REST AFUNGUKA KUMPANGISHA DIAMOND JENGO LA WASAFI MEDIA MZAZI MWENZANGU ALINIACHIA ALIFUNGWA JELA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ •

  • @nancymorenje3880
    @nancymorenje3880 Місяць тому +43

    Hongera sana wewe ni mpambanaji. Hatakama hawataki kukuelewa sio lazima waelewe. Hongera Rest

  • @ElizabethFumbuka
    @ElizabethFumbuka Місяць тому +5

    Anachikisena ni chema ,ila vidhungu vyake sasaa! Ni broken Hadi broken tena😢😢😢

  • @saidkhadija7557
    @saidkhadija7557 Місяць тому +3

    hatutaki kujuaaaa ....hautuhusuuu

  • @abdnation5434
    @abdnation5434 Місяць тому +1

    Ukute ata iyo nyumba hausiki nayo kwa chochote ila kwakua tu kuna star amepanga apo basi ni kujipendekeza tu ili aende mjini OVYO KABISA WEWE

  • @claudia1500
    @claudia1500 Місяць тому +25

    Jamani sio kila kitu uje ujieleze mitandaoni,

    • @damianmaganga5258
      @damianmaganga5258 Місяць тому

      Dada unavyoingea tu unaonekana hauna ,,,,,,,na simama wa kujenga familia ndiomaana mlishindwana ila samahani kama nime comment sivyo

    • @tulinave9207
      @tulinave9207 Місяць тому +1

      Na wewe sio kila video lazima uangalie

  • @nuhumwikwabe2647
    @nuhumwikwabe2647 Місяць тому +1

    Ndo sababu Jumalokole hampendi rest anamtetea niffer ,kumbe wamepanga wcb sifa kibao sijui mabilionea wanajitangaza kumbe kila kitu wamepanga

  • @Esthercolletion
    @Esthercolletion Місяць тому +19

    Jamani umesema hko na miaka 36... nw umesema umezaa hukiwa na miaka 21 mwaka 2010 so nw hko na 45 yes kipenzi

    • @aloycelucas3969
      @aloycelucas3969 Місяць тому

      Sijaelewa kwamba 2010 ndo alikuwa na miaka 21 then akawa amejifungua au ,and saivi anamiaka 45 ?

    • @vaskosamweli3556
      @vaskosamweli3556 Місяць тому +3

      Wanasema Ukijua kudanganya jtaid kukumbuka

    • @fedlob4
      @fedlob4 Місяць тому

      Akili mtu wangu

    • @WinnyMwacha
      @WinnyMwacha Місяць тому +10

      Ni sawa, chukua 22+ 14=???
      2010 alikuwa na 22 sijui 21, hadi leo ni miaka 14, jumlisha utapata 36

    • @SAFIAFOMAR
      @SAFIAFOMAR Місяць тому +4

      Mhh hujui hesabu shoga. Kazaa ana miaka 21 mtoto ana miaka 14 jawabu ndio 45 mweh?

  • @falesiboniphace2194
    @falesiboniphace2194 Місяць тому +4

    Sio huku "Compensate"chochote sema huku contribute" chochote
    Uzungu mwingi na kizungu hukijui

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Місяць тому +1

      Ni malaya wa kiiraqw huyo na unaona liko kama chizi Na nimenenepeana utafikiri kimbofa au nguruwe na linaropoka tu domo lake kubwa halina kufuli 🤮🤮🤮🤮 huyu jamaa yake ameoa kituko kabisa inaonekana huyo jamaa yake ni zuzu

    • @heriethkanjele2963
      @heriethkanjele2963 Місяць тому

      😂😂

  • @noelmsofe2589
    @noelmsofe2589 Місяць тому +4

    Rest huyu dada ni mwanamke aswaa

  • @outzone66
    @outzone66 Місяць тому +8

    Mwaka 2001 hadi sasa ni miaka 23 mtoto ulimpata ukiwa 21yrs na sasa mtoto anamiaka 14yrs naomba kujua 2010 alikuwa wapi na 2001 alikuwa wapi

    • @Mwajumaramadha
      @Mwajumaramadha Місяць тому +2

      Kabisa million 90 kiwanja mwaka 2001 really?? Mmmh wallahu yaalam

    • @sabihismamohamed2760
      @sabihismamohamed2760 Місяць тому +1

      😅🤣

    • @sabihismamohamed2760
      @sabihismamohamed2760 Місяць тому +1

      Nikajua akili yangu ya hesabu imeenda wapi yarabi toba😅
      Mybe amekosea alitaka kumaanisha 2011 atleast iko sawa apo😅

  • @glorymapile9065
    @glorymapile9065 Місяць тому

    Who cames from TikTok?

  • @babubabz4507
    @babubabz4507 Місяць тому +12

    Yani watu wakumtusi hivi ingekua dadako ama mamako ama mke wako kweli mungeweza kumtusi 😢

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Місяць тому

      Hana heshima huyo malaya wa kiiraqw jitu ni Bibi na linaongea Mavi Mavi tu wacha watu wamtukane maana hajiheshimu

  • @NgasaBoy-m6s
    @NgasaBoy-m6s Місяць тому +2

    Unanyegee zinakuwashaa

  • @sheilanampenya1833
    @sheilanampenya1833 Місяць тому +6

    Mh huyu anahangaika

  • @aidaharuna5549
    @aidaharuna5549 Місяць тому +2

    Sasa hayo yamekujaje hapa ya mmeo kwenda huko

  • @nickmsemwa3732
    @nickmsemwa3732 Місяць тому +1

    %95 matajiri wengi walishawai kua wapigaji ma tp

  • @FekiHappy
    @FekiHappy Місяць тому +1

    Hivi kwanini Monday asinine nyuma hadi apangisheeeeeeeeeee

  • @AmranShafik
    @AmranShafik Місяць тому +3

    Mshenziii Wewe unatuongopea uongo tu

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 Місяць тому +1

    Mme wake ni bwege haya mambo yann sasa kuyazungumzia wakati anaishi na mwanaume mwingine

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Місяць тому +4

    Mbona watu munamtukana REST wakati anaongea ukweli mtupu

  • @ezebiakayingi6576
    @ezebiakayingi6576 Місяць тому +5

    watu mkifungua channel UA-cam muwe mna uhakika na topic za kutuletea.

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 Місяць тому +1

    Mlinunua, mlijenga, ulikuwa hauna pesa, mmeishi nae miaka 😅miwili, ulikuwa na miaka 21. Umezaa nae! Hata ungeenda mahakamani huna jasho lako hapo. Kuzaa na mtu, si kumiliki ama kushare mali.

    • @Fx_expertmoneymaker001
      @Fx_expertmoneymaker001 Місяць тому

      Hata yy hajadai, amemjibu mtu aliemwambia kwamba kajenga au anaendesha maisha kwa rent ya hyo nyumba. Na sivyo.
      By the way angalau mtoto angelelewa

  • @briannyamairi-hn5rk
    @briannyamairi-hn5rk Місяць тому +2

    Rest in peace and don't let them disrespect you 😅 my bad though

  • @UmmuJauzan
    @UmmuJauzan Місяць тому

    NIFA anakwita huko

  • @marwakitaro2075
    @marwakitaro2075 Місяць тому +51

    Mume wa huyu dada inaonekana hana saut huwezruhusu mkeo kuongea ongea upuuz tu

  • @justinegeoffrey5039
    @justinegeoffrey5039 Місяць тому +4

    Sasa Nani kakwambia tunataka kuskia hiyo story

    • @florangido202
      @florangido202 Місяць тому

      @@justinegeoffrey5039 hapo chacha, Day njoo Umshtaki na eye Police....kujimwambafy hiyo vipi!!👁 LISHANGAZI LA OVYOO KABISA HILI

  • @AmosChristian-e4x
    @AmosChristian-e4x Місяць тому +11

    Uyu dada alisema mwenyewe kuwa hiya nyumba hauski nayo sasa Leo anasema kapangisha mwongo sana uyo tatizo lake anataka kushindana na Niffer maana kauli yake ya jana kusema ya kwani kufungua mentioned ndo kufanya biashara ni kauli tata

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 Місяць тому +6

      Umemuelewa alichoelezea lkn ? Amesema alifatwa akapokee pesa kwakuwa alizaa na huyo kaka wakiwa wamejenga sasa alivyopokea pesa alikuwepo ndugu wà huyo mzazi mwenzie akamwambia lete pesa ndy akawaomba ht ada ya mtoto wampe ndy akapewa 5M nyingine zilienda na ndugu

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz Місяць тому +2

      Ww una matatizo ya kuskia umemsikiliza vizuri uyo demu

    • @radhiarukemo6150
      @radhiarukemo6150 Місяць тому

      Umemsikiliza vizuri?

  • @abdnation5434
    @abdnation5434 Місяць тому

    Yani huyu dada mpuuzi kweli midada ya TZ INAPENDA KIKI ZA KIPUMBAVU SANA

  • @gabrielkisangure3348
    @gabrielkisangure3348 Місяць тому

    Wakat unatengeneza tangazo la tigo ulkuwa na miaka mingap

  • @marymanoni5536
    @marymanoni5536 Місяць тому

    Bac jiheshimu dada acha ugomvi

  • @constanciapeter2497
    @constanciapeter2497 Місяць тому +6

    2001 ndio uliolewaa au before that? maana umesema mwenyewe uliolewa ukiwa na miaka 21,, kwa hesabu za haraka ni ulizaliwa 1980 au 1979😊... but yesterday u said ur 36😊😊

    • @Gloria-vh5bz
      @Gloria-vh5bz Місяць тому +2

      Unaakili sn yani kwenye umri katupiga namsupport kote ila umri kaumbuka ,kwa hesabu hiyo saiz anatakiwa awe na miaka 43 but kagoma kwenye 36

    • @claudia1500
      @claudia1500 Місяць тому +1

      😅😅😅

    • @limoghasia321
      @limoghasia321 Місяць тому +1

      Hata aliposema huyo mtoto wake ana 14 ,siokweli hatakama alizaliwa 2003 atakuwa na miaka 20

    • @jacklinemushy6870
      @jacklinemushy6870 Місяць тому

      @@limoghasia321amesema amezaliwa 2010 bhn msikilize tena

    • @jacklinemushy6870
      @jacklinemushy6870 Місяць тому +1

      Sikiliza tena amemzaa huyo mtoto akiwa na miaka 21 ambapo 2010

  • @AnithaJoeli
    @AnithaJoeli Місяць тому

    Kwani amezaa na nanini jamani??

  • @monicamwainunu7908
    @monicamwainunu7908 Місяць тому +3

    Masikini bando langu

  • @TeddylameckTeddy-q5o
    @TeddylameckTeddy-q5o Місяць тому

    Kwendaaaa

  • @HeleneNduwimana
    @HeleneNduwimana Місяць тому +1

    Ulipo ongeya Niffr anawatu washinishini niliwaza wewe uliaziya nju haujawayi kuwa washini 😮😮😮😮

    • @LeeLian95
      @LeeLian95 Місяць тому

      Duuuh, mbona hujui kuandika?hujasoma kiswahili au?🌚

  • @AshaJuma-s7l
    @AshaJuma-s7l Місяць тому +4

    Bado hujasema😁

  • @HERISALAMA
    @HERISALAMA Місяць тому

    Unamtangazia nani

  • @specialevents4773
    @specialevents4773 Місяць тому

    I go back! A baby a 16 years old now. 😂😂

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 Місяць тому +1

    Ujuaji mwiingi...Mara hujachangia kitu mara TUMENUNUA kwa mil 90,tumenunua we na nani sema alinunua mwamba....FEMINIST!

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul Місяць тому +1

    Mbona kiki si alitulia huyu

  • @Oman-b1e
    @Oman-b1e Місяць тому +3

    😂😂😂😂 nimepitia coment nacheka tu

  • @naimkendramahellah1435
    @naimkendramahellah1435 Місяць тому +1

    mme wako muuza unga huyo harafu unamsakama niffer kweli

  • @ShedrackFaustin
    @ShedrackFaustin Місяць тому

    Sasa siuongee lugha moja, kama taila yani wanaumevwanapataga vituko sasa ili mi naweza kulioa

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi Місяць тому +1

    Resti mi nakuomba umsaidie mwanangu kumuonyesha biashara

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Місяць тому +10

    Hao wanawake wa kiiraqw wa ovyo kabisa wengi ni malaya sana Na hawana adabu kama huyo Rest mtu wa kuropoka Na burudani kwa wote yaani hao ukioa marafiki zake watalala naye hata shemeji zake watalala naye na wanapenda sana kulana ndugu kwa ndugu au Na wairaqw wenzao kila siku utaambiwa ni ndugu zangu kumbe ni mabwana zake yaani hao hawajui kukataa .

    • @mandelasamson8401
      @mandelasamson8401 Місяць тому

      Oooh mwogope Mungu,,,,umalaya ni hulka ya mtu na ndio moja ya biashara kongwe sana duniani,,kumbuka hata Yesu alifutwa miguu na kahaba,,,hawa watu wapo duniani kote ama unataka kutuambia wale malaya wa Marekani ni wairaqw?

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Місяць тому +1

      @ naongelea Tanzania na Tanzania kabila walio malaya sana ni wairaqw na hilo ni facts kabisa bila kupepesa macho hawajui kukataa shemeji atamkula marafiki zako majirani nk na hawana aibu kabisa kuvua chupi ovyo ovyo !

    • @Afsah90
      @Afsah90 Місяць тому

      Weee kama umekutana na malaya wa kiiraq ni ww, we hujafundishwa matumizi ya nafsi za umoja na wingi..?? Kwenda kafie mbeleee uko ​@@Kabwela776

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 Місяць тому

      Ni kweli nimeishi nao Sana..​@@Kabwela776

    • @divahairshow7646
      @divahairshow7646 Місяць тому

      Asanteeee studio

  • @healthytips-s7v
    @healthytips-s7v Місяць тому

    najaribu kutafuta point sioni unaongea nini daaaa, sijui nimezaa, siusiki, nyumb iililipukiwa na oven yaan hovyooo

  • @SamiraSalum-x7r
    @SamiraSalum-x7r Місяць тому +29

    Umetoka kwa nifa sasa upo kwa mondi ulikuwa unataka uonekane mtandaoni sasa tumesha kuona ayo mambo ya daimond yana fuata nini hatuja kuuliza na wala hatutaki kujua huo ni ushamba na ulimbukeni chezea mali wewe wenye mali hawajinadi

    • @SaumuNasenya
      @SaumuNasenya Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Місяць тому

      Hili bonge bwanyenye limenenepeana utafikiri linakula Mavi au nguruwe halafu English yake eti ku compensate badala ya kusema contribute 😅😅😅😅 huko Tanzania mna watu wa ajabu kweli hilo bwanyenye kimbofa linaonekana kama halina akili nzuri Na bichwa lake ni bipolar hilo vimemtimuka miezi hii linaropoka tu Na kupayuka mtandaoni na mwanaume wengine hivi huwa hamna wanawake wa kuwaoa sasa hilo Ndio Nini jimwanamke halina hata staha au stara kama mke ila ndio wanawake wa kiiraqw walivyo wana midomo na umalaya hawajui kukataa hao !

    • @JuditheChirimwami-y4l
      @JuditheChirimwami-y4l Місяць тому +1

      Apunguze ushenzi 😂😂ujinga mtupu

    • @tulinave9207
      @tulinave9207 Місяць тому

      Hata hii video haijamuongelea uyo diamond wenu😂😂...embu muwe mnasikiliza kwanza kabla ya kujibu😅

  • @falesiboniphace2194
    @falesiboniphace2194 Місяць тому

    Sio"all of my life"sema "allover my life"

  • @magrethjohn1566
    @magrethjohn1566 Місяць тому

    Sijaelewa kidogo umesema kiwanga mlinunua 2001 kama 2010 ndo ulimzaa mtoto wako ukiwa na miaka 21 so unataka kusema mlinunua kiwanja ukiwa na miaka 12?Na sasa hivi unasema una miaka 36 tukitoa miaka 23 tangu mnunue kiwanja inabaki 13 mbona sasa unaongea uongo

  • @JovenBilungi
    @JovenBilungi Місяць тому

    Limbukeni uyu

  • @franckmaya4068
    @franckmaya4068 Місяць тому

    Nilichogundua apa natumia bando vbaya kufatilia ujinga wa malaya aliefeli mjini anafikia sehem ana bwanga bwanga😂😂🤣🤣

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 Місяць тому +1

    Story za kitajiri ,mnazipenda na kingereza kabsa,,,,

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 Місяць тому

    If youy not care about your self why do you ask sisi who anajali? Yani mtu Zuma Mara mikro Mara kwenu jeshi I sijui lugagalo Mara umekataa 5 million hee si kwe heka heka hizo

  • @StrongbowArrow2004
    @StrongbowArrow2004 Місяць тому +20

    Madawa ndo yalimfunga ndo mana Recho temu alikuwa anasema na wewe ulikuwa 😂😂😂😂 LEO umefunguka mwenyeweeeee

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Місяць тому +9

      Huyu anadeal na unga mpaka leo kuuza vipodozi ni zuga tu.

    • @Gaetano64
      @Gaetano64 Місяць тому +3

      TAFUTA HELA ACHA KUFUATILIA WATU KAMA UNAONA KUUZA MADAWA NI KITU RAHISI NA WEWE KAUZE ILI UPATE HELA😂😂😂😂

    • @StrongbowArrow2004
      @StrongbowArrow2004 Місяць тому +2

      @@Gaetano64 Ntakupiga wewe🤣🤣🤣🤣 unanifundisha ubaya

    • @blackangel.58
      @blackangel.58 Місяць тому +2

      Na ww uza 😅😅😅 alf candle mwana sheria 😂😂

    • @issashabani-c7r
      @issashabani-c7r Місяць тому +1

      Wewe unauhakika gani ama na wewe ndo kihehere kama niffer

  • @caashamacalini3887
    @caashamacalini3887 Місяць тому

    Ndio ukampata huyo mzaire anacheza forecs usiku na mchana anashinda kwenye computer ndio hichi unachilingia

  • @elisa.morningstar
    @elisa.morningstar Місяць тому

    So kiwanja mlinunua 2001 then you stayed with him only 2years😮

  • @maoathumani-us9de
    @maoathumani-us9de Місяць тому

    Dada acha uongo mwenye iyo nyumba tunamjua ndugu,acha uongo

    • @augustinecharles6136
      @augustinecharles6136 Місяць тому

      Ilo jengo ni la mume wake wa zaman ila limeandkwa jina la mtoto wao obvious anachukua kodi wasaf

  • @derevamsomi
    @derevamsomi Місяць тому +1

    hatakama ulishiriki watu wanamambo yao usitaje bei za vitu vya watu pumbaav...mwenzio pengine anataka kukopa bank kiwanja kinajulikana cha m500

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 Місяць тому +1

      Hayo maeneo kwa sasa viwanja ni zaidi ya 500ml

    • @derevamsomi
      @derevamsomi Місяць тому

      @kwisa4899 hajitambui

  • @falesiboniphace2194
    @falesiboniphace2194 Місяць тому +1

    Sio "I got back "sema "I went back "

    • @nasirmmaka7188
      @nasirmmaka7188 Місяць тому +1

      Kaka Kiengreza kipana😅😅😅😅😅

  • @GemaRoman-y4v
    @GemaRoman-y4v Місяць тому +2

    Rest ukubwa dawa, kimya jibu la wajinga wengi, hii mitandao inaishi sana ww utapita ila maneno na kujimaliza kisa utandawazi wengi wanajishusha, be unique maendeleo yapige kelele.hata mtt wa 2007 awez jimaliza mitandao.hata kama ni attention au lingn uu ni upuuz

  • @EmanuelMbandi
    @EmanuelMbandi Місяць тому +1

    Wewe nae leo umevuta bangi siyo umpeleke mahakamani huyo jamaa alikuoa au shobo huna akili

  • @nikkimbishiunju2402
    @nikkimbishiunju2402 Місяць тому

    Six Manses au six months?

  • @Rugi3044
    @Rugi3044 Місяць тому +4

    Huyu si aachane na kizungu bana aongee tu kiswahili na hii stori yake haimake sense

  • @beratsanoo5778
    @beratsanoo5778 Місяць тому

    We dem unaonesha ni mshamba sana kuma wewe

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Місяць тому

    Huyu mwanamke inaonekana ni wa ovyo sana ni mropokaji na Hana hata heshima anavyojiweka sio kama mke ni kabila gani huyu ???

  • @derevamsomi
    @derevamsomi Місяць тому

    HAYA NI MALOLOSO😂😂😂

  • @barakanatus5676
    @barakanatus5676 Місяць тому

    HUYU NI TATIZO

  • @abbyjabby8020
    @abbyjabby8020 Місяць тому

    I go back to my parent?????

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 Місяць тому +3

    WATANZANIA JIFUNZENI WATU HUWA HAWAJIELEZEI, FAMILIA YAKO IKIJUA MAMBO YAKO INATOSHA WENGINE SIYO MUHIMU MAANA HATI HAZINA MAJINA YAO, NDIO MAANA MNALOGWA

  • @comm611
    @comm611 Місяць тому +2

    unatafuta. utrendi

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Місяць тому

    Wabongo mkipata mali za ulithi tu kerooooo aaah acheni hizo bhaana yaani mnatangaza tu kisa kanyumba ungejenga maghorofa angalau mia si ndo mngetuhamisha nchi unampangisha mtu halafu unakuja mtandandaoni why!?

  • @CorneliusTarget
    @CorneliusTarget Місяць тому

    Punguzeni sifa wanawake

  • @MarryMassawe-wr2zi
    @MarryMassawe-wr2zi Місяць тому

    Wasaidie watu wamajanga acha kusema mtandaon ujinga huo

  • @famefortune6127
    @famefortune6127 Місяць тому +1

    Huyo na vyombo huko background mbona kakazana navyo hatusikiii kitu mmxxxxiiiiiuuuuu🙄

  • @johnsyonetz8323
    @johnsyonetz8323 Місяць тому

    UNAITAKA NYUMBA ILA MWANAUME UNAMKATAA SI UKUBALI NAWEWE UENDE JELA

  • @FJtv365
    @FJtv365 Місяць тому +3

    We muongo toka 201 hadi leo mtot ana 14 years

  • @ipyanamwasaga7333
    @ipyanamwasaga7333 Місяць тому

    Mshamba ww

  • @onenonetv5469
    @onenonetv5469 Місяць тому +1

    Nishajua kwa nini huyu malaya aliachika!!Jeuri,kiburi,ujuaji na ubinafsi vipo ndani yake

    • @BimHamdi
      @BimHamdi Місяць тому

      Sanaa mjinga huyu

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Місяць тому

      Ni mwanamke wa kiiraqw ni wa ovyo hao hamna maelezo

  • @MwanaidyMgonja-ek5ls
    @MwanaidyMgonja-ek5ls Місяць тому +4

    Mara ulikata 5 milion mara ulichukuaa woiii liongo

  • @ecadiesel2155
    @ecadiesel2155 Місяць тому

    Utawapa somo wale wambeya wenzako,kuma wewe

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 Місяць тому

    Haituhusu nyumba yako wala umbea

  • @florangido202
    @florangido202 Місяць тому +8

    TUMEKUHULIZA!!!!😂😂😂

    • @tulinave9207
      @tulinave9207 Місяць тому

      Umelazimishwa kuangalia video?

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland Місяць тому +1

    Acha rohoo ya chuki dada sasa mtu kupanga iyo nyumba wewe unaumia wapi mbwa wewe malaya msagaji mfilwaji liangalie baya kweli 😂😂😂😂😂😂😂

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Місяць тому

    Huyo ni malaya na mkifuatilia anatombesha tu huyo mume wake lazima awe bwege kabisa unawezaje kuoa mwanamke mropokaji hana haya yaani anaongea kama zuzu na anajiona anajua na broken English zake 😂😂😂 hawa wanawake wa kiiraqw ndio walivyo tena wakija mjini ndio wanakuwa watu wa ovyo sana malaya mbwa !

  • @samwelmabula4455
    @samwelmabula4455 Місяць тому +2

    Hivi mtu unapoteza muda kusikiliza Upuuzi huu Dada kakoje kalale

  • @comm611
    @comm611 Місяць тому +1

    koma. wewe. mcawi

  • @gaspergasper9830
    @gaspergasper9830 Місяць тому +27

    Haya ndio mathara yakupangisha nyumba Diamond vip jengo letu la Wcb halijaisha tuhamie kwetu 😂😂

  • @annasumawe1325
    @annasumawe1325 Місяць тому +4

    Na si wairaq tulivyo na kinyongo kibaya ukimwacha mwanaume anapata ma balaa hatar cjui kwann yaan 😂

    • @johnwilfred3920
      @johnwilfred3920 Місяць тому

      Mambo

    • @Kabwela776
      @Kabwela776 Місяць тому

      Wanawake wa kiiraqw mna roho mbaya sana Na umalaya unaweza kuoa Na anachepuka Na akapewa mimba Na wanaume wengine wewe unalea watoto sio wako, ni malaya sana nyie wanawake wa kiiraqw hamjui kukataa kabisa yaani kuoa mwanamke wa kiiraqw unawaolea wengine maana kila mwanaume atalala naye had i shemeji zake Na uwa mnalalana ndugu kwa ndugu

    • @annasumawe1325
      @annasumawe1325 Місяць тому +1

      @@Kabwela776 ndugu yangu hamna kabila sio malaya wote malaya ndo maan wanaachika pia khaaa hiv sis tunawafikia warangi kwa umalaya wanatembea hadi na ndugu zao mjomba anatembea nae ila sisi hata ukoo ukiwa moja tu nyie tear ni ndug hamwez tembea wala kuoana na ukitaka kuoa lazima ufatilie ukoo mbka wa ma babu km hmn ndo unaoa shida uzur ndo unatuponza sana tunaonekana malaya wanawake wangap ambao sio wairaq wanazaa nje ya ndoa na mtto sio wa huyo mwanaume????? Ni tabia tu yamtu na mbona sisi hatua hiki ovyo kwenye ndoa km nyinyi so usipende kuropoka hujui mila za watu

    • @annasumawe1325
      @annasumawe1325 Місяць тому

      @@Kabwela776 na pia kwenye roho mbaya kisa rest anamwambia ukweli niffer mnasema ana roho mbaya hiv unajua ni kwann waligombna mbk uropoke??? Huyo niffer enyewe ana roho mbya na chafu ogopa mtu anaekuja mtandaoni na kujitilisha kuwa anaroho nzuri anahuruma ogopa sana mtu wa hivyo au ww hujaishi na watu wa hivyo ndugu yang watu wa hivyo ogopa sana wanaroho mbaya bora anaesema ukweli kama rest na huyo rest anakuja mitandaon kama hivo ili biashara zake ziende ila nyinyi mnamwita anaroho mbaya khaaaa hivi unajua niffer katapeli wangapi ungekuwa unafatiliaga toka nyuma alivyotapeli watu comment tiktok usingemtetea ht kidog kwa taarifa yako niffer zile biashara sio zake ana tajiri anamlipa sawa ndo anatumia jina lake tu analipwa lakin biashara sio zake zile mbona niffer pia anadanga ndugu yangu au hujaona zile vidio akifirwa. Naye sio malaya????? Me nina udhibitisho wa vyote nipo kwenye mambo hayo ndug so usipende kuropoka tuna roho mbaa nakat makabila yote hukose mtu mwenye roho mbaya hata ww hapo cdhani kama huna roho mbaya cdhan km unampenda kila mtu ndug ungekuwa unampenda kila mtu wal usingemchukia ht rest so hata ww unaroho chafu na mbaya sana😀😀😀🤣🙏🏻🙏🏻ukimhukum mtu jiangalie na ww je umekamilika??? Ndo uanze kuropoka ndugu

    • @annasumawe1325
      @annasumawe1325 Місяць тому

      @@Kabwela776 wwe bendera fata upepo ni mwanaume lakinkichwani hamna kitu yaani mwanaume kama wwe cwez ht ishi nae ningekuwa nakuchapa makofi pumbavu mwanaume unakuwaje kama dem huna akili ht hujui kuchanganua mambo why unaropoka kama dem fuck

  • @sakinamremi
    @sakinamremi Місяць тому +4

    Huyu kiboko yake recho temu uishi nae bila ndoa unataka mali ipi story ya hiyo nyumba tunaijuwa na huyo bwana alikuwa anauza madawa na ndio yalimfunga na habari zako tunazijuwa na tunajuwa na wewe unafanya nini subiri siku yako

    • @tulinave9207
      @tulinave9207 Місяць тому

      Kwani sehemu gani alisema ana taka Mali?😂😂..ila jaman watu mkiwa mnachuki jitahidini muwe na akili pia😂

  • @amanisalum1638
    @amanisalum1638 Місяць тому +3

    Kukompasati ndio kufanyaje?Ama unamaanisha Kukontribute?Sasa hayo yote yamejia Nini?

    • @annamathias1382
      @annamathias1382 Місяць тому

      Bora hata umemwambia kama hawajui maana ya maneno wawe wanaongea kiswahili tu

    • @homeandaway2811
      @homeandaway2811 Місяць тому

      Yaani huyu dada 😂😂😂😂 RIP English

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Місяць тому +1

      ​​@@annamathias1382Mawazo yangu exactly. Tunajitutumua na vitu tusivyoviweza na kuishia kujidhalilisha tu bure. Hebu fikiria mtu anasema " six monthes" ndio nini hicho

    • @neemalambo9790
      @neemalambo9790 Місяць тому

      ​@@Brunn-mh2bq 😂😂😂

    • @miriamjohn7644
      @miriamjohn7644 Місяць тому

      Wakina jerry slaa imekuaje?

  • @Bintimrembo-y1v
    @Bintimrembo-y1v Місяць тому

    90m mlitoa wapi wakati enzi hizo ulikuwa huna kazi😂😂😂 si useme kweli tu pesa za semba 🙄🙄

  • @NeemaSamweli-t4c
    @NeemaSamweli-t4c Місяць тому +1

    Mijanajike inayoshinda mitandaoni siyo ya kuoa na hata ikiolewa inaachika chap...kama hili li gumama linahangaika na simu mitandaoni yaani fyuuuu.

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati Місяць тому +3

    Weee acha kudanganya Jamii...Hiyo nyumba niyajamaa anaitwa JOHN HUGO.. na amepambana saana kuhakikisha nyumba inakaa sawa..usijaribu kutafta umaalufu kupitia vitu vya watu...usitake tukaweka mambo Yako hadharani.

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky Місяць тому +7

      Wewee Vp c usikilize kwani kasema yake? Kasema ni ya mzazi mwenzake alipotiwa ndani huyo kaka akamwambia apangishe😮 fyuuu

    • @nancymorenje3880
      @nancymorenje3880 Місяць тому +2

      John Hugo sio yake umechapia. Jaribu tena

    • @lodvee1717
      @lodvee1717 Місяць тому

      Director km Director😂

  • @EliusPonde
    @EliusPonde Місяць тому

    Kwahiyo diamond yeye kila kitu ni kupanga tu nyumba si anasemaga ana pesa nyingi kuliko alikiba mbona alikiba amejenga nyumba ns anaishi kwake

  • @Swalehemussa-z4d
    @Swalehemussa-z4d Місяць тому +1

    Apo wcb brand inashuka namshauli diamond ahame

    • @kitengediedonnee5190
      @kitengediedonnee5190 Місяць тому +3

      Akuna cha brand kushuka ....mbona ni kitu cha kawaida sana....Hata mabenki na makampuni makubwa huwa wanakodi sehemu Kama ni nzuri kwa biashara , ni huwa inasaidida sana kupunguza tax.

    • @omariputto3315
      @omariputto3315 Місяць тому

      Truth​@@kitengediedonnee5190

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati Місяць тому +4

    Wewe unashida mpaka matakoni...tena mtoto mwenyewe umekulia kambini na babaako kahamia kawe baada ya kustaafu..hauna jipya tena..kafilwe mbele huko.

    • @damianlyimo1011
      @damianlyimo1011 Місяць тому +2

      Nini shida kaka unatukana mtoto wa kike kama Mke mwenzako?

    • @pengefeza2563
      @pengefeza2563 Місяць тому +2

      Matusi ya bure huyu bado anafanya kazi yake anapambana vizuri tu. Anakula kwa jasho lake.
      Maisha yake chagua lake acha makasiriko fanya kazi yako.

  • @AbuuAhmed-d4n
    @AbuuAhmed-d4n Місяць тому +1

    Sasa wewe unamaisha yako kwenye mitandao ya nini?

  • @comm611
    @comm611 Місяць тому

    .

  • @MajaliwaMhungati
    @MajaliwaMhungati Місяць тому +3

    Asee mchiz alikosea saana kuzaa na Mbwa kama wewe.....Bora ungekufia kariakoo

    • @Mrszizo-d7t
      @Mrszizo-d7t Місяць тому +2

      Sbuhaanallah usimchukie mtu kiasi chakumuombea mabaya ww unajua yeye pia ana watu wanaompenda kama ukiona humpendi usi comment

    • @Mamshika
      @Mamshika Місяць тому +2

      Kwa nini usife wewe ,Acha kumuombea mabaya binadamu mwenzio

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je Місяць тому

    Kwa huu mdomo lazima uachike tu