Ridin bwana tumewamis kaole ya enzi hizo bongo movie zilikuwa moto zaman maisha yalikuw raha mlipata Majina makubwa wakat umri wenu ulikuwa mdgo sana weng mlikuwa Bado mnasoma cijui Nan alikuw anawaongoza
Labda alikunywa ili afunguke vizuri mana huyu dada ni msiri sana hakuna interview yake ambayo utaifurahia yani anaficha ficha vitu mno hadi interview zake huwa hazinogi
Vichekeshooo daa 😁😁😁😁hivi unaenda kwenye interview huku ukiwa umeleewwaaa ,upo zako ON ,kama uliliona ilo weka like jmni
Kumbe kalewa dah ndio mana anasinzia dah...
😅😅😅😅😅😅
😅😅😅naiyona😊
Kijifanya unakunywa utoe aibu kumbe unaharibuuu
Kwenye bongo movie huyu johari nampenda Sana mpaka leo hi nampenda Sana
Mbona kama kalewa 😂😂😂jamani nampenda❤️❤️
Namuhisi amelewa
Kalewa huyo
K VANT OYEEEEEEEEE
Beautiful jojo but ume lewa pombe 😆😆😆😆
Biaaaaaaa biaaaaaa , mitungiiii bia tam. 🤣🤣🤣 bongo bhn raha sana, We jifanye tu sasa kila kitu upo serious wakati huku watu hawana mda.
Hahaha johari kalewa
🤣🤣🤣🤣❤️
@@elizaboster9479 Afu hana habari na alikuwa anajua mda gani anaenda interview.
@@shanimbaruku2071 😂😂💥
🤣🤣🤣🤣🤣
Sauti ya Dada Mlevi
Hahaha
Merci kabisa
Mlevi kabisa
Kalewa masikinii
Niache nilewe Nina stress me Nisha vurugwa na maisha yangu Nina stress me
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kalewa ile mbaya 🤣🤣🤣Johari wetu jamani
Kabsa kalewaa mbaya kabsa
kumbe na nyie pia mumemtabua kuwa amelewa, nilikuwa nadhani ni mimi tu ndie niliyemuona akiwa mlevi wa kupindukia
Yupo mbwiiiiii 🤣🤣kesho atajuta kwanini amesema ivyo
uwii jmn dada jowali ww kiboko sana jmn umelewa 😀😀🤣
Sio kwa kulewa Huko 🤭Biya tamu 🍻🤣
🤣🤣🤣🤣🤣
Yupo kachakari
🤣🤣🤣🤣🤣
Nmesoma Comments nilijua nmeona Pekeangu Kama amelewa kumbe wameona wengi duh bongo hakunaga siri
Yani kalewa chakali kweli mtu anajidhalilisha kiasi hiki anajua anaenda kwenye interview unakunywa pombe
Daaaaaah.......Johari Leo kajivua nguo mwenyew
Ridin bwana tumewamis kaole ya enzi hizo bongo movie zilikuwa moto zaman maisha yalikuw raha mlipata Majina makubwa wakat umri wenu ulikuwa mdgo sana weng mlikuwa Bado mnasoma cijui Nan alikuw anawaongoza
Mbona kalewa 🤣eto legend
Daaaaah pombe iziiiiiiiiiii
Hongera dada johari tunakupenda sana
Unapoteza mvuto ... Umelewa..!
Kumbe umo humo pia....
Jitahidi kutokamo...hupendezi
Pombe sio chai ☕️ jamani daaah
Inamaana huyu kabla ya kuja kwenye mahojiano amekunywa kwanza ndiyo kaibukia kwenye kipindi😂😂
😂😂🍻
Kalewa zake mwenyewe dyadya 😜 hana mambo mengi 👌
Haahahahh yupo gambe hatarii
Hahaha hahaha
Sio kwa kulewa uko hivi mnatoaga wapi ujasiri wa kulewa mchana jamani
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Weeeeh... Sio... Kwa... Kulewa... Uko..
Nawapenda ❤❤
Noma
Johar mjanja alitaka leo aongee ukwel so akajiectisha kalewa ili kesho akiulizwa aseme alikua kalewa 😀 bongo movi kumaninaaaaa
Hajaekti hyo ni mnywaji mzur tu na pombe zimeshamuathir naskia hawez pitisha siku hajalewa tilalila
Jibu la mwisho, zurii😁
Nakupenda wajina
Umewakomesha san umbea wao kwish 😄😄😄
Johar mzuri mashallah tangu zamaan
Huyu kanywa wine 🍷 siyo buree
Kanywaa k.vant huyuuu mzinga wa kati😂😂
😂😂
hawa watu walikuwa wanapendezana basi tu niwanaume hawaeleweki kabisa jitulilie wahego
Nampenda huyu dada
Izo kope sasa ka fagio la uwanja😄😄😄
Nan Mimi?
Yani Johari yuko dyiiiiiii😂😂😂😂😂
Aisee uyo Dada kalewa 😂😂😂😂😂😂
Mh Johar hata hapendezi akiwa hivyo ... Alafu wewe diva unamletaje mlevi studio.... 🤨🤔🤨🤔
Mhhhh unaringa sana hadi upendezi
Sio anaringa kalewa tatizo
Johari wng😍 Dada anazeeka na uzuri wake
Wapo wawili kichwani 😂😂😂
Mbona kawa mweupe ghafla uwiiii
🍺 tamu
Pombeeeeeeeee pombeeeeeeeeeee pombeeeeeee sio chai
Huyu johar kanywa pombe ndio kaingia kwenye kipind au🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Da johar jaman
Deceptor.
Blandina bia tamu 👍👍👍👍👍😂😂😂😂😂😂
Jamani unelewa Johari
Hujawai kukubali ulikuwaga na ray kwa mala ya kwanza umekubali
Johari kalewa
Nakupenda jo
Dada johar kapasha kidogo😅😅
Johari ❤❤❤❤
Johari mjanja anaigiza kalewa
Johari ni mzuri jomn
Duuu kalewa leo kakubali walikuwa na mahusiano 🤣🤣🤣🤣
🤔🤣🤣🤣🤣pombe c chai Ila aibu kwann aende akiwa mlevi
Naomben mnijuze maana ya johal ni nn jaman ko nalipenda sana jina hilo Kama ninavyo mpenda johal
Jojo nampendaaa anamapoz
🙆🙆🙆 huku ni kurogwa sio bure
Dada anapenda bia uyu khaaaa
Kalewa huyoo
Biaaa Tamuuuu
Hahahaha sawa johari
Unaendaje interview umeelewa!!!
Hv huyu anaongea yy au pombe
Huyu anaongeaga hivihivi
Leo ametulewea mashabiki tumjuwe
@@sabihaibrahim143 🤣🤣🤣🤣😅
ila katufurahisha
johari mm shabiki yako nakupenda sana
Sasa mbona kalewa
Duuh kalewa dada wa watu
No typo serious
Amelewa sana
Sio kwa mlewo huyu😃😃😃😃
Kanywa nini sasa 😳😳😂😂😂😂 diva mubaya djamani kwani uka muluusu?
Shomari Kapombe
Amelewa sana aibu jmn 😂😂😂😂umejikatia tamaa sna
Kalewa
Mbona kalewa
Tungi kinyama
Mbona kama kaonjaaaaa
Johal mbona kama kalewa hivi
Diva kwanini unamuhoji mlevi
Amelewa jamani
Daah pombe mbay
Zuri hili toto
Labda alikunywa ili afunguke vizuri mana huyu dada ni msiri sana hakuna interview yake ambayo utaifurahia yani anaficha ficha vitu mno hadi interview zake huwa hazinogi
Mbona anaongea kama kalewa? Mimba mi nilionaga, alienda kuogelea kidogo maji yakamzidi, nikaona kitumbo🤣
Yuko bwiii
Hii ndo ile ngoja ninywe kidogo niongeze confidence kumbe unaenda kuharibu anaongea kama anachamba 😂😂
Mbona kama kalewa
Kalewa jamani blandina chagula
Yupo chicha 😂😂😂
Why do you always wear shades indoors?? I think it's really intimidating for the visitor....
Mmmmh pombe shikamoo
Hamuoni kama mnamuzalilisha kufanya nae interview amelewa siku nyingine musimufanyie hivyo hata yeye akiona hii interview atajilaumu
Lakini huuenda kafanya kusudi. Maaana mpaka anafika hapo alikuwa na taarifa
Duh ni
Amelewa jamaa duuu
Walahi afrika tunaumwa
Dah mbona kama kalewa???
Amelewa duh
Pombe oyeee
Tungi kama tungi