MCHUNGAJI AJITOA KUSAJILI WACHEZAJI WA 2 SIMBA WA KIGENI/ VIONGOZI HATUWEZI KUWATOA TENA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 тра 2024
  • KWA MATANGAZO HABARI NA MATUKIO TUPIGIE
    0625466848 AU 0753393036
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 26

  • @user-yh3dv2bl7u
    @user-yh3dv2bl7u Місяць тому +1

    Safi sana kaka umeongea vizur sana hongera kama kwer umewaleta wachezaji lakin wawe wanaweza kuvaa viatu vya Simba wasiwe Bora wachezaji wakajaza tu nafas yausajir

  • @MalijasJRCharles-vl2rq
    @MalijasJRCharles-vl2rq Місяць тому +1

    Goody idear, calling you a man ov vision.

  • @danielmwalufingo971
    @danielmwalufingo971 Місяць тому +1

    Kama kweli umemsajili kiungo wa gor yule nakupa bigap kaka maana yule mchezaji yupo vzr sana

  • @sevelintino6181
    @sevelintino6181 Місяць тому +2

    😂😂😂😂 Simba SI mbovu ila kwa yanga na Azam ni mbovu nimekupa mchungaji

  • @hashmyss-hotmail.com123
    @hashmyss-hotmail.com123 Місяць тому

    Huyu jamaa yuko vizuri sana na ana akili ya kuongoza na kushauri katika uongozi

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Місяць тому +1

    Safi sana

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 Місяць тому +1

    MZEE NIMEKUELEWA NA UNAJUA SANA

  • @AlenhNanyaro
    @AlenhNanyaro Місяць тому

    Asije tuletea jobe part two wachezaji kutoka kenya mhh

  • @zakayomosha13
    @zakayomosha13 Місяць тому

    Viongozi wajiuzulu Mangungu na Try Again

  • @zakayomosha13
    @zakayomosha13 Місяць тому

    ww umetumwa mzee,mipango gn unayo ungekuwa na hela basi

  • @user-kk3ke6nv3p
    @user-kk3ke6nv3p Місяць тому

    Watoke tu kwani wao akina nani?

  • @yasinijuma7534
    @yasinijuma7534 Місяць тому

    😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @janefadhili8384
    @janefadhili8384 Місяць тому +1

    😂👋

  • @LameckAntontupa-zy1rw
    @LameckAntontupa-zy1rw Місяць тому

    Wakati simba anachukua makombe mara 4 mangungu hakuwa mwenyekiti

  • @nathanaelchezalikatundu8869
    @nathanaelchezalikatundu8869 Місяць тому

    Unaeleweka mkuu.

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu Місяць тому

    Type majina ya hao wachezaji unaowazungumzia

  • @BabaStuwartKatojo
    @BabaStuwartKatojo Місяць тому

    Mchungaji yakweli ayoo?? Mbna kama wataka kunifuraisha

  • @issufomabbetto321
    @issufomabbetto321 Місяць тому

    zamani wamefanha nini uyo mangungu na traigen wewe kenge tuu

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Місяць тому

    Mangungu na tiageni wajiuzuru ni mafisadi ndio wanao halibu kirabu

  • @user-kk3ke6nv3p
    @user-kk3ke6nv3p Місяць тому

    Kwani yeye ndo ana hela?watoke tuuuuuuu,watakuja wengine kuwekeza Simba ni bland kubwa kaka,alafu sikuzote huwa tunakosoa kwenye mapungufu so kwenye mafanikio vipi wewe?

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Місяць тому

    Wewe acha uchawa wewe ulete wachezaji wa Kenya ni wanini wewe kama nani

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp Місяць тому

    Wewe ni chawa wa mangungu wewe ndie ulie sema moo hatowi Hela wewe ni munafiki tatizo la Simba ni tiageni na mangungu

  • @JumanneJuma-vf6yb
    @JumanneJuma-vf6yb Місяць тому

    Inatafuta kiki