Oi ivi uyu jamaa mwenye namba 258 anaitwete yan kaimba vzr sana Wannahofia nnikiija tawakimbizaa, nami kila nnikiija nawakimbizaah. Uyo jamaa 14:05 anatumia jina gan saiv
This is for B.S.S I really want to thank you for the great job you are doing all over Tanzania this means alot to them even to us who are watching. I Believe into the ambitious the B.S.S they are doing they are level best to pull this into next level, we all can't wait Bong's got talent to expand to East Africa and all over Africa this looks so promising .
Mbona kama word salad at 09:50 🤣🤣🤣😂 If you know you know , lmao Jamaa wa 14:08 anajua , mmependa bure ☺😍 Tisa kumi huyo dada bonge , danng.....vocal yake siyo ya nchi hii
I SWEAR WITHOUT KULETA HII PART I WAS SIKUWA READY KUAFUATILIA.....THIS IS MY BEST PART NI HII HUWA NACHEKA HADI NANYAMBA KAMA PUNDA MLIMANI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, PLEASE I LOVE THIS THIS GUYS VILE WANAJIAMINI
Yan kitu hambacho mnakuwa mnakosea majudge mtu hata hajaonesha ktu chake mnapenda kutaka kla mtu awe kama mnavotala kuwaona nyie m nawashaur mkae kmya msikilze kMa akikosea ndio mnaongea an mpaka tunaangalia bss tunaona kama hamna cha maan sababu ya majudge ko mbadlike ili kuweza kufanya kitu chenye maan na kaz yenu iwe nzur mnaifanya vyema👍👍👍👍👍
Hahaha jamaa mwenye no 0404 ameua mbaya too bad Madame alikua anataka kumkataa na amesikika anamnong'oneza Bella "Mi uyu simtaki" mbaya jamaa ana kipaji kikubwa sana kuliko hasira yake, Madame usimind sana ata AGT kuna washiriki huwa wanaingia bila kuongea na judges na wanakichafua, punguza ubabe na kutake things personal, sawa show ni yako lkn kusalimiana pia sio lazma, unasaka vipaji concetrate kwenye hilo, mtu hajakudisrespect ameamua kuja tu na style yke bila kumsemesha mtu, samahani lkn km mtamaindi. Jay safi kwenye hilo umestick kwny kipaji chake zaid. ✌
Oi ivi uyu jamaa mwenye namba 258 anaitwete yan kaimba vzr sana
Wannahofia nnikiija tawakimbizaa, nami kila nnikiija nawakimbizaah.
Uyo jamaa 14:05 anatumia jina gan saiv
Bongo star search yamwakahuu ni fire 🔥 inachekesha sana
This show never get old🤣❤️
u78
Huyo Mcongo Christian Bella amshike mkono aiseee...👏🏾👏🏾👏🏾
Exactly..mwamba anajua
Ila nimependa msimu hu majaji mnatumia kauli nzur kuwambia washiriki💕💕💕✌🏻👌asant kwahilo nimepend sn
Judges hawapo professional, wanaongea wakati watu wana performe watu wana loose confidence mbadilishe hiyo tabia bss
Hii n audition dear sio mashindano audition dunia nzima judges wanakuaga ivo tuu
Bana haifai wacheke
Raha sana kuzaliwa chuga woyoooo ✌️❤️❤️❤️
😂😂😂😂😂😂dah! Arusha yetu ni shidah siyo kwa vituko hivyo nawapenda wanajiamin sana na ngeli inapanda sana😂
Kabisa
Umeona heeeeee
Chuga ni hatari
Arusha tumesoma sema 2 chaukokola kingi
Haaaah no stress no love 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂litha niachie my wangu 😂😂😂😂😂hakyaMungu nimechekaaaa,arusha jamanii eti nilikuwa sijapiga vituuu
Yaaani niecheka mpaka sauti imeniishaaa
@@ruthsima8152 😂😂😂😂😂😂
Et niachie mywangu😁😁😁😁
This is for B.S.S I really want to thank you for the great job you are doing all over Tanzania this means alot to them even to us who are watching. I Believe into the ambitious the B.S.S they are doing they are level best to pull this into next level, we all can't wait Bong's got talent to expand to East Africa and all over Africa this looks so promising .
Huyo msee wa milk ako juu my favourite you guys should give a job his the most intertaining ati inatoa masumu hahaha
I love youuuuuuuuuuu 💖 arushaaaa Lita niachie my wangu😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Bangi sio chai🤣🤣🤣🤣🤣😍😍 Rita niachie my wangu🙆😂😂😂😂😂😅🤣🤣🤣🤣🤣
Tena kavuta mbichi🤣🤣🤣🤣
😁😁😁
😂 Arusha Nchi nyingine. Rita niachie My Wanguu 😂😂😂. Am dead 💀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Rita niachie my wangu,no stress no love🙋🙋🙆
💞👇🏻BONYEZA HAPA 👇🏻
ua-cam.com/video/AQSbSxmpL5g/v-deo.html
Ommy, ety wameachan hao 🤣🤣🤣
😅😂😅😅😅😅❤️nishida
😂😂😂😂😂
Kaniacha hoiiiii falaaa sanaa
Mbona kama word salad at 09:50 🤣🤣🤣😂
If you know you know , lmao
Jamaa wa 14:08 anajua , mmependa bure ☺😍
Tisa kumi huyo dada bonge , danng.....vocal yake siyo ya nchi hii
Kula anzisha mbele
Sanaaaaaaaa
Lita niachie moyo wangu no stress no love jamn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nakupenda bure
Dah Machaliii wa R bangi sana😅😅😂😂
duuh sio poaa utacheka na hii video hii jamaa anachekesha........kinoma 📿
Jamaa wa kiCongo ni motooo 🔥🔥🔥 na the rapper wa kwanza yuko vizuri
Yani hukaka balaa kwanza sauti ipo vizuri utazani yupo studio
Am proud to see ma home boy Elisha pacha #beiYake
Naombeni msaada wenu nahitaji kujiunga na bongo star seach rakini sijui njia za kujiunga
Am new but imebidi ni comment hii ya Rita ni achie my wangu 😂😂😂noma
Lita niachie my wng 😆😆😄madam rita ss anavyoshangaa 😄🤣🤣🤣🙌
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 i literally laughed the whole episode
Nilikua sijalamba babu😁😃😄😃😃😃😅😂😂
Keep Going Mwamba Wa Mwisho Wa Gitaa Kiitikio Cha Sheta Wanaofia 🔥🔥🔥🔥
😅😅😅😅😅😅😅uyoooo bongeee konyoooo haki rita niachie mayiii wanguu
I SWEAR WITHOUT KULETA HII PART I WAS SIKUWA READY KUAFUATILIA.....THIS IS MY BEST PART NI HII HUWA NACHEKA HADI NANYAMBA KAMA PUNDA MLIMANI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂, PLEASE I LOVE THIS THIS GUYS VILE WANAJIAMINI
Watu wanawapiga majungu ila kwabingo hii show is bless sanaa mnatufurahishaa
Bangi sio nzur nimecheka kinoma ya yule sister wa kwanza alivo sepa bwan😂😂😂😂😂😂
😄😄😄😂😂😂😂 Hata mimi
@@saumuhassan6365 😂😂😂
Yani dah 😂😂😂
@@ommymio3261 had sio vzr😂😂😂😂
😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂
Yan kitu hambacho mnakuwa mnakosea majudge mtu hata hajaonesha ktu chake mnapenda kutaka kla mtu awe kama mnavotala kuwaona nyie m nawashaur mkae kmya msikilze kMa akikosea ndio mnaongea an mpaka tunaangalia bss tunaona kama hamna cha maan sababu ya majudge ko mbadlike ili kuweza kufanya kitu chenye maan na kaz yenu iwe nzur mnaifanya vyema👍👍👍👍👍
Daaah! R chugaa akili zao wanazijuaa wenyeee 🙌🙌😁😁😁🤣🤣
Hongera sana Bongo star search kwa kuibua vipaji Tanzania 👏
Nimerudi kusikiliza 'Rita niachie moyo wangu' 🤣👍🙃
Natamanigi youtube iwe Na comment za voice cause Na chekanga sana apa aiseeee😂😂😂😂
😂😂😂
Ingekua noma sanaa 😁😁
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣jamani jamani jamani duuuuh Episode gani hii vichekesho tu
I can't stop to Laugh😂
Is this the real Jokate
Likewise 😊
So do I 😂😂
Me too I can't stop laughing
Hahaha jamaa mwenye no 0404 ameua mbaya too bad Madame alikua anataka kumkataa na amesikika anamnong'oneza Bella "Mi uyu simtaki" mbaya jamaa ana kipaji kikubwa sana kuliko hasira yake, Madame usimind sana ata AGT kuna washiriki huwa wanaingia bila kuongea na judges na wanakichafua, punguza ubabe na kutake things personal, sawa show ni yako lkn kusalimiana pia sio lazma, unasaka vipaji concetrate kwenye hilo, mtu hajakudisrespect ameamua kuja tu na style yke bila kumsemesha mtu, samahani lkn km mtamaindi. Jay safi kwenye hilo umestick kwny kipaji chake zaid. ✌
Gonga like km umemuona kwa mara ya nyingine tena MAJANABA MAKUBIII
😅😅😅😅😅😅🙌sura Kama malaika 😅😅😅😅 Lita niachie Mai wangu
Nimemuona chalii ikiwezekana bas nitumie video zako za snapchap❤❤ big up snaa
Lita nhachie my wangu 😁😁😁
Ritha niachie my wangu🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwanzo kaimba kama mtu kweli vile🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alikuwa ajalamba babuu🤣🤣
Hahhahaahhahah ...Hugo aliyeimba I love ya rayvanny kajiminya saut balaa
Anabembereza chooni yatoke 😂😂😂
@@manchestercitybettartv5922 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣😂
😂😂😂kama anakamua nyee..
🤣🤣🤣🤣🤣Mbeya ilikuwa ya moto jamani kubwa na nusu nimecheka sana
Huyu namba moja alikuja kuchekesha watu hakiamungu🤣🤣🤣
Watu wanapigana kuja DAR es laam wakati sis imeshatuxhosha tunatamani kuish mikoani!!!!💪,😜😜😜😜
Niwaharibie upuuzi jumla semeni"qwiqwi" wadau " qwiqwiiii" !!!! Imeisha hiyoooooo!!!!
Uyoo mdada wa kwanza jmn😂😂😂😂 i cant kwa kweliii
sijawahi kutoa comment ila huyu wa lita niachie mai wangu amenimaliza hapa ,hamtozi babuu
Nimechekaa kifalaa lita niachie my Wang u😂😂😂😂
Nimewaharibia upuuzi jumla semeni kwikwi 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Huyu dada wa kwanza bangi Sanaa😂😂
uyo mwenye perfume ako juu🔥🔥🔥🔥
Majaji wenyewe comedy kinoma
BSS need to treat this guy Alexandro good. Bcoz he the reason they got a lot views
Aruxha kuna vituko xan 😃😃😃
Exactly! Wampitishe tuu 🤣
Duh dada alofungua mwnz kanichekesh 😂😂
😂😂😂😂
Lita niacie moyo wangu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nakufa mm😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣ila idris shenzii sana eti mm simpendi bilnas 🤣🤣aki wewe utachomwa moto wa pekee akoo
Yule mucongo is on fire 🔥
💞👇🏻BONYEZA HAPA 👇🏻
ua-cam.com/video/AQSbSxmpL5g/v-deo.html
Mkongo niatari
I love mkongo
Yule Mwamba ana sauti ya peke yake yani.
Yup vizul san
Uwiiiii ritha niachie my wangu
Nilikuwa cjaramba bado🤣🤣🤣
Hiyo ndo arusha chuga man gonga like Kama unapakakubali chuga
Jamani nacheka kama mwehu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Chuganian mmenishinda nyie people 🤣🤣🤣🤣🙌
Yani kuna Tanzania Alafu kuna Arushaaa😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂ee Mungu wangu me nacheka sana jmn
Mlichomfanyia dada wa kwanza kabisa sio vyema mjitafakari
Aisee arushaa kuna mambo meengi ya kuflahishaa saana najikuta nacheka had nachokaaa
Ila nmecheka jamani😂😂😂😂
Waarusha bana... 😁😁😁😁😁Ila huyu mkongo anaonekana Hana tabuu Yaan km aimbii vile mwenyew
Arusha Shikamoooo 😂😂😂😂
You guys are trending in 254.. i had to come to laugh 🤣🤣
Bas 2020 wapo moto sanaaaaaaaaaaaaaaaaa
Arusha bangi nyingi 😂😂
DUH MWAKA HUU NI VICHESHO SANA
Arusha my lovely city am proud of this city
Arusha wamenivunja mbavu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 Madamu Rita jaza Lita tujaze BSS,,,,,Noma sanaaa 😂😂
Baada ya salama jaber kutoka..sina hamu na bongo star search ..
Arusha wakavuta unga sana.😂😂😂😂....Rita niache wangu
Bongo siyo nchi ya kuham ovyo ovyo walah dah😂😂😂😂
Number 2 can be a good comedian👏👏
Mnaoshiriki mnapoteza muda sana tafuteni pesa msomee mziki na murekod ngoma za kueleweka hawa bss ni wazushi tuu hawana jipya
Rita muachie my wake🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ma jirani hamko sawa
Arusha tumsapoti Elisha James kipaji hiki Wana wa sua wanaelewa Hip hop never die
Hichi kipaji ni noma, nakumbuka back in days advance Mwenge singida 2011 jamaa alikuwa anatupa free style za kushato
bruh...this is why i am a tanzanian..aahahaa....i love my country jmniii....uwiiiiiiii
Huyo mcongo kiboko yao 🔥 🔥, wacongo wana talent sio uongo
Duh nimecheka kinomaaaaa🤣🤣🤣
Watu wa chuga wallah hamna vipaji bali ni vichekeaho🤣🤣🤣🤣
Aliemba salama nikiwa na ww😅😅😅😅🤭🤭🤭😀😀😀😀😀😀😀😀😁😁😁😁😁
WaMepata presha balaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
Rita niachie moyo wanguuuu is 😂😂
Majanaba namkubar sanaa aseee
Muna boa matangazo mengiiiii
😂😂No stress no love
Hh0h0hh0h0hh0hhhhhhhphhphhphhhhh00h0hhh0h00h00000h00h0hhhhvhhhhhhvvphhhppphhvghvvhhhvhhhgvgihhhhhvghhvgvphvppgggvpghpghhphphphhopphhphppphphphphphhvgvhhhhhgphhhphphhpphhhhhhphpppphhphphphhhhphpghhhhhppvhhvgphpvphhhphphhphiihhii8hh
Hhh
Arusha kama wakenya🤣🤣🤣
Uhum🙄wakenya tena?
🤣🤣🤣🤣🤣Rita niachie my wangu🤣🤣🤣
good vizuri sana
Jaman Ni furaha tu