EXCLUSIVE: WAUZA MADAFU IKULU WALIO TREND, WAFICHUA ALICHOWAAMBIA RAIS “SISI SIO ASKARI MSITUOGOPE”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 261

  • @ts9dna862
    @ts9dna862 5 місяців тому +159

    Unayerudia hii video kuhakikisha kama ni yeye gonga like😂

  • @carlosleonard6050
    @carlosleonard6050 5 місяців тому +54

    Waliokuja hapa kuconfirm baada ya kuona hotuba yake kule siku ya muungano tujuane

  • @Views-mf8ir
    @Views-mf8ir 5 місяців тому +14

    #1:35 asante Commandooo ..
    Apa sasa nimejiridhisha kabisaaa..
    Code imeeleweka kwa wale tulio pita pita kwenye hizi mambo ..😊

  • @jayproducts5871
    @jayproducts5871 5 місяців тому +31

    NIMEKUJA KUHAKIKISHA KAMA NI YEYE😂😂

  • @josephluvanga5233
    @josephluvanga5233 5 місяців тому +9

    Dar es Salaam Nimeingia mwezi wa kwanza Afu tena mimi mwenyeji

  • @official_vanchaz
    @official_vanchaz 5 місяців тому +13

    Sasa je si niliwaambia hapa kipnd kle huyu ni Captain 😂 Sikia hata sauti yake ndo ileile alokuwa anasoma lisala... Makomando tunao weng tu huko mtaan

  • @DanielHenry-cg2vv
    @DanielHenry-cg2vv 5 місяців тому +11

    Jaribuu kuangaliaaa ilivyopita garii ya jeshii jamaaa alivyoangaliaaaa dakika ya 4:32 hhhh

  • @SaimonMoren-vw8ys
    @SaimonMoren-vw8ys 6 місяців тому +20

    Huyu ndo yeye mwenyewe sasa imetisha kaka

  • @robin_MMM
    @robin_MMM 5 місяців тому +8

    "nitagawa wastani kwa idadi". imeisha hiyo

  • @rehemamahendeka-rm2ek
    @rehemamahendeka-rm2ek 6 місяців тому +18

    Hakika mgaa gaa na upwa hali wali mkavu,vjn kazeni buti huenda nyota njm inawaangazia,kila la heri ktk utafutaji wenu.

  • @twalibkoga8901
    @twalibkoga8901 5 місяців тому +10

    “NTAGAWA WASTANI KWA IDADI” Ni neno baadhi ya maneno ya KIJESHI

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 5 місяців тому

      dizasta vina

    • @zawadichalale4047
      @zawadichalale4047 2 місяці тому

      @twalbkoga8901" ntagawa wastani kwà idadi" maana yake nini?

    • @lampadshigonko3006
      @lampadshigonko3006 2 місяці тому

      @@zawadichalale4047 hamna alikosea.. formula ni
      "JUMLA ÷ IDADI = WASTANI"
      Huwezi gawa wastani kwa idadi...
      Mfano: una machungwa 10, watu wapo 20.. Je, unafanyaje ili wote wale?
      Ndo unachukua machungwa yote, unagawa kwa idadi ya vipande 20, ili kupata wastani wa watu 20.

  • @Cde_zubeir
    @Cde_zubeir 6 місяців тому +14

    We umeona mtu mwenyew ameshawai kufanya kazi ya ulinzi 😂 kajichngany mwenyew hao ni mashsushu sio bure 😅

    • @Rmkh88
      @Rmkh88 6 місяців тому +1

      Hapo kajichanganya kweli, kisha eti anapenda uaskari, amecheza karate😂😂

  • @kelvinlupogo3019
    @kelvinlupogo3019 6 місяців тому +8

    Ukiangalia Namna anavyojibu Maswali na kujieleza... Namna anavyosimama kwa nidhamu... Ndevu Hana ni mkakamavu.... Trust me 100% Jamaa Hawa ni kitengo..

  • @zahorsuleyman7617
    @zahorsuleyman7617 5 місяців тому +2

    Kwani humuoni licha ya mfanano,muonekano wake tu,unathibitisha kia ni askari,ss huga tunajuana weyewe,Bila ya kuvaa form.Gonga like anaenisapoti.

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 5 місяців тому +8

    Sikuiangalia hii video mwanzo, imebd nije kuhakikisha leo😀😀😀

  • @sulemohammed7820
    @sulemohammed7820 6 місяців тому +8

    umakini unahitajika sio kwa wauza madafu tuh mbaka wauza samaki

  • @elizabethmakaranga218
    @elizabethmakaranga218 6 місяців тому +2

    Mm DR Samia natamani na mm siku moja nipate mualiko kama muuza madafu,ss najiuliza nitapata fursa hiyo vipi nami naishi huku kijijini?lakini mungu yupo ipo siku inawezekana mungu akitoa kibali amen amen amen

  • @jokhasuley3661
    @jokhasuley3661 5 місяців тому +10

    Nan anaangalia video baada ya kutrend huko ig😂😂😂

    • @IsmailMjesh
      @IsmailMjesh 5 місяців тому

      Sio yeye' ila wabongo mkiwa hamna kazi za kufanya ndo'......

  • @Bridalwood
    @Bridalwood 5 місяців тому +6

    Ila hii nchi ukijichanganya utajikuta jela unaongea ongea ovyo kumbe umesimama na usalama wa taifa😂😂😂😂

  • @ShafiiMbande
    @ShafiiMbande 5 місяців тому +6

    Aisee uyu jamaa kweli kitengo, 😂

  • @benhorta5121
    @benhorta5121 6 місяців тому +9

    Yule aliyeojiwa mwazo clouds anasema hawakula ftali kwasababu walikosa muda kutokana na kusupply madafu huyu anasema walikula Kwanza futali which is which 😂,

    • @mauliditumbo4179
      @mauliditumbo4179 6 місяців тому +4

      Yule wa cloud muongo hakuwepo huyu ndio alikuwepo namjua ni muuza madafu tupo nae mtaani kwetu

  • @Sisopotashiumz
    @Sisopotashiumz 5 місяців тому +7

    Huyuu jamaa anavyoongea tu! Muchizi komando

  • @deogratiusdonald5123
    @deogratiusdonald5123 6 місяців тому +2

    Mungu akubariki sana mama yetu mpendwa SSH rais bora kabisa. Rais usiye na ubaguzi unatupenda watanzania wote bila hitikadi. Nimekuwa nikisema kila wakati watanzania tumepata rais mwema sana.

  • @josephluvanga5233
    @josephluvanga5233 5 місяців тому +6

    Yule kasema mwenzie alimkuta na madafu arobain huyu anasema madafu hamsini 😂😂😂😂

  • @Leylah-pz5sc
    @Leylah-pz5sc 6 місяців тому +4

    Vinywele vichanga ndevu safiiii , wauza madafu😂😂

  • @Rmkh88
    @Rmkh88 6 місяців тому +6

    Ni wa kitengo 100%. Hakuna shaka

    • @JonhYusuph
      @JonhYusuph 6 місяців тому +1

      Hahahaha😂😂😂😂😂😂

  • @JokhaMohamed-t9b
    @JokhaMohamed-t9b 6 місяців тому +5

    Angalia wanavo skikiliza maswali angalia macho yao ayatulii wakiwa wanajibu maswali angalia kauri za anae hojiwa mahala patakatifu ...ntagawa wastani bila idadi ....umamaji wao wa heshima na unyenyekevu ....

  • @rewardyesse7314
    @rewardyesse7314 6 місяців тому +4

    "mwanangu kumbe we kitengo" maneno haya yamesemwa na wahojiwa wawili na yanafanan

  • @zakayodismas251
    @zakayodismas251 5 місяців тому +6

    Mbn kama hawafananii 😊😂😂

    • @shabanimadobe972
      @shabanimadobe972 5 місяців тому

      Sema awafanani jichanganye huyo komandoo na kiongozi

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 6 місяців тому +8

    Weee mnatudanganya nyie bwana na hapa ipo nyie 😂😂😂

  • @SalimMkambila-eo5xl
    @SalimMkambila-eo5xl 5 місяців тому +9

    2juane hapa. Tuliotoka kwa osca osca

  • @shoutforjoy6143
    @shoutforjoy6143 5 місяців тому +3

    Hahahahaha nyie mkija bilaa gudi atagawa wastan isiyo na idadii 😂😂😂 hamjashtukaa tyuuu

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 5 місяців тому +1

    Discipline ya hali ya juu,heshima kwenu

  • @honestvictory7596
    @honestvictory7596 5 місяців тому

    Mwenzake alisema mwenzie alibak na dafu 44..jamaa kasema alimwambia kiongoz alibak na dafu 50..hawa jamaa hawakujipanga kudangaya like walishtukizwa interview... Thought usalam wapo smart na two step ahead kulko normal people... Salute kwa makamanda sie tunafurah kuona tunausalama kona nying😅

  • @UTHAIMINMOHD
    @UTHAIMINMOHD 6 місяців тому +4

    Hata wakiwa askari kanzu ni jumla ya kazi😂

  • @jakyjacqueline9198
    @jakyjacqueline9198 6 місяців тому +3

    Hahaha ukija bila gadi ntagawa wastani kwa idadi 😂😂 noma sana

  • @abdillahchikota4303
    @abdillahchikota4303 6 місяців тому +3

    Kalate kidogo Boxng kidogo,,ulikuwa amalize tu na hapa ipo

  • @JacobNorbert-r6x
    @JacobNorbert-r6x 6 місяців тому +6

    Mbona sielewi yule wa Cloud tofauti ana huyu or ?

  • @consorathajames2693
    @consorathajames2693 6 місяців тому +1

    Mama sema neno kwa vijana hawa hakika Mungu atakulipa zaidi

  • @husseinwaziri227
    @husseinwaziri227 6 місяців тому +3

    Walikuwa wanne 4

  • @rodsconehenry4249
    @rodsconehenry4249 5 місяців тому +2

    Angalia alivo angalia gari ya mp

  • @bazilmatilya
    @bazilmatilya 5 місяців тому +4

    Duuuh tunaomba mrudie interview baada ya picha yake kutrend kwenye maonyesho ya miaka 60 ya uhuru

    • @keagleeagle821
      @keagleeagle821 5 місяців тому

      Huyo hatopatikana tena
      Akitokea atakua amefunga ndevu na dread😅😅😅

  • @EddaDaniel-we5um
    @EddaDaniel-we5um 5 місяців тому

    Ivo video uliona wapi

  • @LessoManchodoo
    @LessoManchodoo 5 місяців тому +3

    Cheki anavyoweka mikono kuficha silaha hadi mtangazaji anamgusa ashushe ila haelewi

  • @khamismtoma4902
    @khamismtoma4902 6 місяців тому +2

    Walikuwa 4

  • @teddyndungurusabnu4792
    @teddyndungurusabnu4792 6 місяців тому +3

    zingatia wote wamehojiwa wanasema kama mwaka na nusu😅 hawa nimewashitukia kweli na hapa ipo

  • @bazilmatilya
    @bazilmatilya 5 місяців тому

    Ni yeyeeeeeeeee

  • @RichWise671
    @RichWise671 5 місяців тому +1

    Sema tu Wakija bila gadi ntagawa wastani kwa Idadi 🔥
    #824_JK

  • @fadhiliomary5167
    @fadhiliomary5167 6 місяців тому +9

    Ukija bila gadi nitagawa wastani kwa idadi...hii kauli ya kombati niliisikia nilipokuwa mujibu wa Sheria makuyuni jkt 😂

  • @mo1tv417
    @mo1tv417 6 місяців тому +3

    Kama hujui kusoma basi soma picha

  • @olarivolariv1313
    @olarivolariv1313 5 місяців тому

    Aiseee ni yenye, angalia anavyoangalia.

  • @Shedy_matephone
    @Shedy_matephone 6 місяців тому +5

    WAZEE WA SUTI NYEUSI HAWA

    • @faidhacute
      @faidhacute 6 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @vascongumbi9040
    @vascongumbi9040 5 місяців тому

    Ni yeyeyeeeee

  • @tanzaniahabarleotv1424
    @tanzaniahabarleotv1424 5 місяців тому +3

    Watu wasiojulikana🤣🤣🤣 mtaji wadafu haufagi mwaka wa 2 huo

  • @Startprojectlife
    @Startprojectlife 5 місяців тому

    niyeyeeee in TID voice

  • @JohnLungu-y2v
    @JohnLungu-y2v 6 місяців тому +2

    Tanzanians all saw how Harmonize embarrassed Diamond Platnumz in the State House holding his net like a Puppet and instructing him to say something after himself... Blood is around the corner ⚠️⚠️⚠️

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 6 місяців тому +2

    Hawa ndio wenyewe waliokuwa kwenye kuuza hayo madafu lakini Yule mwingine alienda cloudy wanamjua wenyewe sasa hata hii job ya usalama lazima uwe wa kujichsnganya ndio iendelee

  • @kagirasta1476
    @kagirasta1476 6 місяців тому +4

    🎉

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 6 місяців тому +2

    Mtabakia misukule, huku mmeuzwa

  • @aishaseif7852
    @aishaseif7852 6 місяців тому +4

    Mama atuone nasie ambao hatukupata huo mualiko WA futari Atuone tukale na watoto. In shaa llah

  • @SaidShemkieti
    @SaidShemkieti 6 місяців тому +4

    Ndugu mtangazaji eneo hilo hilosubiri kama miezi 2 then rudi tena hapa ukiwakuta wapo na wanaendelea na biashara hiyo basi hao sio kitengo ila usipowakutaa jibu unaloo

    • @seleman2000
      @seleman2000 5 місяців тому +1

      Ww ni mganga nini

    • @joyce55727
      @joyce55727 5 місяців тому +1

      Jamani kumbe wengine hua mnaona mbal 😁😁

  • @dafrosamonko8254
    @dafrosamonko8254 5 місяців тому +1

    Confirmed

  • @farijala1
    @farijala1 5 місяців тому +1

    Umri Tofauti, Sura, pua tofauti nk

  • @jeremiahevodius925
    @jeremiahevodius925 6 місяців тому +4

    Sina uwakika ila hawa si wahuza madafu afu ikulu si nyumbani yani uwende utoke ukaoge uludi tena 😂😂😂 acheni zuga yani ata kama angeingia mchafu vipi asinge lusiwa kutoka angeogea umo umo na mavazi angepewa umo umo kisha ndiyo hauze madafu yake ati alihingia akatoka kwenda kuoga 😂😂😂 aya bhana tena mtu mwenyewe wa kawaida ahingie ikulu atoke kama nyumbani

  • @freemonhenry3448
    @freemonhenry3448 5 місяців тому +1

    Huyu ni commando kweli. Angalia hiyo mikono anavyoweka..,

    • @KhatibSalehKhatib
      @KhatibSalehKhatib 5 місяців тому

      Huyuu jaamaa ndiee uongeaji wake ukaaji waker na umemuona jinsi alivyomuangaliss mama kiaskari asaa na kikomandoo

  • @RahimMhina-du2ff
    @RahimMhina-du2ff 5 місяців тому +2

    Captain 😅

  • @darkplatnum9006
    @darkplatnum9006 6 місяців тому +1

    WATU HUMI WAJINGA SANA WAMEITWA NA MTU MWINGINE MNAMSIFIA MAMA

  • @saidsalim851
    @saidsalim851 6 місяців тому +7

    Hawa jamaah wamebeba uspuun yaani ujiko😂😂😂

  • @ephrahimkivuyo4275
    @ephrahimkivuyo4275 5 місяців тому +4

    Afande muuza madafu 😅😅

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar 5 місяців тому

    Wallah nimerudi Ili kujieidhisha

  • @DicksonZacharia-t5h
    @DicksonZacharia-t5h 5 місяців тому +2

    Bongo akili mingi sana jamaa ndio yeye bhana

  • @abdulymaeda2697
    @abdulymaeda2697 5 місяців тому

    Ni yeye

  • @nkurufi
    @nkurufi 5 місяців тому +1

    NDIO YEYE HATA HUYO WHITE NI WOTE. HAHAHAAA NI YEYEEEE

  • @godfreydavid6847
    @godfreydavid6847 5 місяців тому

    Jamaa hata mkao wake sio wa muuza madafu tuliowazoea...Jamaa Ni Komando

  • @LessoManchodoo
    @LessoManchodoo 5 місяців тому +2

    Cheki wenzao walipopita na gari albowacheki kimkakati😅😅

  • @raufuuledi8098
    @raufuuledi8098 6 місяців тому +3

    "Ukija bila gadi, tutagawa wastani kwa idadi" maneno haya yanasemwa na watu kitengo, msihojiwe wazee mnajichanganya

    • @darkplatnum9006
      @darkplatnum9006 6 місяців тому

      Sio maneno ya vitengo hayo ndugu haujawi kuchez hat judo au kara tee hzo ni slogani za mchezo

  • @mbarakadammbaya4020
    @mbarakadammbaya4020 5 місяців тому

    Ukiutumia ubabe vibaya utakuvunja mwenyewe😢😢😢😢

  • @ChristopherK4
    @ChristopherK4 6 місяців тому

    Na hapa ipo

  • @DanielHenry-cg2vv
    @DanielHenry-cg2vv 5 місяців тому

    Daaaaa

  • @nyaganyaga3876
    @nyaganyaga3876 5 місяців тому

    Namna anyosimama huyu jamaa na mikono .....

  • @EmanuelShirima-o6r
    @EmanuelShirima-o6r 5 місяців тому +2

    Hata huyu mweupe ni wale walee

  • @didassadik8075
    @didassadik8075 6 місяців тому +2

    Wadogo zetu wa buhigwe kijiji cha songambele namuona kimambo kwa mbali

  • @AbubakariKisuju
    @AbubakariKisuju 5 місяців тому

    Huyu anayeongea ni yule aliyemletea faili mwenzake akiwa anasoma hotuba

  • @gwantadibusta
    @gwantadibusta 5 місяців тому +1

    Ni yeye😂😂😂

  • @GloriaSaideya
    @GloriaSaideya 5 місяців тому +1

    Ukija bila gadi, nitagawa wastani kwa idadi 😅😅😅 kitengo

  • @nkurufi
    @nkurufi 5 місяців тому

    White mwenyewe poa huyoo duu

  • @nyangigemagesa4741
    @nyangigemagesa4741 6 місяців тому +4

    Wazee wa kitengo hao😂😂😂

  • @mnamaliletz507
    @mnamaliletz507 5 місяців тому

    T.I.D anasemaga Ni yyeyeeeeee
    daaaah ila tisichukuliane poa aseeh
    halafu cheki anajifafanya kutamani jeshi😂😂😂😂
    nchi iko salamaa

  • @geofreylucas7870
    @geofreylucas7870 5 місяців тому

    Hii kali yan unataman kuwa askari, na gari la askari ghafla linapita na kukupa hi kwenye simu kuwa oya kamanda tano ukajibu tano kamanda dakhhhh!!!😂😂😂😂

  • @absalomnamoyo7176
    @absalomnamoyo7176 5 місяців тому

    Sio yeye

  • @happywilson-i1m
    @happywilson-i1m 6 місяців тому

    Futa iyo kauri ya kusema sehemu patakatifu

  • @williammsendo499
    @williammsendo499 5 місяців тому

    Jichanganye MT akumalize tisha sana om boy

  • @fauzibinzoo6563
    @fauzibinzoo6563 6 місяців тому +1

    Nilitaka nishangae hawa wauza madafu wasitafutwe na waandishi wa habari

  • @mbarakadammbaya4020
    @mbarakadammbaya4020 5 місяців тому

    Hao wote ni watoto wa mama kizimkazi😂😂😂😂

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu3656 6 місяців тому +1

    Hao mabroo nawaogopa ni wale wale na Hapa ipo
    😂😂😂😂😂😂😂

  • @joycekaishozi1177
    @joycekaishozi1177 5 місяців тому

    dakika ya 4:10 wakati gari ya jeshi inapita dah aloo huyu kamanda😅😅

  • @rosemarykiyumbi6736
    @rosemarykiyumbi6736 5 місяців тому

    NI YEYEEEE😹

  • @hizamawa6046
    @hizamawa6046 6 місяців тому +7

    Hao zuga tu ni kitengo

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 5 місяців тому

    Hili dafu lenyew linakatwa kijeshi zaid kwa nidham ya hal ya juu

  • @VeronicaAmosi-pz3wi
    @VeronicaAmosi-pz3wi 5 місяців тому

    Kwann msiwakutanishe wote