Ila maneno muachee huyu dada ni mzurii Sana tenaa anajitambua Sana watangaa wapo vizurii sanaaa I love you feyvan mungu awape maisha mazurii muwakomeshee wambeaa
kwani wote wanaoishi na wanaume wamefunga ndoa??? na kwan hawawaiti waume zao ni mabwana wao??? wabongo buana mnapenda kuona ya wenzenu tyuuuu mungu hapendi
du kumbe instagram unaeza pata mamyloo safi kabisa ngoja sasa nikadowload hiyo insta mana sina au huku huku naeza pata manz ili nighair kudownload jaman warembo??
Seeing this after the big break up and then he is back to our favourite girl yaani fahyvanny kiboko yao..😅😅😊we pray the reunion last forever.
Kumbe siko pekeangu hapa
Tuko wengi
for the first time i drop my coment this woman is real and mature. i love this couple.
Huyu dada inaonekana amelelewa maadili mazuri sana MUNGU awasimamie kwenye maisha yenu
Ila maneno muachee huyu dada ni mzurii Sana tenaa anajitambua Sana watangaa wapo vizurii sanaaa I love you feyvan mungu awape maisha mazurii muwakomeshee wambeaa
This woman is so mature ...I love her na ndo baaaaaasiiiii...and she even apologized again....😍😍😍😍💯
By
Napenda Sana kazi zako ndungu yangu natamani Sana kuwa karibu Sana nawewe
So beautiful, Such a real woman humble low-key
YOUR SOOO BEAUTIFUL BABY GIRL NA UMEONGEA POINT SANA .🇰🇪🇨🇿
Kama naww umesikia very rooooooong,gonga like
😂😂😂
😂😂😂roooong seriously
My country pple😂😂😂😂
@@raelachayo8591 yeah our fellow kenyan🙂
😂😂😂😂😂
Wangapi tumerudiyahapa wakati wa Paula?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbea ww
@@ShSh-my8cw 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kujimakini nako
Mtoto wa tanga haachwi ndio nimerudia hapa 😄
Kmaaa ndoo mRa ykoo ya kwanza kumuona fyma kwenye intervew gonga like aapa😀😀
Rayvanny and Fahyma the best couple 👏👏👏👏👏👌💯
Nampenda moto uyu kweli ni mtoto mwenye heshima 👏👏
fahyma nikazur kanajielewa sana mashallah😘😍
Anajielewa nn kama karitadi
Kuhusu ndoa wakat wamungu ndiyo sahihi dada mungu awajalie her😊
Nani ako huku kujikumbusha tu aliposema haezi achwa🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi ati mtoto wa kitanga
😉
@@sandrakateslopez2488 yaan natoa macho tu hta si mmaliz huyo dada kwenye r ana eka l na kwenye l ana eka r mtihan hawa wasanii wetu
Jamani mbonaivo binadam hmmmm kwani ulitaka aseme iposiku tutaachana watu jaman kufa situnajuwa kama Hakuna atakae baki dunian ila Nani kasema nakakufa 😀😀
Nawwe.rudi nyuma kwenye maisha yako utakuta byenye ulisemaga naukabipita
Wow @ fayma you just one in a million may God keep you and your relationship gal bigup
😭😭😭😭😭they broke up
Mashallah fahima mzur kama mmi wajina wake
Kweli wew mzuri ummu
Mbona anaongea kwa kujiramba ajiamini vile
Maashallah ima so beautiful 😍 😍😍 😍😍 😍
Thanks for astory dear, much love💚
Kura yangu nimewapa nyinyi best couple
"Nilikuwa Lesi sana" "nikianza kuelezea it's arooooong stoly" hii shida sasa.😂😂😂😂
😁😁
Kassim Rajabu 😂😂😂
😆😆😆😆😆
yaaani jitu zimaaaaaaaaa linashindwa kutofautisha r na l wanakwazaaaaaa
😂😂😂😂😂😂
Mmmmmh mm nawatakia maishamema tuu na nawapenda sana❤❤❤
Rayvanny is very handsome boy, I really admire him.
Hello
Mi nataman nione macho yko jmn isitoshe umedamshii❤️❤️
Kwann macho
@@sharayamohd6363 Napend tyu kumuon uson bila mawan sababu Napend macho yke sina sababu nyingine au ww wafikiria vp
Nakupendaa San fahyma❤️💖
Nakuombea dadangu mungu awajaalie mufunge ndoa ya kheri inshaallah
😭😭😭😭
Akili kubwa maana watu wana midomo mirefu 🥰🥰
😁😁
Very intelligent beautiful young lady tzd
May God bless your union, 🙏
nilicho kipenda kwako shem ni mkweli sana yani kunawanawake wengine ni wazuri kushinda wewe safi sana umejikubali
Kama umeskia audio coll na sio voice coll acha like japo Kama unajua kusikiliza kwa makini
Fahima umeongea point nzuri mungu awaendeleze
Faima kakua mzuri maashallah
Faimaa nakupendaa da😘😘😘😘
Fy nakupenda nakupenda mnoooo u mwelew xn
Wow 💞so Sweet😍
No one is perfect na kila mtu ako na upungufu wake.. Sionhei mengi kwa sababu mimi pia ni mwanamke
Gooood sana Mrembo fahyma uko vzr sana
Uyu dada yuko kwenye malezi mazuri na naamini kuwa anampenda sana rayvani , poles sana fayma
Tafadhali achieni kizungu wazungu na wale wanawezana nacho. 😂 😂 😂 to cut this roooong story short tupende Kiswahili Sheng achieni wakenya
God bless you.254 mpooo
254🙋🙋🙋🙋🙋
254 oyeee....wa githu najua mko apa
Tupo kwa mpingo
Wakujie lessons kwa kartelo
Love you faymah
My best couple... Single ladies tujuane hapa
MaryGrace Msigwa hello
Hellow..
@@raymoneyog-theafricantiger Hellow.
MaryGrace Msigwa How are you
how are you
You r beautiful dear
I am here after they're back together 😍
Jmn kumbe Instagram nitamu kumbe ngoja Nika download now kiukwel kumbe naweza pata mume kule ila mm naichukia sanaa kumbe nzuri jmn loooh 🏃
Hukty Asnaty mume wangu nilikuta nae insta mpka sasa ni mume
@@sarahalfani3124 jmn uwiiiiiiiiii mbona awaji jmn nataka iyo bahat jmn mimi
Hukty Asnaty haha
Mmm
Hukty Asnaty 🤣🤣
WA SNS Shukran Sana kwa kumuona Fayma
Pole sanaa kwa kuachwa
Uko vizuri na umepatia kipaji lengo LA kila kitu ni kukizi yako na ya jamii inayokusogea
GOOD COMMENT BY THE LADY...WOMEN SHOULD RESPECT THYA HUSBANDS...
She is very beautiful
Shout out to u fayma you know how love is 👏👏👏👏❤❤
official istar focus
even me I can't listen anyone😂😂😂😂
Shenzi😂😂
🤣🤣🤣
Tanga. Tuwarembo jomn. Ebu. Like wataka watnga wenzangu
Daa fatma sio kwa ubaya nikuulize huyu bint mbona kartadi ?Ama family yake sio waislaam Wa kuzaliwa?
Nisamehe kama nitakuwa nimekukwaza coz nimeona labda unamfahamu
Dogo janja kashapita hapo🤣🤣
Sanaa mtoto mwenyewe nimrembo
@@ladymashaallahilikeuaadvis997 majibu kwa umbea sijaulizwa mm ila karitadi mtt mzuri an achezea moto kwa vidole
Its a rong story very rooooong story 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️
🤣🤣🤣🤣
Mamori Dan 😂😂😂😂😂
mamori dan acha uchokozi bwana lol
Mamori Dan 🤣😂😂
😂😂😂😂
Love u fahyma mamy
I can't listen anyone broken english speak kiswahili mbona ni lunga safi tu
Nani kaja kusikiliza hii intevew baada ya fayvanny kupigwa chini tujuane na likes 🇶🇦
Nimekuja baada ya fayma kurudiwa
Karembo jamani❤...ila usimsifie mwanaume saaaaana..bakisha mama ila napenda couple yenu
Saidah licious 254 sawa umeona
Sifa nyingi those are the results
Besty couples ❤️🥰
It's a rooong story......aaaaaa mama 😁😁😁😁😁sasa ushatuambia ni rong tusikilize au tupite
Ha ha bora tupite
I Love you so much baby faima
Nakubeda Sana mum faima mupezi wa ravanny
kwani wote wanaoishi na wanaume wamefunga ndoa??? na kwan hawawaiti waume zao ni mabwana wao??? wabongo buana mnapenda kuona ya wenzenu tyuuuu mungu hapendi
Waambie my
Ni bwanake mnaumwa wapi
Jamani😒😒🤔
Kwel hp wanazugaa kushangaaaa
Penda Sana ninyi ..hongera umejua kujieleza
Nice couple mungu awawezeshe to stay strong 💪
Nakukubali San fahima
Umeongea Point sana pole lakn
I really like her... biggest fan😍
Kazuri sana
Nakubali sana huu couple
Ka beautiful 🤗😘😘
Am the #SNS’s Best #MVS
Waislamu nao kila mara wao huona dini yao ndio dini pooh mnaboo.Only God can judge we Christians know God will judge all people
M’ss vanny unajitambua nimekupenda bure
So Cute Fahyma
Big up sana shemeji!;
Karibu tena mbeya
Safi sana namsikiliza mme wangu tyu Sasa kwa upande wa pisi zingne zinasikiliza maneno ya watu hawataki kuwasikiliza waume zaoh
Cool
Things Gonna Change on de World to suit de current movement
❤❤❤fey
Safi Sanaa hatakama Janjaro katafuna mzigo yamepita Yale SEMA nyote wawili mnaushawishi,...Mhenga mmoja Aliniambia wanawake weupe Sio Watamu Bwana duu...•√
Mbona mm mtamu
Nivizuri Kama uko Mtamu by the way Sio Wote Ila Wengi wao...
mmmh dogo janja ameshachimoa betrii hapo
Duh
Mungu ndo anaye panga kam ipo ipo tu
We mzuri jamn nakupenda 😘😘😘
Itapendeza sana mukifunga ndoa
Jifunze kusema inshaallah
mzurii wweeee
'Walembo, mala ya pili.' watanzania nyi hunishinda
PC kaki
Dada unajiamini mupaka u achika 🎤🎤 🏃♀️ 🏃♀️ 🏃♀️ 😂😂😂 Paula kakutimuwa 😂😂😂🤣🔥🔥
Washa taa 😁minashangaa ujue
Kupigiana video call ikageuka video ya paula😂😂😂😂😂😂😂
Pole,,this ladys engrrrish is very rooooong lol ,,,oh dear even with her trying to be so confident lakini english Balaa
Kibali😀⬜
Mimi nime rudia Huku Leo Nani mwenzangu Alie rudia kama Mimi tujuane, Huyu demu ni mrembo jamani she's so beautiful
Umbea TU umetuleta hapa 😂😂😂
Kwanza huyu Sasa........... oh my shrubber!!
roooooong story bado ni sawa bwana wee, kizungu kilikuja na meli bwana itabdid tunaelewa....
Anakupenda sana naona sahii mume wako ana paula
😃😃😃
Fayma wa zaman mzuri jaman ila sahv hapana
du kumbe instagram unaeza pata mamyloo safi kabisa ngoja sasa nikadowload hiyo insta mana sina au huku huku naeza pata manz ili nighair kudownload jaman warembo??
😂😂😂
masalago vp mbn wacheka
Qwel
hahaaha
Wah!!!
❤❤
Namkub namkubl san msanii wangu rayvanny
Fahima ana hekma sana
MashaAllah ako mrembo tu sana...👌👌😘😘
Kuna mwengine kasema hivo uyu Mansha Allah haimustahili
Kwa nn...ama sio muislam na twajua mungu nimmoja, sijawaelewa plzz nijuzeni
@@OnlyRuky duhhh ok sawa kaka nimekuelewa Shukran