MAARIFA ADAI KUWA, YOUNG LUNYA BADO ANAHITAJI KUKUA | SIO RAPA MKALI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 чер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 39

  • @fauboy7503
    @fauboy7503 11 днів тому +8

    Icho kidemu ni ki hater cha maarifa..😂

  • @Stevekapugi
    @Stevekapugi 11 днів тому +3

    🎉🎉🎉🎉🎉namkubali sana maarifa🎉🎉🎉🎉

  • @NurdiniMasudi-sp8mz
    @NurdiniMasudi-sp8mz 11 днів тому +4

    tufikie hatua tuseme ukweli Aisee maarifa umetisha ..good Explanation

  • @macochal4423
    @macochal4423 11 днів тому +2

    hahahahaha ila maarifa eti ndo utaftaji mambo yatakuwa sawa ..........respect sana mamen the big thinker umeongea bonge facts yan and all ov dem are de truth..

  • @snaidertv1857
    @snaidertv1857 12 днів тому +4

    Wote ulio wataja walikuwa najua kufreestye walikuwa wanajua had kuandika mistari

  • @richlord22634
    @richlord22634 9 днів тому +2

    Kwahyo Maarifa ndio anamulekeza Lunya nn afanye, ananichekesha sana😂😂😂, maarifa n mwana hip hop sio rapa, rapa lazima awe na flow za rap kama Lunya, alafu pia hip hop ya kizazi cha sasa haihitaji tu mwana hip hop inahitaji rapa, mtu yeyote anaeweza kutunga verse za kihip-hop anaweza kuwa mwana hip hop lakini kuwa rapa inahitaji uwe na flow za rap... Sasa Maarifa anaweza kutunga lakini hawezi kurap, kwenye nyimbo zake anaongea tu kama Mrisho Mpoto flow za rap hana, zero kabisa yani...
    Chengine Mbona Lunya alishaweka wazi ileile siku ambayo alikataa kufreestyle kuwa ameandika nyimbo nyingi tayari, zengine hajazi-release anahofia aka freestyle mistari ya moja ya nyimbo zake ambazo atakuja kuzirelease maana kaandika nyimbo nyingi hadi zengine hakumbuki utunzi wake aliandikaje.

  • @Vichuda_Tz
    @Vichuda_Tz 2 дні тому

    Huyo anapga trap then hyo Beat Ni Ya HipHop So Msilaumu sana

  • @Lins_I
    @Lins_I 2 дні тому

    Ndio maana hajautuna @YoungLunya bado anakua acha kumuekea class anaenda kwa kasi yake

  • @josephexaud4994
    @josephexaud4994 12 днів тому +2

    also ukiwa kwa media dada yangu ni better ukaficha upendo wako kwa lunya
    huwez mwambia artist it's better to be silent
    umenkwaza sana ety dis haina fact basi kama ni rahisi fanya wewe

  • @geeasap825
    @geeasap825 9 днів тому +1

    Uyo demu anapagawa na style ya young Lunya kwa sababu fan base kubwa ya Lunya ni madem, anasema mistari haina mashiko kwa sababu she's too soft kusikiliza punch lines hana uwezo wa kuprocess lines anazotema maarifa ila kuprocess soft ass lines za lunya anaweza maana ni taarabu style ya lunya

    • @barakayusuph4617
      @barakayusuph4617 9 днів тому

      anapenda nyimbo za young lunya kwa sababu yeye ni dem pia😂

  • @ramanine4768
    @ramanine4768 12 днів тому +2

    Mkn❤🎉

  • @FrankFidelis-bh3qs
    @FrankFidelis-bh3qs 9 днів тому +2

    Nilimweleza sana mbuzi na angetumia kuchan katika ile biti wange mwibia kweli mistari mbuzi kashawasoma vijana 😂😂😂😂 ila mbuzi ana uwa kinoma 😅😅

  • @muddytv1513
    @muddytv1513 12 днів тому +4

    Maarifa is real meaning UMETISHA.....he must grown up lunya

  • @user-cg3cm4qv4q
    @user-cg3cm4qv4q 7 днів тому

    Maarifa keeps staight on the point,

  • @jay-bblueband7140
    @jay-bblueband7140 12 днів тому +2

    Wakitoka malehem wot waliokufa wakal anafwat lunya

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 10 днів тому +2

    Mtu mwelewe amejibu vitu vyenye mashiko

  • @Mcsceo
    @Mcsceo 7 днів тому

    Acheni kuwa proko uchafu huu mariifa maariifs hivi unamzungumzia 🐐 upate mirage😂

  • @yubyplanetsua1971
    @yubyplanetsua1971 5 днів тому

    Namkubal sana maarifa

  • @donlinechanell4760
    @donlinechanell4760 12 днів тому +2

    Et mistari ya next project😂😂 umeambiwa free style sio project mashavu yale

  • @AziziAlly-xc6nm
    @AziziAlly-xc6nm 8 днів тому

    Nakumbuka freestyle ile walioifanya ndani ya treni akiwa lunya yeye maarifa na kontawa aliwakalisha wote wawili lakn leo anajifanya anamuweza😂😂😂

  • @GivenMwatebela
    @GivenMwatebela 11 днів тому +4

    Alichofanya Maarifa ni kuonesha uwezo wa Ku rap kwenye beat iliyomshinda Mbuzi

  • @maukilah8680
    @maukilah8680 12 днів тому +4

    Naomba like Zangu

  • @martynbarrack210
    @martynbarrack210 6 днів тому

    Alijiona mbuzi kwakushirikishwa kwa hennessy kumbe

  • @taaborafm
    @taaborafm 9 днів тому +1

    Maarifa ni muuaji wa kimya kimya he is a genious huyo lunya mwambieni aridi shule tena maybe somo la rap hakulielewa funs needs contents not swaggs only and being proud your self all over the moment mwambieni ukweli mkimpamba basi hatokuwa na muda mrefu kwenye game

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 11 днів тому

    Naona unju hatakiw kupewa airtime wakat ndo freestyler mkali

  • @taojuma3277
    @taojuma3277 12 днів тому +2

    Huyu demu mtangazaj bwabwa tuu

  • @manenoramadhan1432
    @manenoramadhan1432 4 дні тому

    Hip hop ni mmoja tu aliebak ni chidbenz sasa hizo elim mnazotaka huyo maarifa bado mdg sana

  • @maliganyakanuda
    @maliganyakanuda 9 днів тому

    Uhakika kabisa

  • @MackameHassani
    @MackameHassani 6 днів тому

    Huyu nae pimbi tuu simuelewagi mm

  • @Mrlucas-ic6ks
    @Mrlucas-ic6ks 2 дні тому

    watangazie

  • @hamilmody1940
    @hamilmody1940 11 днів тому

    Uyo mtangazaji dem kum* kwel mtu kashindwa afu unasema so km kashindwa kafanyaje sasa anamtetea au basha ake

  • @mohamedmtenjera1990
    @mohamedmtenjera1990 9 днів тому

    Lunya pesa mbele san

  • @emmanuelnkwabi8610
    @emmanuelnkwabi8610 10 днів тому +2

    Maarifa akili nyingi mpumbavu hana jambo kashindwa kupita na mdundo

  • @careenRenatus
    @careenRenatus 12 днів тому +2

    Alitia aibu mbuzi,