Kama Watu Hawatorizika Namna Unavyo Jiendesha Wewe Na Kujifafanua Madame Fatma Karume Basi ALLAH Azza wa Jalla InshaAllah Ataridhika na Wewe Hujapotea Hujakosea Hupo Sawa Hupo Sahihi Love You MashaAllah
Advocate Karume huwa nakuelewa sana dada!!! You are very intellectual elite!!! Umejaaliwa uwezo wa pekee sana. Ama kweli Mungu ana upendeleo. Ubarikiwe sana. Unatulisha vitu vizuri sana.
🤔Tanzania uwazi na uwajibikaji bado ni mtihani. Vitisho na woga pia havina uwiano kiasi kwamba watu wengi wana hofu, wasi wasi na woga wa kusema kwasababu ya aidha vitisho au matokeo mabaya zaidi ya vitisho. Haya mambo bado yanaifanya nchi yetu kuwa katika njia ya zigzag, sio njia iliyonyooka. Tuzidi kuelimishana kama hivi mara kwa mara huweza kusaidia msukumo katika sekta, nyanja na idara zote za umma kwa maslahi yetu sote. Asanteni kwa mchango wenu kama kawaida ni mzuri sana 🤝
Tujifunze kitu.Mtoto wa Rais hana shida za njaa kama sisi lakini anasemea mema kuhusu nchi yake.Sisi hatuna kitu lakini ndio kwanza tumegeuka kuwa Chawa.
BRAVO DADA FATMA KARUME NA ULIMWENGU....MATATIZO YOTE HAYO MNAYOZUNGUMZIA YANAMHUSU RAIS WA NCHI YETU...UKIMUONDOA MWALIMU NYERERE MARAIS WOTE WALIOFUATA WAMEKUWA WANAFUNJA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI AIDHA KWA MAKUSUDI AU BILA UELEWA (KWA KUDANGANYWA NA WATU WAO WA KARIBU).
Rais hana makosa sana maana hawezi kuwa mbobezi wa kila sakta. Mwanasheria mkuu na washauri wake wamwelekeze kikatiba bila woga nini cha kufanya. Shangazi hapa angefaa sana. Watanzania tumekuwa waoga hadi tunawaridhisha watoto wetu. Taifa linatumbukia Shimano. We Wait to see the repercussions.
This woman is intelligent kwa kweli nami nasimama naye it's disgusting kwa wabunge kujigaragaza juzi kuna DC mmoja kapiga magiti eti mume wake awape fedha ya serikali ya kuleta maji
Yani huyu sister anaongea point lakini kimsingi ni kwamba haijuwi💪🏾 Tanzania 💪🏾)jinsi ulivyo🤔muangalieni hata huyo mjomba anaongea ujinga wakati ni (GENERAL)🤬
Ndugu phd ni heshma tu ya utaratibu wa kitaaluma au kiheshma wala si kitu cha maana hivyo ingekua na maana hivyo Nigeria kuna phd kuliko china fananinisha ,
Jenerali kama unasoma comment zetu basi, hoja ilikuwa Fatma kuondolewa na kutorudishiwa hadhi ya taaluma yake Sasa umeongea vingi umemuondoa Fatma kwenye reli, tulikuwa tunapenda sana wengi kufahamu
kwa nilivomsikia ni kwamba, alimpeleka mahakaman mwanasheria aliyeteuliwa kwakutokuwa na vigezo sahihi vya kuwa pale so nadhali unajiongezaaa tu, huenda ndo sababu
The Chanzo Mrudisheni shangazi tena kwenye interview ili atuambie juu chanzo kufutiwa uwakili na jinsi kesi yake ilivyoenda hadi sasa, Jenerali nawe umesahau swali la msingi ulilo muuliza
Hivi kwenye vipindi vya mahojiano naonaga mtu anapewa juice mara maji naomba kuuliza usalama wake umekaaje? Vp huhusu sumu? Yani naalikwa napewa juice au maji naomba kujua
Napenda jinsi mnavyotufundisha. Tamaduni, uchief, usultani, political legitimacy daa maelezo yanayo gusa mahali mahali , ujishike wapi, lkn una msimamo upi na katiba ya Nchi. 😢😊
Uchawa na upumbavu wa watekelezaji wa Sheria na Kanuni za kuendesha shughuli za Serikali umejenga dhana kuwa fedha za umma ni mali ya Rais. Hali ya namna imeharibu kabisa mfumo wa matumizi ya Serikali jambo ambalo limeathiri kabisa maendeleo ya nchi. Ni sharti kuendeleza majadiliano kama haya ya Jenerali Ulimwengu na Bi. Fatma Karume. Hali ni mbaya sana. Tumejenga miungu watu ktk nchi yetu.
Suala la kugalagala lipo lakini kwa mambo binafsi sio kwa masuala ya kitaifa/ hao wabunge anaofanya hivyo ni kuteka ufahamu wa watu / suala la kujipendekeza limeota mizizi hasa kt awamu hizi mbili/ badala ya kutoa hoja mtu anamsifia Rais kwa jina / ni aibu tukiwa kt miaka 62 ya uhuru
Ulimungwu unamuhoji Fatma halafu wewe mwenye unajibu kabla yéyé hajajibu why ! Ulimwengu umri umekwenda tena wewe dio mwasheria wewe ni mwanahabari tuu Muache Fatma atueleweshe mamba ya shiria
Huyu Mzee asituchezee wakati ana Chifu Nyumbani kwake na ameukumbatia. Huyu Nzee Babake Mkwe ni Chifu Marriale na Yupo mpaka leo kama Chifu ila hamwambii ila anakuja kutukemulia mitandaoni, Bure Kabisa hana maana.
Tujikite kupigia kelele katiba ibadilishwe, na wao wanajua ndo maana kila anayekuja hataki kurekebisha katiba anajua hawezi faidika na wenzake, Nchi ni viongozi Sio wananchi,kazi ya wananchi nikuwapa kura ili waendelee kutumia wao sio wananchi
Mimi ni mtanzania ninaishi nchi za inje,weee sister nina mnataka kuwa ma pupetti) i mean your out !usilete usomaji saaana kanakwamba WW anajuwa kila kitu,ni ujinga usio na kikomo
Jenerali na Fatima safina, lakini mbona hamguzii kwanini wabunge wanalipwa mishahara mikubwa wakati uchumi wetu bado mdogo?,shule hazina waalimu, hospitali hazina madktari, kwanini sehemu ya mishahara zao zitumike kuwaajiri waganga na waalimu?.
Budget ya taifa stars na timu nyengine za michezo iko wapi , anaipang nani , inatosha ku kikidhi mahitaji ya maadlizi ya timu?? Hyo waliyopewa ni kutoka kwenye mfuko gani na kwa ajili ya nini? Note: tujifunze kuwaulizia viongozi maswali magumu vinginevyo tutaendelea kuwa wahanga wa hiki chama na namna wanavyoendesha mambo
Fred Labda mgeni kwenye hizi.program za jenerali exclusive on the chanzo....hivyo ndio anavyofanya yani sio mahojiano kama yaliyozoeleka anataka akileta mtu wanakua wanashea stories
Hapo kwenye kugaragara, tunaambiwa ni kufurahi kupita kiasi, sawa unafurahi nini? Nadhani nikuto kujua haki na sheria. Ni sawa na mzazi kumnunulia mtoto zawadi ya madaftari 😅 . Una wrap vizuri unampa mtoto zawadi ya madaftari.. no sio zawadi, hiyo ni haki yake.
Mzee wangu, unahoji na kabla ya jibu we unamuekea maneno mdomi anafuata sasa tutapate kukifunza anachotaka kusema tunakosa elim kwenye majibu yake.... Ila hongeleni wote nyie ni wakongwe
Afrika tuna safari ndefu sana. Kama ni kiasi kidogo sana cha bajeti ya serikali kinakwenda kwenye miradi ya maendeleo kwa kuwa matumizi ya serikali ni makubwa mno, hata sijui. Kuna watu wanapiga kelele sana kusifia serikali. Huwa sijui wanawaza kwa kutumia nini. Matumbo wanatumia, vichwa vimebaki maji matupu.
Mambo ya ukabila yalisitishwa na sheria ya Nyarubanda ya mwaka 1965. Ilipoundwa Tanganyika huru hizo mila na desturi zilisitishwa ikiwa ni pamoja na uchifu.
kiukweli hua najisikia vibaya ninapoona kiongozi anasimama na kusema tunamshukuru raisi kwa kutupa hela za kujenga barabara hua nasikia kutapika kwa kua naelewa raisi hana hela bali itakua ametoa kwenye wizara ya miundombinu
she is a daughter of the former president of Zanzibar his excellent Amani Abeid Karume,a son of the first president of Zanzibar the late Abeid Amani Karume,so from Karume dynasty
Haya ni maongezi kati ya mgeni anayejua na mwenyeji anayejua. Mahojiano mengi hapa Bongo Mwenyeji hana weledi, kwa hiyo anauliza maswali ya hovyo na pia hana la kuongeza kwasababu hawana ujuzi. Wenzetu waandishi wa habari ni wajuzi kweli kweli😂! Fikiria kina John Simpson, kina Steven Sucker, kina Richard Quest, n.k wengine wataalamu hasa!
Ndugu yangu weee huyu dada tokea darasa la pili yupo Tanganyika International School, secondary hapo hapo, chuo UK, kazi ya wakili UK kubwa zaidi kachelewa kujichanganya na wa swahili, nategemea nini?
@@MrKhatibu, inatosha kaka nadhani atakuelewa. Watu wengine tunawaona tu tukiwa watu wazima Lakini hajui historia zao Lakini ukweli ni watu adhimu na wenye maisha tofauti na yetu. Wamekula Bata toka wako matumboni mwa mama zao.
@evaristcm2734 Sawa,kwa hiyo ndio hao mafahari wawili wasipeane nafasi ya kuongea?Fatuma anaelezea kitu mara Ulimwengu anadakia kuelezea kile kile, mazungumzo gani hayo kama siyo yale ya kijiweni?
Always great in speaking out your minds Shangazi Fatma✅🙏👍👏
Fatma uko vizuri sana!👏🏾
Huwa najiskia faraja sana kufuatilia mahojiano ya Shangazi Fatma...Tunu ya Taifa letu.😊
Kama Watu Hawatorizika Namna Unavyo Jiendesha Wewe Na Kujifafanua Madame Fatma Karume Basi ALLAH Azza wa Jalla InshaAllah Ataridhika na Wewe Hujapotea Hujakosea Hupo Sawa Hupo Sahihi Love You MashaAllah
Advocate Karume huwa nakuelewa sana dada!!! You are very intellectual elite!!! Umejaaliwa uwezo wa pekee sana. Ama kweli Mungu ana upendeleo. Ubarikiwe sana. Unatulisha vitu vizuri sana.
Shangazi umenenepa MaashAllah, Mungu akujaalie maisha marefu.
🤔Tanzania uwazi na uwajibikaji bado ni mtihani. Vitisho na woga pia havina uwiano kiasi kwamba watu wengi wana hofu, wasi wasi na woga wa kusema kwasababu ya aidha vitisho au matokeo mabaya zaidi ya vitisho. Haya mambo bado yanaifanya nchi yetu kuwa katika njia ya zigzag, sio njia iliyonyooka. Tuzidi kuelimishana kama hivi mara kwa mara huweza kusaidia msukumo katika sekta, nyanja na idara zote za umma kwa maslahi yetu sote. Asanteni kwa mchango wenu kama kawaida ni mzuri sana 🤝
👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻FATMA KARUME
Na mwanasheria mkuu wa sasa?
Fatuma uko sahihi Mungu akulinde
Ni Fatma, sio Fatuma😅
VERY TRUE 👍 OBSOLUTLY WRIGHTS👍"U R RIGHT ✅️ DEAR👌"
Tusikilize content ni nzuri ssna
VERY TRUE 👍
Fatuma uko vizuri sana
Ulimwengu itabidi umrejeshe tena shangazi wetu wa zanzibar ili atufafanulie ilikuwaje wakamfungia exactly kutofanya kazi zake za uwakilishi
Dada Fatma Mungu akulinde, unaitendea haki taaluma yako
Tujifunze kitu.Mtoto wa Rais hana shida za njaa kama sisi lakini anasemea mema kuhusu nchi yake.Sisi hatuna kitu lakini ndio kwanza tumegeuka kuwa Chawa.
Tushaambiwa njaa mbaya
😊
😊
Hyu SI mtoto tuu wa rais balipia mjukuu wa rais baba rais Babu rais
Yaani kwa watoto wote wa marais wa Tz ISIPOKUWA mwl NYERERE, wengine wote shida tupu, Fatma uko vzr sana.!
Mwenzetu huyu, tuko pamoja😂😂😂😂
General Yuko vizuri
BRAVO DADA FATMA KARUME NA ULIMWENGU....MATATIZO YOTE HAYO MNAYOZUNGUMZIA YANAMHUSU RAIS WA NCHI YETU...UKIMUONDOA MWALIMU NYERERE MARAIS WOTE WALIOFUATA WAMEKUWA WANAFUNJA KATIBA NA SHERIA ZA NCHI AIDHA KWA MAKUSUDI AU BILA UELEWA (KWA KUDANGANYWA NA WATU WAO WA KARIBU).
Wa mwanzo kuvunja nadhani alikuwa ni Baba tu some historia.
Rais hana makosa sana maana hawezi kuwa mbobezi wa kila sakta. Mwanasheria mkuu na washauri wake wamwelekeze kikatiba bila woga nini cha kufanya. Shangazi hapa angefaa sana. Watanzania tumekuwa waoga hadi tunawaridhisha watoto wetu. Taifa linatumbukia Shimano. We Wait to see the repercussions.
HUMJUI MWALIM NYERERE!
Nyerere alikuwa dictator no 1
KAMA NYERERE ALIKUWA DIKTETA BASI ALIKUWA DIKTETA MZURI WA KUPIGANI HAKI ZA MASIKINI NA HAKI ZA RASILIMALI ZA NCHI YETU!
Huyu dada namuolewa sana sema watu wanaleta u ccm
This woman is intelligent kwa kweli nami nasimama naye it's disgusting kwa wabunge kujigaragaza juzi kuna DC mmoja kapiga magiti eti mume wake awape fedha ya serikali ya kuleta maji
They are all Smart 🎉
Very true
Yani huyu sister anaongea point lakini kimsingi ni kwamba haijuwi💪🏾 Tanzania 💪🏾)jinsi ulivyo🤔muangalieni hata huyo mjomba anaongea ujinga wakati ni (GENERAL)🤬
Generali hukuitaka tu PhD. mimi leo kama mwana jamii nakutunukia PhD kutoka kwa Mungu wa mbinguni
Ndugu phd ni heshma tu ya utaratibu wa kitaaluma au kiheshma wala si kitu cha maana hivyo ingekua na maana hivyo Nigeria kuna phd kuliko china fananinisha ,
Kabisaa brooo Yani hii nchi watu wa hovyoo hovyooo,ndio wanaopewa kipaumbele ,mtu muhimu kama huyu msema ukweli anapuuzwa
Dada afanana sana na babiye
Jenerali kama unasoma comment zetu basi, hoja ilikuwa Fatma kuondolewa na kutorudishiwa hadhi ya taaluma yake Sasa umeongea vingi umemuondoa Fatma kwenye reli, tulikuwa tunapenda sana wengi kufahamu
kwa nilivomsikia ni kwamba, alimpeleka mahakaman mwanasheria aliyeteuliwa kwakutokuwa na vigezo sahihi vya kuwa pale so nadhali unajiongezaaa tu, huenda ndo sababu
Mwijaku na Mhagama mliogalagala mnasikia hiyo? Haya kazi kwenu
The Chanzo Mrudisheni shangazi tena kwenye interview ili atuambie juu chanzo kufutiwa uwakili na jinsi kesi yake ilivyoenda hadi sasa, Jenerali nawe umesahau swali la msingi ulilo muuliza
Imeanza kusikiliza kuanzia wapi?
sasa sianasema kuna mwanasheria alichaguliwa na hakuwa na vigezo, so akampeleka mahakaman so nadhan huenda ikawa sababu kwa nilivomwelewa
Hivi kwenye vipindi vya mahojiano naonaga mtu anapewa juice mara maji naomba kuuliza usalama wake umekaaje? Vp huhusu sumu? Yani naalikwa napewa juice au maji naomba kujua
Napenda jinsi mnavyotufundisha. Tamaduni, uchief, usultani, political legitimacy daa maelezo yanayo gusa mahali mahali , ujishike wapi, lkn una msimamo upi na katiba ya Nchi. 😢😊
Glass ya maji
Uchawa na upumbavu wa watekelezaji wa Sheria na Kanuni za kuendesha shughuli za Serikali umejenga dhana kuwa fedha za umma ni mali ya Rais. Hali ya namna imeharibu kabisa mfumo wa matumizi ya Serikali jambo ambalo limeathiri kabisa maendeleo ya nchi. Ni sharti kuendeleza majadiliano kama haya ya Jenerali Ulimwengu na Bi. Fatma Karume. Hali ni mbaya sana. Tumejenga miungu watu ktk nchi yetu.
Napenda makara za Jenerali Ulimwengu, I could like to know more about you Mr. Jenerali. Kuna fununu kwamba uliwahi kuwa Padri?
Alikuwa jeshini, mkurugenzi, mkuu wa mkoa au wilaya kama sikosei na baadaye mwandishi wa makala na mtangazaji chanel 10
Namkubali sana huyu mzee@@moseslimota3144
nondo kama hizi watawala wazisikie wafanyie kazi mbona simpo sana
Republic , ilikotoka 1987) jamhuri( Egypt abdull nasser na ufaransa)
Shangazi jielekeze tujue uwakili hujarudishiwa kwanini mazungumzo yamekuwa mengi bila kujikita kwenye hoja halisi
sasa sianasema kuna mwanasheria alichaguliwa na hakuwa na vigezo, so akampeleka mahakaman so nadhan huenda ikawa sababu kwa nilivomwelewa
YAANI BI FATMA WEWE MUNGU AENDELEE KUKUPA MAISHA MAZURI YA FURAHA TUENDELEE KUWAPIGANIA WANYONGE WA NCHI HII,
Suala la kugalagala lipo lakini kwa mambo binafsi sio kwa masuala ya kitaifa/ hao wabunge anaofanya hivyo ni kuteka ufahamu wa watu / suala la kujipendekeza limeota mizizi hasa kt awamu hizi mbili/ badala ya kutoa hoja mtu anamsifia Rais kwa jina / ni aibu tukiwa kt miaka 62 ya uhuru
General mwache shangazi aongee alikuwa anaelezea alivyofungia uakili ukampeleka kwingine mwache aflow
Kwa kweli hapa nami nimeshangaa Jenerali sijui kama atapata muda wa kumhoji tena kwa nini leseni yake imezuiwa
Amekwisha jibu 2:50 alimpeleka mwanasheria mkuu kilangi pamoja na jpm mahakamani.
Fatuma mawakili wote unatakiwa uwasomeshe
Ulimungwu unamuhoji Fatma halafu wewe mwenye unajibu kabla yéyé hajajibu why ! Ulimwengu umri umekwenda tena wewe dio mwasheria wewe ni mwanahabari tuu Muache Fatma atueleweshe mamba ya shiria
Huyu Mzee asituchezee wakati ana Chifu Nyumbani kwake na ameukumbatia. Huyu Nzee Babake Mkwe ni Chifu Marriale na Yupo mpaka leo kama Chifu ila hamwambii ila anakuja kutukemulia mitandaoni, Bure Kabisa hana maana.
Tufanyeni Kazi Wandugu Rais anaweza akaamua chochote hakuna wa kumzuia
Tujikite kupigia kelele katiba ibadilishwe, na wao wanajua ndo maana kila anayekuja hataki kurekebisha katiba anajua hawezi faidika na wenzake, Nchi ni viongozi Sio wananchi,kazi ya wananchi nikuwapa kura ili waendelee kutumia wao sio wananchi
Mimi ni mtanzania ninaishi nchi za inje,weee sister nina mnataka kuwa ma pupetti) i mean your out !usilete usomaji saaana kanakwamba WW anajuwa kila kitu,ni ujinga usio na kikomo
Kwako wewe unaona analeta ujinga kwetu anatufungua akili zetu kujua kinachoendelea nchini hatuoni kua ni ujinga anafanya la maana sana wasiomfahamu nini anasema nadhani watakua wajinga.
Generali Ulimwengu kuna wakati anauliza swali kisha anajibu mwenyewe
Haya no mazungumzo si mahojiano kwahiyo General yuko sawa sioni kakosea wapi
Jeneral ni mwanasheria nguli anajua vitu vingi
Jenerali na Fatima safina, lakini mbona hamguzii kwanini wabunge wanalipwa mishahara mikubwa wakati uchumi wetu bado mdogo?,shule hazina waalimu, hospitali hazina madktari, kwanini sehemu ya mishahara zao zitumike kuwaajiri waganga na waalimu?.
Ndo maana ya ccm mbele kwa mbele,ponda mali kifo kinakuja
@@DavidKagulu👏👏👏
👏👏👏
Bado Kuna utata, Jenerali Ulimwengu! Yeye mwenyewe atusaidie yeye hasa ninani?
Muhoji watu wa maana basi sio hao
Kabisa ampe nafasi, mpaka muhojiwa anashindwa kumaliza hoja
Shangazi ni mtu imara mno hapa nchini kwa misimamo ya misingi kabisa ya haki
Taifa stars juzi wamepewa 700M...kwahy ndo tusemeje
Budget ya taifa stars na timu nyengine za michezo iko wapi , anaipang nani , inatosha ku kikidhi mahitaji ya maadlizi ya timu?? Hyo waliyopewa ni kutoka kwenye mfuko gani na kwa ajili ya nini?
Note: tujifunze kuwaulizia viongozi maswali magumu vinginevyo tutaendelea kuwa wahanga wa hiki chama na namna wanavyoendesha mambo
Jenerali naomba umrudishe tena na mahojiano ya endelee kwa mada nyingine tena huyu dada huwa sichoki kumsikiliza
Kwan nani ana hojiwa hapo 😂😂😂jeneral acha kuongea xn
Fred Labda mgeni kwenye hizi.program za jenerali exclusive on the chanzo....hivyo ndio anavyofanya yani sio mahojiano kama yaliyozoeleka anataka akileta mtu wanakua wanashea stories
Haya ni mazungumzo Kaka. Unatakiwa kusikiliza na kujifunza
😂😂😂😂
Hana tofauti na mange kimambi
Kwanini bajet ya maendeleo isibadilishwe pesa za undeshaji zitumike kwa maendeleo kwa kupuguza gharama za uendeshaji serikali
Hapo kwenye kugaragara, tunaambiwa ni kufurahi kupita kiasi, sawa unafurahi nini? Nadhani nikuto kujua haki na sheria. Ni sawa na mzazi kumnunulia mtoto zawadi ya madaftari 😅 . Una wrap vizuri unampa mtoto zawadi ya madaftari.. no sio zawadi, hiyo ni haki yake.
Mzee wangu, unahoji na kabla ya jibu we unamuekea maneno mdomi anafuata sasa tutapate kukifunza anachotaka kusema tunakosa elim kwenye majibu yake.... Ila hongeleni wote nyie ni wakongwe
SHANGAZI NAKUELEWA.... NAOMBA NIKUTANE NAWE
Jenerali waeleze hawa suala la mungano unavyotakiwa ukae.
Shangazi Fatuma mbona hujaeleza sawasawa kwa nini hujareshewa leseni yako?
Nadhani mtafute alie mnyaganya leseni yake !!!
Afrika tuna safari ndefu sana. Kama ni kiasi kidogo sana cha bajeti ya serikali kinakwenda kwenye miradi ya maendeleo kwa kuwa matumizi ya serikali ni makubwa mno, hata sijui. Kuna watu wanapiga kelele sana kusifia serikali. Huwa sijui wanawaza kwa kutumia nini. Matumbo wanatumia, vichwa vimebaki maji matupu.
Wanyakyusa wana tabia hiyo ni kwa wanawake LAKINI kwenye mambo ya kitaifa hizo tabia hazina nafasi
Mambo ya ukabila yalisitishwa na sheria ya Nyarubanda ya mwaka 1965. Ilipoundwa Tanganyika huru hizo mila na desturi zilisitishwa ikiwa ni pamoja na uchifu.
Hahahaha 😂..."ooooh it's disgusting.... it's disgusting"
kiukweli hua najisikia vibaya ninapoona kiongozi anasimama na kusema tunamshukuru raisi kwa kutupa hela za kujenga barabara hua nasikia kutapika kwa kua naelewa raisi hana hela bali itakua ametoa kwenye wizara ya miundombinu
Mimi siyo kujisikia vibaya huwa najiuliza tuna viongozi wasiojua taratibu za fedha za serikali zinapatikana
Kuweka machifu ni kuwa na marais wengi katika nchi moja
🎉🎉👏👏👊👊👍👍💐💐
Mzee Jenerali hukumruhusu amalizie jinsi alivyoondolewa kwenye uwakili
Nafikiri Fatma asikae kimya uma mkubwa tunampenda tupige kelele arejeshewe leseni yake
Nilitaka kujua jinsi Feleshi alivyokosea kumzuia huyu shangazi yetu
Nimemsikia huyu mama kwenye vyombo mbalimbali akipambana ktk mambo mbalimbali but I don't know her who is Fatima Kalume?
Fatima Karume is daughter of former president Karume
she is a daughter of the former president of Zanzibar his excellent Amani Abeid Karume,a son of the first president of Zanzibar the late Abeid Amani Karume,so from Karume dynasty
Mastor ya town.😂
Jenerali muda wote unataka kuongea wewe kama ndio umekuja kuhojiwa unakera
😅
Haya ni maongezi kati ya mgeni anayejua na mwenyeji anayejua. Mahojiano mengi hapa Bongo Mwenyeji hana weledi, kwa hiyo anauliza maswali ya hovyo na pia hana la kuongeza kwasababu hawana ujuzi. Wenzetu waandishi wa habari ni wajuzi kweli kweli😂! Fikiria kina John Simpson, kina Steven Sucker, kina Richard Quest, n.k wengine wataalamu hasa!
,😂😂
Jenerali wewe muachie Fatma nafasi ya kuongea wewe ni host wa kipindi and not speaker
Kinghuri maana yake ni falme huru au nchi huru
Hiki kipindi ni shule kabisa, imenibidi mpaka nichukue kalamu na karatasi niandike busara zao.
Kushwahili hajui huyu dada au huwa anaish wapi ?
Ndugu yangu weee huyu dada tokea darasa la pili yupo Tanganyika International School, secondary hapo hapo, chuo UK, kazi ya wakili UK kubwa zaidi kachelewa kujichanganya na wa swahili, nategemea nini?
Mbona wahindi wamezaliwa na kijukuu ila hawajui kiswahili 😅
@@MrKhatibu, inatosha kaka nadhani atakuelewa. Watu wengine tunawaona tu tukiwa watu wazima Lakini hajui historia zao Lakini ukweli ni watu adhimu na wenye maisha tofauti na yetu. Wamekula Bata toka wako matumboni mwa mama zao.
Kiswahili kitamu Cha mwambao, Cha pwani sio kiswahili cha kwetu Mwakaleli😂😂
Yupi bora , yule alosoma hapa na kujua lugha yako lkn si mtetezi wako au yule alosoma nchi ya nje na atetea wanyonge?
Kingereza kingi ,,sijui shida nn
Shida ni wewe huelewi😂
Amuache amalize kujibu hoja
Jenerali Ulimwengu, wewe ndio unamhoji Fatuma au kinyume chake ? Kwa nini humpi mwanya aeleze kwa kina?
Haya ni mazungumzo: uwajibikaji katika siasa. Rejea kichwa cha Habari.
@evaristcm2734 Sawa,kwa hiyo ndio hao mafahari wawili wasipeane nafasi ya kuongea?Fatuma anaelezea kitu mara Ulimwengu anadakia kuelezea kile kile, mazungumzo gani hayo kama siyo yale ya kijiweni?
Kuhusu Uchifu hata Mstaafu Rais Kikwete alishawahi kusema Tulishatoka huko.