1

    Jmn unaelekeza vzr sana ubarikiwe

  • @perpetualkitali2146
    @perpetualkitali2146 2 роки тому

    Hongera Kwa mapish

  • @CarosKitchen
    @CarosKitchen 4 роки тому +2

    Creativity mama hongera

  • @maryadriano7199
    @maryadriano7199 3 роки тому

    Napenda kula nishushie na juice nzr ya embe yenye passion

  • @mbokamwakaje3699
    @mbokamwakaje3699 4 роки тому +2

    Nakupendaga kwa sababu unajua kueleza vizuri sana

  • @ruthmangulu5040
    @ruthmangulu5040 3 роки тому +1

    Ur good at all very fantastic😘😘😘

  • @mariagaspar3590
    @mariagaspar3590 3 роки тому +1

    Hongeraaa mno unajua kuelekeza na nmelipenda pishi😍😍

  • @lizjane6837
    @lizjane6837 7 місяців тому

    Thanks. Have to try it

  • @hadijamuhunzi3779
    @hadijamuhunzi3779 3 роки тому

    MashaAllah unapika kiusafi

  • @rahimaaaaa5682
    @rahimaaaaa5682 3 роки тому

    Asante sn dada nlkua sijui kbs😋

  • @asherymbochela5373
    @asherymbochela5373 4 роки тому +3

    Napenda kachori na chachandu😂

  • @muniraramadhani9093
    @muniraramadhani9093 4 роки тому +1

    Nzuri nimeipenda ulipotea kidogo mpz

  • @robertnyawade2533
    @robertnyawade2533 2 роки тому +1

    safi mama

  • @stansiauisso5441
    @stansiauisso5441 2 роки тому

    Sante sana

  • @switmmy3717
    @switmmy3717 4 роки тому +3

    Mamy tuletee kupika chapati zenye kurasa

  • @gracekuria6333
    @gracekuria6333 4 роки тому +1

    Must try..thanks

  • @ashanaseeb2065
    @ashanaseeb2065 4 роки тому +1

    Unaelekeza vzr jmn mashaallah ikaa

  • @aishuusulesh8641
    @aishuusulesh8641 3 роки тому +2

    Mashallah mzr mm napenda n pilipl

  • @veronicawastara8026
    @veronicawastara8026 3 роки тому +1

    Asante kwa kachori nimependa

  • @issirmohamed8591
    @issirmohamed8591 3 роки тому +1

    I love it I will try

  • @quinteraziiza8536
    @quinteraziiza8536 2 роки тому +1

    Haki nitamu nimependa sana

  • @margrethkibaha8470
    @margrethkibaha8470 4 роки тому +2

    Asante,upo vizuri dada

  • @aminajuma7857
    @aminajuma7857 3 роки тому +1

    Jaman tamu sana

  • @rosemarysulle9288
    @rosemarysulle9288 2 роки тому

    Asnt Ikka kiukweli huwa nakuelewa sana.

  • @restutamushi9564
    @restutamushi9564 4 роки тому

    OOH! UKIIPATA NA MAZIWA FRESH MMMM AU JUICE

  • @خطوهالىالامامأفضلمنلاشيء

    عاشت الايادي ياورده 🥰👍🇮🇶🥰

  • @zamdaomary289
    @zamdaomary289 2 роки тому

    Wao safii tam

  • @lucywilson8755
    @lucywilson8755 2 роки тому

    Asante kwa somo pablica cjaielewa

  • @irakozekurusumu4223
    @irakozekurusumu4223 3 роки тому +3

    Napenda kula na sosi yamkaju

  • @marrykusekwa7374
    @marrykusekwa7374 3 роки тому +1

    Napenda kula na tomato

  • @MozaMnyimage-mt7fo
    @MozaMnyimage-mt7fo 8 місяців тому

    Asante nilikuwa cjui kupika kachori

  • @bethylinemgaya5426
    @bethylinemgaya5426 Рік тому +1

    Nimefurahia pishi hili nashushia na juice

  • @meirogger6282
    @meirogger6282 3 роки тому +1

    Na ukwaju😋

  • @zamzamabdullah9822
    @zamzamabdullah9822 3 роки тому +1

    Tuma my dear

  • @joyhb2441
    @joyhb2441 4 роки тому +2

    Kachori ya mayayi pls..kwa wasiyo kula nyama

    • @ikamalle
      @ikamalle  4 роки тому

      Just weka yai hapo kwenye nyama then ifunge taratibu... Huku unasubiria Recipe Yenyewe 😋😋

  • @suhanaali1270
    @suhanaali1270 3 роки тому +2

    masha'Allah ajab😘

  • @RoseNyanduru
    @RoseNyanduru 8 місяців тому

    Safi nimependa

  • @husnastivini5727
    @husnastivini5727 2 роки тому

    Mambo mamy nilikumic sana jamani napenda unavofundisha mapishi my

  • @husnaally998
    @husnaally998 3 роки тому +1

    Nimeupenda upishi wa kachori

  • @fatmakassim2231
    @fatmakassim2231 3 роки тому +1

    Nzuri mashaallah

  • @fo6638
    @fo6638 3 роки тому +1

    with ovacando juice

  • @janetsemahimbo8083
    @janetsemahimbo8083 Рік тому

    safiii

  • @hasnuuahmed9834
    @hasnuuahmed9834 3 роки тому

    new sbscriber mm napnd kula na chapat

  • @rehemamgaza4669
    @rehemamgaza4669 3 роки тому

    Safisana nitaanza sasa kujifunza nami

  • @rehemamalengas6677
    @rehemamalengas6677 3 роки тому

    Asante kwa somo nimelipenda

  • @AnythngnEvrythng
    @AnythngnEvrythng 8 місяців тому

    Love from kenya

  • @ishadaahir9958
    @ishadaahir9958 3 роки тому +3

    I'm trying this today 😋😋thankyou Ika❤️

  • @rashdothmn9377
    @rashdothmn9377 3 роки тому

    😘😋😋😋😋😋napenda kachor hatar

  • @ashasudi6750
    @ashasudi6750 4 роки тому +2

    Masha Allah yummy

  • @saumusimba1063
    @saumusimba1063 3 роки тому

    Kachori na juicy

  • @chany9950
    @chany9950 3 роки тому +1

    Nice

  • @RachelMwenzegule
    @RachelMwenzegule Рік тому

    Ubarkiwe dada nmejifunza

  • @elliotandrew3540
    @elliotandrew3540 4 роки тому +5

    Great 🥰

  • @chichasam9032
    @chichasam9032 4 роки тому +1

    Dah ningepata mke ka huyu

  • @tunumusic6210
    @tunumusic6210 4 роки тому +4

    ♥️ simple ,
    ..,,♥️♥️