Hii interview Lord Eyez amekuwa free, charming and mtulivu, anaongea kwa kujiamini, kueleweka na kwa majibu sahiii, Pia Sky amekuwa presenta mzuri, amemuwekea uhuru, wa kujieleza na imekuwa poa saana.
Mwamba ni kweli, Kuna wakat bado alikuwa kwenye kipind Cha mpito,, Tuko maeneo ya Sanawari Bomani, Lord akapita Yuko stim kinoma alafu machizi tulikuwa tuna zipiga ngoma za N2N Huwez Amini jamaa alitupita kama mita kadhaa mbele alafu akageuza akaja tulipo, akatoa Tano ya kibabe Alafu akajisikilizaaaaaa akiwa amenata hiv,i akiwa every deep felling Alafu akatembea mbele.. Alituachia maumiv kinoma kila m2 alimuombea Atoke Alipo.. Leo Hii Yuko fit Dah watu wa ATown ni faraja kubwa sana...
Yah! Lordy Eyes is truly Hip_Hop, I remember him and Nako 2 Nako soldiers in via via 2008, with Mapacha wa Watengwa, those days since early 2005 N2N s was really Dem high, and truly Him was an icon, together with G Nako master press and Bu Nako. In combination big up to Nancy Sumari
Sema Nako 2 Nako walikuwa noma saaaana, Mchizi wangu remix walivuta wana hip hop wengi saaaana. Hawa jamaa wangekuwa na Manager mwenye maono makubwa enzi hizo wangekuwa on fire sana. Lord Eyez imekuwa poa sana kurudi kwenye hali nzuri.
@34:17 mimi pia HAWATUWEZI ni classic of all time, kwa wimbo huo heshima yangu kwa jamaa kwenye HipHop itasimama hivyo daima hata aje aaamue kuimba taarab.
Sky nilikua nawaza interview ya moto sana kwa hilo nakupa credit. But just a thought umeuliza maswali mengi mazuri nilitamani kama mixing mfano hawatuwezi uneweka ile nyimbo au video yake kipande kidg tu kukumbusha watu huku nyie mnaendelea na story. au hata beat tu hivi sio mbaya. Mawazo tu
Bahatika kukutana na mwamba kiukweli ukimpa hi nikama unajuana nae mwamba hawakuwezi naisikiliza huenda kila siku na mchizi wangu kila siku kila sikuu we ndio mchizi wangu
Hii interview nimeangalia zaidi ya mara tano na bado naiangalia!! Lod iz mnyamwezi sana the real definition of hip hop
Nimefurahi Sana Kumsikia Huyu Mwamba 💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼 Sky Unatupa Vitu Roho Inapenda.
Hii interview Lord Eyez amekuwa free, charming and mtulivu, anaongea kwa kujiamini, kueleweka na kwa majibu sahiii, Pia Sky amekuwa presenta mzuri, amemuwekea uhuru, wa kujieleza na imekuwa poa saana.
Mwamba ni kweli, Kuna wakat bado alikuwa kwenye kipind Cha mpito,, Tuko maeneo ya Sanawari Bomani, Lord akapita Yuko stim kinoma alafu machizi tulikuwa tuna zipiga ngoma za N2N Huwez Amini jamaa alitupita kama mita kadhaa mbele alafu akageuza akaja tulipo, akatoa Tano ya kibabe Alafu akajisikilizaaaaaa akiwa amenata hiv,i akiwa every deep felling Alafu akatembea mbele.. Alituachia maumiv kinoma kila m2 alimuombea Atoke Alipo.. Leo Hii Yuko fit Dah watu wa ATown ni faraja kubwa sana...
Some more million prayers to him and others
Mtu akiwa teja anazingua
nimekubali interview hii Lord Eyeze amechangamka tofauti na kwa mkasi alikua amepoa sana
Lord is such a great story teller
Lord Eyez ameni inspire san, big up sana kamanda
Yah! Lordy Eyes is truly Hip_Hop, I remember him and Nako 2 Nako soldiers in via via 2008, with Mapacha wa Watengwa, those days since early 2005 N2N s was really Dem high, and truly Him was an icon, together with G Nako master press and Bu Nako. In combination big up to Nancy Sumari
Kweli we jama wa walongi lazima unaijua kaloleni
Kweliiii
i think unazungumzia 2004 lbda nakumbuka watengwa na TGP walikuwa pamoja sana N2N ilikuwa kama imetengana nawenzao kulikuwa hakuna amani.
Kubwa sana
May God bless you Lord Eyes #TeamArusha
Noma sana tunasikiliza hii Hawatuwezi niko Shule msingi hatukuwqza tutawacheki mabroh nje ya Tz.
Nimependa hiyo kazi itakayokuja kati ya Lord Eyes na Nikki Mbishi.
Lord umefanana na hardmad
Big up bro kutoka Kenya apa si pingi yani nakukumbali saana 🙏
Bonge la interview..lord eyes mwamba wa kaskazin🙌
My favourite rapper aiseee, one day lazima one track inuke pamoja nae....
Sema Nako 2 Nako walikuwa noma saaaana, Mchizi wangu remix walivuta wana hip hop wengi saaaana. Hawa jamaa wangekuwa na Manager mwenye maono makubwa enzi hizo wangekuwa on fire sana. Lord Eyez imekuwa poa sana kurudi kwenye hali nzuri.
Namkubali sana Lord eyez toka kitambo👍🇹🇿.
Hii ni interview bora kabisa ya Lord
King Izzy, Izzy Nako,Lord Eyez! Real mcs
Wewe wewe mchizi wangu yeah Asante sky kw uyu mwamba
Nimeenjoy Sana Sana,lord eyez amejibu kiutu uzima sana
I can feel the Saigon spirit in him... Izy yupo very Hype humu!
Nimependa improvement kwenye lights bro Sky, respect to the team!
Lord wee king ukizingua unawazingua raia mtaani nakupenda bro since nakufunika
Lord nampendaga bonge la msela namuonaga TIPS havimbo kindesi
Bonge moja la interview 🙌 👏 👌 💪
Jamaa unajua sanaa interview zako ni nzuri sanaa na unajua sanaa vtu unahoj vtu unavyovijua kbsaa 🔥🔥 shoutout
Lord eyez is great of all time in chuga stan. Pleas my men fido be likr ya lord eyez
namkubali sana king izi azid kutoa kazi mungu ampe afya njema
Ukiupenda muziki, unauheshimu muziki.✊️
Leo umenikosha Sana bro kumuoji uyu KING
Ujumbe mkali sana upo mwisho wa interview
Noma sana brother wap but nako
Isaaa, u r always the best❤️❤️
@34:17 mimi pia HAWATUWEZI ni classic of all time, kwa wimbo huo heshima yangu kwa jamaa kwenye HipHop itasimama hivyo daima hata aje aaamue kuimba taarab.
This is hip hop, nakubali LORD EYES
Naaam, naam, Lordy Eyeezz Off Sirrr
Lord anajuwa kuongea point
Lord Eyez King
Oyo brother Isaac, good bless more brother
Interview nzuri sana aisee
Ma bounser ndio wanyonge wetu big up sana men
Baba hiyo song naikubali kuanzia hiyo beat mpaka lyrics yake...itabaki kama dhahabu hiyo song ..big up man
Mnyama Izi iko wazi 🔥
Mi wakwanza ni lord eyez then yaoung afcain. Ila mzee sarungi na mama tedi ni Mungu wangu
Namwitaga Fazaa namkubali Baba wa Ukoo nafurahi sana kumwona akiwa hapo alipo
Namkubali sana kaka na Nina rap verse yake yote
Good one,good kipindi kbs...
Hapo zamani kipindi cha ndio zetu.. nilikuwaga najua lord hana bandama yani nimtu ambae uwaga hachek kauzu balaaa.😀😀kumbe mchizi anacheka sana
Lodiiii geneous boy
Hapo kwenye Drugs mwisho msg 👏👏👏Nilitamani kusikia mengi alitokaje huko but anyway big up
Hii Content imeshiba sana iweke kwenyee podcast either Google podcast au Spotify
Lord mi napendaga vibe lako kwenye show ,Kuna Ile show big Sunday live uliuwaaaaaa
Nakubali verse yako Lord kwenye mchizi wangu remix, na Flow kali kwenye imeisha hio ft Ngosha !!
Isikilize tena kuna watuvwamezungunza zaidi ya mchizi wangu mada moja lakini wamezama zaidi. Bonge la dude
Lord the best storyteller
Kibatala big up
Mtu mnoma sna Mjengoni
Wooh what an interview..
Sky walker huwa nakufatiliaga Sana kila ukifanya kipindi hapo,unajua kihoji Sana mb zangu namalizaga hapo
Ngoma ya hatuwez nilikua nasikiliza nikiwa mdogo kulikuwa naikubar sana kwenye mabanda ya sinema
Eeeeasssy wa wazi🔥
Lordeyes wekeni makubariano sawa na fid mtuletee chakura cha ubongo kila mara naludia neno na blucrin
Bonge la Interview Terror Lord Eyes
Real Definition Of Hip-Hop... Izii
Madawa ya kulevya yaliathiri sana maisha ya huyu kaka
DRUG HAIONJWI🤝🤝.
Ungemuuliza kuhusu Bu Nako
Bonge moja la interview
Daa Yesu hana mbingu Lord ,,mbingu ni ya Allah pekee
Vile nliguza Link nlijuwa Ni DMX Wa East Africa huyu Jamaa namkubali:-sana since 2007
Hawatuweze kila sim nitakayo nunua lazima niwenayo iyo ngoma
Izzy mnyama sana jamaa amekua really sana
Ukisikiliza story za Wana hip hop kitambo wakimzungumzia P Funk Majani utagundua alikua n mtu wa Aina gani 🤣
He’s funny😅
King Eyez💪💪
Namkubali sana lordeyes
Sky nilikua nawaza interview ya moto sana kwa hilo nakupa credit. But just a thought umeuliza maswali mengi mazuri nilitamani kama mixing mfano hawatuwezi uneweka ile nyimbo au video yake kipande kidg tu kukumbusha watu huku nyie mnaendelea na story. au hata beat tu hivi sio mbaya. Mawazo tu
Tuleteee NIKKI MBISHI ANA EP YAKE INAITWA KIGU
Kama unafeel Hiphop basi we ndio mchiz we ndio mchizi waaangu..moja kati ya mistari aliyoipiga kiumakini sana Lord kipindi kile
Og lord
ukitaka kuona uso wa chizan search ngoma inaitwa HOI yupo na mwana anaitwa R.I.C #sky
Sky Nikki mbishi ana Ep Ep yake inaitwa KIGU tunaomba Umualike apo ina mawe ya kutosha
Nomah sanah
Fido vato kumbe mtoto mdogo tu kwa lord eyes
Nakukubari,
Chizan Brain👊👊.
Nimefulai kinoma
hawatuwez ft enika daaah eyez kafoka sana%
💥💥💥💥
King Eazy
Bahatika kukutana na mwamba kiukweli ukimpa hi nikama unajuana nae mwamba hawakuwezi naisikiliza huenda kila siku na mchizi wangu kila siku kila sikuu we ndio mchizi wangu
Iko wazi ezee
people,place &things
Misingi wabaki nayo wao sisi tumesha fika kwenye lenta nimependa hii🤣🤣🤣
Kaka najkuta nairudia marakwamara hii hapa nmeiba simu ya mke wangu niangalie tena
Afanye ngoma na ,rayvann, harmonise,darasa,nandy,hata diamond utakuwa juu jishushe tu fanya mziki kama biashara sio harakati
Woof woof woof woof woof
Keep it up master!
Sky big up brother kazi kubwa sana ila kuna jamaa huyu MAWENGE nae umchimbe kiundani maana ni mwamba hatari sanaaa
Huyo uliyekua unamsemea ni nani kaka
Wanatugongea ng'ora bana ile mida ... aaiisseee