Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Kuondokewa Na Mama Sio mchezo, hapo hakuna Ukamanda, Pole Sana Halima, Na Familia yako.
Pole sana dadangu kwa msiba huu mzito.Mungu akufariji mnoo
Pole sana Halimah. Mungu akufanyie wepesi, Mungu ni mweza wa yote
Pole sana Mh.Halima MdeeSiku zote wewe ni role model wangu siku zote
Pole kwa msiba na kusema kweli Doctor Tulia nampenda sana uyu dada ana moyo.wa pekeyake
pole sana Mhe Mdee. Mw. Mungu akupe subira
Pole sana muheshiwa Halima Mdee MUNGU watie nguvu Wana family
Duuh mheshimiwa Halima Mdee umenikumbusha mbali nimejikuta nalia sana,kuondokewa na mama ni pigo kubwa na linaumiza sana pole Mungu akitie nguvu.
Pole sana sister mdee kwakipindi hiki kigumu unacho pitia Kuhusu ww kwenda ccm au kubaki ni ww mwwnyew uonavyo Ila mm naomba usimame upande wa haki
Poleni familia kwa msiba wa mama, Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira.
Pole sana Mheshimiwa mudee🎉🎉🎉
Mungu akutie nguvu aisee . Kufiwa hakuna ujasili maumivu lazima .
Pole sana dada
Pole sana Mh.Halima kwa kuondokewa na Mama yakeo
Pole halima , Mwenyezi Mungu azidi kukupa faraja
Pole sana Halima kwa kuondokewa na mamako mpendwa. Apumzike kwa amani.
Mungu wetu akawe faraja kwako na familia Yako.
Pole sana Halima ,Mungu awape nguvu wakati huu mgum sana wa majozi
❤pole sana Mungu akawe faraja kwako
Pole sana kiongozi wetu Mungu awarehemu awape moyo wa subira
Pole sana
Poleni sana jamani, Mungu awafariji sana
Pole sana sana Mhe Halima
Pole sana dada HALIMA,poleni Sana wanafamilia.♥️
Pole sana Halima
Pole sana kazi ya Mungu haina makosa
Pole sana mungu atakusaidia,k
Pole sana Mungu akutie nguvu kwa wakati huu
Ameeen😭😭😭😭
Pole mh Mdee ndy maisha yetu wanadamu sisi ni mavumbi na mavumbi tutarudi
Inalilah wainalilah rajighun poleni sana ndugu zangu hakuna msiba mdgo duniani hii hakuna mtu kama jamani asikuambie mtu mwenyez mungu atie nguvu katika kipindi hichi kigumu yaarabi
Pole Sana halima mungu akupe faraja😢
pole dada yetu,mungu akutie nguvu
Pole sana dada Halima Mungu awatie nguvu kuondo kuondokewa na mzazi sio jambo dogo
Pole sana mheshimiwa Mdee
Pole sana dada. 2:02
Pole sana Mheshimiwa Mdee
pole sana halima,bora umetambua pia umuhimu wa mawifi zako.
Pole dada halima mungu akuitie moyo ktk kipindi hiki kigumu
Pole sana kiongozi wngu mungu akupe subira
Pole Sana Mheshimiwa kuondokewa na mpendwa wako
Halima nakukubali Sana pole Sana
Pole my dear
Pole sana ni milango ya Mungu.
Una ujasiri sana dada Mungu azid kukutia nguvu
Pole sana dada angu mungu awe falaja kwako
Pole my
Pole sana kuondokewa na mama yako hii ni safari ya Kira mumoja mungu awaite nguvu
pole sister kwa msiba wa mama
Pole sana dada angu
Pole sana Mdee
Poleni Sana dada yetu mpendwa,Halima kwa kumpoteza kipenzi Cha Family Mungu alitoa Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe;;
Pole sana Halima na Hongera kwa Lisala nzuri.
Tulia nimtu powaa sana Hana mambo mengi dada wawatu mungu amlinde
POLE SANA MHE.KUMBE MAMA ALIISHAFARIKI????JAMAAANI!MUNGU AZIDI KUWAFARIJI❤
Pole sana halima mdee
Pole sana Dada Yangu
Pole sana kamanda halima
Nakupendaga sana dada yangu ila kunamahala tu uliteleza kisiasa
Sio mahal pake
Pole sana mom😭🤲🙏
pole Halima
Pole halima
Pole sana dada halima mdee
Wow Tulia Umevalishwa Kofia
Mungu akupe nguvu
Pole dada angu
Pole kipenzi
Rip Mama Mdee
Pole kuondokewa na mama jamani
Pole pacha wangu wa sauti pole sanaaa😢
Pole Halima kwa kufiwa na mama,ila hebu olewa basi kumbe mzuri kabisaaa
Tom boy 😂
Sio powa
Pole san dada 😭😭😭
Commander
😢pole sana mwajina Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu 😢😢😢
Tumpe pole mh mdee ila mi kwenye kichwa cha habali hp
Uyu dada nijembe pole sana mweshimiwa
Pole sana Mh.Halima.Raha ya milele Mpe Ee Bwana
Polen san jmn
Pole sana halima mdee lkn nasubiri kama ww utaenda chadema au ccm
Inauma mno,sisi kuondokewa na wazazi wote wawili
Polen
RIP MAMA YETU.
Pole sana Mheshimiwa Mungu akutie nguvu
tulia hiyo ni mvi
Halima mdee weww si muislamu sasa huu mwili mbona umekaa chini siku zote
Ni jina tu ila sio muislam
😂😂sasa yy unamuhusu nn , kwani alie kufa , ni muislam ? alie kufa ni mkristo na ukristo kulaza maiti nikawaida tu,
alipewa jina la bibi yake lakini ni mkristo
Usidanganyike na Jina ndugu. Ni majina tu
L
MUNGU akutie nguvu
Pamoja na shukurunani we unatumia nafasi hiyo kutafuta kiki
Mungu akusamehe kijana
Halima ana mume jamai au hajaolewa bado?
Cvd9
Covid 19
Wee nae uolewe uache ujinga umeisha zeeka mbona mamako aliolewa mbona wewe hutaki kuolewa
We ni mzaz ama utakuja kuwa mzaz mwanao asipoolewa utafanyajee?
Yanakuhusu nini??Au unataka kumuona?
Mbona we hujafa wakat wa umri sawa na wako washafarik
Huyu kamuua mama yake mwenyewe kwa kusaliti mabadilko
Mmmh dunia ina mengi
MUngu aksamehe ndugu hujuwi ukiongeacho
Kamuuwa kampiga mapanga au umbea umekujaa
Kweli Mungu Amsamehe hujafiwa na mzazi mbwa weee
😮acha ujinga,
Pole Sana kamanda
Pole sana dada mdee
Kuondokewa Na Mama Sio mchezo, hapo hakuna Ukamanda, Pole Sana Halima, Na Familia yako.
Pole sana dadangu kwa msiba huu mzito.Mungu akufariji mnoo
Pole sana Halimah. Mungu akufanyie wepesi, Mungu ni mweza wa yote
Pole sana Mh.Halima Mdee
Siku zote wewe ni role model wangu siku zote
Pole kwa msiba na kusema kweli Doctor Tulia nampenda sana uyu dada ana moyo.wa pekeyake
pole sana Mhe Mdee. Mw. Mungu akupe subira
Pole sana muheshiwa Halima Mdee MUNGU watie nguvu Wana family
Duuh mheshimiwa Halima Mdee umenikumbusha mbali nimejikuta nalia sana,kuondokewa na mama ni pigo kubwa na linaumiza sana pole Mungu akitie nguvu.
Pole sana sister mdee kwakipindi hiki kigumu unacho pitia
Kuhusu ww kwenda ccm au kubaki ni ww mwwnyew uonavyo Ila mm naomba usimame upande wa haki
Poleni familia kwa msiba wa mama, Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira.
Pole sana Mheshimiwa mudee🎉🎉🎉
Mungu akutie nguvu aisee . Kufiwa hakuna ujasili maumivu lazima .
Pole sana dada
Pole sana Mh.Halima kwa kuondokewa na Mama yakeo
Pole halima , Mwenyezi Mungu azidi kukupa faraja
Pole sana Halima kwa kuondokewa na mamako mpendwa. Apumzike kwa amani.
Mungu wetu akawe faraja kwako na familia Yako.
Pole sana Halima ,Mungu awape nguvu wakati huu mgum sana wa majozi
❤pole sana Mungu akawe faraja kwako
Pole sana kiongozi wetu Mungu awarehemu awape moyo wa subira
Pole sana
Poleni sana jamani, Mungu awafariji sana
Pole sana sana Mhe Halima
Pole sana dada HALIMA,poleni Sana wanafamilia.♥️
Pole sana Halima
Pole sana kazi ya Mungu haina makosa
Pole sana mungu atakusaidia,k
Pole sana Mungu akutie nguvu kwa wakati huu
Ameeen😭😭😭😭
Pole mh Mdee ndy maisha yetu wanadamu sisi ni mavumbi na mavumbi tutarudi
Inalilah wainalilah rajighun poleni sana ndugu zangu hakuna msiba mdgo duniani hii hakuna mtu kama jamani asikuambie mtu mwenyez mungu atie nguvu katika kipindi hichi kigumu yaarabi
Pole Sana halima mungu akupe faraja😢
pole dada yetu,mungu akutie nguvu
Pole sana dada Halima Mungu awatie nguvu kuondo kuondokewa na mzazi sio jambo dogo
Pole sana mheshimiwa Mdee
Pole sana dada. 2:02
Pole sana Mheshimiwa Mdee
pole sana halima,bora umetambua pia umuhimu wa mawifi zako.
Pole dada halima mungu akuitie moyo ktk kipindi hiki kigumu
Pole sana kiongozi wngu mungu akupe subira
Pole Sana Mheshimiwa kuondokewa na mpendwa wako
Halima nakukubali Sana pole Sana
Pole my dear
Pole sana ni milango ya Mungu.
Una ujasiri sana dada Mungu azid kukutia nguvu
Pole sana dada angu mungu awe falaja kwako
Pole my
Pole sana kuondokewa na mama yako hii ni safari ya Kira mumoja mungu awaite nguvu
pole sister kwa msiba wa mama
Pole sana dada angu
Pole sana Mdee
Poleni Sana dada yetu mpendwa,Halima kwa kumpoteza kipenzi Cha Family
Mungu alitoa Mungu ametwaa jina lake lihimidiwe;;
Pole sana Halima na Hongera kwa Lisala nzuri.
Tulia nimtu powaa sana Hana mambo mengi dada wawatu mungu amlinde
POLE SANA MHE.
KUMBE MAMA ALIISHAFARIKI????
JAMAAANI!
MUNGU AZIDI KUWAFARIJI❤
Pole sana halima mdee
Pole sana Dada Yangu
Pole sana kamanda halima
Nakupendaga sana dada yangu ila kunamahala tu uliteleza kisiasa
Sio mahal pake
Pole sana mom😭🤲🙏
pole Halima
Pole halima
Pole sana dada halima mdee
Wow Tulia Umevalishwa Kofia
Mungu akupe nguvu
Pole dada angu
Pole kipenzi
Rip Mama Mdee
Pole kuondokewa na mama jamani
Pole pacha wangu wa sauti pole sanaaa😢
Pole Halima kwa kufiwa na mama,ila hebu olewa basi kumbe mzuri kabisaaa
Tom boy 😂
Sio powa
Pole san dada 😭😭😭
Commander
😢pole sana mwajina Mungu akutie nguvu kipindi hiki kigumu 😢😢😢
Tumpe pole mh mdee ila mi kwenye kichwa cha habali hp
Uyu dada nijembe pole sana mweshimiwa
Pole sana Mh.Halima.Raha ya milele Mpe Ee Bwana
Polen san jmn
Pole sana halima mdee lkn nasubiri kama ww utaenda chadema au ccm
Inauma mno,sisi kuondokewa na wazazi wote wawili
Polen
RIP MAMA YETU.
Pole sana Mheshimiwa Mungu akutie nguvu
tulia hiyo ni mvi
Halima mdee weww si muislamu sasa huu mwili mbona umekaa chini siku zote
Ni jina tu ila sio muislam
😂😂sasa yy unamuhusu nn , kwani alie kufa , ni muislam ? alie kufa ni mkristo na ukristo kulaza maiti nikawaida tu,
alipewa jina la bibi yake lakini ni mkristo
Usidanganyike na Jina ndugu. Ni majina tu
L
MUNGU akutie nguvu
Pamoja na shukurunani we unatumia nafasi hiyo kutafuta kiki
Mungu akusamehe kijana
Halima ana mume jamai au hajaolewa bado?
Cvd9
Covid 19
Wee nae uolewe uache ujinga umeisha zeeka mbona mamako aliolewa mbona wewe hutaki kuolewa
We ni mzaz ama utakuja kuwa mzaz mwanao asipoolewa utafanyajee?
Yanakuhusu nini??
Au unataka kumuona?