Kuuana ndo sululisho au Viongozi wa Dini mbna mpo kimya wakati waumini wenu wanazidi kuumia na kupoteza maisha na kutekwa na wasiojulijana lini mtasimama na kupigania HAKI kweli mbingu Gani tunaelekea.
Inasikitisha sana kuona kwamba huyu mama Abdul na 4R's zake za kubumba ili hali yeye anajua vizuri utekaji unaofanyika kwani ni maagizo yake, kama yasinge kuwa maagizo yake angekuwa amezuia utekajî huo.
Acha awendawazimu ww akili ndogo mpk lini yaani we unashindwa kutetea haki yako unasema mungu arudi,na umepewa akili na nguvu bado huamini kama unaweza jipigania haki yako,,jitahidi kutoka gizani ujue sehem ya kutumia imani yako na sehem ya kufanya unachotakiwa kufanya kudai haki yako.
Watanzania tumekuwa kama Kondoo. Pamoja na kelele zote za utekaji kwenye vyombo vya habari ....Bado watu wanaangalia watu wanatekwa machoni kwao ..... bila aibu wanakaa kimya. Imagine abiria wote wangesema tuueni wote Mzee huyu haendi kokote... hadi mtoe vitambulisho. Au kupiga kelele ya wezi watu wanajazana hapo...... na kutaka hao watu wajitambulishe.......
Mungu pigana nao watu wanaua wenzao sio vinzuri kabisa maisha haya tunapita tu ee Mungu tulinde siku zote za maisha yetu maadui wangamize kwa damu ya yesu
Mungu tusaidie haya yote yanatokea kwa sababu ya tamaa ya vyeo au pesa hivi vitu ambavyo tutakufa na kuviacha ndio vinatufanya tuwe na mioyo ya kinyama kiasi hiki
Duuuuuuuh....is this my country Tanzania? Or am just day-dreaming?!!!! Mungu tupe ujasili.....tupe nguvu, tupe moyo wa kupinga hili..... Taifa linaangamizwa na watanzania wenzetu wasio na utu! Watanzania vibaraka, wasio jali uhai wa wanyonge, watanzania ambao mlengo wao ni kuchumia tumbo lao, watanzania ambao sio wazalendo! Hili sio la kufumbia macho ......
Ukiona mtu anatukana au kubeza juu ya utekaji bas ujue ni mmoja wapo wanaifanya hizi kazi wakiamin wao ndo walistaili kuishi dunian na Mungu hakuwa sahihi kumuweka dunian alie tekwa, ila kwa kuwa Mungu ni fundi mkuu mtaona kinachoenda kutokea kwa hao wanaobaliki utekaji
Mm nahisi kama serikali na viongozi wake wa juu hawahuski basi ccm itakuwa na kikundi maalumu Cha utekaji lkn kunatatzo toma juu ndio maana viongozi was juu hawajiuzuru Kwa sababu wanajua nn wameelekeza Kwa vyombo vyak Hadi mtu anatumia silaha za usalama wa taifa Lkn serikali iweje haishituki kama hawajui
Nimepitia maoni ya wengi, wapo wanasema ni vyombo vya Dola na wengine wanasema et CHADEMA wanajiteka wenyewe. Nani niseme, iwe wamejiteka wenyewe au yeyote yule kahusika Bado vyombo vya usalama haviwezi kukwepa lawama, wao ndio Wana dhamana ya ulinzi na usalama wa Kila mwanchi, au Kuna mwenyenguvu kuliko serikali? Kikubwa watu hao wakamatwe na idhihirike kwa ushahidi usio na shaka kuwa ni watu wa mlengo gani. Na anayeweza kufanya hivyo ni polisi pekee.
kila siku atua zaidi mwisho wa atua zaidi atupati mlegesho wake kesho uta sikia mwingine ccm wana jifanya wajanja sana uki fikia uchaguzi wana teka watu ili kutisha laiya ndiyo mfumo wao kwa sasa lifanyieni kazi vingi nevo laiya wana zidi kutiwa uwoga langu ilotu
NIMEONGEA NA ASILIMIA KUBWA YA VIJANA WENZANGU WASOMI WAKO TAYAR KUFANYA MAGEUZI KUIONDOA CCM MADARAKANI KWA KURA KIUKWELI WAMECHOSHWA NA MAMBO YA KIJINGA
Chadema ni Ile ya akina Chacha wangwe. Ndesamburo. Silaha. Zito kabwe. Halima mdee..Ilikuwa inazibiti ufisadi mpaka mapapa waliweza kujiudhulu wenyewe. Hii ya sasa mnatupeleka kwenye kiki na mbwembwe za utekaji.
Walibiya walidhaniwa kuwa ni mazuzu wasiojitambua lakini walipoamuwa kuamka hakuna aliyeamini kuwa ni wao na haikujulikana ni nani aliyewaamsha hata Gadafi mwenyewe hakuamini, TUNAKOKWENDA NI KUBAYA.
Huu ni uchokozi wa wazi kabisa wanataka Chadema wa-react ili wapate sababu ya kukifuta ila watambue jambo moja Mungu halali wala hasinzii ipo siku watatambua uwepo wa Mungu mateso wanayowafanyia wanadamu hayatapita bure wakumbuke farao na majeshi yake.
Huko tunakokwenda chadema inaenda kuchoka kabisa kwa haya inayofanyiwa na CCM viongozi wa dini wamelala wanasubiri machafuko ndio wajitokeze na chadema ikichoka kitakuwa chama cha kigaidi
Nchiganihii yenyewatu waoga kiasi hiki mtu anachukuliwa Mbele yawatuwengi kiasihiko huu niupumbavu zaidi yamakondoo, watz tuamke ,mtu muoga hataona ufalme wamungu eemungu tusaidiye
Wanaojiteka ni makialio ya mama yako jibwa koko wewe. Watanzania wanapoteza maisha unatuletea uccm na uchadema hapa. Kweli una akili ndogo kama jina lako.
Wakati yote hayo yanatokea hamna hata abiria mmoja aliyoona ni busara kuchukua video au kupiga picha? 😢Simu zetu ni silaha kubwa matukio kama hayo ni ya kurusha live na kupiga picha ili kuwaokoa wajanga
Mtaalamu. Wa nini? Kuna wataalamu wa mauaji makomandoo walishakodishwa na Mwenyekiti Mbowe ili wakamuue DC ole Sabaya na kulipua vituo vya sheli Temeke ili Nchi iingize taharuki. Huyu atakuwa ni mtaalamu wa nini hasa?
Siku hizi karibu wote waliokuwa kwenye Bus watakuwa na simu. Jamani hakuna mtu hata mmoja Ali’ye Chukua picha/video za hawa watekaji? Nashindwa kuelewa. Kama video au picha zipo kwa nini tusizione na kuwatambua wabaya wetu? CDM wajitahidi kuhimiza uchukue hi wa evidence za video na watu niwe ili wao wazisambaze bila bila kutoa jina
Huyo mtu hajatekwa na police wala Usalama wa taifa, nichukue nafasi hiii kuwalaumu abiria waliokua kwenye basi, mnaruhusu vipi abiria mwenzenu achukuliwe kijambazi?,kwa umoja wenu mngeweza zuia kitu hiki!,niwape akili, kwenye kila gari, seat za nyuma kuna vifaa vya kufungulia tairi, ntawaelekeza badae, msilaumu police, wajinga ni nyie?
Mnajiandaa kuongoza wananchi Gani ikiwa haya mambo hayatafutiwi mwafaka 1. Ushoga 2. Ulawiti , ufilwaji , na uuaji wa watoto 3. Utekaji na uuaji . 4. Mwanaume ameporwa nafasi yake Kwa kutuletea kigezo Cha haki sawa. . Time is coming every tongue will declare the name Jesus help us but nothing will be answered.
HUKO TUNAKOELEKEA SIDHANI KAMA KUNA MTANZANIA ATAKUWA UPANDE WA SERIKARI KWA HAYA YANAYOENDeLEA. HATUyataki hata kidogo NAz TUNATAKA UNYAMA huu ukomeshwe mara Moja TUMECHOKA
Huyu mama abduli anaitesa Tanganyika yetu
Kuuana ndo sululisho au Viongozi wa Dini mbna mpo kimya wakati waumini wenu wanazidi kuumia na kupoteza maisha na kutekwa na wasiojulijana lini mtasimama na kupigania HAKI kweli mbingu Gani tunaelekea.
Muda wa kuongea na vitendo ni sasa. CHADEMA stop crying take action. Kuna wanachama wa kutosha.
Kweli...Maneno maneno hayaleti results. Cjaona kiongozi yeyote wa kijitolea mhanga!!
Tunakoelekeaaaa taaaa nyekunduuuu zimewakaaaaaa isharaaa so nzur
Hivi inakuwaje raia wananyamaza tu bila kuchuuwa hatua hata kipiga kelele za wezi wezi
Raisi kamleta HAJI KHERI BARA NILIJUÀ HAYA YATAROKEA SABABU YEYE NDIO MTAALAMU WA MAMBO YA UTESAJI NA UTEKAJI UBAKAJI NI MTU HATARI SANA
4R Chura kazimeza mwenyewe baadae ya kubadili Sheria ya vyombo vya usalama
Hii ni Kali mwana
Hali sio shwari nchi imejaa hofu na majonzi ya hali ya juu pamoja na hasira lakini inauma sana
Inasikitisha sana kuona kwamba huyu mama Abdul na 4R's zake za kubumba ili hali yeye anajua vizuri utekaji unaofanyika kwani ni maagizo yake, kama yasinge kuwa maagizo yake angekuwa amezuia utekajî huo.
Kabisa..huyu mama ni nyoka mwenye sumu kali..
innaillah
hivi hayo mambo yataendelea mpaka lini hebu nyie mnaojiita watu wasiojulikana mwogopeni Mungu vyeo ni dhamana ns vina mwisho .
Kwa kweli police wa Tanzania imekuwa tatizo sana kwa wanachi
YESU AWAHI TU KURUDI ILI TUISHI MAISHA YA AMANI NA UHAKIKA
Acha awendawazimu ww akili ndogo mpk lini yaani we unashindwa kutetea haki yako unasema mungu arudi,na umepewa akili na nguvu bado huamini kama unaweza jipigania haki yako,,jitahidi kutoka gizani ujue sehem ya kutumia imani yako na sehem ya kufanya unachotakiwa kufanya kudai haki yako.
Je kuna tofauti kati ya kutekwa na kuchukuliwa.au kushikwa na vyombo vya dolls??
Watanzania tumekuwa kama Kondoo. Pamoja na kelele zote za utekaji kwenye vyombo vya habari ....Bado watu wanaangalia watu wanatekwa machoni kwao ..... bila aibu wanakaa kimya. Imagine abiria wote wangesema tuueni wote Mzee huyu haendi kokote... hadi mtoe vitambulisho. Au kupiga kelele ya wezi watu wanajazana hapo...... na kutaka hao watu wajitambulishe.......
Inauma sna
Mungu pigana nao watu wanaua wenzao sio vinzuri kabisa maisha haya tunapita tu ee Mungu tulinde siku zote za maisha yetu maadui wangamize kwa damu ya yesu
Mungu tusaidie haya yote yanatokea kwa sababu ya tamaa ya vyeo au pesa hivi vitu ambavyo tutakufa na kuviacha ndio vinatufanya tuwe na mioyo ya kinyama kiasi hiki
Duuuuuuuh....is this my country Tanzania? Or am just day-dreaming?!!!! Mungu tupe ujasili.....tupe nguvu, tupe moyo wa kupinga hili..... Taifa linaangamizwa na watanzania wenzetu wasio na utu! Watanzania vibaraka, wasio jali uhai wa wanyonge, watanzania ambao mlengo wao ni kuchumia tumbo lao, watanzania ambao sio wazalendo!
Hili sio la kufumbia macho ......
Dc wa longido alisema juzi
Inasikitisha
Ni hatari sana kwa Taifa.
Ni kweli kabisa hali ni mbaya sana. Haivumiliki. Serikali hii inaleta taharuki nchini. Huyu Mama lazima aachie ngazi kuokoa taifa lisiangamie.
😢😢😢😢😢
Hatari mno.
Tuliahidiwa kuwa mtaenda mahakamani kwa tukio la Mbeya. Ni nini kinaendelea?
Inauma sana,Mungu uko wapiiiiiii😂😂
KWA HARI HII HIVI HATUWEZI FANYA LOLOTE KATIKA HAYA YANAYOENDELEA KAMA WANANCHI????????
Mbona hali hii inaumiza sana??????
Jmn haya mambo mpaka lini inauma sana
Cc tunakupa mitano mingine dada maana unatupa ukaka mavu 😂😂 aibu
Huyu Aijipii na mkurugenzi wa idara ya upelelezi tambueni kuna maisha baada ya hizo nguo mnazovaa
Ukiona mtu anatukana au kubeza juu ya utekaji bas ujue ni mmoja wapo wanaifanya hizi kazi wakiamin wao ndo walistaili kuishi dunian na Mungu hakuwa sahihi kumuweka dunian alie tekwa, ila kwa kuwa Mungu ni fundi mkuu mtaona kinachoenda kutokea kwa hao wanaobaliki utekaji
Mmmmhh jamani mbona balaa kwa kipindi hujui!!!!
Mm nahisi kama serikali na viongozi wake wa juu hawahuski basi ccm itakuwa na kikundi maalumu Cha utekaji lkn kunatatzo toma juu ndio maana viongozi was juu hawajiuzuru Kwa sababu wanajua nn wameelekeza Kwa vyombo vyak Hadi mtu anatumia silaha za usalama wa taifa
Lkn serikali iweje haishituki kama hawajui
Na matukio ya kutekwa mengi yapo Tanganyika tu mbona Wazanzibar hawatekwi jamaniiiiiiiiii
Ghadhabu ya Mungu Iko tayari . 😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Dhambi iliyoitesa na kufanya Sodoma na gomola . Dhambi ya Ushoga .
Bado mna hamu tu na uchaguzi?usalama wa maisha yenu kwanza,
Mmm ni ajabu sana .
Watanzania tunasubiri nini hatuingii barabarani? Watatumaliza mmoja mmoja
Hii nchi ni ya ajabu sana hv vtendo mpaka lini jaman?Mungu jizihirshe kwenye hii serkali inayoonea watu na huu utekaji wa kila sku
CCM siasa ya amani ishawashinda.Serikali imeshindwa kuwalinda watu wake.Umoja wa Mataifa ingilieni kati.
Umesema kweli katibu wetu tunawakubali sana😂😂😂
Kuna mdogo wangu ni usalama wa taifa nita muuliza kama wana fanya haya mambo nakama wanafanya waache malamoja
Hawezi kukubali sababu tumbo lina nguvu kuliko kichwa
😂😂😂😂unahc ni rahic atakubali kirahc sahau
Hawezijua
SIdhani kama ni wote wanahusi.
Imeripotiwa mara kadhaa kuwa niwachache wanaofanya hayo.
Mungu leta gharika Tanzania ifutike tu
Nimepitia maoni ya wengi, wapo wanasema ni vyombo vya Dola na wengine wanasema et CHADEMA wanajiteka wenyewe. Nani niseme, iwe wamejiteka wenyewe au yeyote yule kahusika Bado vyombo vya usalama haviwezi kukwepa lawama, wao ndio Wana dhamana ya ulinzi na usalama wa Kila mwanchi, au Kuna mwenyenguvu kuliko serikali? Kikubwa watu hao wakamatwe na idhihirike kwa ushahidi usio na shaka kuwa ni watu wa mlengo gani. Na anayeweza kufanya hivyo ni polisi pekee.
kila siku atua zaidi mwisho wa atua zaidi atupati mlegesho wake kesho uta sikia mwingine ccm wana jifanya wajanja sana uki fikia uchaguzi wana teka watu ili kutisha laiya ndiyo mfumo wao kwa sasa lifanyieni kazi vingi nevo laiya wana zidi kutiwa uwoga langu ilotu
MUNGU NDO MWEZA WA KILA JAMBO WAACHE WAJIGAMBE WAFANYE WANACHADEMA NI WANYONGE OLE WAO SIKU ZAJA WATALIA NA KUSAGA MENO
Kuna mambo ya kumuachia mungu na mambo yakupigana ww binafsi@@gracebwimbo1889
Hawa watu wa CCM shida Yao nini? Kila raia ana haki. Rais SQMIA Ni sawa na huyo aliyotwkwa. Sasa anafikiri yeye ni zaidi ya raia wengine
NIMEONGEA NA ASILIMIA KUBWA YA VIJANA WENZANGU WASOMI WAKO TAYAR KUFANYA MAGEUZI KUIONDOA CCM MADARAKANI KWA KURA KIUKWELI WAMECHOSHWA NA MAMBO YA KIJINGA
Sawa ngoja tusubiri uchaguzi umekaribia.
Muungano unailemea tanganyika
Alivyokawa magufuli mbona haukuataja muungano na magufuli ulikuwepo utekaji
💯
Tiss wamepewa mamlaka ya kukamata je wakikamata wanapeleka wapi
Nchi imemshinda Samia....
WAPUMBAVU WATASEMA KWASBB NI CHADEMA ILA KESHO KUTWA ITAKUWA NDUGU YAKO
Mnajiteka wenyewe halafu unasingizia polisi kwani mnapenda kuchafuwa vyombo vya ulinzi na usalama
We n mpumbavu
Chadema ni Ile ya akina Chacha wangwe. Ndesamburo. Silaha. Zito kabwe. Halima mdee..Ilikuwa inazibiti ufisadi mpaka mapapa waliweza kujiudhulu wenyewe. Hii ya sasa mnatupeleka kwenye kiki na mbwembwe za utekaji.
Matahira kweli mengi TZ
😢😢
Saizi tunapaswa sisi wenyewe kufanya maamuz sahihi kwa umoja siyo kubaki kusikitika bila action yoyote binafsi nimechoka sana
Kwani hao wanaokamatwa wanakuwa wametenda makosa gani
Nani akujibu,swli la ajabu hill.
Jibwa kubwa lifisi. Linasema mnawapakazia poloce
Rais unataka kitu Gani kitokee katika taifa letu juu ya utekaje huu.
Wewe vipi Rais alikuwepo hapo? Mbona unaropoka ?
Kwani ndungulile alipochaguliwa Who Africa akasifiwa raisi na shukrani nyingi kwake kwani yeye alikuwepo kwenye uchaguzi
Hatakama una mapungufu nivyema ukanyamaza
Walibiya walidhaniwa kuwa ni mazuzu wasiojitambua lakini walipoamuwa kuamka hakuna aliyeamini kuwa ni wao na haikujulikana ni nani aliyewaamsha hata Gadafi mwenyewe hakuamini, TUNAKOKWENDA NI KUBAYA.
Huu ni uchokozi wa wazi kabisa wanataka Chadema wa-react ili wapate sababu ya kukifuta ila watambue jambo moja Mungu halali wala hasinzii ipo siku watatambua uwepo wa Mungu mateso wanayowafanyia wanadamu hayatapita bure wakumbuke farao na majeshi yake.
Huko tunakokwenda chadema inaenda kuchoka kabisa kwa haya inayofanyiwa na CCM viongozi wa dini wamelala wanasubiri machafuko ndio wajitokeze na chadema ikichoka kitakuwa chama cha kigaidi
Dini wasakatonge
Alafu. Watatuambia tukapigee Kura kama usalamaa wetu haakuna. Je hizo Kura ndio. Zitakuaa saalamma ????
Nchiganihii yenyewatu waoga kiasi hiki mtu anachukuliwa Mbele yawatuwengi kiasihiko huu niupumbavu zaidi yamakondoo, watz tuamke ,mtu muoga hataona ufalme wamungu eemungu tusaidiye
Ongea kote ntakua pa1 nawew ila usimguse Magufuli
Watanzania tupo wapi jamani...Kila siku taharuki na tupo tuu
Jamani ni I hiki mbona nachukia nchi ghafla
Kwendeni zenu hapa mnajiteka na mawateka wenyewe mbwa ninyi hakuna cha kutudanganya ninyi ni majambazi wenyewe
Ww ni Tahira kichwani
Wanaojiteka ni makialio ya mama yako jibwa koko wewe. Watanzania wanapoteza maisha unatuletea uccm na uchadema hapa. Kweli una akili ndogo kama jina lako.
Kila siku tunasema wasomi ndio waliotufikisha hapa tulipo
Mbna chadema wana pesa undeni jeshi muanze kuteka viongoz wa ccm iwe jino kwa jino😏
Pesa wanatoa wapi ata jengo awana.
Mtekaji ni chura
WATANZANIA NI NYUMBU MMOJA AKIKAMATWA MENGINE YANAKIMBIA KESHO LINAKAMATWA
Msitudanganye. Wacheni tule makukuru kuliko kuchafua amani. Hili suala la utekaji ni Kiki za chadema ili tuichukie serikali ya Ccm.
Wakati yote hayo yanatokea hamna hata abiria mmoja aliyoona ni busara kuchukua video au kupiga picha? 😢Simu zetu ni silaha kubwa matukio kama hayo ni ya kurusha live na kupiga picha ili kuwaokoa wajanga
Usalama wa taifa wa wapi waliomchukua chadema kila siku lawama malalamiko
Wanajuwa kulalamika
Chadema wana Kiki ile mbaya. Mimi nimewasanukia.
Mtu anachukuliwa abiria wenzake wanamwangalia tu ,,yani wameshindwa kuchukua hata clip
Hii ccm yakuikata makofi
Sijui WAMEPATWA na nini at this point in time 😢😢😢
Ccm wapi unaitaja CCM
Kuna mjitu mapumbavu kweli yani mtuu anatekwa alafu bado yanashangilia CCM.
Wapi wewe. Hizo ni Kiki za chadema mmekosa pa kupenya mnataka tuichukie serikali ya ccm. Kwa Kiki za utekaji.
😂😂😂😂😂
Ni kunyakuliwa paaapu
Mtaalamu. Wa nini? Kuna wataalamu wa mauaji makomandoo walishakodishwa na Mwenyekiti Mbowe ili wakamuue DC ole Sabaya na kulipua vituo vya sheli Temeke ili Nchi iingize taharuki. Huyu atakuwa ni mtaalamu wa nini hasa?
hayamatukio mpakalini
Siku hizi karibu wote waliokuwa kwenye Bus watakuwa na simu. Jamani hakuna mtu hata mmoja Ali’ye Chukua picha/video za hawa watekaji? Nashindwa kuelewa. Kama video au picha zipo kwa nini tusizione na kuwatambua wabaya wetu? CDM wajitahidi kuhimiza uchukue hi wa evidence za video na watu niwe ili wao wazisambaze bila bila kutoa jina
Shida kupoa mno kumezidi
Acha uchochez
Mnajiteka
Pumbavu, umejaa laana wewe.
@@erestizacharia4758 wewe ni shoga unajulikana nyumbu
Shetani ww....nenda nyuma, huyawazi ya kimungu, wawaza yakishetani
Sawa acha wajiteke ila kesho atatekwa baba Ako ndio utafurahi zaidi
Wanajiteka wenyewe
hivi madaraka nini,yanaleweaha
Kwanini wanatekwa wachademà tu kulikoni hatuelewi kunanini
Huyo mtu hajatekwa na police wala Usalama wa taifa, nichukue nafasi hiii kuwalaumu abiria waliokua kwenye basi, mnaruhusu vipi abiria mwenzenu achukuliwe kijambazi?,kwa umoja wenu mngeweza zuia kitu hiki!,niwape akili, kwenye kila gari, seat za nyuma kuna vifaa vya kufungulia tairi, ntawaelekeza badae, msilaumu police, wajinga ni nyie?
Mnajiandaa kuongoza wananchi Gani ikiwa haya mambo hayatafutiwi mwafaka
1. Ushoga
2. Ulawiti , ufilwaji , na uuaji wa watoto
3. Utekaji na uuaji .
4. Mwanaume ameporwa nafasi yake Kwa kutuletea kigezo Cha haki sawa. .
Time is coming every tongue will declare the name Jesus help us but nothing will be answered.
Huenda basi zima lilikuwa na mafisiemu
Wanajiteka wenyewe wanaripoti wenyewe. Waongo wakubwa Polisi wamesha wajibu. Wacheni kupotosha umma nyie bhana muogopeni mungu wenu bac hata cku moja
Watu wanapotea unasema wanajiteka
Wewe una govi akili iko mahali pa kunyea ndiyo maana unacomment upumbavu ngoja aje atekwe baba yako ndipo akili itajua kuwa amejiteka
We unaposema hivyo unauhakika gani ..ina maana watu wajisingizie ili iweje ..kwahyo hata tundu lisu utasema alijiteka ...FIKIRI KABLA YA KUONGEA WEWE
Hasbiyallah waneemal wakeel
Chura
nyinyi mnadanganya kuapakazia matope polis acheni kumbukeni polisi ndio walinzi wenu kwanini mnawazarau
Wewe akiliyako nikikuambia ni matope nitakua nimekependelea, mama ni Zaid ya mavi
Yan kuna watu km hawajitambui wallah
Acha usenge
Kama hujui mambo nyamazeni
Nani anaedanganya
HUKO TUNAKOELEKEA
SIDHANI KAMA KUNA MTANZANIA ATAKUWA UPANDE WA SERIKARI KWA HAYA YANAYOENDeLEA.
HATUyataki hata kidogo
NAz TUNATAKA UNYAMA huu ukomeshwe mara Moja
TUMECHOKA
Mhusika ni chura