MZEE ALIVYOMKAANGA MKURUGENZI KWA MAGUFULI, NUSURA ATUMBULIWE!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 88

  • @kennedythuo891
    @kennedythuo891 5 років тому +11

    Am Kenyan but u Tanzanians thank almighty for such a leader.

    • @amoremimik5270
      @amoremimik5270 5 років тому +2

      Kennedy thuo I second you

    • @victorkyalo78
      @victorkyalo78 5 років тому

      Am a Kenyan but I like the way Ur are leading God's people Tanzanians

  • @davybuteyo
    @davybuteyo 5 років тому +1

    Huyu mzee ni baraka kwa Afrika, aki Kenya Mungu atupe mumoja kama Baba Mangufuli . I LOVE YOU DAD🏆.

  • @imanluela6763
    @imanluela6763 5 років тому +63

    Kama unaamini kuwa nchi hii imepata kiongzi wa kweli na kidume cha kazi gonga like

  • @drukundo4276
    @drukundo4276 5 років тому +2

    Watching from Burundi 🇧🇮 Am proud to be African this guy inspired me to become president in future for real

  • @jamesmusomasiojakababa1587
    @jamesmusomasiojakababa1587 5 років тому +2

    A hands on president who goes to the ground to find out the citizens problems and gives a solution instantly.a rare species Tz thank God .

  • @muthokagregory6478
    @muthokagregory6478 19 днів тому

    After his death I cried imagine Iam a kenyan I wish we can get such a leader

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 5 років тому +6

    Hapa kazi tu!! Rais Magufuli hataki mchezo mchezo!!!

  • @salimzaidi9203
    @salimzaidi9203 5 років тому +18

    Hahaha hahaha eti we acha ya oyee uwiii tumbua baba hilo jipu mungu akulinde rais wangu

  • @selesaid4367
    @selesaid4367 5 років тому +1

    best president in the world , my father Mhe Dkt Magufuli love you

  • @captenndunga6199
    @captenndunga6199 5 років тому +20

    Maji yalikuja na mwenge yameondoka na mwenge.

  • @shaabaniali9816
    @shaabaniali9816 5 років тому

    Msema kweli ni kipenzi cha mungu

  • @sapduke8691
    @sapduke8691 5 років тому

    Sisi Ndugu zenu Wakenya tunawapenda saba ndugu zetu wa Tanzania na viziwani.... Tunampenda sana sana Raisi Magufuli ......Tanzania brothers and sisters you are one lucky people... Support Magufuli accordingly!

  • @jacobmahenge8018
    @jacobmahenge8018 5 років тому +7

    magu ni moto

  • @jamilaomar9860
    @jamilaomar9860 5 років тому +16

    😁😁😁😁 mama magufuli toka nje wakuone

  • @jacksonwahomemuthui2687
    @jacksonwahomemuthui2687 5 років тому +2

    Nakuomba Mtukufu Rais. Kipindi chako kikikamilika Tanzania, Njoo tukuchague rais wa Jamhuri ya Kenya.

  • @sapduke8691
    @sapduke8691 5 років тому +1

    Ukichezea uongozi wa Mr President Magufuli, utajikangaukia wewe mwenyewe!

  • @paskalrichard237
    @paskalrichard237 5 років тому +2

    We unatakiwa uiongoze tanzania mpka mwisho wa maisha yako

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 5 років тому

    Tanzania you have a best president for real I wish I was born in Tanzania Kwa kweli

  • @mwanaidiamanzi7187
    @mwanaidiamanzi7187 5 років тому

    Hata peke yangu ntachagua baba mungu akubariki Sana🙏

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 5 років тому +8

    Yn km ntakosa kurud mwakan kumpa kura yangu magufuli yn ntajilaumu Sana na roho itaniuma Sana uhai ukiwepo inshaallh

  • @imanluela6763
    @imanluela6763 5 років тому +5

    Nashangaa watu kama viongozi waliopita ilkuw kila Siku wao nikusafiri tu kwenda ulaya kuombaommba misaada ,kumbe walkuw wanaongeza matatizo bila kujijua,,inchi hii haitaki viongozi wa starehe au masharo inataka watu wakuzungikia mikoa yao na kutatua matatizi basi na sio safari za uraya kwenda kutuzaririsha kW kuombaomba misaada

  • @jumamakuri3218
    @jumamakuri3218 5 років тому +7

    Hii Ni serikali ya MWENDOKASI!!!!! SIO STORY!

  • @henrybusi2213
    @henrybusi2213 5 років тому

    Kama kweli sisi Kenya tungefanyiwa jinzi magufuli anafanya ufisadi Kenya ungeisha,pongezi Raising was Tanzania mungu akulinde.

  • @mrope348
    @mrope348 5 років тому +4

    Hili ni tatizo la nchi mzima, kiukweli mzee baba umezungukwa na maadui sio watendaji wenye MOYO wa kizalendo.
    Wengi ni wapigaji na pretenders

  • @hasanimikeyo8893
    @hasanimikeyo8893 5 років тому +1

    Jamani watanzania mmepata rais inchi yangu ya congo 🇨🇩🇨🇩 tukipata rais kama uyu nahisi inchi inaweza nyohoka

    • @felistamashinga123
      @felistamashinga123 5 років тому

      Asante sana kwa kuliona hilo

    • @mrope348
      @mrope348 5 років тому

      Nyie pia mmepata rais mzuri cha msingi mpeni muda na ushirikiano yote yataenda sawa

  • @selesaid4367
    @selesaid4367 5 років тому

    i love him my father , huyu ni baba yangu

  • @cosmasemmanuely4659
    @cosmasemmanuely4659 5 років тому +5

    Huyo ndio maguuu

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 5 років тому +2

    Hawa watu wanakuwa wameshaandaliwa nini,mbona mkuu kasema "nimeona kunaswala gumu kabisa hapa ambalo hamtaki kulisema"??

  • @princepaulnkono5341
    @princepaulnkono5341 5 років тому +4

    Tunajiandikisha kuchagua wenyekiti wa vijiji ,madiwani na wabunge kwishaaaaaa, urais mpaka Magi akome kupumua.

  • @agnesijohn3079
    @agnesijohn3079 5 років тому +1

    Nikawaida. Yao maji yanakuja namwenge yanaondoka. Namwenge

  • @neemakilomoni4258
    @neemakilomoni4258 5 років тому +3

    Aibu kweli inaonyesha jinsi gani Mkurugenzi hafanyi kazi yake vizuri maana raia hawataki hata msikiliza jipu hilo lina itaji kutumbuliwa haraka iwezekanavyo

  • @munguaibarikitanzanianawat9254
    @munguaibarikitanzanianawat9254 5 років тому

    Mimi nakupa pole raisi wetu kwani kuwa kionfozi pia ipo kazi ngumu nakuaminia sanaa pole na majukumu yetu unyo yapitia

  • @newmuscat1698
    @newmuscat1698 5 років тому +1

    Yaani mjomba magu watu tunakupenda vibaya,

  • @abdulkingu5113
    @abdulkingu5113 5 років тому +1

    ​@_6fE
    HII NDO KASI YA MAENDELEO

  • @ibrahimrashid8676
    @ibrahimrashid8676 5 років тому +6

    Nachingwea oye raia wamemchunia

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 5 років тому

      Nachingwea wanajielewa sio as wa Ruangwa tumefumbwa midomo

  • @mnerostationeries1113
    @mnerostationeries1113 5 років тому +2

    Nachingwea imechomoa betr.Mzee umetuwakilisha wana nachingwea

  • @hassanabo4214
    @hassanabo4214 5 років тому +3

    hahahahahaaa ya oyee acha

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 5 років тому +1

    mzee magufuli yuko poa kabisa

  • @cosmasemmanuely4659
    @cosmasemmanuely4659 5 років тому +1

    et ya hoyeee wachaaaa

  • @venansiagasper3507
    @venansiagasper3507 5 років тому

    😂😂😂😂At ww elezea achana na hiyo oyeeeee👍😅

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 5 років тому +3

    Wapigaji wengi mno mamilioni yanatajwa ila kinachofanyika uongo mtupu ulaji tu kweli waongo waongo

  • @thuvakonde2584
    @thuvakonde2584 5 років тому +4

    Eti ya hoyee wacha 😂😂😂😂

  • @fauahamisi1097
    @fauahamisi1097 5 років тому +2

    Hii ng'anya cjui itakuaje

  • @nabilussynabil330
    @nabilussynabil330 5 років тому +1

    Rais msani tu anatafuta kiki tu

  • @hadijaabdallah5477
    @hadijaabdallah5477 5 років тому +3

    Magu na mkewe wamefanana

  • @mathiasmalimi4555
    @mathiasmalimi4555 5 років тому +1

    Hahahahahaha Ya Oyeee wewe Acha

  • @rammietv4907
    @rammietv4907 5 років тому +1

    ASEE HII KALI KAMCHOMA KWELI ASE

  • @umunafisa7060
    @umunafisa7060 5 років тому

    mzee mbona hukanyagi mafia ivyooo

  • @alisaidi4139
    @alisaidi4139 5 років тому

    Kubalinsana mm mjomba magu haah tisha sana

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 5 років тому

    ..hahaha!safari hii..kuna jamaa hapo nyuma kasema ondoka naye!!

  • @faustinemalilo1513
    @faustinemalilo1513 5 років тому

    Hawa watu wanaandaliwa Hawa hapo hakuna lolote
    Hizo zozote siasa tu

    • @hadijaabdallah5477
      @hadijaabdallah5477 5 років тому +4

      Kelele Weeee wameandaliwa na baba ako mfyuuuuu

    • @faustinemalilo1513
      @faustinemalilo1513 5 років тому

      @@hadijaabdallah5477 fala wewe achakushabikia ujinga jitambue wewe unaonekana hata ujui nini kinaendelea hapo

    • @godfreydestury8813
      @godfreydestury8813 5 років тому +1

      Wamepangwa na nani

    • @charlesndodi7085
      @charlesndodi7085 5 років тому +2

      Faustine Malilo na bado zaman mlisema anabeba watu kwenye maroli kwenda kwenye mikutano mmeona haitoshi watu kusema kero zao nao wanaandaliwa mtahangaika sana jembe liko kazin

    • @davidelliot3267
      @davidelliot3267 5 років тому +1

      we jamaa Quma kweli nan anae mda wa kumwandaa mtu kushabikia ujinga kama kiongozi hafanyi waajib acha usenge Quma wewe nyie ndo baadh ya maQuma mnaotapatapa mamae na bado Quma wewe hii ngoma ya moto MTATUBU TU Quma wewe

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 5 років тому +4

    Hawa watu wanakuwa wameshaandaliwa nini,mbona mkuu kasema "nimeona kunaswala gumu kabisa hapa ambalo hamtaki kulisema"??

    • @davidsibejo3416
      @davidsibejo3416 5 років тому

      Na hao wanaoshangilia au kuzomea wameaandaliwa

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 5 років тому

      Awajaandaliwa ungeangaliajana ngeelewa viongozi walivyozomewa

    • @fatemaligalawa4151
      @fatemaligalawa4151 5 років тому

      Kweri Nachingwea ikonyuma.saana kimaendeleo sasa wamechoka kudanganywa

    • @iam1366-o7b
      @iam1366-o7b 5 років тому

      Kumbuka ni Rais ambae yuko makini so kabla hajafika huwa anapewa taarifa na usalama wa taifa

  • @abdulkingu5113
    @abdulkingu5113 5 років тому

    ​@_6fE
    HII NDO KASI YA MAENDELEO