Namkubali sana huyu Mwamba, Kuna Vigingi amefaulu kuvivuka baada ya Ushindi ilikuwa ni Ishu sana Kuikalia Nafasi yake ametumia akili sanaa chupuchupu apite kuleee ✍️ Hongera sana
Vido ni mwanahabari mzuri sana, anajua kuuliza maswali na kutawala interview. Exclusive inayohostiwa na Millard pamoja vido ina mvuto wa kipekee sana Tuwape maua yao hawa watu jamani
Leonardo sikuoni Tz bali nakuona kimataifa ila tu ukizidi kujitambua,kupambana kumwomba Mungu nakutafuta fursa yakupenya nje ya mipaka yetu. Keep it up bro.👌👌👌
Sasa unampangia mtu na lazima ujue kwao kivipi hauwezi sema mm kwetu Morogoro hali ya kuwa umezaliwa Dar es Salaam na umekulia Dar es Salaam na huko Morogoro hujawahi fika...
Leonard ungekuwa ulaya kwa mazungumzo yako basi ungeshuka sana maana kitu Kizuri ni kuiweka familia yako vizuri sasa wewe umaarufu umeshakuchanganya hadi unazungumzia pacome na Gwede.
Leonardo ni very smart and real. Naamini atakuwa icon ya Tanzania kwenye Comedy muda si mrefu. Sijui Kama unakubaliana na mm.
Yah kwasababu anapiga both English na Kiswahili itamsaidia kwenda far
Pia anafanana na mch, Ananja
aaha Ananja ana namna Yake Bhana. Kila MTU ana Radha Yake@@deniskatunzi146
@@user-jt5we5hg4vHata pure English mshikaji anaweza. Anatutoa kimasomaso
Namkubali sana huyu Mwamba, Kuna Vigingi amefaulu kuvivuka baada ya Ushindi ilikuwa ni Ishu sana Kuikalia Nafasi yake ametumia akili sanaa chupuchupu apite kuleee ✍️ Hongera sana
Hii comment naomba iwekewe lamination , Leonard atakuja kuwa comedian mkubwa sana 😂😂😂
Mkubwa tayari
Vido ni mwanahabari mzuri sana, anajua kuuliza maswali na kutawala interview. Exclusive inayohostiwa na Millard pamoja vido ina mvuto wa kipekee sana
Tuwape maua yao hawa watu jamani
🙏🏾🙏🏾🤝 Asante sana
@@vidovidox2632 unajua mwanangu
Yeah point kabisa 💯
nawakubali sana vido millard ayo pamoja na frida amani,meena ali pamoja na mjomvu B12 na Kennedy the ree .@@vidovidox2632
ayo and sns...bundala
Hongera sana dogo. Wajita wengi tuko smart isipokuwa yule Cyprian Musiba wa CCM 😂😂😂
CYPRIAN N MSASI🤣🤣🤣🤣
😂😂😂
Leonardo is so smart and very honest ❤
Leonardo sikuoni Tz bali nakuona kimataifa ila tu ukizidi kujitambua,kupambana kumwomba Mungu nakutafuta fursa yakupenya nje ya mipaka yetu.
Keep it up bro.👌👌👌
Leonard nkukubali San Kaka!!!!
Leonard ni fundi wa stend up comedy... Sana
Leonardo masta fundi kabisa wa hii kazi, sisi tumekukubali mwanetu piga kazi, endelea kuiwakilisha Ukerewe duniani na useme bila aibu 😄
Namkubaali huyu mwamba mi nko kenya anga za kilifi mwana anaweka siku barida wakti mwingi😂❤
Oe wa kilifi 🇰🇪 tujuane😅
Golani, kimbiji hiyooo Safi sana kumbe uliletwa kwetu
Ubarikiwe sana Mungu azidi kubariki kazi za mikono yako
Jamaa Anajuwa Sana Halafu ana kipaji endelevu
namkubali sana leonardo so big up
YOU are BEST
Fellow Eng. Namkubali sana kutoka Kisii Kenya
Me Nina d2 nakuelewasana😂😂😂 👍
Congrats sana.
Mungu azidi kukubariki, mola ajalie uwache pombe kabisa
MashaAllah ❤❤❤
Leonard is genius of his stylish....too far mile away in cognition
Vido anatumia kiswahili jumuishi, (mlivopata ujauzito)
😂😂😂
Kwamba ujauzito ni wao wote wamebeba😂😂😂😂
😅 dah ulimi huu
Katika kiswahili iyo sentesi ni sawa tu.na ndio maana akijibu ujauzito niliishi nao tu.
Nampenda sana vido anavyohoji
🙏🏾🙏🏾🤝
Jamaa yuko very smart, interview yake haichoshi
Yani kabla hajaongea neno hata moja nimeshaanza kucheka.😆😆😆🤣🤣🤣🤣🤣
Nyege hizoo
Sio poa
@@afidhidadi8847 Asante
Kichwa kinamadini sanaaa ❤❤Hua nakukubali Sanaa 🎉🎉🎉
Jamaa yupo viri❤❤❤
Mungu akulinde leo nakesho pia
Nakukubali sana mwamba
Leonardo best comedy ❤
Mm kama mwl. Inanifurahisha na kunifariji. Huyu ni mfano nzuri wa kuigwa Kwa wanafunzi....usanii umeshikiliwa na wasomi
Leonard is the best
Leonard baba mjita wee kwenu ni Mara sio Mwanza 😅
mchukueni ndugu yenu anajifanya hajuhi kwao
Sasa unampangia mtu na lazima ujue kwao kivipi hauwezi sema mm kwetu Morogoro hali ya kuwa umezaliwa Dar es Salaam na umekulia Dar es Salaam na huko Morogoro hujawahi fika...
Uyu vido ni handsome saana yaani nimevurugwa kabisaaa
😂😂😂
I can't wait with English Comedy 🙏🏽🙏🏽
Mfatilie vzr tayari contents zipo kitambo anapost..
Shenzi kabsa,,,,, bila D 2 huwez nielewa😊😊😊😂
Karibu kenya lkn kutukomesha sahau
THE FUTURE IS LEONARDO.
😂😂😂😂😂 NIMECHEKA SANAA HUYU JAMAA KUMBE BWEGEE SANA ETI SIKU YA KWANZA KUFANYA TENDO LA NDOA SIKUVUA SHATII AIBUUU KIMBAU MBAU SANAAAA😂😂😂😂😂😂
Aisee huyu jamaa siamini kama alichezea pesa Yuki smart sana anadanganya tu na usmart wore huo we watu sana siri zao bwana.
Alizopata kachezea lakin pesa analipwa na cheka tu kama muajiriwa
Pesa hainaga usmart, kwa kuongea na kuchekesha, kuwa na akili ni kingne na kudhibiti matumiz ya pesa ni kitu kingne
Leonardo ndo ujitanue hivo kweli kwani unataka nini 😅😅😅😅😅
Vido Umesahau kumuuliza Hiyo pete aliovaa kwenye kidore cha mwisho😂
ajitahidi kujifunza kupitia kina Trevor Noah
Leonard ungekuwa ulaya kwa mazungumzo yako basi ungeshuka sana maana kitu Kizuri ni kuiweka familia yako vizuri sasa wewe umaarufu umeshakuchanganya hadi unazungumzia pacome na Gwede.
Eti kameza shoka😂😂😂😂 mzee vido 🎉🎉
😅
Boss golani ni town sikwizi alafu Kuna mgogoro flan hv fanya ukaangalie uko HIVI karibuni
Minapenda anavoongea yan yuko smart unamuelewa katulia
Shenzi kabisa maninjinia mkaacha kujenda miundombinu ya maji mkajenga familia shenzi kabisa huwezi elewa kama hauna d mbili
Leo boy ni balaaaa
Kushindia kitavi😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Kumbe mjita mwenzangu yunus masatu😊
wewe hilo Jina yunus mmeiba kwenye ukoo wetu, I'm Yunus too
Duh me nakukubal Leonardo lkn apo kwny kunywa pombe na uo mwili wako khaaa hapan usijisifie kua ulevi 😢
Upo vzr sana
Swali zuri ndugu mtangazaji 😅😅😅😅😅😅😅vido upambe utakumaliza 😅 interview boma san
😅🙏🏾🙏🏾🤝
Why katav is passing btwn our interview
😂😂kwnn hujavua shati au uliogopa kumgonga mifupa 😂😂😂nimechek
Kama Ahuna D Mbili Uwez Muhelewa Leonard❤🎉🎉
Kwa uandishi huu.... una sub F zote
@@rebbywealth9869😂😂😂
Mwehu kweli ety sikuvua shati
HUYU HANA SIKU NYINGI ATAAJIRIWA 😁🇹🇿
Ilii jamaa linaakili mbwaaaaa😂 nakubali kk💯💯💯
Kumbe we ni WA kwetu yego mlaunu
😂😂😂 msenge chizi huyu et km 7bu tu anatokaa pacome
335,000*145,000= 38,575,000,000
Duh
mi kila ciku nasemaga ila natukanwa😊,,kwasasa uyo nado ukimuweka tena na eliudi hachukui hata mia...anakaa vibaya....nikatukanwa na waja
Sio kweli ....Leonardo is smart than you think ...hatukatai eliudi ni bora lakini Leonardo bora
Dubai lini
Uyu kakak ban😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Waooooooo❤❤❤❤😂😂😂😂
Kuna mtu kasema leonard ni handsome jaman wanawake
Huyu mtangazaji anamacho mazuri maashaallah
Vido anza gym ndugu yangu maana sio kwa kunona huko!!naona hela zimekupata
Huyu kiboko 😂😂
Interview Mzima ilikuwa leornado na codox lkn Kwenye kuzidisha namba naona crew nzima imeingiya,,,,YAni km wame surprise kidog
Hatar sana leo
Yaan Hadi interview yake inachekesha 😂😂😂
Kumbe ngosha
By profession
Hiyo ya kingereza wacjekaji nao wawe na B mbili
Kweli Kuna huzidisha na hesabu ni tofauti
ilo ni tatizo la kupata fedha bila kuwa na mpango kazi wake lazima hayo yatokee
Mwana wasu
Apo aliefanikiwa nikajua utasema ni yule at least ana d mbili
Dogo nakukubali sana
😎
Kaka ako akiona hii 😂😂😂
Msanii
Wakati unamuweka vitu hukujiona mtoto ila kulea matunda ndio unajiona mtoto
Mtoto wa busiri we home boy😂
Hhahahaah shenzi kabisaaa😂
akili ya kijita kabisa
Leonard ni kibonzo kweli. Eti anaenda kuangalia kiwanja analala pafu za kutosha ila bado hakufika
Nyinyi mlivyopata ujauzito😂😂😂😂
D2🎉😂🎉😂🎉😂❤😢😮🎉😂😊😅😮😢🎉😂❤
Dogo anaakili hadi anakela
Na Mungu je?
Nina d2 Ila hizo hesab naweza pewa adi 4figa na nisitoboe
😂😂😂😂😂
Bia 5 ni nyingi, bia za afya ni 2.
🔥🔥🔥🔥🔥🙋🙋🙋🙋🙋
Wakondya mno mkaluka
Vidox unajitahid sana kuhoji kama Ayo na Salama