😭 WASHIRIKI WAZIMIA WAKITOLEWA KWENYE CHEKA TU COMEDY SEARCH LEO | VILIO VYATAWALA
Вставка
- Опубліковано 27 вер 2024
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Kwanza nimpongeze baba Levo, ni mkweli na jasiri sana yupo kazini kweli kweli.
Pili niwapongeze wote washiriki, na wa andaji kwa kazi nzuri.
Eliud umejua kutufurahish watu wq mbeya big up bro we love you so much mbeya city
Djkxblcbkpl boy no bm pm zAiol
leonard na Asma mmetisha sana
Daaaahhhhh am in love with asmaaa.....MUNGU akujalie Asma ..nje ya hilo nakupenda asee
Mc Eliud amefanya vzr leo let's hope ametoeka kwene danger zone.❤❤❤#teammbeya.
Oyaaa hii show hivi kila baada ya siku ngap niliimisi sana😂😂
Head master Yu good tuliaa kwa voice ya mamaa
Leonard.. Asma.. Ndaroo wanajua
Umetisha eliud mpaka tunatamani uwendelee kweli vitu ndio ivyoooo www nimkali
We Nisha unataka kujifanya kama Salama eti hucheki macho kwa Zarau
Asee dogo leonald lazima achukue mpunga wafany vvote dogo anatisha
Eliud umeshinda baba umegusa maisha yangu nimecheka balaa kila siku unanichekesha Mungu akubariki najua safari ni ngumu na hayo nimashindano naamini kwa kipaji chako Mungu akusimamie uhakika broo sichekagi ovyoo umeua umeua umeua tena 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Leonardo we ni genius broo kama muasisi wa hilo jina leonardo da vinch. Pia Ndaro, saidi, mc ellioud, boom chakala, azaboy na nox m mnaweza sana
Wako poa sanaaa
Leonard mm ni shabik yako big up Allah awe pamoja nawe
Hata mie
Nisiwe mnafiki ,Leonardo ndio bingwa mpaka muda huu
Hata mie nimeona hivyo hivyo
Uyu Leonard naona kashapta..
Kipindi chenu kimenoga sana baada ya kumuondoa yule mzee wenu zembwela alikua hafai hata kdg kwenye kipindi chenu
Punguza makasiriko
Amini kweli sitanii
uko sahihi
Mmetisha sana
Juma huwa nampenda bure na vichekesho vyake😂😂
Leonard is very contented
Asma ndio mshindi ❤️
Zungu usije ukalia una roho nzuri sana ubarikiwe🙏🙏🙏🙏🙏👈
Josephat kaaga kiume👏👏👏🇧🇮 Kdo
Baba levo naona mshindi wake ni Leonardo
leonardo fundi na ndio bigwa wa 10 milion
Ndomana spend mashndano Nina presha pia naumia kwa haraka Zaid 💖chimamy pole pia dear!!
Lenado chukua pesa uondeke
Asante Mc Eliud na Asmah
kama umemkubari Eliud gonga like
Namkubali Sana chief judge nimtu mwenye kutia watu moyo na muda wote anaongea point Sana pia mimi imeniuma sana Sana kwa waliorudi nyumbani they're going to give up mwanzo baba levo ameongea vibaya Sana alivyokua anasema "wanakaa hotelini Hawa kwa hyo kuna gharama" hyo kwanza inamfanya mtu aone aibu na machoz yamenitoka sijapenda maneno yake anatakiwa kua WIZE mwanzo busara inatengeneza amani na kukubali😔😭😭😭😭
Leonard ten million zako izo amin ivyo kaza
Leonard anajuaaaa
Saidi killed it
Said fundi
Head master ameuwaa ila shida zaidi n kwayule Dogo bernad
Leonard 🔥🔥🔥🔥💥
Umeona eeeh
Leornad is genius 🤣🤣🤣
ua-cam.com/video/Smu7gj2od5Y/v-deo.html
Eliud has done well
head master 😂😂
Leonald
Eliud Ni Nomaa
Leonald the winner
Piga kelele kwa said said 🔥🔥🔥
Fundi
Said ni moto San@
Leonad unauwaaa🔥🔥🔥🔥🔥💞💞😘
Big up to all participants have done well
Mimi ushauri wangu sehemu kama hiyo wawepo firstaid redcross ili likitokeya tatizo wawepo kuwasaidiya ni muhimu sana ktk mikusanyiko ya watu
Nawapongeza sana majaji kwa matokeo mazuri hamumpendelei mtu mko vizuri sana na has jajji kohl mvungu anavyowapza toho yaani kwa hisiya hadi rahahaswaaaa kwa kweli nimeenda sana huyo kaka MMungu ambariki inshaallah
Baba levo ww ni mcheshi sana nakupenda tu unafanya kazi yako kwa ubunifu.
Mama Nyonzo umepitia wakati mgumu, katikati ya mashindano ulimpoyeza baba yako mzazi. Wakati wako unakuja my love. Keep it up❤️❤️❤️
Sema Leonardo mtu mbad Sana salute bro 😂😂😂 nimecheka kifala Sana
Bidiuk 😄🔥
Said said, leornado, headmaster mpo vzr
Leonard your the best 🔥🔥
Leonard ni mtu na nusu
Eliud kaperform vzury Leo ckutegemea mmmwaaaa
All the participants are so special
ua-cam.com/video/Smu7gj2od5Y/v-deo.html
Sanaaaaaa
Baba Levo tunakupenda Sana unajua kazi
Sema mwanzoni patamu mwishoni maumivu uwii
Ndaro & headmaster ar ma favourite
Ndaro noumaaaaa....🙌
Leonardo...azaboy...... Mamb ni moto
Jamani naomba hii shooo iendelee angalau kwa mwaka hata mara tatu jamani duh kiukweli washabiki tunaenjoy
Honestly LEONARDO is my namba one fan...👏👏👏
Said kama said
1. Leonard
2. Eliud
Leonard he is real and funny
sanaaa
Fact
Sjawahi kukoment lakini Leo duh? Big up leonard
Eliud u killing dem 🔥
TX ua-cam.com/video/ObkUUy3PWpw/v-deo.html
pendo nyonzo vizur sana
Eliud daah unajua kutuwakirisha WANYAKYUSA pamoja sana bro
Head master na Leonardo wameua sana
Asma ni mbunifu mno
Melissa anaekti comedian nzuri Sanaa😆😆
1:32:07
Upo makini😂😂😂😂😂
Leonard is the Best
Headmaster, kwa vyovyote vile wewe ni genius.
ua-cam.com/video/Smu7gj2od5Y/v-deo.html
Leonard🙌🙌
Eliud na Leonard wako pouwaaah
Big up Mc Eliud
Baba Levo ni bonge la judge aisee anatoa kavu yaani black and white.... Safiiiii
leonardo nampenda kipaji chake huyo kaka namuombea apite yeye yaan yupo vizur sana
Leonardo 😅😅✌
Jamani kazi ya ku judge hapa ni ngumu sana
Leonardo is the genius
WHAT YOU DONT KNOW ABT LEONARD ..HE HAS BEEN DOING THIS FOR A MINUTE...
ua-cam.com/video/Smu7gj2od5Y/v-deo.html
Ndaro ni nouma
Cheka Tu
Nmeumiaaaa sanaaa kwamaneno ya chimamy mnatoka sehem mbalmbal mnazoeanaa alafuu mnaachanaa inaumaa kwakwel😭😭😭😭
Leonadi ni noma
Ths z so amazing
Wasafi mtatumaliza
Asma kama Asma
Leo eliud umeua next n leonardo
Eliud..leo..nox..head..🤣🤣
Said said ananikosha💖
Had master umenivunja mbavu jamani 😂🤣😂
Baba Levo uko True Sana Mwamba
Ndaro chukua 10 milion
Leonardo...said...asma...boom...
Bidiuk 😄🔥
Leornad is best per formas
headmaster and leo🙌🏿🙌🏿
Leornad is the genius
Nox M is the genius
Woow boom chakalaa mekupenda bureeeeeeee🎉
Mtatuulia vijana sasa
Leonard you made my morning
Love u jol master
Baba levo uko sahihi ni vizuri sana unatenda haki
Big up
mama nyanzo ningelitamani abakieeee, ni the one kwangu