🤣 UTACHEKA UVUNJE MBAVU | BALAA LA WASHIRIKI WA CHEKA TU WALIOPATIKANA KATIKA MIKOA
Вставка
- Опубліковано 4 лют 2025
- WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Wasafi mnadharaulisha dini yetu.Ww mchungaji gani Msanja unafurahia jina la Yesu kudharirishwa. Mungu atusamehe makosa yetu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaaaaah m nmeckia eti shoko halisuki 5:44 hapa jamaaaa kajiongezeaa kipaji cha kunichekesha bila yeye mwwnyewee kujuaaaaa
😸🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@leonardotanzania noma sana kaka
Yaani kwanzia no2 mpk wa mwisho hamn kitu kbxaa..all in all yule wa kwanza ndo kaua
Huwezi taja Jina la YESU kwaajili ya vichekesho vinavyo leta zalau kwa YESU
Mbaya sana
Hawajuw tu huko ni kumdhihaki
Hii ni ibada ya kukufuru
Hv hamna vya kuchekesha mpaka mumtaje Yesu,ni kujitafutia laana tu.hatupendi na hatufurahii
Kama hampendi mnafwatilia vya nini
No 1 umenivunja mbavu hatar
Una kipaji kaka hongera
Leonard mwenyewe ndo yupo vizuri hawo wengine akuna kitu
Kitaa kina mishe kibao bro! 🔥🔥
Comedian wa kwanza ametishaa sanaa
Hata mm nmempenda sana huyo wa kwanza
Mbona jamani mzee hamjamfagilia wala kucheka mzee pole wamekukataa
Ndaro umenichekesha sana yani big up kwako kaza buti
Number one is number one
Leonard your perfect 👏👏👏👏👏
Af uy dogo mwingne katokea startv anajua kujiongeza big up kwake kachangamkia fursa
Leonardo 🔥, Eliudi 🔥 ....
Uyo watatu mtanisaidia
Lakini Kuna baadhi ya watu wamekuja apo kwa platform as if Amna 10 M ivi au ni Mimi uelewa mdogo
Pawepo na drisha la wazi kuwapigia kura washiriki.
Gerald Sebastian.
Arusha,Tanzania
Saidi nimecheka mpka nimelia😃😃🇰🇪
Heheheeee ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html
Hata mim nmecheka sana, na nimeparudia rudia sana daaaaaaa!
Thanx
Wasitumie sana dini ( Yesu na MUNGU) wasitanie jina la Mungu
Hata mm sifurahii kabisa
Nimungu wawapi huyo yesu
Yesu sio mungu
Ivi mungu anyone kana?anakula?anapanda mtumbwi?anavaa kanzu?
@@yusufuheri6524Babako au kasome bibilia
Naungana na Baba Levo...jamaa wa Arusha yupo safi sana
Mama nyenzo yuko vzur sana
My Eliudi Samuel 😂😂😂
Ni kama wanasimuliana stories kabla ya kupanda stejini..washiriki kama watatu wote wamelalia upande wa hadithi za Yesu..
Ila huyu Leonard yupo vizuri sana
Leonard, MC Eliod na Azaboi mmetisha sana ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️. Ile nyie mnaotumia jina la Yesu mnakosea sana Yesu hachezewi
Shkrn sana, ubarikiwe
Tena sana sijui hawajui dhamani yake
@@ceciliaombela7159 mimi nimekosa lakusema 🤔🤔🤔🤔
Jina la Yesu linatakiwa kuheshimiwa kila mahali......wangetakiw watumie mifano mingine sio kumkejeli Yesu....Haijafaa ila Mungu awasamehe maana hawajui watendalo
Leonard unatusema aisee.. 😂😂😂 hapo kwenye hujui Mungu kaniepusha na nn
Komedi ni kitu kizur Ila naomba nionye kitu TUSIMFANYIE MUNGU MZAHA ATA KIDOGO naomba mfikishe iliii
Wamuheshimu mungu
Hamna kitu wote kasoro wa kwanza na Eliud,,, kwani YESU aliwafanyia nn mbaya? Kuweni na uoga na heshima pia.
Baba levo we hii kazi unaweza maana una mahamz sio wengine awaonesh ata comption
Yule jamaa wa mbeya mzee wa akiri mbna kapiga vzur sana
Mti wenye matund unapgw madongo daima
Washirik mnaon hamuwez kuchekesh mpak msem habar za Yesu
kwakweli maneno matakatifu sio vyema kabisa kutumika kwenye uchekeshaji wa namna hiyo wapendwa tumuogope mungu
Mkalimee tuu maisha yamekuwa mgumu kishenz,hapo mnachekesha nn hasara na nyiny 😄😄🤭
Mimi maoni yangu yule wakwanza kaua kuliko woteeee number one is number one,wee wajumbe tulia
Headmaster.... Pointiiiiiiiiiiiiii 😅😅😅😅
Huko kwenye utani na dini au na mungu mnazingua sana halafu ni ujinga kabisa acheni hoyo tabia mara 1
LEONARDO 😍🤗 Number one ☝️👏🔥✅
kweli kabsaaa hata mm nmeliona hlo!
Aza boy mnyama sana et tumepigwa tupo Pluto 😊😊😊😊😊😊😊😊😊
Hahaha ahsante snaaa ❤
Comedy maneno mengi ya Mungu toweni ya kazi zenu
Kama comedy sio kipaji chako, hutakiwi kujilazimisha! 🙆🏾♀️
Mupo vizur ila nox m yupo juu zaidi hongera sana mi nakuombea uondoke na hilo donge la mil 10
Duu japokuwa sio mlokole ila Mungu achezewi kihivyo
Hey
Hao wanachekesha kwa njia za Dini ni watu waliokuwa wanachekesha enzi za advance kwenye kipind cha dini😂😂😂
Kila kitu kinasimamiwa Na mungu ila sio kutumia maandiko kuchekesha watu ....mshirika namba tatu jirekebishee
Mnazalaulisha imani yetu kwakuifanyia mizaha na vichekesho ..waandalizi mnapaswa kuweka mipaka sio kila kitu ni chakuchekeshea tuu
Kweli kabisa
Hata mm sijafurahishwa kabsa halafu masanja anayejiita pastor anachekelea tu hap
Roho ya Makufuru inatenda kazi
Wanacheze iman
Mnazingua sana acheni matani na yesu unajua ww ni Mtu mzima unapumua kwa ajili ya mungu afu unamzungumzia yesu kwenye utani wenu
Comedy tuwachieni sisi Wakenya..... Tz Hapana.
Daaa Huyo Mama Nyozo Sijui Mama Nyoso Yaani Kama Jem tai Yule wa Kenya Kwa Sauti
😂😂😂😂😂😂😂😂😂idea mbadala hahaha
Mbona Masanja kawa mzee jamani au macho yangu🙆😪😪
Hata na mimi nimeona ivo
Ushauli watu wajukwaa msiruhusu wachekeshaji kutumia mambo yadini nakuwataja mitume au manabii hilinikosa kiimani sikupenda hii
Leonard ni mtu na nusu hatariiii
Leornad is the best...comedian
Headmaster made my evening na hao wajumbe bendera he was soo on point he is unique ..time wasters wapo wengi
Josephat you are simply crazy watoto wa Yesu .. wangeomba Mungu Babu😆😆my ribs o!
Nawombea kwa mungu kazi nyenu nzuri sana
Mungu aogopwe mshirik namba 3 heshimu Imani za watu muogope Mungu
Mang'endo wa Jin sampule🤣🤣🤣🤣🤣
Hapo kwa Yesu mlikosea Sana wakubwa
Yesu sio mungu nyie acheni ushamba yesu ni nabiii😂 mungu ni mmoja tuh
Mathayo22:41-43 katika mwili daudi ni mkubwa kuliko ibrahim yesu anakiri hilo ila swali ni kwamba kwanin katika roho daud ana muita yesu BWANA????? Ukiweza kunijibu vema basi hutopataga taabu ya kuelewa uungu wa yesu
Salute to yuh Leonard BUTINDI, it's GETSON down here!!
Kwan kuchekesha hadi atajwe Yesu!!. Sijapenda hapo mmekosa content
Kwani Yesu katukanwa???? Jina la Yesu mnaliheshimu nyinyi kwa wazungu kuna hadi mashoga wanaitwa Yesu
Haaaaaaaa
@@BigZhumbe ushasema nchi za wazungu lakin sio sisi wao ni wao
@@carlixtz4594 Na dini si ni yao mbona mnaishobokea 🤣🤣🤣 kwani Yesu ni msukuma
@@BigZhumbe Kila mtu na iman yake. pia najua wapo wanoitwa yesu mi sizungumzii ma yesu hao mi nazungumzia YESU wanaemuweka kwny jokes zao. Alaf ni wao sijakuzungumzia ww
33:03 Eliud Bro, uko vyema sana
Ila we leornaldo❤❤❤❤😂😂😂😂👋👋👋👋
Mshiriki namba 3, kutoka dar es salaam, tunaomba uheshimu dini za watuuuuu!🙏🏻
Sijaona mchekeshaji
Kabsa yaan ....sijapenda hata tone!!!!😏😏😏....yaan anasema tu yesu ....yesu ...yesu daaah!!! Amekosea sna!!!
@@leylamark3193 nimehuzunika mimi😫😫😫😫
Leonard katisha mm tu hy hela na kiwanja jamaa anaweza
Guy's jaman YESU achezewi nyiemungu awasaidie sana na awarehemu😮😮😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂
huwezi kusoma neno bila roho wa Mungu. kuelewa kwako sio maana ya maandiko....acha kupotosha umma... kesi unayo tayari Mangendo... kama umelipwa kufanya hayo jua yatakutokea puani .....
Naona njili tu akuna kitu maandiko mnatumia kwa kuchekesha upuuzi tu
Dah ni kwel
wa kwanza katisha aiseeE...
Mimi hapa nimepeda leornad hawa wegine daa
My Leonard 😂😂
Mnakera Kwan hamuwez kuchekesha vitu vingine had mlete utani na YESU mkera ten mnakera Kam hamuwezi nendeni mkalime uongeleen serikali mnaiogopa la Mungu mnamchukulia pw mnazingua badilikene
Azma my dear sis ungesahau tu na kupotezea ..... maana sio poa.....jichunge sana ....
Mr point amenikoshaaaaaaaaa
Cjapenda kufanya mzaha na Yesu...mheshimu mungu tafadhali haijalishi ni comedy wala nini....hilo hilo jina walichezea kuna mwingine analitegemea kuishi
Leonardo mwamba sana...anatisha kishenzi
🤴 Prince boy Simba 🦁 nafurahi sana
Leonard is the best comedian 🔥🔥
Anajua mbaka basi. 🔥🔥
Hivi hili neno mbaka limetoka kwenye kiswahili gani? Siku hizo nalisikia Sana. neno sahihi kutumika ni mpaka✅ sio mbaka ❎
Leornad na Said🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏼
Ahahahahahahah et masking🤣🤣🤣🤣
Uyo Nox hakuna kurudi tena, chini ya kiwango kabisaaa.
Mm sijapenda kbs awo vijana wa daslam walivyotumia maandiko kimzaha na jina la yesu kwenye mzaha wanakosea sana japo sina mamlaka yakuhumu ila hii aijakaa sawa sijaegemea upande wwte wa udini la kwangu mm wte awafai na awajui kuigizaa ama Mwasemaje wadau??? Thanks,, naleft😢
Hapa wote hawachekeshi bado sana n moyo tu ndo tunawapa wapambane sana
Jmn hata kama unachekesha ila sio kumfananisha Yesu Kristo na ujinga huo aiseeee mna kwaza
Vipo vitu vya kuwekea utani siyo utani wa kumuingizaBwana Yesu hii haijanibariki.mjilekebishe
Mungu awahurumie na kuwarehemu bure kwa mtaja Yesu kijingajinga
Alaf story zenyewe hawazijui vzr,,,
Wamenikera
Josephat pamoja na arie tanguria na eriud hongeleni kabisa
Hii sio poa MUNGU sio kutajataja tuu popote unapojisikia😢😢
Jaman mpo good aomba nije niwasajilie lain Airtel imekaajehii
Nawakubali sana nyote asee
Kumbe b levo ba fundi majumba alitabili kuwa Leonardo ndo mshindi
Nyote mnachekesha kutumia jina la yesu ... Yesu asifiwe...
Huyo mzee mezani mbona hacheki
Eliud noma zaidi noma
Mpeni ushindi Leonardo anatisha sana yuko good sana👏👏
Mungu awasamehe tu kwamaana hamjui nn mlitendalo.
Ombi langu kwa wananchi:ningependa tuigizeni kila kitu lkn maneno matakatifu ya kitabu cha dini yyte yasiruhusiwe.mnacheka kwa dharau kwa maneno ya Mungu jamani?mbona ckupenda hilo?
Pia mimi swala hilo limenikera kweli
Point
Aija kuwa kosa bado,
mnamjua masanja anajoke but watu wanagain na kuvutiwa uhalisia wa Mungu nb wawe na mipaka
Ahaha
Sijapenda kutumia jina la Yesu kwenye utoko wenu fyuuu
Me naitwa mo town sanya aka nembo ya mtaaa watu oyooooooooooooooo
Heheheee ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html
Mnashangaza sana why ktk majiji tyuu ,vip kuhusu mikoa mingine
Wanapenda sana majiji
Yaan ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html
Nyinyi wengine pambaneni na hali zenu
Eliud wa Mbeya katisha Sanaa🔥🔥🔥
Waaaaasaaaafiiiiiiiiii mmetiiiiiishaaaa
Huyu hana kitu nijasie nasie mwenye kiti
Yan mumetumia adi majina ya mitume kuchekesha lkn wote ni pumba tu amjuh chochote ila mwaisaa hela hiz zitatuua tutafute hel mwaisa hat kwa kuforce
Umetisha. Mwisaaa
Acheni dhihaka na imani za watu, it's total stupidity
Heheeee ua-cam.com/video/hPfGDMQuh3M/v-deo.html
Total stupid, sijawahi kuona wakitumia kitabu cha waarabu kile
Mmmmmmmh
@@markleonardo8634 kuwa na heshima broo yale ni maneno ya Allah sio kitab cha waarabu
@@markleonardo8634 pumbavu wee umeona wapi maneno ya haki yakachezewa ndio muone sasa hiyo mnayoiita dini inavyozalilishwa
Jamani sio kwamba hatupendi vichekesho vyenu ila kuzungumzia suala la kutaja yesu kwa vichekekesho sio vizuri