2.MISAADA ILIYOMO KATIKA MEZA YA BWANA ILI USHINDE VITA VYA KIROHO VYA MFUMO || Mwl. MWAKASEGE.
Вставка
- Опубліковано 7 вер 2024
- Kongamano La 16 la Maombi Kitaifa || Dodoma || Day 2 Tarehe 31 JULAI 2024
.................................................................................................................
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako kwetu:-
M-PESA 0754 211 633
0752 888 847
TIGO-PESA 0715 511 633
AIRTEL MONEY 0682 657 080
HAKIKISHA JINA LINALOKUJA NI DIANA MWAKASEGE
WEZA KUTUMA SADAKA KUPITIA _-:
CRDB BANK
ACC: 01J2032214400
JINA: CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE
Damu yako ya thamnini INANIHESABIA HAKI katikatibya wapinzani wangu na maadui zangu. AMEN
Ameeen Eee Mungu naomba siku Moja unisaidie na Mimi niweze kufika kwenye kongamano najua Mambo makubwa sana nitapokea nikikanyaga kwenye kongamano
Ninamshukuru Mungu kufuatilia kongamano hili tangu jumanne jana nimeepushwa Ajali nimeuona mkono wa MUNGU
Tumekuona Bwana, turehemu mifumo imezuia malango ya elimu, ndoa, watoto kustawi, uchumi, baraka, upendo, amanivee Mungu tusaidie
Amina Namshukuru Mungu kwa Pendo lake Kuu kwangu kwa ajili ya Bwana Wetu Yesu Kristo kwa Damu Yake ya Tunasamehewa na Kukombolewa kutoka Dhambini
EEEEH YESU KWA DAMU YAKO TAKATIFU,, MJALIE MTUMISHI WAKO DADDY MWAKASEGE ILI WATOTO WANGU WAMKUTE...AMEEEEN🙏🙏🙏
AMEN
Mungu anikombewe n'a anirehemu kosa zangu n'a zambi zangu zote mungu fukuwa kizazi changu
Hakika Mungu ni mwema sana tumeuona ukuu wake akifungua malango ya Mifumo mbalimbali kwny nchi yetu
Mungu akubariki sana baba azidi kukutumia.
Mungu kumbuka familia za ministry nzima
I am connected to this anointing in the Name of Jesus Christ the Son of the living God.
Mungu anikombewe n'a anirehemu kosa zangu n'a zambi zangu zote
Amen 🙏
Amina mtumishi wa Bwana Mungu akubariki sana
AMEN
Mungu nimwema mtumishi wamungu akutangulie tufungulie mipango yetu kimaisha nauchumi wetu baba
Mungu anifunguwe
Eeeh Mungu tunaomba uendelee na ulinzi wako usituache utufunike kwa damu ya Yesu kristo
Amen
Damu ya yesu iniokoe inifunike
Amina 🙏🙏🙏
Amen tunabarikiwa mtumishi
Baba tukumbuke kwenye Kizaz chetu malango yamefungwa na nguvu za Giza hakuna elimu tunasoma lakn hatuajiriw nafungua malango yote yaliyofungwa na nguvu za Giza kwa damu ya yesu
Mungu likumbuke Taifa letu la TANZANIA
Mungu atusaidie
Amen Amen Amen
Like
❤❤❤❤
Hallelujah
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen 🙏
Ameen
Kongamano la dodoma ni upako tupu jitaidi uende mpendwa
amen
NAJIUNGANISHA NA IBADA HII KWA DAMU YA YESU
MUNGU likumbuke taifa na wateule wako
Kwakupitia sakrament hii napokea kazi yangu na upako wa Mungu na nguvu za Mungu na ibada kwa familia yangu🙏🏼🙏🏼
BWANA Asifiwe watumishi wapendwao na BWANA Mungu Aliye Hai. Tule pamoja chakula kigumu; UTATU MTAKATIFU. Utangulizi; Mhukumu ni nani? Mwanzo 18: 25 Matendo 10: 42. Masomo; 1.Mungu Baba Yohana Mt 5: 18 Warumi 1: 7. 2. Mungu Mwana - Yohana Mt 1: 18 Waraka wa 2Yohana 1: 3. 3. Mungu Roho Mt- Yohana Mt 4:23-24 2 Petro 1: 21. Ujizoeze kusoma maandiko Matakatifu ndipo utakapomshinda shetani. Amen, Mtumishi wa Mungu, Nabii Sospeter Kabangutse, Anglican Mwanga /Huduma ya unabii Kilimahewa, Kigoma Mjini Tanzania.
Karbu hai semina sa ndani hata siku Mbili jamani nakuomba uongee na watu wa wilaya hai
Mungu anikombewe n'a anirehemu kosa zangu n'a zambi zangu zote mungu fukuwa kizazi changu
Amen
amen