Lakini jeshi la Polisi mnawachikulia poa sana hili kundi la tekateka wako hapo wamevaa kanzu utasema wana huzuni kumbe rohoni wanajua walichokifanya, mngewarunda sero hao wangesimulia yote
Zanzibar kule sisi hatutekwi tunauliwa kila uchaguzi mkuu ukifika, ingia kwenye mitandao uangalie utaona kaka, uku angalau wengine wanatekwa alafu wanapatikana.
@@JohnJoseph-qq7owsisi Zanzibar kule tunauliwa kila uchaguzi mkuu ukifika, uku nyinyi angalau wengine wanatekwa, ingia mtandaoni uangalie chaguzi kuu zote zikifika.
Yaan wenye akili wote wapo upinzani. Safi sana mkam mwenyekiti
HONGERA SANA GOOD SPEACH.
Hiv mtauwa wangapi bdala ya kufanya maendeleo jamii ione mnauwa watu😢
Hotuba nzuri sana yenye mashiko.
Mungu ukae Kimya shugulika na watu wao mwenyewe tumecho tumeumbwa kwa sura na mfano
Lakini jeshi la Polisi mnawachikulia poa sana hili kundi la tekateka wako hapo wamevaa kanzu utasema wana huzuni kumbe rohoni wanajua walichokifanya, mngewarunda sero hao wangesimulia yote
Umesema kwli
Na zanzibar wanatekwa au Tanganyika tu
Kule znz kuna mtu aliuliwa kikatili kama alivyo uliwa huyo alichukuliwa kama hivyo Ila alichukuliwa nyumbani kwake usiku aSUBUI KAZIKWA
Tanganyika tuu
Zanzibar kule sisi hatutekwi tunauliwa kila uchaguzi mkuu ukifika, ingia kwenye mitandao uangalie utaona kaka, uku angalau wengine wanatekwa alafu wanapatikana.
@@JohnJoseph-qq7owsisi Zanzibar kule tunauliwa kila uchaguzi mkuu ukifika, uku nyinyi angalau wengine wanatekwa, ingia mtandaoni uangalie chaguzi kuu zote zikifika.
Mnavyozidi kuwasha moto ndo tunaona kumbe upinzani ndiko kuliko wakomavu.
We wazili ivi kama una akili una penda watanganyika si ungejioji kuwa kwanini zanzibali hawatekwi anaefata nimtoto wako wazili