Mzee Magembe, kama ni Mungu amekutuma kwa ajili ya kazi yake mimi binafsi sipingani na wewe isije ikaonekana tunapingana na Mungu aliyekutuma. Mungu akutangulie na kukusimamia.
Najisikia kulia juu ya uaminifu wa huyu baba kwa Mungu hakuka Mungu nakuomba umlinde huyu Mchungaji ni moja ya watumishi wa chache wakweli walio baki duniani mimi nitasali kwako baba nahitaji uwe mchungaji wangu
Huyu baba Mimi namkubali,Hali ya kanisa Kwa Sasa siyo nzuri.tunaposema kanisa haimaanishi madhehebu Bali wafuasi wote wa Yesu kristo. Uamsho unahitajika sana kulifundisha kweli ya Mungu kuliko mapokeo. Kiukweli Hali si njema sana makanisani
Kuondoka TAG sio kosa maana wewe ni mhubiri mkubwa, na maonyo Yako mengi unaafata Bibilia, kama hawashirikiani na wewe Basi, anza kazi huko huko tuko pamoja Baba yetu🇮🇱🇹🇿🎤🌎🔥
Mchungj magembe nimekusikiliz nimekuelewa na nifananishe na kazi aliyofanya mtume paulo kwa wathesalonike TAG inafaham kazi na nguvu uliyonayo ktk kumhubiri kristo mabarza siku zote ni changamot tangu yesu kristo mpk leo walishindwa kumwani na wakamsaliti kwa viongoz wao ndivyo ilivyo Mungu awe pamoja nawe daima.
Wewe ni mtumishi wa kweli wa Mungu,, baraka zangu ziwe pamoja nawe kwa uwamuzi mgumu mzuri wa busara na wa amani uliojawa na ufahamu yakinifu bila kuleta buguza
Mungu akubariki na nimefundishwa mengi katika huduma zako hasa mafundisho ya uchumba na ndoa kwa vijana, kwani yalinibariki na kuniwezesha kupata mke mwenye Mungu ndani yake ambaye leo ni Mchungaji na anaupako kwelikweli. Hakuna mtu anaweza kuizuia injili uamuzi ulioufanya una hekima ya Mungu ndani yake, sisi ambao tupo bado TAG tutaendelea kupata mafundisho na mahubiri yako ambayo yataendelea kutukamilisha kumfanania kristo ili akirudi atukute tupo tayari.
MITANDAO NA HUDUMA! Wapendwa tumuuombe sana MUNGU kwa mtazamo wangu naona tupo katika kipindi cha hatari na kibaya kwa kanisa na watumishi, Ee Mungu muumba wa mbingu na nchi Tunakuomba uwalinde watumishi wako na kanisa lako katika kipindi hiki cha utandawazi, Amen!
Baba magembe Mimi umekuja Mara nyingi kanisani kwetu TAG Mara nyingi Toka nakufahamu unahubiri injili ya kweli na nikajua lazima utawachia dhehebu lao baba nipo na wewe kwnini tuogope Petro alisema tumtii Nani.UKWELI TAG .limeoza Cassian ameolionya Sana mwakipesile ameonya Sana na linako enda litakuwa dhehebu la kawaida Kama mengine
Misingi ikiharibika Mwenye haki hatafanya nini? Hii halama ya kujiuliza imeachwa wazi kwenye neno ili tutafakari kwa Roho. Magembe ni Mtumishi wa Mungu kweli na Mimi ni T.A.G nafahamu mengi kuhusu misingi iliyopo inashindwa kwendana na kasi ya uhamusho. Kiukweli kanisa linahitaji mabadliko Sana ila bahati mbaya watumishi wanapigana na adui Katika mifumo wanapotaka uhamusho wa kweli.
Kwani mimi najiuliza kukemea dhambi nikukemea wanjetu au hata waliopo ndani ya dhehebu ,mbona ukisoma makanisa saba katika ufunuo yalikuwa yakionywa na kujirekebisha, Mungu amempa kusema na kanisa muacheni asema nawatu kutubu ndio dawa
Mimi sio mshiriki wa TAG lakini nimekuwa nikifuatilia sana mahubiri ya huyu pastor,ni kati ya wachungaji wachache wanaoitaja dhambi kwa jina lake,maelezo aliyotoa kama yanashawishi vile lakini mm naogopa roho ya kujitenga na kuanzisha kanisa jipya,,Yesu hakujitenga,huyo Paulo na Barnaba pia hawakujitenga na kuanzisha kanisa jipya,,kwa vyovyote vile unachokianzisha sasa kitaitwa kwa jina jipya na sio TAG tena....ungeendelea kuchapa injili humo humo eidha watasikia au hawatasikia lakini maamuzi ya kujitenga mmmmmmh,,,sema nn kuna mahali Bwana anataka uende nitafute nikuambie wapi
Sasa kama wewe ulikua TAG baba kwanini ulipofungua hilo kanisa hukuliita TAG tawi la Canada? Mimi naona busara ilikua unapofungua ufungue kwa jina la TAG siyo kuliita jina lingine.
Afu kua na uelewa japo kidogo ndugu huwezi ita TAG kumbuka T inasimama Kama jina la inchi sawa asa unaweka matabaka ndani ya nchi ya watu au uliwahi ona TAG Malawi au inchi yoyote afu kazi ya MUNGU haina mipaka acha watu wapige kazi TAG Ni jina tu kinacho hitajika Ni uamsho wa kristo ndani yetu bs TAG haikupeleki mbinguni
Maana serikali inatumia pesa kodi zetu kwa kiasi kikubwa sana kutibu watu mahospitalini kwann hawa wanaosema wanafanya miujiza wagonjwa wanapona viwete wanatembea kwann wasisaidie serikali kwenda kuwaombea watu mahospital wapone waje uraiani waendele kutafuta rizki za kuhudumia familia zao
Amina pastor,nakuunga mkono,kanisa TAG na mengineyo yameoza sanaaa! Nakuunga mkono mtumishi wa Mungu aliyejuu!
Mtumishi wa Mungu haangalii dhehebu chapa kazi baba
Sisi tunaosikiliza mzee tunakuelewa sana na tunaunga mkono jitihada za mbinguni,Mungu akubariki tuko pamoja.
Imetupasa kumsikiliza Mungu na si mwana damu, safi sana Mzee Magembe
Mzee Magembe, kama ni Mungu amekutuma kwa ajili ya kazi yake mimi binafsi sipingani na wewe isije ikaonekana tunapingana na Mungu aliyekutuma. Mungu akutangulie na kukusimamia.
Mungu akupiganie Mzee magembe...
Najisikia kulia juu ya uaminifu wa huyu baba kwa Mungu hakuka Mungu nakuomba umlinde huyu Mchungaji ni moja ya watumishi wa chache wakweli walio baki duniani mimi nitasali kwako baba nahitaji uwe mchungaji wangu
Tupo pamoja pastor
Karibu kagera utufikie tuujenge mwili wa kristo injili ya uamsho ihubiliwe
Mungu akubaliki sana mtumishi uzidi kupata kibali kila mara
Ubarikiwe sana karibu Kanisa Takatifu la Mungu.Tegeta
Nakazi ili isongembele lazima kuwepo anaekosoa ,pia Mzee mimi nakukubali sana, Mungu atakuwa nawe katika safari yako, nahii kunawengi watakufuata tuu
Ulipo na sisi tupo Baba mungu atakulinda na kukusimamia katika safari yako
Huyu baba Mimi namkubali,Hali ya kanisa Kwa Sasa siyo nzuri.tunaposema kanisa haimaanishi madhehebu Bali wafuasi wote wa Yesu kristo.
Uamsho unahitajika sana kulifundisha kweli ya Mungu kuliko mapokeo.
Kiukweli Hali si njema sana makanisani
Hali SI njema katika makanisa mengi. Struggles zilizoko makanisani zinakatisha tamaa. Ndio maana Wakristo wengi wameacha kusali
🎉
Ninamaanisha struggles for power and resources
T.A.G imekufa kabisa nakuunga mkono mchungaji maghembe YESU siyo T.A.G piga kazi baba Mungu atakupigania
Mchungaji Piga Injili Baba Mungu Azidi kukupa Afya wewe na familia yako Ili watu wengi sana waletwe kwa YESU
Pumzika Kwa Amani kazi ya Mungu Haina mwisho uwe mshaurii
Nimeumia sana kuondoka TAG mchungaji Magembe,Mungu akubariki kwenye huduma unayoianza
Ni hila za adui kuondoa wachungaji wazur TAG huyu Baba ni jembe sana Mungu tusaidie JAMANI
siku zote ukisema kweli utaonekana unashinda yesu aliwambia mafalisayo ubayawangu ni upi munanishitaki , mungu akujalie mtumishi magembe
Kuondoka TAG sio kosa maana wewe ni mhubiri mkubwa, na maonyo Yako mengi unaafata Bibilia, kama hawashirikiani na wewe Basi, anza kazi huko huko tuko pamoja Baba yetu🇮🇱🇹🇿🎤🌎🔥
Tupo pamoja baba,, Mungu ni yule yule,, na msimamo ni uleule..
Baba yangu nakupenda sana unanitia moto Sana endelea
Mchungj magembe nimekusikiliz nimekuelewa na nifananishe na kazi aliyofanya mtume paulo kwa wathesalonike TAG inafaham kazi na nguvu uliyonayo ktk kumhubiri kristo mabarza siku zote ni changamot tangu yesu kristo mpk leo walishindwa kumwani na wakamsaliti kwa viongoz wao ndivyo ilivyo Mungu awe pamoja nawe daima.
Bwana wa majeshi akutunze na kukulinda Baba.
Njooo huku uhubiri injili ya yesu ni Mungu
Wewe ni mtumishi wa kweli wa Mungu,, baraka zangu ziwe pamoja nawe kwa uwamuzi mgumu mzuri wa busara na wa amani uliojawa na ufahamu yakinifu bila kuleta buguza
Mm binafsi nakupa hongera kwani hutaivisha chochote huko TAG
Mungu akutetee katika jina la Yesu
Dah sema ukweli baba ata Mimi nakuunga mkono
Mungu akubariki na nimefundishwa mengi katika huduma zako hasa mafundisho ya uchumba na ndoa kwa vijana, kwani yalinibariki na kuniwezesha kupata mke mwenye Mungu ndani yake ambaye leo ni Mchungaji na anaupako kwelikweli. Hakuna mtu anaweza kuizuia injili uamuzi ulioufanya una hekima ya Mungu ndani yake, sisi ambao tupo bado TAG tutaendelea kupata mafundisho na mahubiri yako ambayo yataendelea kutukamilisha kumfanania kristo ili akirudi atukute tupo tayari.
MUNGU ambariki sana
MITANDAO NA HUDUMA! Wapendwa tumuuombe sana MUNGU kwa mtazamo wangu naona tupo katika kipindi cha hatari na kibaya kwa kanisa na watumishi, Ee Mungu muumba wa mbingu na nchi Tunakuomba uwalinde watumishi wako na kanisa lako katika kipindi hiki cha utandawazi, Amen!
Ni kweli na ninaona ni hila za adui kuondoa wachungaji wazur TAG
Rudi katika dini ya Mwenyezi Mungu ambayo haina mambo ya kidunia na tunaabudu kwa Mungu mmoja tuuu
Mzee ameumia sana
Aamen👏👏
Unasema kweli mtumishi wa Mungu. TAG imekuwa dini. Msimamo wa TAG wa sasa ni biashara badala kuhubiri Injili ya wokovu.
Baba Yesu mbeleee usiogope.
Hili ni jambo kuu sana, mzee wa umri huu kutoka TAG ni jambo la ajabu.
Mzee silimu tu waislamu tunakupenda
Mambo kama hayo ningefanya ujanani nilipokuwa na nguvu hii inatosha kukuelewa Mzee
Baba hubiri kweli yesu anarudi utalipwa
Songs mbele kamanda,vaa viatu vya Kulola
Uko sahihi kanisa limekufa duniani kote t. A. G wamekuwelewa vibaya
😢
Baba magembe Mimi umekuja Mara nyingi kanisani kwetu TAG Mara nyingi Toka nakufahamu unahubiri injili ya kweli na nikajua lazima utawachia dhehebu lao baba nipo na wewe kwnini tuogope Petro alisema tumtii Nani.UKWELI TAG .limeoza Cassian ameolionya Sana mwakipesile ameonya Sana na linako enda litakuwa dhehebu la kawaida Kama mengine
Nuru na giza haziwezi kupatana ww ni Nuru baba piga kazi
UBARIKIWE na kutunzwa ZAIDI hata na uzao wako baada yako MITHALI 20:7, 1 WAKORINTO 1:9🙏🙌
Niwakati wa kusimama mtu binafsi,bila kuangalia mtu vinginevyo Yesu atarudi atatukuta tunahangaikahangaika tu
Tuko pamoja Mchungaji wetu
mzee unazeeka vibaya hutakiwi kuwa mkali kuzid Mung
Misingi ikiharibika Mwenye haki hatafanya nini? Hii halama ya kujiuliza imeachwa wazi kwenye neno ili tutafakari kwa Roho. Magembe ni Mtumishi wa Mungu kweli na Mimi ni T.A.G nafahamu mengi kuhusu misingi iliyopo inashindwa kwendana na kasi ya uhamusho. Kiukweli kanisa linahitaji mabadliko Sana ila bahati mbaya watumishi wanapigana na adui Katika mifumo wanapotaka uhamusho wa kweli.
T A G haijafa itaendelea kusitaw
MIMI NI TAG ILA KWELI KANISA LIMEKUFA
Kanisa lako liko wapi?
Hekima hiyo ni kubwa sana cjawah kuiona hakika mimi binafsi
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kuna siku watajua tu kuwa kanisa limekufa acha kwa sasa wakatae
Kwani mimi najiuliza kukemea dhambi nikukemea wanjetu au hata waliopo ndani ya dhehebu ,mbona ukisoma makanisa saba katika ufunuo yalikuwa yakionywa na kujirekebisha, Mungu amempa kusema na kanisa muacheni asema nawatu kutubu ndio dawa
Yerusalem Yerusalem uuaye manabii mara ngapi nimekukusanya kama vile vifaranga vya kuku chin ya mbawa Lakin umekataa
Mimi sio mshiriki wa TAG lakini nimekuwa nikifuatilia sana mahubiri ya huyu pastor,ni kati ya wachungaji wachache wanaoitaja dhambi kwa jina lake,maelezo aliyotoa kama yanashawishi vile lakini mm naogopa roho ya kujitenga na kuanzisha kanisa jipya,,Yesu hakujitenga,huyo Paulo na Barnaba pia hawakujitenga na kuanzisha kanisa jipya,,kwa vyovyote vile unachokianzisha sasa kitaitwa kwa jina jipya na sio TAG tena....ungeendelea kuchapa injili humo humo eidha watasikia au hawatasikia lakini maamuzi ya kujitenga mmmmmmh,,,sema nn kuna mahali Bwana anataka uende nitafute nikuambie wapi
Amen
Kanisa halijafa, japokuwa linaweza kuwa Linaweza kuwa linakabiliwa na CHANGAMOTO.Anaposema kanisa limekufa JE YEYE si yupo sehemu ya kanisa Hilo!!
TAG Siyo injili !! Hata hiyo TAG ilijitoa sehemu fulani maana Biblia haina dhehebu !
Taarifa sahihi
Naheshimu maamuzi ya huyu mzee ila. Ningekuwa na nafasi ya kumshauri ningemwambia ahubiri akiwa ndani cyo nje
🎉🎉🎉🎉🎉
MZEE WEWE UMEOKOKA UKO . VIZURI..
😢 4:41
Mwombe wengi walifanya hivyo baadae wakawa afadhali walikotoka
Mto kambali amelipoteza TAG sana
Tuko pamoja pasta kanisa limeoza
Kwa misimamo hayo TAG hutokaa make iyo ishakuwa taasisi ya biashara
Kwani kumetokea nini?
Hiki ni chuma kweli kweli
TAG JAMANI NI KIMETOKEA MI NASIKITIKA SANA
MTU ANA MIAKA 50 ALAFU ANAONDOKA TU KIRAHISI OOOOOH TAG NINI KIMETOKEA
Sasa kama wewe ulikua TAG baba kwanini ulipofungua hilo kanisa hukuliita TAG tawi la Canada? Mimi naona busara ilikua unapofungua ufungue kwa jina la TAG siyo kuliita jina lingine.
Kaka elewa alichoongea mzee...."""" Ilo kanisa la ABC lenye usajili na kuanzishwa uko CANADA linahusiana na mtoto Wake sio yy"""
Afu kua na uelewa japo kidogo ndugu huwezi ita TAG kumbuka T inasimama Kama jina la inchi sawa asa unaweka matabaka ndani ya nchi ya watu au uliwahi ona TAG Malawi au inchi yoyote afu kazi ya MUNGU haina mipaka acha watu wapige kazi TAG Ni jina tu kinacho hitajika Ni uamsho wa kristo ndani yetu bs TAG haikupeleki mbinguni
Hao wanaosemaga viwete wamepona ni wapi hao huu ujanja wakutafuta rizki unaujanja kweli kweli binadamu nje na uislamu ni taabu tupu
Maana serikali inatumia pesa kodi zetu kwa kiasi kikubwa sana kutibu watu mahospitalini kwann hawa wanaosema wanafanya miujiza wagonjwa wanapona viwete wanatembea kwann wasisaidie serikali kwenda kuwaombea watu mahospital wapone waje uraiani waendele kutafuta rizki za kuhudumia familia zao
Mumgu akutie nguvu
Huo ni uongo eti viziwi kusikia viwete kutembea yani bado wakristo mnadanganywa na uongo huo.