Hongera sana kaka hii filamu inazungumzia hali halisi ya maisha ya sasa wanawake walio wengi wanakuja kwenye ndoa si kwa ajili ya mapenzi bali wanakua na malengo yao binafsi..
Hongera sana Adam kwa ujumbe wako juu yetu sisi vijana najifunza vitu vingi sana kupitia kazi zako zote nazipenda sana ❤❤❤❤ endelea kutukomboa kwa busara zako na kazi zako nakutakia kheri ya kazi njema kwetu sote watazamaji wa Adam Leo
Yaani kama ningeulizwa best actor East Africa ni nani basi ningejibu ni Adam Leo🎉🎉🎉bro wwe ndiwe mtu bora Tz unae elimisha jamii kupitia move zako. Wwe ni mtunzi bro kazi zako ni safi. Tunaona mambo ambayo yanatutokea katika maisha yetu ya kila siku. Hongera kka Adam 🎉🎉🎉🎉
Duuh move tamu sana ila km kun watu wanafanya hivi kweli unasindwa kuwa na maamuzi yako mpk umsikilize mzazi duuh hapa na kama MTU unaweza fosi kuolewa na mtu kwakumtamani2 kisa tajiri aseee duuh mm ht kwetu paweje siwez fanya hivyo pia mama yangu hawaezi fanya upuuzi huuuu duuhkama kujizalisha ty
Kitu kikubwa sana , nimejifunza kupitia hii movie, Noma sana 💯💯💯 UKWELI NI KWAMBA, NIKIJIPATA SIWEZI KUWA NA MWANAMKE ASIYE JIPATA. HONGERENI SANA , LETE NYINGINE.💯💯💯 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
@@AdamLeoStudiosyaeh for sure you are replacing the legend Kanumba....you are acting what is going on in the today's world.....Am watching one after the other ❤❤🇪🇰🇪
Kaka hii imeendaaaa, hongera xana kwa kaz nzur wanawake wa tabia kama hii nmewengi sana wanakuwa hawana upendo wa kwel bal wanaangalia pesa tu, ila naamn atakuwa mjumbe wa wanawake wengne upewe maua yako kaka🎉🎉🎉🎉
Nmechelewa sana kuzijua mov zako ila kwa hapa nilipofikia nmejifunza meng kupitia wew na pia bad naendelea kila mov yako lazima niipitie asant mno mung akupe afya njem uish miak mingi❤❤❤🎉
@@AdamLeoStudios Asante sana pia nawashkuru kwa kazi nzuri yenye mafundisho kwetu maishani zidi kubarikiwa sana kaka yetu tuko pamoja twakupenda mnoooo
Mashaallah ujawai kubatisha yani unajua unajua tena ongera sana🌹🌹🌹🌹🌹tuko pare tunausubiria mzigo mwengine tunauitaji kubwa kuliko MUNGU akutangulie kwenye kazi zako 👏
Adam hongera Sana Kwa hii kazi imetufungua sana Vijana kunae mambo mengi tumejifunza Hakka you the best 🔥🔥🔥🔥 Adam Leo 🇹 grown up worldwide @balogeTv Life education
Hii family kiboko brother wangu nakukubali xana kutufunza mengi very nice 🎉❤❤❤❤❤❤ naomba hata niwe mwenye family yko unaroho nzuli ila walimwengi ndo wabaya 😂😂😂😂
Napenda saut yako uje ufanye na utangazij vpind vya ucku ntakufa nafanya Kaz ya kukuckiliza tu adam wangu mungu akutangulie kakaangu unatufunza meng mazur
Mie nimezaa na Mswahili Najutia muziki wake,hii ni True stori! mwanamke anakuwa na walimu wengi mno na Hela ndio salamu zao wakiona hutoi wanaanza ushirikina
From Kenya mombasa kitaa bombolulu 🇰🇪 Aki ndo kuimaliza walai hii Kali Sana nipeni like watu Wangu Wa kenya.....
Shukrani
Ukipata izo like ndio utakula ushibe
@@yusuddalila-ob4vb 🤣🤣🤣🤣🤣 aky ww huenda atashiba maana si Kwa kuzitaka huko
Hahaha
Jamaniii
Hongera sana kaka hii filamu inazungumzia hali halisi ya maisha ya sasa wanawake walio wengi wanakuja kwenye ndoa si kwa ajili ya mapenzi bali wanakua na malengo yao binafsi..
Umeona eh! Asante sana
Hongera sana Adam kwa ujumbe wako juu yetu sisi vijana najifunza vitu vingi sana kupitia kazi zako zote nazipenda sana ❤❤❤❤ endelea kutukomboa kwa busara zako na kazi zako nakutakia kheri ya kazi njema kwetu sote watazamaji wa Adam Leo
Shukrani kwa kuliona hilo.
Hii family ni shida,Adam mdogo wangu ongera sana kwa hii movie.
Niatari nimecheka mwenyewe,😂😂😂😂 ❤❤❤❤❤
Asante sana kaka endelea kufurahia kazi zetu.
Yaani kama ningeulizwa best actor East Africa ni nani basi ningejibu ni Adam Leo🎉🎉🎉bro wwe ndiwe mtu bora Tz unae elimisha jamii kupitia move zako. Wwe ni mtunzi bro kazi zako ni safi. Tunaona mambo ambayo yanatutokea katika maisha yetu ya kila siku. Hongera kka Adam 🎉🎉🎉🎉
Asante sana kaka, nashukuru mno.🙏
😂😂😂 Adam nakukubali kinoma yani nipene like atamoja basi
Endelea ku enjoy
Haki ya Mungu Adam leo unanifunza mengi kwa filamu hii nzur keep up the good work
Shukrani sana sana🙏🙏
Duuh move tamu sana ila km kun watu wanafanya hivi kweli unasindwa kuwa na maamuzi yako mpk umsikilize mzazi duuh hapa na kama MTU unaweza fosi kuolewa na mtu kwakumtamani2 kisa tajiri aseee duuh mm ht kwetu paweje siwez fanya hivyo pia mama yangu hawaezi fanya upuuzi huuuu duuhkama kujizalisha ty
Much Respect Team Adam Leo ❤❤❤❤❤ Manshaallah Kazi Nzuli Sana Mubarikieeeeee ❤❤❤👏👏👏👏🌹🌹🌹🌹🌹🇧🇮🇸🇦
Asante mno
Movie Kali sna ndo kuimaliza kaka Adam ubarikiwee Sana na Mzee wako mwenye husia mzur ❤
Amen
Adam hongera sana na wote walioigiza kwenye filamu hii
Asante sana.
Kitu kikubwa sana , nimejifunza kupitia hii movie,
Noma sana 💯💯💯
UKWELI NI KWAMBA, NIKIJIPATA SIWEZI KUWA NA MWANAMKE ASIYE JIPATA.
HONGERENI SANA , LETE NYINGINE.💯💯💯
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hahaha dah jamani.
Ongera kbsa Bro wangu kwa hii filamu mpya 🎬 fashion nzuri, location nzuri casting supa❤❤ congratulations ☄️ Big Bro.
Shukrani
Yani wewe kaka unajuwa kuhigiza sana yani apo nilazima upewe Maura yako🎉🎉🎉❤❤❤Nakupenda sana kaka yangu
Asanteee
Uhalisia umezingatiwa sana acha nilike 👍👍👍👍👍
Shukrani sana
Hapana ndoa apo asante kaka adam tumejifunza🎉🎉
Asante endelea ku enjoy🙏🙏
😂😂😂 adam hiyo family haikufai kabisa .❤to much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪lakes japo 10
Shukrani sana
Asante sana Adam umetufundisha mengi sana mungu aku bariki uendelee nawapenda sana ❤❤❤❤
Amen
You took the place of the rate Kanumba,,,,am madly addicted to all your movie's, much love from Kenya ❣️🥰❣️🥰❣️❣️🥰
Jamaniii, asante nashukuru🙏🙏❤
@@AdamLeoStudiosyaeh for sure you are replacing the legend Kanumba....you are acting what is going on in the today's world.....Am watching one after the other ❤❤🇪🇰🇪
Thanks a lot, I appreciate🙏🙏
Adam wemkali kaka hongera umewazidi wote kaka, mungu akuweke mpaka uzeeni kaka
Ameen
Kaka hii imeendaaaa, hongera xana kwa kaz nzur wanawake wa tabia kama hii nmewengi sana wanakuwa hawana upendo wa kwel bal wanaangalia pesa tu, ila naamn atakuwa mjumbe wa wanawake wengne upewe maua yako kaka🎉🎉🎉🎉
Shukrani sana🙏🙏
Nashukuru kuna kitu kikubwa nimejifunza kwakweli😊 nawapenda sanaah
Asantee sana jamani.
Kaka adam for realy nimependa kaz zako nataman kufanya kaz na wewe sana brooh nimejifunzaa vingi kwako naomba tuwasiliane zaid
0652393960 whatsapp
Napenda sana ukicheza move adam wewe kama ww jmn napenda jmn
Karibu jamani🙏
Nacheka kama mazuri yani movie imenifurahisha sana
Acha kabisa, endelea ku enjoy.
Nimecheka yangu yote apo pakuomba efu 6🤣🤣jamani wanawake wakisasa 😢 ila siwote asante kaka Adam na kundi lako kwa mafunzo mazuri munatupatia❤🇧🇮
Asante sana shukrani kama ume enjoy.
Niliwahi kukuuzia bidhaa kariakoo long time saivi Nipo japan
Nashukuru sana na Mungu akulinde huko ulipo!
Daah nimejifunza kitu ahsante Adam kazi mzuri sana hongera unajua na unajua tena
Asante sanaa
🙏🙏
Pamoja sana kaka Adam tuko pamoja mwanzo mwisho kukusapoti
Shukrani sana.
Congratulations bro adam nimejifunza kitu apo
Shukrani
Asante sana Adam kwa mafunzo Yako kupitia filamu hii nzuri sana. Hongera sana. Kutoka Kenya unapendwa sana.
Asante sana, nawapenda wa kenya.
@AdamLeoStudios is the best 🎉
Thanks a lot🙏🙏
Hongera Sana kwa filam kk engeza ubunifuu filam kaliii saan tuko pammojja unaweza kk Kabisa ww unaweza kuchukua urith wa kanumba kk
Shukrani mno🙏🏻
Masha Allah 🥰 Adam hongereni.. 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤saana kwa Movie nzuri..❤❤❤
Asante sana sana.
Nmechelewa sana kuzijua mov zako ila kwa hapa nilipofikia nmejifunza meng kupitia wew na pia bad naendelea kila mov yako lazima niipitie asant mno mung akupe afya njem uish miak mingi❤❤❤🎉
Asante sana
Umetisha kakangu unyama mwingi nakukubali sana uko juu tena sana pamoja na team zima congratulations 👏👏👏❤❤❤🎉🎉🎉
Shukrani sana, we appreciate🙏🙏
@@AdamLeoStudios Asante sana pia nawashkuru kwa kazi nzuri yenye mafundisho kwetu maishani zidi kubarikiwa sana kaka yetu tuko pamoja twakupenda mnoooo
MashaaAllah funzo nzuri Sana ktk maisha
Asante sana
Asantee sanaa kaka adam kwa movie zakoo nzuriii najifunzaaaa mengi kuptiaaa weeee,,, Allah akujalieeee kherii kaka🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Ameen
Bonge la move yenye mafunzo mazuri ndani yakee,,,Hongera sana Adam kwa somo hili ulilotupa kwenye muvi hii
Nashukuru sana, na nimefurahi kama uneipenda🙏
Kazi nzuri
Adamu good up
Swadakta kaka chenye nakupendea you have never disappoint ulisema unawachia filamu tarehe moja mara pap! anyway barikiwa sana kaka.
Shukrani sana
Adam big up sana tunajifunza kupitia movie zako
Asante sana
Aaaa😊😊😊Adam mpe vidonge vyake. Mwangali sura yake imemshuka❤❤😂😂😂.mnafki huyo ni nyoka.
Kabisa kabisaa umeona eh.
Movie 🎦 yenye somo muhimu sana. Hongera sana Adam Kazi nzuri
Shukrani sana, asante kwa kulipata somo.
Nakupenda xana Adam, kwa movie zko nzuri❤❤❤❤❤
Shukrani sana.
Movie nzuri nimeenjoy adam usichelewe basi kutupa kazi mpya
Sawa ondoa shaka🙏
Yani Adam hongera sana hii imenifunza..nimejua usipokua mvumilivu bahat inakupita..jaman Adam apewe mauwa yake🎉🎉🎉🎉
Asante sana
Kaz nzur adamu next plzzzzzzzz🎉🎉
Sawaaa
Hakika kazaliwa kanumba kwa mara nyingine kaka hongera Mungu akutunze ww na kizaz chako ❤
Amen
Kazi nzuri sana hongeren nyote🥰
Shukrani sana
Yani sijuwi niseme aye ila adamu mungu akupe maisha malefu mungu akubariki🇧🇮❤❤❤❤❤
Amen
Movie zako ni zuri sana Adam. Hongera sana
Asante sana
Ooooh kweli kazi ni nzuri saana hakika najifunza saana kupitia kazi zenu. Mungu awabariki saana
Ameen🙏🙏🙏
I appreciate your job brother and I pray for god you have still alive forever because your a good leader Broo👊
Thanks a lot, I appreciate.🙏
Hongera kk nisalimie kishoka wa kariakooo
Sawa zimefika
😂😂safi bro
Shukraniii
Shukranii
Mashaallah ujawai kubatisha yani unajua unajua tena ongera sana🌹🌹🌹🌹🌹tuko pare tunausubiria mzigo mwengine tunauitaji kubwa kuliko MUNGU akutangulie kwenye kazi zako 👏
Amen🙏🙏
Nzuri sana💯💯💯💯
Asante sana🙏
Yan hii movie nizuli mnoo imenifundisha kwel Adam leo mungu akubalik sana
Asante sana🙏🙏
😂😂😂😂 hapana kwa familia hii Mungu tusaidie, aisee Adam pole 😢😢😢
Asanteee🙏🙏🙏
Adam hongera Sana Kwa hii kazi imetufungua sana Vijana kunae mambo mengi tumejifunza Hakka you the best 🔥🔥🔥🔥
Adam Leo 🇹 grown up worldwide
@balogeTv
Life education
Shukrani sana mzee.
Adam you never disappoint 😅😂😂😂 Sio kwa familia iyo toba 🎉❤❤
Acha kabisaaa.
Katika muvi zako zote Hii naipa namba uno 🎉👍🏽👏🏽
Shukrani
From Switzerland 🇨🇭
Asantee
Nipo Mozambiki,nafatilia sana bio zako na inaleta mafunzo mengi kwa Jami,kazi njema😊
Asante
I appreciate & BIG salute my brother 4 a wonderful story kwa kweli tuna enjoy be blessed
Thanks a lot aisee❤❤🙏
@@AdamLeoStudios you're welcome
Hii family kiboko brother wangu nakukubali xana kutufunza mengi very nice 🎉❤❤❤❤❤❤ naomba hata niwe mwenye family yko unaroho nzuli ila walimwengi ndo wabaya 😂😂😂😂
Asante sana na una karibishwa🙏🙏🙏
Wow, nice Movie ❤proud of you Adam
Much love from Uganda 🇺🇬, nakupenda sana Adam 🙏
Asante sana nashukuru🙏🙏🙏
Adam Leo hapa umeweza kaka Nikutakie mfundi mzuri wa kaz kaka mungu akupe maono zaid
Shukrani sana
Mwanamke unatakiwa kuwa na subra,,,busara,,,mcha Mungu ndoa yko itadumu
Umemaliza hujaacha kitu🙏🙏🙏
Wow I’m watching from Finland 🇫🇮 good job nimejifunza sana katika i movie ❤😢❤
Shukrani
Napenda sana ,like from Dr Congo
🙏
Napenda saut yako uje ufanye na utangazij vpind vya ucku ntakufa nafanya Kaz ya kukuckiliza tu adam wangu mungu akutangulie kakaangu unatufunza meng mazur
Jamanii, asanteee🙏🙏
Waooo kazi zuri🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana🙏
Wow ,wow it's so nice congrats bro napenda kiswahili yko unavyo ongea , lovely kenyan
Asante jamani
Kaz nzuri kaka naikumbali Sanaa ❤
Asante sana, nashukuru.
Hii nayo umeweza nimejifunza kitu leo I salute you bradha
Shukrani sana sana.🙏🙏🙏ni furaha yangu kama umejifunza.
Waaooo Adam leo kazi zako safi sana twakupenda sana Big love ❤️ ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Thanks a lot🙏
@@AdamLeoStudios yan nakupendaga san we.kaka kwaza unajibu coment apo tu unanikosha huna dharau yan nakupend san chapili kaz zako ckosag yan
Shukrani sana, hakuna mimi bila ninyi.
Good movie🥰hujawah kukosea adam
We jamaa bonge moja la muigizaji utafik mbal sanaa nafurahia sana movie zako bro adam leo
Shukrani sana na asante kwa kutazama🙏🏻
Mie nimezaa na Mswahili Najutia muziki wake,hii ni True stori! mwanamke anakuwa na walimu wengi mno na Hela ndio salamu zao wakiona hutoi wanaanza ushirikina
Jamaniii, pole
Hongera. Adamu. Ukovizuri. Na. Movie zako. Aisee. Nakukubali. Umepoaaa. ❤❤❤❤❤❤❤❤
Asanteee
Shukrani
Kazi unayo Adamu upende usipende utamuoa
Nimeyatimba😊
@@AdamLeoStudios haswaaaa
Mimi Huwa nakupenda huwa
Unajimbiya comment good job ❤❤❤❤
Shukrani sana
❤️❤️❤️from🇧🇮
❤❤❤asanteni
Nimependa hio.... Adam upo sawa
Shukrani
Unazingu bro but am happy sauti tuongezee❤❤❤
Sawa sawa🙏🙏🙏
mamamkwe na shimegi yako ufudu Adam kazi unayo niujipange kiakili😂😂😂❤❤❤
Hahahaha 😂😂😂😂 bada ya ufudu ni udufu hahahahahahaha😂😂😂😂nainjoy kweli
Hahahha jamanii
Nice one bro..Exclusive 🎉🎉🎉🔥👌💯👍
Thanks 🔥 for watching
@AdamLeoStudios fan number wahed bro.
Hehehe bro Adam wapitia mengi wallah ingekua mm sjui ingekuaje
Yaani
Good job bro
Thank you so much 😀
Kazi nzuri sana my brother Adam napenda Sana movie zako my brother ❤❤
Asante mno
Tobaaah 😂😂singeli eti dulla makabila😂😂😂😂
Yaani ana balaa huyu dada🤣
Balaaa zito hasaaa chezea mtoto wa mbulahati 😂😂
Upo vizuri Sana adamu mungu akuweke miaka100000000000000000 nakupenda sana❤❤❤❤❤❤❤
Asante sana jamani🙏🙏🙏
Good work my brother ❤❤ love from Kenya
Thank you 🙌
Daaaa kaka yangu hupo sawa kabisa nakukubali na napenda sana filamu zako, i'm Congolese 🇨🇩
Shukrani sana sana.
Great job❤❤❤
Thank you so much 😀
Great job 👍 Adam nimejifunza kitu kwa hii filamu❤❤
Shukrani kwa hilo
Napenda jisi huyo mama anavyoplay part ni professional actor hajawahi lose
Yah, ni kweli kabisa asante kwa kutazama.
Kk hongera sana tena sana mungu akubarik yan bong la movie
Shukrani
Adam kazi nzuri, ila ukweni kwenu ni to much 😁😁
Ukweni huku ni moto😂😂😂
Congratulations brother adamu unastahili maua yako broo mwenyezi mungu akujaalie zaidi
Ameen🙏🙏🙏
🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Nimeiachia usiku wa mananeee😂😂😂😂