Mkwele wewe muongo sana mimi ni mteja wako miaka 6 sass kila nikiletwaa Tanzania lazima nikuje apoo kwako Choo zako azinanga maji iwee usiku or mchana leo tuu nimekuitaaunaimbia niodoke uwezi kusikiliza mteja wakati ukija kwenye vikoa sis ndio unatuomba ivoo achaa uswahili na dhalau uwei kulalamikia police ikiwa Choo yako ain majii siku zote unataka watu wauguwee UTI or
Sasa leseni ya vileo haitakiwi kutolewa kwenye makazi ya watu, labda iwe ya take away, kama ni makazi ya watu ni ishu nyingine na haitakiwi kabisa makelele hata kama ni kabla ya saa6 usiku.
Mkwere og umeongea vizuri sana.
Mkwere. Umetisha
Kelele za usiku zimezidi, niko Kawe: weekend hatulali
Just bse kuna chance ya hela doesn’t mean tuwaumize wengine
Yani waafrica buana unapewa nafasi badala utumie kama fursa kutaja vtu vya msingi unaanza mlolongo
Ulevi kwa uislamu ni mama wa maasi yote mtume Muhammad saw ametuamrisha bar hazifai kabisa na wanozipigia debe ni wafuasi wa ibilisi
Ushasema kwa uisilam pambana na hali yako
@@geraldminja5142 pamoja na wewe ni umati wa Muhammad umo
😂😂@@geraldminja5142
Mpo Kama mpo afrikaaaa
Tako
Mkweree kasema kweli, ukweli kabisaaaaa wa jifunze ulaya watu wanakesha wakitembea
Hapo mkwere amesema ukweli kabisa
Kwel hapo mapato yanapotea,Sasa tuongeze kod kwenye mabar,halafu tuaache wakeshe,
Sasa umesema Kuna Hela zinapotea,Kila siku dolia mnatoa shingap,tujumlishe Ili mlipe miezi 6,kumbe bar Zina Hela sana,Kila siku mnatoa hongo sh,40
Wacheni wakeshe tu,selekali Haina dini,Ila walipe Kodi kubwa
Kabisa
Mkwereeeee😂😂😂😂😂
Kwa mwezi mnatoa hongo shingap,tupige mala miezi sita,hiwe ndio kiwango chenu Cha Kodi,
Mkwele wewe muongo sana mimi ni mteja wako miaka 6 sass kila nikiletwaa Tanzania lazima nikuje apoo kwako Choo zako azinanga maji iwee usiku or mchana leo tuu nimekuitaaunaimbia niodoke uwezi kusikiliza mteja wakati ukija kwenye vikoa sis ndio unatuomba ivoo achaa uswahili na dhalau uwei kulalamikia police ikiwa Choo yako ain majii siku zote unataka watu wauguwee UTI or
Mkwere na ww mfanyabiashara hahahahahaha😂😂😂😂😂😂
Unatombwa kwel Kuma ww
Kwan wafanya biashara wote unawajuwa!
Nenda kwenye bar yake inatwa kwa mkwere 😂utajua ujui kama mkwere mfanya biashara au sio mfanyabiashara
hata muuza dagaa ni mfanya biashara Kwan ujui
Tatizo makelele na kero za muziki zinatuumiza kiafya usiku.Kumbuka ni makazi ya watu kuna wagonjwa ,watoto na wazee
ACHA wivu
Nchi za watu huko watu hawalali wanakesha kufanya kazi na biashara nyie mnalala kwani unazani huko hakuna wagonjwa na watotot
@@erickdioniz8277Bar hakuna mziki nchi za watu
Sasa leseni ya vileo haitakiwi kutolewa kwenye makazi ya watu, labda iwe ya take away, kama ni makazi ya watu ni ishu nyingine na haitakiwi kabisa makelele hata kama ni kabla ya saa6 usiku.
Daa
umepata nafasi unashindwa kutaja baa yako
Sisi tunzokunywa tunzijua wewe kanywe uji ulale
👏👏👏👏👏
Simama vizuri bas kwenye mike
Sasa hata kama huo ujumbe unampa mkuu wa mkoa ndio umgeukie yeye badala uangalie camera 😂
Mkwere kumbe gnz
Hapa angetaja jina la bar yake ilikua njia nyingne ya kupromote
Pana itwa kwa mkwele manzese talajani
Angaria camera😅😅
AYO TV IMESHAKUA YA KIPUMBAVU,MMEMTOA WAPI HUYO MWANDISHI ANAYEANDIKA MKWELE NA BADO MNAMUACHA TU? FUKUZILIA MBALI.
hahahaha Mchawi upo kazin hadi online 😂😊
😂
Kwan tanzania atuwez kuongea adi tusujudie wa tu kwa kuwapa sifa?
😂😂😂kuwajaza mabichwa viongozi 😂😂kiunafki nafki sinajua wanadamu wanashiba kwa misifa😂😂😂