Safi sana upo na kubwa la maadui Mkombozi wa wadudu wa chuga na mpigania haki 👊👊👊 Ahsante sana BUNDALA Kwa kuwapa MASELA wa chuga ushirikiano stahiki hamna ubaguzi mungu awabariki 🙏🙏🙏 JAAH BLESS SNS na pia nimeona umempa jamaa gwara Hadi nimefurahi kiukweli 👊👊👊
Huyu jamaa kuna namna nilikua naona kama msela mavi lakn leo ndio nimepata muda wa kutuliza kichwa na kumuelewa jamaa yupo really kinoma bou nako lord eyes niwatu ambao nawakubali sana
Mi nimemiss tu GPS sababu sasa hivi nimejifunza Lugha ya kijeshi kama Surrender,retreats,Incursion ,count attack ,buffoon,shelling,intercontinental ballistics missiles Na mengine mengi .Asante kaka sky ,DjSmaa ,kaka mwanuzi wakili na Ally Masubi mimi tayari ni mkufuzi wa Gps nachambulia masela vijiweni story za Russia 🇷🇺 naonekana msomi kumbe Zero tu 😂😂😂
Safi kunakuza akili yako ktk kujua ulimwengu na utambuzi was mamb yaliyo tofauti na mazingira yako na ujuzi wako, ww sio zero “ndomana umejifunza na ume master
Nakubali ule mchongo young lunya alibebwa tu kwa cypher!ila ile nafasi haki ingesimama,kina mex cortez,nikki mbishi,kina fresh like uhhh" wakazi,na wakali kibao,hakika heshima ingerudi nchini tanzania katika hiphop music
Fido nyimbo yako wew mshukuru rayvan tofauti na hyo nyimbo nyimbo gan unayoiliyoipita ya joh ip kua mkweli fido!na unahitaji kubadilika joh ni another level broo utokaaa ufikie level ya joh
Uyo mbuzi ni makuzi wa juzi tukichana ashoni ata kwa bunda la nyuzi ajiite mbuzi lakini sio goat 🐐 sio greatest of all time uyo lunya bishoo tuu ajui chochote mjinga mmoja tuu
Mtu anayejivunia ugomvi kwa kizazi hiki ni mwendawazimu. Kizazi hiki watu wanajivunia pesa, elimu na maendeleo. Ni ujinga kujivunia ugomvi na kupenda ugomvi.
Wewe inaonekana ndio mmoja kati ya maanadui zake Binafsi sijaona kama kuna baya kati ya alivyoongea jamaa anaoneka hapendi zarau na sio yeye hata wewe sizani kama utafurahi ukizarauliwa na hii Comment yako inafanana na ile ya Instagram wewe ni adui yake tu
Nimetokea kumkubali ghafla huyu mwamba new fan hapa 1❤
Safi sana upo na kubwa la maadui Mkombozi wa wadudu wa chuga na mpigania haki 👊👊👊 Ahsante sana BUNDALA Kwa kuwapa MASELA wa chuga ushirikiano stahiki hamna ubaguzi mungu awabariki 🙏🙏🙏 JAAH BLESS SNS na pia nimeona umempa jamaa gwara Hadi nimefurahi kiukweli 👊👊👊
Asante sana brother Sky, tunaisubiri GPS kwa hamu sana, big respect kwenu nyote kaka sky,sma,Henry na Masubi. Mnatuelimisha sana
Mtafute dizasta vina bro one love from kenya 🇰🇪 tunakukubali sana
Sure man
Napenda Sana Ujasiri Wa Fido Vato Hii Ndomaana Halisi Ya Mwanaume Kamili Ni Kuwa Jasiri Na Kujiamini ✌🏽
Fido bhana mojaaa daah aisee yule jamaaa kavunja nyumba nyingi sana za watu atakufa vibaya mamaeeee zake
Huyuu jamaa nilishakutana nae mara mbili arusha hapiti mtu bila kumsalimia ni m2 poa kinyamaa
❤❤❤❤❤❤❤
Sure
This dude humble but full of vibez
Nakubal sana chuga sawa VIDO Pamoj
Fido anamkubali sana Young Lunya hadi alifanya na Track kali tu. Shida Lunya hakuonyesha support yoyote kwa Fido wala hakutokea kwenye Video
Huyu jamaa kuna namna nilikua naona kama msela mavi lakn leo ndio nimepata muda wa kutuliza kichwa na kumuelewa jamaa yupo really kinoma bou nako lord eyes niwatu ambao nawakubali sana
Mi nimemiss tu GPS sababu sasa hivi nimejifunza Lugha ya kijeshi kama Surrender,retreats,Incursion ,count attack ,buffoon,shelling,intercontinental ballistics missiles Na mengine mengi .Asante kaka sky ,DjSmaa ,kaka mwanuzi wakili na Ally Masubi mimi tayari ni mkufuzi wa Gps nachambulia masela vijiweni story za Russia 🇷🇺 naonekana msomi kumbe Zero tu 😂😂😂
Safi kunakuza akili yako ktk kujua ulimwengu na utambuzi was mamb yaliyo tofauti na mazingira yako na ujuzi wako, ww sio zero “ndomana umejifunza na ume master
@@raheemsaleh14 kabisaa mkuu
Sky naomba umlete bongo zozo kwenye kipindi tumjue zaidi coz tunaona tu mtandaoni anavo itangaza Tanzania..
We jama umetisha Sana, umeongea mambo yangu 😂😂😂😂
Glad to watching ,i'm really enjoy the show😂
TUNATAMBUA CHUGA KWA SANAA!! From 🇰🇪.
I love Arusha 🔥🔥👌
Nakubali ule mchongo young lunya alibebwa tu kwa cypher!ila ile nafasi haki ingesimama,kina mex cortez,nikki mbishi,kina fresh like uhhh" wakazi,na wakali kibao,hakika heshima ingerudi nchini tanzania katika hiphop music
Sema sky anaenjoy sana kpga stry yan....stories af na hela
mwanangu wa SNS.... umetishaa saanaa kaka kumleta huyu jamaaa
Fido nyimbo yako wew mshukuru rayvan tofauti na hyo nyimbo nyimbo gan unayoiliyoipita ya joh ip kua mkweli fido!na unahitaji kubadilika joh ni another level broo utokaaa ufikie level ya joh
Vato atabki kuwa vato
Kashamba wewe
Fido vato kuna aja ya kufungu foundation kwa ajili ya vijana wa mtaa utakuwa msada mkubwa kuwafikia na kuwapa Elimu kwa ujumla...
ARUSHA YENYEWEEEE ❤
vatoloco soldiers sisi hapa....❤❤❤❤
HUYU JAMA KWA WATU WA SIO MJUA WATA ONA KAMA NI MKOROFI ILA HUYU JAMA NI BONGE LA MTU
Jamaa yuko very real Aiseeee mie huwa namuelewa sana mwanaume anatakiwa kuwa hivyo hapa kwetu Dar wanaume real kama jamaa hawafiki 10.
Really bro fido tutaleta fujoo laana yanii🦾🦾
Big up bro.nakukubali kinoma
uyu jamaa ni REAL HUSTLER
Uyo mbuzi ni makuzi wa juzi tukichana ashoni ata kwa bunda la nyuzi ajiite mbuzi lakini sio goat 🐐 sio greatest of all time uyo lunya bishoo tuu ajui chochote mjinga mmoja tuu
Kaka sky,tunamuomba DIZASTA PLZ
OYA MY BROTHER SKY FANYA MPANGO DIZASTA VINA AKAE KWENYE KITI HICHO
Hkika
We jamaa umewaza mbali sana@@CreatureIey-eh8nh
@@CreatureIey-eh8nhHAKIKA
Uyu jamaaa anapoint na anajielewa sana why asiwe mwanasiasa mbn Yuko Makin sana kichwan
mtoto mbuzi snichi sana watu hawajuagi tu,
Fidoo x Unjuuu we need big Dude💪💪
Mi sijaanza kuskiliza ila usimtaje kaligraph John's kwenye interview yako plz 🙏
Hana uwezo wa kumjaribu o.g bora aendelee kujipodoa tu ..mbona hao marapa hawakushirikishi wewe fido...
Amn interview ya Fido cjawah angalia.. anabongaga fact Sana uy mbajo wa mtaa ndo tunaelewa...
nimecheka sana sky bhn😊,,eti mtoto wa kitaa yule lunya,, from street kabisa yule😊
Kweli mkuu kama soo aupo akuna mtu kuodoka napesa apo chuga bora soo isifanyike iyo siku mkuu ihko wazi mkuu
Duh fido bwana noma sana
vato 👊👊👊
new genaration wanaznguaga mda mwingne kama joh makin na jay melody awap respect walio watangulia kwenye game
Honestly Guy🎉
Kumbe tz kuna ma real Gangsters kama Fido, ila mna tuleteyaga ma mbuzi wenye visu vyakukatia mboga 🤦
ℍ𝕦𝕪𝕦 𝕗𝕚𝕕𝕧𝕒𝕥𝕠 𝕒𝕟𝕒𝕘𝕒 𝕟𝕠𝕞𝕒 𝕜𝕒𝕓𝕚𝕤𝕒 𝕒𝕝𝕚𝕨𝕒𝕚 𝕤𝕙𝕦𝕜𝕒 𝕂𝕨𝕖𝕟𝕪𝕖 𝕘𝕒𝕣𝕚 𝕚𝕝𝕚 𝕒𝕡𝕚𝕘𝕖 𝕡𝕚𝕔𝕙𝕒 𝕟𝕒 𝕤𝕚𝕤𝕚 𝕕𝕒𝕒𝕙🎉🎉🎉
Hahahaa huyu jamaa noma sana. Ni lichuga hatariii
Uyo jamaa nae bangiii nyingi interview Zake kutwa kusema wengin
Sikiliza alichoulizwa acha wenge
Fido mtu na nusu ashafanya kujiamin ndo life style,Hayo ndo maisha maana tunaishi mara 1 afu tunapotea
jamaa anajiami mpaka nimependa
kwan arusha ni somalia ama vp
The OG must respected
Mojaaa anaichafua mahakama, sijui kwa nini Mahaka ya Arusha inafanya Kazi hili lijamaa
Respect 🖐️
Ni kweli Arusha sio poa utadjani sio bongo
et nampa kt anadoz sema nimegunduwa mojaa ni m;babe wa fido vato
Mojaaa na lord hanawaogopa
@@charlesndaki8376 kwishaa
Fido afanye wimbo na roma,lord eye's
Fidooo bonge la solder solder heavy
HUYU BISHHOO NA HILO PONYTAIL OG ATAMGEUZA AISHA HUYU
Ukitaka kujua Og hawesekani Africa, Huwa hajibu Hawa majama watanzania
Pamoja
👊👊👊👊👊king of chuga
Yani intaview yote anamponda king khaligraph mwanzo mwisho ...fido ni kama rosareee ...mkorogo king
Unamponda mbuzi mbona umemshirikisha kwenye ngoma yako
Fido vato vatolocoal soldier
❤❤❤family💞
Unatoanisha johnes sana but bado humfikii bro.
Wewe mbona weupe wako umezidi na taste za kidem...bro b humble ukona weaknss mob sana pia.
RAP ZAKO FEKI ZA BONGO USIZIPAMBANISHE NA OG.HUKO KWA HIO LEVEL BRUUH
Hapo kukatia bong😂😂😂Rappas wazamanijamani
Mtu anayejivunia ugomvi kwa kizazi hiki ni mwendawazimu.
Kizazi hiki watu wanajivunia pesa, elimu na maendeleo.
Ni ujinga kujivunia ugomvi na kupenda ugomvi.
😅😅😅Huna lolote we ni muoga Sana hii ni moja ya defance kwa mazoeazi wee una hela gan Sasa ukijisifia
Wewe inaonekana ndio mmoja kati ya maanadui zake
Binafsi sijaona kama kuna baya kati ya alivyoongea jamaa anaoneka hapendi zarau na sio yeye hata wewe sizani kama utafurahi ukizarauliwa na hii Comment yako inafanana na ile ya Instagram wewe ni adui yake tu
Whoouf
Hyo ndo mwamba.
Mm npo moshi ila akuna mtu nae mkubali kama fido vatu nimtu pisi sana Ana kwere namtu kila mtu kwake anma tano
Gangstar 💥🔥
Uwakika mkuu.fido vatu
Vato pamoja maanaaa
Interview ya kibabe sana big up
Huyu jamaa anajiona kama Easy E
Vatooo🔥✌️🤸
Kwa kuwa umekubali Nikki Mbishi ni rapa mkali💪
REALNESS
jamaa ni mchumba sana sema ni hizo tattoo
Uyu njama nmkali mno
Vato Loco✊
tpa ndichi iyo jambarika
Sikuzot ukiongea ukweli ukubalik
Si lazima upitie maisha magumu na yakiuhalifu ili uwe Rapper. Hapo Fido anaongelea Hate 😂😂
Mbna sky kama unaogopa kumwambia ukweli, mwambie OG ni mkubwa East Africa na unajua kila kitu 😂😂unajikunyata tu
Uyu jamaa namkubal ana misimamoo
Lunya he is from the street ghetto mikocheki mtoto wa kiwalani
Brother from street
🥰👌
fido anaonekana nimwenye ovu yamungu
Chuga ni ya king Eyez Lordy sio wewe mweupe tu
Acha kuangalia rangi
Duh😂 ila Fido nimkweli sana
Kuragwara fido,
Mojaaaa
self deface ni muhim sana nkkumbuka yle dereva wa mtei lazma mt ujikok zaid
Ana make sense sana huyuu
Eti! Pisi ya Baba😂😂
Maelezooo😂😂😂 daaa fido
Sisi hapa ndo sisi hapa sisi nasema…
Sema nn kaka ule ukuta wa mwanzo uko vizuri huu its just white