ADC WALAANI MAUAJI YA MZEE KIBAO KADA WA CHADEMA, WATOA WITO KWA RAIS KUUNDWA KWA TUME YA UCHUNGUZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 17

  • @Grace-s3z
    @Grace-s3z 7 днів тому

    Jamani Lisu yuko wapi? Usikute ametekwa!!!!

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp 7 днів тому

    Leo hizi Saa mbov zimesema Ukweli Haya Simatawi Ya Ccm Au Ni Kinafiki Wanazuga T

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 7 днів тому

    Unampongeza kwa lipi
    Walikuwa kimya watu walopolalamika
    Wangechukua hatua mapema hili huenda lisingetokea
    Mshakama nazo ni za kulalamikiwa sana

  • @user-ih7go2qq6k
    @user-ih7go2qq6k 7 днів тому

    tume kila sku

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 7 днів тому

    Wanafiki kwenye ubora wao

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 7 днів тому

    Rais hataweza kuunda tume huru kuchunguza mauaji haya.! Mtaniambia. Ameamua kujipa tena Tanganyika. Tanganyika tamu.

  • @ismailramadhani1649
    @ismailramadhani1649 7 днів тому

    Unampongeza kwa lipi sasa ambalo ni geni ,na hv karibuni alitoa kauli tata kuwa utekaji unaofanyika ni Drama?

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 7 днів тому

    WELL SAID

    • @musa-v3f
      @musa-v3f 6 днів тому

      4R gani?? wakati Rais Samia alishakataa mapendekezo yote ya vyama vya siasa ikiwemo ya Tume yake aliyounda mwy.. Rais Samia ni mhusika ktk hili hawezi tatua hili tatizo kwani angekuwa na nia hiyo angeshalitatua siku nyingi hili sio tatizo la jana wala juzi

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 7 днів тому

    Yajayo yanafurahisha

  • @Thomas-r1b
    @Thomas-r1b 7 днів тому

    Na leo mko vyama 13 au peke yenu

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange 7 днів тому

    4R zimeshakufa kifo Cha Asili tuachane nazo tu ilikuwa ni propaganda ya Kisiasa.

  • @joachimkalungwana8654
    @joachimkalungwana8654 7 днів тому

    Wanafiki nyingi ndio wachawa wa ccm

  • @EliaHiluka
    @EliaHiluka 7 днів тому

    Jamani tundu lisu Yuko wapi

    • @daudimaembe3360
      @daudimaembe3360 7 днів тому +2

      Tundu Lissu ni mgonjwa kama unavyofahamu.Mara nyingi tusipomuona anakuwa amekwenda kucheki afya au kwenye matibabu yake.

    • @hashimuuhehwa4252
      @hashimuuhehwa4252 7 днів тому +1

      Yupo Mr President hatakiwi kuonekana kila mara