🔴

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024
  • • 🔴#live: MZEE KILOMONI ...

КОМЕНТАРІ • 60

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 10 місяців тому

    Uyu mzee Bado yupo kumbe ndo mwenye Simba yake uyooo

  • @fadhilisheckimweri2512
    @fadhilisheckimweri2512 2 роки тому

    Jigajiga fc,makolo

  • @ainullahhamza655
    @ainullahhamza655 2 роки тому +3

    Hiyo banner nyuma inaoza pesa ya kubadilisha hamna .... sasa pumzika mzee

  • @calvinmavunde239
    @calvinmavunde239 2 роки тому +1

    Mkule huyu mtangazaji muongezee mshahara katulia mno

  • @suleimansuwed1846
    @suleimansuwed1846 2 роки тому

    Nisuala lakuzingatiya ingawanimchangowao dhaifu kwasasa lakiniinastahiki japosikuyasimba day unastahikikuaga kupewanafasi

  • @jurdanforwardersltd1460
    @jurdanforwardersltd1460 2 роки тому +1

    ssc ni taasisi ya watu na si kampuni ya mtu binafsi, mzee wetu anashindwa kuelewa unaweza kua miongoni mwa walioanzisha taasisi lakini wakaja nufaika wengine.si lazima wote mnufaika na taasisi.kilomoni waliochangia ssc ni wengi.

  • @michaelmayemba8435
    @michaelmayemba8435 2 роки тому +1

    Point ni moja tu tumetelekezwa , hayo ni mawimbi tu

  • @AbdallaOthman-ny8hp
    @AbdallaOthman-ny8hp 10 місяців тому

    kweli tatizo uongozi

  • @rehemamejja8342
    @rehemamejja8342 2 роки тому

    Semaaaa.

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 роки тому

    Sio kila wakati ushindi acheni mawazo hayo

  • @kabwangaselemani5228
    @kabwangaselemani5228 2 роки тому +2

    Huna hela Mzee tulia mpira siku hizi ni pesa baba

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 роки тому

      Huyu Mzee anataka tuendelee kujifukiza uwanjani

  • @IsayaShokaulaya
    @IsayaShokaulaya 4 місяці тому

    Mueshimu wazeee jamani

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 2 роки тому +1

    Kaishiwa ye ndonani

  • @queenraphaher7736
    @queenraphaher7736 2 роки тому

    Kila kiongozi anamuhula wake,ukimaliza tulia,shauri,sio kuabudiwa, Mungu ndio Kila kitu, Mimi yanga

  • @alibadi4129
    @alibadi4129 2 роки тому

    😮mbona mwakajana hujamtafuta kuulizia mafanikio yasimba

  • @clarencelazaro9600
    @clarencelazaro9600 2 роки тому

    Huyu mzee anamazo ya mwaka 47 hajui mpira sio km shamba la ukoo

  • @highvoltages4169
    @highvoltages4169 2 роки тому +2

    Mtangazaji ukimuhoji mkubwa msalimie *shikamoo* lakini unaposema heshima yako hio ni salamu kwa mtu ambae mpo rika moja lkn hauna uhakika kama ni mdogo kwako au mkubwa kwako ndo unatumia *heshima yako*

    • @kirundumweteni2072
      @kirundumweteni2072 2 роки тому

      Shikamoo ni mazoea tu.lakini ni neno la kiarabu linalomaanisha nipo chin ya miguu yako bwana. kwa asiyejua ataona shikamoo big dili. lakini anayeitkia husema Marhabaa

    • @udugukassim5178
      @udugukassim5178 2 роки тому

      Angalia tafsiri ya shikamoo KATIKA kiswahili

    • @edinamgulila8827
      @edinamgulila8827 2 роки тому

      Watu siku hiz wamezoea tu mzee heshima yako ...ndo nn sasa

  • @jumaali9243
    @jumaali9243 2 роки тому

    Ni kweli Mzee kilomoni nakuunga mkono viongozi waliopo wanajazba maamuzi Yao kurupuka ,hawapo pamoja maamuzi ya viongozi wachache

  • @jumamohamed3774
    @jumamohamed3774 2 роки тому +1

    Tatizo kubwa masilahi ndiyo na wengi walitegemea Mambo yao binafsi yamalizwe na ssc Sasa kukoseka Mambo hayo ndio zogo miaka mitano tulipotembeza bakuli wao siwalikuwa viongozi walifanya nn hao Ni ssc yanga tuelewe hivyo

  • @AbdallaOthman-ny8hp
    @AbdallaOthman-ny8hp 10 місяців тому

    tusubiri simba tuzalishe juis au sabun y mo uwanjan tu

  • @jumannekatumba44
    @jumannekatumba44 2 роки тому +1

    Heshima Yako ndio Nini wewe mtangazaji ni hovyo kabisa

  • @shaabanbakilly4432
    @shaabanbakilly4432 2 роки тому

    Umecheza Simba umelipwa kama ana madai ya malipo yake aende kwa uongozi alipwe stahiki zake.

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 роки тому

    Mlizoea kula pesa kiujanja usituaminishe imani za kishirikina

  • @queenraphaher7736
    @queenraphaher7736 2 роки тому

    Kwani ukiwa kiongozi Timu haijawahi kufungwa? Hakuna timu isio fungwa

  • @matataoneproduction5355
    @matataoneproduction5355 2 роки тому

    Kumbe ushaamua kukaa pembeni sasa unaongea nini? Mzee acha njaa bwana maana tunajua kuna mtu anaowajaza upepo nyie wazee

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 роки тому

    Kwenye mafanikio hukupata kumwuliza.Acha imani hiyo umeshapitwa na wakati.Mtangazaji hujitambui

    • @abdallahshariff6555
      @abdallahshariff6555 2 роки тому

      nikweli hao waandishi wameona kipindi hichi ndio kipindi cha wao kutumiwa ilikuwafata hao wazee kutuchanganya,mlijenga au ni club na wanachama ndio walijenga?watuwache

  • @abdulrazaqallyshemmela2769
    @abdulrazaqallyshemmela2769 2 роки тому

    Sijapaya kuona watu ajinga kama nyie mliemfiuata mzee kilomoni nyumbani kwake mnataguta nini kama sio unjinga

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 роки тому

    Kweli wewe Mkule tv hovyooo

  • @samwelhiinyamhangahiileosi1060
    @samwelhiinyamhangahiileosi1060 2 роки тому

    Hiki kizee kina usumbufuxn

  • @adamchambo12
    @adamchambo12 2 роки тому

    Mzee umepotea na wakati kaa pembeni huna chako tena,nyakati za kuishi mjini kwakutegemea Simba na yanga zimeshapita Mzee umajiabisha

  • @salmamsabaha8434
    @salmamsabaha8434 2 роки тому

    Mzee pumzika

  • @genardmkude9598
    @genardmkude9598 2 роки тому

    Unasaidia nini

  • @jumakhalid5554
    @jumakhalid5554 2 роки тому

    Semakweli

  • @regnaldmakene5947
    @regnaldmakene5947 2 роки тому

    Mzee umepitwa na wakati, mpira wenu wa zamani ulikuwa wa kichawi, siku ni sayansi ya mpira.

    • @shuhudajacob1178
      @shuhudajacob1178 2 роки тому

      GSM napendekeza huyu mzee tumununue anakitu ndani yake (bench la ufundi)

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 2 роки тому

    Mwandishi mbona kama umetumwa

  • @saadibraahim8561
    @saadibraahim8561 2 роки тому

    Hakuna timu inashinda kila msimu

  • @sashahauke2032
    @sashahauke2032 2 роки тому

    Msipende lawama hivi kama tungekua tumeweka hela zetu ingekuaje ?hapo hela hujaweka maneno meeeeengi acheni jamani hatuwezi shinda kila siku na kuteleza siyo kuanguka

  • @abdallahshariff6555
    @abdallahshariff6555 2 роки тому

    Kilomoni ilpita enzi yenu na Simba sio yenu,hawana simba na Simba ni ni wanachama,mtuwachie Simba yetu,wazee mtuwacheeeee imepita enzi yenu

  • @bakarimkunyulia6687
    @bakarimkunyulia6687 2 роки тому

    Mkure tv

    • @abdisalim1157
      @abdisalim1157 2 роки тому

      Umrri unapokuwa kubwa km wa kwako inapasa busara kutawala ili usiiaibishe familia yk bure.Ww bakia msikitin kumwomba Mungu akusamehe,mpira au uongozi kwa ss ni vitu mbali2 na ww

    • @salehematimbwa4684
      @salehematimbwa4684 2 роки тому

      Acha uongo mpila siku hizi ni hela siyo maneno kaapembenj mzee mwenzangu

  • @zoharimohammed2942
    @zoharimohammed2942 2 роки тому +1

    Naaaaam

    • @allyhussein3043
      @allyhussein3043 2 роки тому

      Wakati simba inafanyavizuli mbona wazee haoo hamkuwahiji

  • @genardmkude9598
    @genardmkude9598 2 роки тому

    Ulaya hakuna ujinga kama wako

  • @abdallashekuwe687
    @abdallashekuwe687 2 роки тому

    Mzee anaongea na machungu ni kama anailani timu

  • @kassammwishehe4482
    @kassammwishehe4482 2 роки тому

    Mzee kilomoni kumjua nafsi bona Mzee bwamchawi akua ivyo Simba apo zamani ulikua Tim ya walabu na matajili wewe umeingiajee?? Na unasema umenunua uwanja ulitoa pesa yako au mlishilikiana na walabuu na matajili wa kihindi??? Mzee kumjua nafsi mpilla WA zamani imepitwa na wakati

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 2 роки тому

    Hamia yanga kama manara

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 2 роки тому

      Kwa kweli wanafiki wote tupa kulee hakuna mwenye Simba yake hapa.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 2 роки тому

      @@taseleli9181 kabisa

  • @genardmkude9598
    @genardmkude9598 2 роки тому

    Zilipendwa acha maneno