LAANA | Full Movie

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 вер 2024
  • LAANA - Filamu ya MAPENZI | 2024 Swahili Movie | Adam Leo Bongo Movie
    Filamu ya LAANA inamuhusu kijana Adam ambaye anateseka na Laana aliyoipata kwenye maisha yake, hivyo kupelekea kupoteza kila mimba anayompa mke wake.
    Fuatilia kisa hikicha kusisimua ujifunze vingi kuhusu maisha.
    DO NOT FORGET TO HIT THE NOTIFICATION 🔔 BELL ICON to STAY NOTIFIED ON ALL OUR NEW MOVIES.
    #laana #bongomovie #filamumpya #swahilimovies #2023movies #adamleo #adamleobongomovie #filamuyalaana

КОМЕНТАРІ • 574

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  4 місяці тому +5

    Filamu mpya hapa👇👇
    ua-cam.com/video/vG5vlq4Y4Jc/v-deo.htmlsi=PNBC88RujJo7Zurl

  • @MoscahLineTv
    @MoscahLineTv 5 місяців тому +16

    Mkono wa tahania kaka🤝kwa amali hii ya kupendeza. Manani akuzidishie neema na baraka mpwito👌..,.. endelea kupaa ktk 🇰🇪🇰🇪

  • @Thumaommy
    @Thumaommy 4 місяці тому +5

    Jaman wapi team strong ...njooni muone Adam huku na team yke ❤🎉🎉🎉 much love 4rom saudi...Allahu barik kazi yenu ❤❤❤🤲

  • @mezadawa5306
    @mezadawa5306 4 місяці тому +7

    Laana inashika kwenye uhalisia wa jambo , mwishoni mwa filamu hii nimetokwa na machozi , Hongera sana ADAM LEO ...

  • @irenewavinya6961
    @irenewavinya6961 5 місяців тому +9

    Yaani sai ndo naamini yupo mwingizaji aliyetolewa na Mungu kumreplace our late kanyumba,, Adam unaenda bali na nitakukubusha hili after 5yrs to come,, Mungu atupe maisha marefu, nakukubali sana

  • @AdamLeoStudios
    @AdamLeoStudios  5 місяців тому +3

    Filamu mpya utazipata hapa👇👇hakikisha una SUBSCRIBE
    youtube.com/@HalisiFilm?si=mOhLwwetVC3MozN7

  • @LuluJuma-tt8hv
    @LuluJuma-tt8hv 4 місяці тому +3

    Jamani msalimieni huyo mzambia mwenzangu mwambieni ndemuposha sana lesa ampale tukamonane

  • @saidiabdalahshabani941
    @saidiabdalahshabani941 5 місяців тому +5

    Adam hii move imetulenga sis wanaume hakika tunachakujifunz apa kwenye hii move bg up broo kwakutuletea movie Kali 🙏

  • @victormathu6689
    @victormathu6689 5 місяців тому +5

    Inaelimisha....Kazi safi kaka Adam....victor from Nairobi, Kenya..

  • @MaruraZawadi
    @MaruraZawadi 5 місяців тому +6

    Jamani watazamaji wenzangu tulike pia

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  5 місяців тому +2

      Shukrani kwa kuwakumbushaaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @OmariMfuko
    @OmariMfuko 5 місяців тому +2

    Picha kama hiz hazi fai zakuza lilisha wanaume hazifai

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  5 місяців тому

      Inaonekana kama umeoa mkeo anapata shida sana maana hupendi kuambiwa ukweli! Huo ni MFUMO DUME na utakuja jutia siku moja!

  • @Vers456
    @Vers456 5 місяців тому +1

    Broo uko vzr uki act roho mbaya mpaka unakera jinsi ulivyomfanyia huyo mwanamke duuuh

  • @FatinaSungu-l9k
    @FatinaSungu-l9k 4 місяці тому +3

    Nakuvisha taji la ushindi Adam u killed it😊🎉 but movie yako mpya itatoka lin?

  • @IsmailMaulidi
    @IsmailMaulidi 3 місяці тому +2

    Ndarama first brother huyo mzambia ameplay part yake 💯 kazi nzuri brother

  • @TharcisseMinani-sn2ui
    @TharcisseMinani-sn2ui 4 місяці тому +1

    Afazali unapata ujyauzito, je waliokosa hata ujyauzito ? Wajyiuwe? Ebu jikaze

  • @JaliaJj
    @JaliaJj 2 місяці тому +1

    Adam,ukipenda,kweriunapendavuzuri,iraukimkatamutu,dah

  • @ZenaKambi-d6n
    @ZenaKambi-d6n 5 місяців тому +2

    Wanawake wafupi wamefikwa 😂😂😂

  • @Matrix-b1t
    @Matrix-b1t 5 місяців тому +1

    Sitaki kuona picha ya mwanamke akipigwa na kuteswa, hivyo nimebadilisha channel.

  • @AbdallahMalunga
    @AbdallahMalunga 19 днів тому +1

    Kaka wewe ni wa tofauti na wasanii walio wengi umekuwa ukitoa kazi zote za kuelimisha jamii tena uko kihalisia kabisa nakutakia kheri nyingi na usibadilike ukafanya za kishetani .

  • @ZalhaMustapha-yj4os
    @ZalhaMustapha-yj4os 2 місяці тому +1

    Ki ukwel cna Cha kusema Zaid ya kukupa maua Yako2 🌹🌹🌹🌹🌹na hongraa sanaaa

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 5 місяців тому +1

    Adamu!! Ulitoa miba kwa mikono yako mwenyewe!! Hlf saa hii unataka mtoto?

  • @MargaretPendo-t7w
    @MargaretPendo-t7w 4 місяці тому +3

    Kazi nzuri sana Adam hongera sana ila nifunzo kwa wengine

  • @jacklinepeter4158
    @jacklinepeter4158 5 місяців тому +1

    Adam umenidhawishi kunyoa dongo kama wewe😅😅😅

  • @Saidahkims
    @Saidahkims 2 місяці тому +1

    Naombeni siku Moja ata mtuonyeshe hio makande tuyajue

  • @MozaFoum-yg9he
    @MozaFoum-yg9he 4 місяці тому +1

    Umetugusa weng tulofanyiw ukatili km huu dada 😔

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 3 місяці тому +1

    Adam limemkuta jamboo 😮😮😮 daaah cku zote watu hawajui machozi yamtu Mung anayapima kwa mzani na ipo cku atajibiw pale mtu anapolia na kuumia snaa aliyesababisha aliye ipo cku atakuja kuumia yeye na kumkuta jambo ndio kama adam sasa penda snaa namwona kanumba wetu kwa karibu snaa

  • @allywaziry7489
    @allywaziry7489 5 місяців тому +3

    Kidogo nikuchukue brother adamu kabla ya hii movie kufika mwisho ,kwa ulichomfanyia huyu mwanamke

  • @NOELAMALILA
    @NOELAMALILA 5 місяців тому +2

    Msilanga nami niko online nachek

  • @MarthaMkasi
    @MarthaMkasi 4 місяці тому +1

    We mabinti wa morogoro atupigwagi ulimuonea tu huyo vivi yn mwanaume akijua unamtegemea xn na una pa kwenda anakunyanyasa xn yn

  • @rebeccazagabe
    @rebeccazagabe 4 місяці тому +2

    unastahili iyo laana muchezi wa tabia loo 😢

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 5 місяців тому +1

    Kumbe ulikuwa firaunu kweli daah.acha ukose wa toto ndo una stahiri ilo

  • @ZainabPande
    @ZainabPande 4 місяці тому +1

    unatutusi jaman wqnaake wa morogoro sijapentaaa😄

  • @NyadzuaMrembo
    @NyadzuaMrembo 5 місяців тому +1

    Nmejifunza kitu hapo😢

  • @linetokari
    @linetokari 2 місяці тому +1

    Movie zuri pia Adam kumbe ukinyoa unaka seater namna hiyo daa

  • @user-sarah1sarah
    @user-sarah1sarah 5 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂unauzurigani mwaana mke mfupi 😂😂😂😂😂😂😂😂Adam mbinguni hukanyagi wallah😂😂😂😂😂😂😂

  • @NancyRashidy-hh6xk
    @NancyRashidy-hh6xk 5 місяців тому +4

    Mungu akupe afya njema kaka uzidi kuielimisha jamii🥰

  • @ReshimaAbdalla
    @ReshimaAbdalla 5 місяців тому +1

    Huyu rafiki wa Fifi anaongea Kiwemba Cha Zambia

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 3 місяці тому +1

    Jamniiiiiii mpak hurumaa hiii ipo kbsaa ni stor ya mtu kiukwel nimeitazam nikakumbka

  • @neemaneychricious6493
    @neemaneychricious6493 3 місяці тому +1

    Jamniiiiiii mpak hurumaa hiii ipo kbsaa ni stor ya mtu kiukwel nimeitazam nikakumbka

  • @mamakenajma3257
    @mamakenajma3257 5 місяців тому +3

    Next jamani tamu zaidi ya asali can't wait

  • @flawaabu2221
    @flawaabu2221 5 місяців тому +4

    "Usizungumze namimi kama unazungumza na wapumbavu wenzako uko nje." is his favorite line🤣

  • @kibibiabdalla1451
    @kibibiabdalla1451 5 місяців тому +3

    Filamu nzuri sanaa❤❤❤..mwambie cardo apunguze kua serious 😅..na dada pia amewexa sanaa❤

  • @AbelFrancis-ww7cb
    @AbelFrancis-ww7cb 2 місяці тому +1

    Heeeeeee muzambia 😂😂😂😂😂adam salt kwako hawe nawenderera boys

  • @AminaAli-wj5hd
    @AminaAli-wj5hd 5 місяців тому +1

    Wanamme mjifunze kitu hapo

  • @ottomanmorand8087
    @ottomanmorand8087 5 місяців тому +3

    We mpuuzi hakika hii iwe laana milele😢

  • @SINKOLONGOISAAC-kz5jk
    @SINKOLONGOISAAC-kz5jk 5 місяців тому +1

    Mwachita bwino ukubikamo nechibemba kazinzuli

  • @HillaryKeraryo-yb1oy
    @HillaryKeraryo-yb1oy 5 місяців тому +3

    Nimejikuta na mim nalia duuuh adam we nouma

  • @MarthaMkasi
    @MarthaMkasi 4 місяці тому +1

    Amaa ametusema waluguru zamu yk na usizae kbs yn

  • @UmmyJumaa
    @UmmyJumaa 2 місяці тому +1

    Dah ila humu ulivyoigiza adam 😢

  • @موسيمحمد-ه5ظ1ف
    @موسيمحمد-ه5ظ1ف 5 місяців тому +2

    We msichana mwenzako yuapigwa mbele yako hiyo hamu ya kulala waitoa wapi ...wanasema mwenzako akinyolewa chako kitie maji🥲

  • @nebartnyabera2121
    @nebartnyabera2121 5 місяців тому +1

    Makande ni nini please naomba kujua

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  5 місяців тому

      Mchanganyiko wa Maharage na Mahindi.

  • @nicohkjacinta-ke9cv
    @nicohkjacinta-ke9cv 3 місяці тому +2

    adam much love

  • @AbelFrancis-ww7cb
    @AbelFrancis-ww7cb 2 місяці тому +1

    Nimejifunza kitu

  • @Mtotowainter
    @Mtotowainter 4 місяці тому +1

    Duh inauma mafunzo mazuri

  • @sikudhanimohammad7692
    @sikudhanimohammad7692 3 місяці тому +1

    Napenda kuigiza

  • @MariaMagele
    @MariaMagele 5 місяців тому +1

    Adam kiparangoto😂

  • @pendoisaya9363
    @pendoisaya9363 3 місяці тому +1

    Hongera kaka❤️❤️

  • @F.j84
    @F.j84 5 місяців тому +3

    Adamu jamani mm naitwa fifi.. Nakufatilia sana hongera kw filamu zenye mvuto..

  • @pendoisaya9363
    @pendoisaya9363 2 місяці тому +1

    Hongera kaka❤❤

  • @AbelFrancis-ww7cb
    @AbelFrancis-ww7cb 2 місяці тому +1

    Muposheni uyo mukashana akese ku mpika

  • @halimakatana3873
    @halimakatana3873 5 місяців тому +2

    Kazi nzuri adam ila hii movie ulikua na roho mbaya 😂😂😂adam.....umefanya nitoe machozi 😢😢ila hongera 🎉

  • @RamadhanKihalaDalali
    @RamadhanKihalaDalali 4 місяці тому +2

    Hii Filam Umeipatia.Mungu Akuzidishie Uzidi Kuelimosha Zaidi

  • @halimakassim8795
    @halimakassim8795 5 місяців тому +2

    Picha nzuri htr nakukubali adamu leo

  • @AbelFrancis-ww7cb
    @AbelFrancis-ww7cb 2 місяці тому +1

    Adam na makande😂😂😂😂😂

  • @HuseniSabiti
    @HuseniSabiti 4 місяці тому +2

    Asante mwalimu wangu
    Naona fahari nnapokuwona ukipafom❤❤

  • @jacklinepeter4158
    @jacklinepeter4158 5 місяців тому +1

    Adam na makande km mpare😂😂😂

  • @yusramwinjuma4721
    @yusramwinjuma4721 5 місяців тому +2

    😢😢😢inauma sanab kutolewa mimba

  • @salamasalum6956
    @salamasalum6956 4 місяці тому +2

    Duu mpaka nimelia yañ funzo kumbwa kaka umetufundisha mwanamke nizaifu sana ila aba miujiza kwa mungu nazani tujifuze

  • @rahmajuma2946
    @rahmajuma2946 5 місяців тому +2

    Ningepata Wifi kama huyu .... Ningempenda daima ❤❤❤❤❤

  • @GirionNtara
    @GirionNtara 5 місяців тому +2

    Kipenz sofy umeua asee duuh mungu atakufikisha mbali

  • @افلينافلين-ي9ك
    @افلينافلين-ي9ك 5 місяців тому +2

    Nzuri sana duuhh. Adam ongera bro

  • @ImerdaMasunga-bg5rk
    @ImerdaMasunga-bg5rk 4 місяці тому +2

    Hii filam imenifunza sana tena meng 😭 hongera sana adam

  • @1czay
    @1czay 5 місяців тому +2

    Mimi niliambiwa nenda na hautapata mwanaume kama mimi 😂😂mungu ni nani na enjoy 💃💃💃yeye kinamramba tu.to much love from kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 3 місяці тому +1

    good movie

  • @mannahsalwa8433
    @mannahsalwa8433 5 місяців тому +1

    Swali ni je. Haya unayotufundisha wewe mwenyewe unayatekeleza? Maana M/Mungu ametuambia yule anafundusha mwenzie mazur halafu yeye mwenyewe hayafuati mafunzo hayo ni sawa na mshumaa unaowaka ndani ya chumba lakini unamulika pale pale ulipo. Kwa maana hiyo ni hasara

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  5 місяців тому

      Ila ni kheri kama mshumaa huu utamsaidia mtu mwingine kupata mwanga.

    • @jephtajoseph178
      @jephtajoseph178 2 місяці тому

      Hii comment ni povu

    • @jephtajoseph178
      @jephtajoseph178 2 місяці тому

      We umejuaje kama hatekelezi??. Poor comment

    • @jephtajoseph178
      @jephtajoseph178 2 місяці тому

      We umejuaje kama hatekelezi??. Poor comment

  • @MWANAHALIMAALI
    @MWANAHALIMAALI 5 місяців тому +2

    Wana wake wafupi tuna mapenzi ya kweli sema wanaume wakorof🫠

  • @mirnababy5012
    @mirnababy5012 4 місяці тому +2

    Adam noma

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  4 місяці тому

      Thanks

    • @mirnababy5012
      @mirnababy5012 4 місяці тому

      @@AdamLeoStudios whao nimefurahi leo nimejibiwa🤣🤣👌🤲

  • @SelemanKazimili
    @SelemanKazimili 5 місяців тому +2

    ❤kabl sjaitazama yote inaoekana mafunzo ka yote zaidi ya sabi daaah thanks bro MUNGU akuinue zaid na zaid mdo mdgo kaka utafikia malengo❤❤

  • @veronicasolange930
    @veronicasolange930 5 місяців тому +2

    Adam we ndo uko na shida

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  5 місяців тому

      Jamanii😂😂

    • @veronicasolange930
      @veronicasolange930 5 місяців тому +1

      Seriously 😂😂😂😂😂 the ending was just amazing tujaribu tena was busy cooling than boom it happened 😂😂😂😂😂

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  5 місяців тому

      Hahahah thanks for watchin Vee❤️❤️

  • @UbaxMohamed-yg9kj
    @UbaxMohamed-yg9kj 2 місяці тому +1

    Adam vp

  • @AishaMohamed-fl2ss
    @AishaMohamed-fl2ss 3 місяці тому +1

    Kazinzuri.sana.kk.mungu.abariki.kipaji.chako.uzidi.kutuelimisha.kaziyako.iko.na.mafunzo.sana

  • @Ftwm-ew3up
    @Ftwm-ew3up 5 місяців тому +2

    Hongera kaka adam imenifuzi mingi sana 🎉🎉🎉

  • @liylahahmed829
    @liylahahmed829 5 місяців тому +2

    Dah mzur sana hongera Adam⚘️⚘️⚘️

  • @BintHassan-o1y
    @BintHassan-o1y 5 місяців тому +1

    Adam salma aliendapi.?

  • @nelsongabriel6324
    @nelsongabriel6324 5 місяців тому +2

    Imagine hii movie nimeiangalia siku tatu siimalizi kisa ubize wakazi but today nimeimaliza nimefulahi kusikia chi Zambia ❤❤🇹🇿🇹🇿🇿🇲🇿🇲🙏

    • @AdamLeoStudios
      @AdamLeoStudios  5 місяців тому +2

      Shukrani sana

    • @nelsongabriel6324
      @nelsongabriel6324 5 місяців тому

      @@AdamLeoStudios tuko pamoja kiongoz tunasubili movie mpya

    • @nelsongabriel6324
      @nelsongabriel6324 5 місяців тому

      @@AdamLeoStudios tuko pamoja kiongoz tunasubili movie mpya

  • @NajmaMm-hc7cu
    @NajmaMm-hc7cu 4 місяці тому +1

    5:17 a

  • @GreceAlloyce
    @GreceAlloyce 4 місяці тому +1

    😢😢😢❤❤❤jamn love all

  • @callisterbosire7568
    @callisterbosire7568 5 місяців тому +2

    ❤❤❤❤ much love from Kenya 🇰🇪 Nairobi

  • @NajmaMm-hc7cu
    @NajmaMm-hc7cu 4 місяці тому +1

    Asante san kaka

  • @BetyHaule
    @BetyHaule 5 місяців тому +2

    Waooo mapunda Wang wa libindi umetixha xana

  • @rukiahassan7001
    @rukiahassan7001 3 місяці тому +1

    Adam hapo hukutenda haki yani umekunya hadi kwa shuka na mwanamke mwengine then shuka mkeo akafue..lazima laana ikushukie.umejua kuniliza kwa hiyo dada uliempiga hadi kumtoa ujaozito wake

  • @MariamRashidi-n7u
    @MariamRashidi-n7u 3 місяці тому +1

    Filamu nizuri kbs kazi njema kbs 🎉🎉🎉🎉🎉 inafunza kbs

  • @AminaDivine
    @AminaDivine 4 місяці тому +1

    🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 3 місяці тому

    Aiseeee😢😢😢😢 adam apa we mwenywe njo umejilaani eti mtoto ni mkosi yarrabiii 😢😢😢apa umenilizakwa kweliii😢😢😢😢😢

  • @AbdulyBendela
    @AbdulyBendela 5 місяців тому +1

    🫵🤝👍🧑‍💻

  • @keraryomaginga-bp4dx
    @keraryomaginga-bp4dx 5 місяців тому +1

    Kazi imepoah kaka,,, ila Sasa jiunge kwenye mtandao jiongeze uwende viral worldwide

  • @JosephTadeo-kl8ie
    @JosephTadeo-kl8ie 3 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @JosephTadeo-kl8ie
    @JosephTadeo-kl8ie 3 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @JosephTadeo-kl8ie
    @JosephTadeo-kl8ie 3 місяці тому +1

    ❤❤❤

  • @farajyassir9822
    @farajyassir9822 5 місяців тому +1

    Big up team Adam..much love from 254❤❤🎉🎉...niko na request brother uyo mrembo ulimlaza nje naulizia namba zake if possible ..😊