MALAYA NDOIGE (PART 01)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 лис 2022
  • #clamvevo #mtotoasma
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 665

  • @florarenister4352
    @florarenister4352 Рік тому +185

    Jaman Leo sku YANGU ya kwanza ku_comment nimeipenda Sana naombeni ata like mbili tuuu

  • @neematawalani
    @neematawalani 14 днів тому +2

    clam we kweli noma unajua kuigiza ongera mnooo mungu azidi kukuonyesha njia

  • @nadanasser1020
    @nadanasser1020 Рік тому +14

    Ila uyo kaka bwana wake vai nimependa saaana anavyoigizaaa Masha allah

  • @mariasmith4301
    @mariasmith4301 Рік тому +11

    Kwa kweli mnajua mnajua mnajua tenaaa 🔥🔥🔥🔥🇹🇿

  • @athumanimohameditengeni603
    @athumanimohameditengeni603 Рік тому +11

    Daah maisha yetu kbsa unakuta demu anakuektia anakupenda kumbe daah

  • @samtagwajuma
    @samtagwajuma 4 місяці тому +4

    hata mimi namkubali sana huyu mdada anajua sana kuigiza sana yani tena zaidi ya sana

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 Рік тому +23

    Clam ww na uyu baba wa shat ya blue msiachanage mna vibe yakutosha🤣🤣🤣🤣

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Рік тому +23

    MALAYA NDOIGE UMETIXHA, ONGERA XANA KWA KUVAA HUUXIKA VIZURY 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @lusimyombe1007
      @lusimyombe1007 Рік тому +1

      Jmn w dada nimependa sana uigizaji wako umetisha sana dada khaaaa jmn ww

  • @francescafrancesca8901
    @francescafrancesca8901 Рік тому +4

    Ndo ivo ilivyo. Mke Malaya anakuwa mnafki kuliko wanafiki wote duniani analia machozi ya mamba ili kuonyesha yeye hana hatia. Ao Mungu anawaona.

  • @elyvin
    @elyvin Рік тому +4

    Ukwel usiopingika ndani ya maisha ytu nimependa saana huyo sister jins anavojitetea kwa jamaa yke

  • @ismaelmsembwaismaelmsembwa2694
    @ismaelmsembwaismaelmsembwa2694 Рік тому +13

    umoja ndo nguvu ndugu yng 💪👏👏😍😘😂😂😂

  • @immaculatekutto2121
    @immaculatekutto2121 Рік тому +5

    Mapenzi inauwa but kufanyia mume wako mpango wa kando siyo mzuri, Ee. Mwenyezi mungu Utuhurumie ss na dunia nzima Amina 🙏

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Рік тому +30

    Clam ni king 👑 wa comedy na huyu dada ni queen 👑 wa comedy 👑

  • @deccosmartboemusic4439
    @deccosmartboemusic4439 Рік тому +1

    Uyo demu namkubal anajuwa sana kuigiza then mzur

  • @RehemaMussa-u5i
    @RehemaMussa-u5i 21 день тому +1

    Nampendaa sana anajuqaaqq kinomaa

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 Рік тому +57

    Duuuu mumeweza Sanaa hasa huyo binty malaya nafasi yake kaicheza vizuri saana hongereni sana washiriki tunasubiri muendelezo

  • @sonyboyofficial
    @sonyboyofficial Рік тому +12

    Clam uyu dada anajua salute kwake

  • @AliAwadh-ev7dt
    @AliAwadh-ev7dt Місяць тому +1

    Iko sawa Kenya tuna wakubali

  • @EnelGosbat
    @EnelGosbat 3 місяці тому +3

    Mmetukosha 🎉 balaa maua yen mnasitail jaman

  • @FredyPeter-i8t
    @FredyPeter-i8t Місяць тому +1

    Daaaaah uyo dada nomah analia kbxa

  • @IbrahimuHaule
    @IbrahimuHaule 4 місяці тому +2

    Dada nmelipenda hiyo muv umeuwa

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 Рік тому +8

    wewe dada hongera sana unajua kuigiza na big up sasa uyo dada akiegiza malaya

  • @amoury1481
    @amoury1481 Рік тому +23

    Wahusika Wamecheza Vizuri sana Nafasi Zao Big Up Clam

  • @mrben227
    @mrben227 Рік тому +14

    Inafundisha sana, congratulations 👏

  • @emanuelpoul3128
    @emanuelpoul3128 Рік тому +2

    Jamaa kauwa sana javaa uhusika

  • @mohamedijuma3703
    @mohamedijuma3703 Рік тому +9

    Munajua vizuri sana make me smile

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 Рік тому +3

    Ndugu yangu hapa kazi ip yaani ukisikia maraya ndoige Ndo huyo yaan ukipita kushoto yupo kulia yupo
    Kama umesikia hiyo like kwa mmbwa ww

  • @hevizymatho7853
    @hevizymatho7853 8 місяців тому +1

    Haha... kuenda kuchapa mzigo

  • @simbajumanne9718
    @simbajumanne9718 Рік тому +2

    na wewe belihamu hongera sana utafika mbali xana

  • @rajsmartbusiness8710
    @rajsmartbusiness8710 Рік тому +13

    Daaaaaaa huyu demu ni 🔥 🔥 🔥🔥🔥

  • @josephlemi8084
    @josephlemi8084 Рік тому +9

    Hongera xana mnaweza Ila naomba kujua jina la huo wimbo bora nibaki mwenyew 🔥🔥🔥

  • @neemasawe7016
    @neemasawe7016 Рік тому +11

    Kafanana na Lulu Kwa mbaaali

  • @UASHARATIWATIKTOK
    @UASHARATIWATIKTOK Рік тому +17

    Nimecheka kisenge naendaaa nyumbaniiii🤣🤣🤣🤣🔨

  • @christianjeandedieu6169
    @christianjeandedieu6169 Рік тому +2

    Huyo mr kofia yupovizuri kbs

  • @Rod10115
    @Rod10115 6 місяців тому +1

    😂😂😂😂pole kijana tafuta ela

  • @maindaafricanbeauty3360
    @maindaafricanbeauty3360 Рік тому +1

    Jamani mpo vzr kama mtuuu akitaka kujiunga na nyinyi nafanyaje mm nata kujiunga na nyinyi

  • @shebynizertechnicallyskill3005

    Clam msenge sana hyu jamaa ety mpwa pwa😀😀😀😀😀

  • @user-ll7ej1ei2t
    @user-ll7ej1ei2t 6 місяців тому +1

    VaI unajua jaman😘😘😘❤

  • @JumanneShingsha-ks4vb
    @JumanneShingsha-ks4vb Рік тому +1

    Vai nae Kwa kuigiza analia ni noma sana 😂😂😂😂😂😂❤️❤️❤️🚶🚶

  • @elysejdoficial2067
    @elysejdoficial2067 Рік тому +20

    Much love frm Burundi 🇧🇮❤

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 Рік тому +2

    Aisee hii kali

  • @bensonfrancis5599
    @bensonfrancis5599 Рік тому +3

    Wanawake wabaya saana

  • @danielmkama24
    @danielmkama24 Рік тому +25

    😆😆😆😆
    Clam is 🔥 ety naenda nyumbn...

  • @IsmailMadrelya
    @IsmailMadrelya Рік тому +6

    🤣🤣🤣🤣Huyu dada ni balaaa aiseee,,, bora wew clam nenda nyumbn

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 Рік тому +1

      🤣🤣kbs

    • @IsmailMadrelya
      @IsmailMadrelya Рік тому

      Hakika sijawah coment UA-cam mm zaid ya kuangaliatu nakusoma coment za wadau ila kwa mara ya kwanza nimejikuta uzarendo umenishinda ,,hii Dunia ina mambo hakika🤣🤣🤣

  • @manyanyazakaria
    @manyanyazakaria Рік тому +22

    Hee Huyu dada malaya ndo type ya wanawake weng bairam still man of the match

  • @manmgomi3042
    @manmgomi3042 Рік тому +2

    Uyuu mwanamke anaweza akakuhua kabisa kabisa kweli ni kuigiza lakini mmh

  • @user-wl7un5uu6f
    @user-wl7un5uu6f 4 місяці тому +2

    À santé kwama shaùri yenu mimi mukongomani🎉

  • @yazidoSaide
    @yazidoSaide 21 день тому +2

    Hapo kwenye mchanganyo😂😂😂

  • @juliusjoseph4889
    @juliusjoseph4889 Рік тому +32

    daaaah huyu Binti anajua kuigiza kwa hisia😂😂😂😂 nampenda jamn naomba namba yake nitafika dau,ila Yuko vzr kabsa Kwa kuigiza

  • @KevinShaneou
    @KevinShaneou 20 днів тому +2

    Kazi njema

  • @user-jn7pi4fl5m
    @user-jn7pi4fl5m Рік тому +3

    😀😀😀😀huyu mwanamke hata uso wa firauni hauoni mwongo mwongo tena huyo shetani akae pembeni😀😀ila hapa mnafundisha tusiaminike wanawake😀😀😀

  • @peninachikoti2078
    @peninachikoti2078 4 місяці тому +1

    Heeeeee huyu mwanamke kiboko nyie😂🙌

  • @kudraSalum-h5w
    @kudraSalum-h5w Місяць тому +1

    Eee kafanana na lulu kwambali🎉

  • @HhosnaRashid
    @HhosnaRashid Місяць тому +1

    mko vzr sana kwakweli

  • @wysentanzania9061
    @wysentanzania9061 Рік тому +13

    Huyu dada anajua zaidi sanaaaaaaaaaaaa mpaka ana boa

  • @Halimamaere
    @Halimamaere Рік тому +7

    Akii clam bwana wew ety mpira mumoja tunapiga wote kicheche bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @user-mu7lh7pl4k
    @user-mu7lh7pl4k 4 місяці тому +1

    Duuuuuh kweli malaya 😮😮😮

  • @bullettruck5058
    @bullettruck5058 Рік тому +6

    Oyy part 2 musichelewesh

  • @shedrackhyera1844
    @shedrackhyera1844 Рік тому +28

    Part 2 isichelewe wazee hii imekaa poa sana!

  • @ngatunin.p.4292
    @ngatunin.p.4292 Рік тому +25

    Brother aliyeigiza ana dem malaya amevaa uhusika aslimia 100. Bravo kwake na kwenu wote .. Mko vzur sana

  • @munirajackson2695
    @munirajackson2695 Рік тому +11

    Clam na bairah mumebaki midomo wazi🤣🤣🤣🤣clam kabaki eeeh eeeh eeh😂🤣Malaya konk

    • @zabibukayunga1912
      @zabibukayunga1912 Рік тому +1

      Nimeipenda ile eeh eeh!naenda nyumbani!

    • @munirajackson2695
      @munirajackson2695 Рік тому

      @@zabibukayunga1912 🤣😂🤣😂🤣clam hunimalizaga sana na iyo naenda nyumbani yake😂🤣🤣

    • @florahfrancis1613
      @florahfrancis1613 Рік тому

      @@munirajackson2695 haswaaaa

  • @michaelshiraku7217
    @michaelshiraku7217 Рік тому +1

    Vai nakupenda mm pumbafu zangu 😅much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @sharoncherotich352
    @sharoncherotich352 Рік тому +10

    Àkh uyu binti anajua kuigiza Kwli 😂 tena kwa hisia zake,,,,, Afuu Clam nae, 😂 Ety naenda nyumbani.......😂😂😂😂😂😂

  • @saladbashir3860
    @saladbashir3860 Рік тому +1

    Kaz nzur xna

  • @vanesa4619
    @vanesa4619 Рік тому +1

    Duuuuu nimeikubali sana hyoooo

  • @ibrahimbaraza1472
    @ibrahimbaraza1472 Рік тому +1

    Aki uko juu mrembo

  • @Halimamaere
    @Halimamaere Рік тому +7

    Clam clam clam😂😂😂😂😂😂nmekuita mara ngapi bwana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mokuaruoti3024
    @mokuaruoti3024 Рік тому +21

    Uyo dada anajua kuigiza sana Hadi analia na ametoka kudanga...much love from KENYA

  • @joycenzadze
    @joycenzadze 4 місяці тому +1

    Wow hii Ni kali Dada umeweza naomba comment jamani

  • @amirmussa6735
    @amirmussa6735 Рік тому +1

    Ila vai chombooooo

  • @gntelevision_
    @gntelevision_ Рік тому +3

    Hahahahahh nimecheka sana kama mazuri vile, kweli NDOIGE

  • @user-yx7yc3qh6o
    @user-yx7yc3qh6o 4 дні тому

    Bailam sio pow duuuh unajua

  • @dicksonmwelekete5713
    @dicksonmwelekete5713 Рік тому +4

    Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣👏 brother umestisha Sana

  • @kwaleboy6064
    @kwaleboy6064 Рік тому +1

    Nyinyi acheni ushoga toeni movies bana huwa mnanibamba..walai mkojani hawawezi kabisa mko juu

  • @japhethelijah4252
    @japhethelijah4252 Рік тому +8

    Aseeeeeeee 🤣🤣🤣🤣 ndo maana awa madada wazuri wazuri nawaogopa kinyama

  • @wardadanda6322
    @wardadanda6322 Рік тому +2

    Jamn part 2 isichekewe daah uyo dada noma ameweza

  • @lameckjoachim3799
    @lameckjoachim3799 Рік тому +3

    first born here more like needs

  • @hevizymatho7853
    @hevizymatho7853 8 місяців тому +1

    Kazi nzuri

  • @simeonchui2256
    @simeonchui2256 Рік тому +3

    Hayari😂😂😂🔥🔥🔥Na wa kumbali toka🇨🇩

  • @geomangi6123
    @geomangi6123 Рік тому

    malaya ndoige waah. mtakuja tutoa roho na hizi comedy zenu jameni

  • @MuhammedJuma-p5k
    @MuhammedJuma-p5k 5 днів тому +1

    Namkubali sana aclam

  • @khadijaramadhanishaban9896
    @khadijaramadhanishaban9896 Рік тому +1

    Yaani huyu Dada jaman anajua kuigiza 👐

  • @stevennyondo2215
    @stevennyondo2215 Рік тому +6

    Asee mnaigiza uhalisia hadi machozi huku.
    Waiting for part two.

  • @emanuelpoul3128
    @emanuelpoul3128 Рік тому +6

    Kiukwel nimeipenda sana uyu demu kauwa sana kafanya nimkumbuke demu wangu alikuwa Malaya sana aiseee

  • @titoihaji215
    @titoihaji215 Рік тому +3

    Mko wasa you are on top big up guys

  • @hadidjaniyosaba6663
    @hadidjaniyosaba6663 Рік тому

    Mashallah tabaraqllah nawapenda sana tiktok 😍😍🥰🥰💃💃❤❤❤❤UA-cam 😍🥰🥰🥰🥰🙏🏾

  • @saquinaalisufo7666
    @saquinaalisufo7666 Рік тому +1

    Clam hii ni moto 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🤣🤣🤣🤣🤣essa senhora sabe fingir

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 Рік тому +2

    Madem mapretender mbya chunga Sana awa watu

  • @esthermwinuka8141
    @esthermwinuka8141 Рік тому +5

    😁😁😁😁😁😁😁😁😁dada mkavu uyu

  • @user-nv8br1fv9f
    @user-nv8br1fv9f 6 місяців тому +1

    Uko p sana mrembo mm n noty abdhallah nikiwa kenya

  • @omarisaria1997
    @omarisaria1997 Рік тому +1

    Haki muko vizuri sana wabongo, 😙big up 254.

  • @clichytraveller8099
    @clichytraveller8099 Рік тому +10

    😂😂😂 Daaah huyu clam anajua jamani

  • @boythenuru4125
    @boythenuru4125 Рік тому +1

    Mmmmmh hapo hatar kweli huyo ndoige ameplay part vizuri sana

  • @chimamijoketi6799
    @chimamijoketi6799 Рік тому +2

    Kweli nimeipanda sana dada anajua sana🤣🤣🤣🤣🤙🤙🤙

  • @abdulazizsharif2984
    @abdulazizsharif2984 Рік тому +4

    Alaf huyo dada anamfanana Lulu Michael 100%

  • @cosmasthomas9164
    @cosmasthomas9164 Рік тому

    Mmmmmhhh,huyu mkali,anajua kuigiza kinoma!bravoo.

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 Рік тому +5

    Clam 🤣🤣🤣🤣 naenda nyumbani ii🤣🤣🤣

  • @florianarchard9679
    @florianarchard9679 Рік тому +1

    Hapo mwishoniiii hapo....et naenda nyumbaaaniiii🤣🤣🤣🤣🤣 bro shikamoooooooo

  • @zamoyonikamazi2918
    @zamoyonikamazi2918 Рік тому +1

    Hata me nilikua na Mt Kama uyo sasa bas iri kujua utumie Sana akili maana wanakuaga wakavi Sana wanalalamika San kumbe mbwaaaa

  • @nashirmasoudi
    @nashirmasoudi Рік тому +1

    Malaya kawapiga za macho hawaoni dah