4 SEHEMU YA MSALABA WA YESU KUKUONDOA KATIKA UMASKINI || MWL CHRISTOPHER MWAKASEGE || TANGA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 лип 2024
  • Semina ya Neno la Mungu Tanga Mjini || Day 4 || Tarehe 06 JULAI 2024
    .................................................................................................................
    Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
    M-PESA 0754 211 633
    0752 888 847
    TIGO-PESA 0715 511 633
    AIRTEL MONEY 0682 657 080
    HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
    WEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
    CRDB BANK
    ACC: 01J2032214400
    JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE

КОМЕНТАРІ • 41

  • @user-yk1gl8qw1v
    @user-yk1gl8qw1v 24 дні тому +19

    Mbarikiwe watumishi wa mungu kwa maombi yenu mungu ameniponya juzi nilitoa hitaji kuumwa n kiuno n miguu sahi mm n mzima Sina n utukufu zimrudi mwenyenzi mungu

  • @jaquilinemihambo9602
    @jaquilinemihambo9602 23 дні тому +3

    MALIMBUKO INAKUPA MFUMO WA KUWEKA AKIBA
    ✓✓✓✓✓✓✓✓
    MITHALI3:9-10
    Ndani ya malimbuko Kuna upako na uwezesho wa kuweka akiba.
    Akiba Ni mfumo wa kimatumizi.
    Kuweka akiba Ni mfumo,,Ni kitu Cha kiroho,,.
    ❤❤❤
    Kuna tatizo la kiuchumi linakuja ambalo litaleta mabadiliko ya kimfumo na litabadilisha Fikra na mahusiano.
    ❤❤❤❤
    Wito Ni kuweka akiba katika vile vidogo tulivyonavo.

  • @nyakatongongo4292
    @nyakatongongo4292 24 дні тому +3

    Hatutafedheeka Kamwe Yesu ni mshindi🇿🇦🇿🇦🇿🇦

  • @Abdallahsalehe-j2x
    @Abdallahsalehe-j2x 23 дні тому +1

    Amina urikiwe Sana mtumishi wa mungu barikiwa Sana na mahubiri yako haya Kama nilikuwa na umwa ukiniambia shika mahali panapo Uma napokea uponyaji mungu awabariki Sana mama na baba pamoja na tem yako tote mungu awe pamoja nanyi katika kutenda kazi take ameni

  • @vickyedward
    @vickyedward 21 день тому +1

    Hakika Yesu ndye kimbilio letu Mungu akutunze na timu zima mana

  • @JoshuaDavid-et7em
    @JoshuaDavid-et7em 24 дні тому +6

    Sifa na utukufu ni zako Mungu baba kwa ajili ya mtumishi uliemnyanyua juu Amen

  • @MariaFashion-yt9cl
    @MariaFashion-yt9cl 23 дні тому

    Asante Mungu- kwa neema hii ya Mwakasege na Mama na jop nzima la Mana, Utukufu wote apewe YESU

  • @user-fu8ie4sq8c
    @user-fu8ie4sq8c 20 днів тому

    Baba asnte, baba leo nikuangalia you tube haupo babà moyo wangu unahaingaika kwasababu sjapata neno baba ulisema upo leo singida , naomba mungu akupe maisha malefu naya milele, naomba mungu anisamehe dhambi zangu zote bwana natamani nami nirithi uzima wa milele👏👏👏👏👏👏

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 24 дні тому

    Ubarikiwe sana Mtumishi,mwlm kwa masomo yako mazuri,Mungu asikupungkie wew na uzao wako na familia yako kwa ujumla,hakika ww umechaguliwa na umeitwa,napokea mabadiliko mapya mazuri katikaa maisha yangu,kupitia semina ya neno la Mungu kila madhababu inayopigana na mimi kunizuia nisifike kwenye neema yngu, kuanzia shetani lianze kupiga kelele na kufa nikapokee baraka zangu kwa jina la yesu kristo kupitia ibada hii,amen

  • @NaomiAlex-ih5sw
    @NaomiAlex-ih5sw 24 дні тому

    Ubarikiwe sana mwalimu kwa maneno yako mzuri yenye uponyaji MUNGU azidi kukutumia zaidi

  • @gracesuguta
    @gracesuguta 23 дні тому

    Pokea sifa na utukufu Mungu wetu, endelea kuwatunza watumishi wa Mungu kwa ajili yetu

  • @IrenePhilemon-g4j
    @IrenePhilemon-g4j 18 днів тому

    Mungu Utukuzwe❤

  • @lydiaaruba6670
    @lydiaaruba6670 24 дні тому

    Yesu ni mzurii nyiye Katikati ya maombi jino ghafla lilinyamaza KIMYAA

  • @soledad0016
    @soledad0016 24 дні тому +1

    Ubarikiwe baba 😍

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 24 дні тому

    Mungu ww unaweza,naona umetenda tena kwetu,hakika mimi ni mshindi kila saa,shetani hana mamlaka na mimi

  • @AnitherFideri
    @AnitherFideri 22 дні тому

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu kwa mafundiyo yako

  • @rehemamwamundela2717
    @rehemamwamundela2717 23 дні тому

    Ubarikiwe sn mtumishi wa Mungu na team yako

  • @LilianKileo-g4w
    @LilianKileo-g4w 24 дні тому

    Asante mtumishi wa Mungu, tunabarikiwa sana.❤

  • @teddymhenga3006
    @teddymhenga3006 24 дні тому

    Asante Yesu maana umetuona ss wazazi na watoto wetu.

  • @user-sn9lh6gv7t
    @user-sn9lh6gv7t 24 дні тому

    Ubarikiwe sana baba kwakweli mie napona sana mungu akutunze

  • @user-di1my8cf8v
    @user-di1my8cf8v 23 дні тому

    Amina ubarikiwe sana mtumishi wa mungu

  • @MaryNassoro
    @MaryNassoro 24 дні тому

    Mungu akubariki baba kwa neno

  • @nawikemwasamboma5510
    @nawikemwasamboma5510 24 дні тому

    amina napokea kwajina ra yesu

  • @MarthaMollel-jc5kf
    @MarthaMollel-jc5kf 24 дні тому

    Amenaaaa jmn kwa iman napokea maomb ya leo

  • @AbelyAb
    @AbelyAb 24 дні тому

    Amen man of GOD

  • @MonicaMfinanga
    @MonicaMfinanga 24 дні тому

    Barikiwa mtumishi.

  • @DinnaRossana
    @DinnaRossana 24 дні тому +1

    Nabarikiwa sana Mungu akuinue zaidi mwl mwakasenge ..japo shetani ananijaribu kila mara kukwepa mafundisho yako kwa jina la yesu nitashinda..

  • @LangaeliUrio
    @LangaeliUrio 24 дні тому

    neema ya mungu

  • @LilianKileo-g4w
    @LilianKileo-g4w 24 дні тому +1

    Asante mtumishi wa Mungu, tunabarikiwa sana.

  • @nawikemwasamboma5510
    @nawikemwasamboma5510 24 дні тому

    ameeeeeeeee baba

  • @ElizabethMakwaia
    @ElizabethMakwaia 24 дні тому

    Mungu wa rehema ,na aturehemu sisi pamoja na watoto wetu.Amen. Mbarikiwe watumishi wa Mungu kwa kazi yake.❤🙏🙏🙏

  • @user-sn9lh6gv7t
    @user-sn9lh6gv7t 24 дні тому

    Tupo pamoja babayetu

  • @raphaelmwamakimbula9642
    @raphaelmwamakimbula9642 24 дні тому

    🎉

  • @user-fu8ie4sq8c
    @user-fu8ie4sq8c 24 дні тому

    Amina baba, mungu akupe maisha malefu

  • @helen_dawai
    @helen_dawai 23 дні тому

    Ruvuma😢

  • @soledad0016
    @soledad0016 24 дні тому +1

    Ubarikiwe baba 😍