Hapa kazi tuu JPM nyosha nchi imechezawa Sana na wapumbavu wapiga dili mpaka wale mawe wewe ndio kiongozi Bola kwa Sasa Africa piga kazi mpaka kieleweke
U will be remembered,toka nimekuwa nikajua Tanzania baada ya kumpoteza Nyerere ,sijawahi kumuona rais kama ulivyokuwa wewe mungu akupokee katika ufalme wake
Kuna swali ningependa kuuliza kuhusu hawa wanajeshi wa vikosi maalum (special forces), mbona kuvaa mavazi ya jangwani ambayo ni enye kungaa, ilhali sehemu hii ina majani. Wakenya huvaa mavazi kulingana na mazingira
Sisi tulikupende,lakini mungu ndio kakupenda said,ata huko mungu ataenda kukupa uongozi,
da. huyu jamaa atatufikisha mbali sana mungu amubariki kwa kila jambo nzuri analo lifanya kwa maendeleo ya leo na miaka ijayo.
Mungu Akubariki sana rais wetu
Duh haya kwa wale wenzangu na mimi tusiependa kufanya kazi, kazi tunayo
Daah Aisee
Kazi nzuri mh raisi, kura yangu unayo
Duuuuu uh
Kama umesikia VILAZA wakubwa kama mimi. ......
Gonga like
eds boresha
SAFI SANA RAIS WETU
Hapa kazi tuu JPM nyosha nchi imechezawa Sana na wapumbavu wapiga dili mpaka wale mawe wewe ndio kiongozi Bola kwa Sasa Africa piga kazi mpaka kieleweke
SAFI SANA RAIS WANGU MUNGU AZIDI KUKUPA AFYA NJEMA MAONO ULIYONAYO JUU YA TAIFA LETU UYATIMIZE
Safi sana Rais wetu awamu yako mpaka wanyoke kama rula hakuna kubembeleza vilaza wakubwa sukuma ndani😀😀😀
Saaafiii saana jpm na mawazir wako
kweli kabisa
Hatuta msahau mpaka reo MIOYO yetu imejeruhiwa sana kumkosa kiongozi mwenye maono kama huyu
Tz pole
nakukubali raisi wangu
U will be remembered,toka nimekuwa nikajua Tanzania baada ya kumpoteza Nyerere ,sijawahi kumuona rais kama ulivyokuwa wewe mungu akupokee katika ufalme wake
i wish this was kenya
Safi baba Wawa nyonge
hakuna kuwabembeleza,kwani walilazimishwa kuwa viongozi
Kuna swali ningependa kuuliza kuhusu hawa wanajeshi wa vikosi maalum (special forces), mbona kuvaa mavazi ya jangwani ambayo ni enye kungaa, ilhali sehemu hii ina majani. Wakenya huvaa mavazi kulingana na mazingira
Magu nimekuelewa
Pumzika kwa Amani Mkuu .
Rip mh JPM
Uyu ndie mpambanaji uyu
Kura yangu ipo kwako
Duuu, vilaza wakubwa
Engineers mjikague kuna nini kumbuka ile soma hiyooo
Tumbo moto
nani ka MAGU? Tumieni jeshi katika ujenzi