Prof Hamo huwa "hafanyi makosa" apatapo jukwaa. Namkubali kama ninavyowakubali pia Kapteni Otoyo, Adhis Jojo, Mammito na MCA! Asanteni kwa kumleta Bongo!
Na hii ikawe funzo Kwa stand up comedians wote wa TZ, comedy unatunga, Unaandika kama unavyotunga nyimbo pia kuna mda una freestyle ,comedians wa Kenya wako way far from ours ni kitu cha kujifunza kutoka kwao stand up comedy Sio kupanda stejin na kutuhadithia memes
Kenya mpo vzr nakubali Nadhani comedian wetu wanajifunza and soon watakuwa vzr zaidi ya walipo Sasa . Thanks ndugu zetu Wakenya kwa kushirikiana nasi kukuza Cheka tu
Mpaka leo hamjui kuconnect sauti inayotoka kwenye mixer na video ili muwe na good sound jamani. Mbona nyie wakubwa tayari jifunzeni video za churchill na sound zake
We know what makes us laugh. Na Tanzania hatuhitaji kuchekeshwa ili tucheke maana hata tusipochekeshwa tuna Furaha. Kwa hiyo Kenya you need a lot of energy to make someone laugh in Tanzania you need only a person to laugh... Labda mje tukufundisheni what it means to make someone laugh. But anyway we will take that as a compliment 😊😊
Coy hongera sana unapush sana stand up comedy Ila fanyieni maboresho zaidi katika sound engineering, na maiki za kushika zinachosha sana mpaka mchekeshaji kumalizia segment
Hongera kwa kumleta hamo,ntakuja cheka tu sababu ya kuwepo watu kama hawa wanajuwa kuchekesha ukienda lazma ucheke,nasubiri PR kuria,mamito,MCA,Teacher wanjiku,teacher mpamire,Jessy na kansiime,tz jifunzen kwa hawa kiukwel wanajuwa
Hizi microphone sio nzuri nyie cheka tuu... Nmetoka kusikiliza Churchill ya prof harmo na saiv naskiza hii ya cheka tuu ni mbingu na ardhi... Embu jirekebisheni
Mshikaji aliyevaa kanzu hapo mbele 11'45'' yupo wrong place kabisa - una muda wa kuchat kwenye simu wakati Prof Hamo yupo on the stage na hatujui atarudi tena lini Bongo kuchekesha ! Daaaamn
Tz hamuezi barikiwa na vyote mziki mzuri lkn ikija kw ucheshi kenya ndio kusema Kenya sihami jamani i love my country🇰🇪
Eeeh tucheke tuongeze siku miziki tunaeka lullaby 🇰🇪🇰🇪
Skia hawa😂
Hata Mimi nimecheka😅😅😅@@daimonjohn6042
SIO KUPENDA KWETU WAKENYA, NI TALANTA
Mchekeshaji wangu bora kabisa wa muda wote wa Afrika Mashariki wa komedi ya jukwaani
😂😂😂😂 the guy is naturally funny, alichekesha hadi Jemutai😂😂😂
Kenyan wanaenjoy sana kua na uyu jamaa anajuaa saana
Jamaa anajua Sana, east Africa tunaishi kwa upendo, Kenya Ni ndugu zetu
Huyu jamaa ni mchekeshaji kweli kweli. Kenyans kwa comedy wako juu sana tz tuna kubali🇹🇿
Prof Hamo huwa "hafanyi makosa" apatapo jukwaa. Namkubali kama ninavyowakubali pia Kapteni Otoyo, Adhis Jojo, Mammito na MCA! Asanteni kwa kumleta Bongo!
Uko na huku mura?
Professor hamo! Noma Sana huyu mtu! Ghafla amenikumbusha Churchill show! Nimeimiss mbaya!
Chukuen sound moja kwa moja kutoka kwenye mixer, sio ya kwenye camera , This thing will will be superb 🔥🔥🔥🔥
Word
Coy, chukua huyu jamaa ndani ya timu yako.
Daaaah!!! Huyu Jamaa ni noma aiseeee😅😅🤣🤣🤣🤣😂
Na hii ikawe funzo Kwa stand up comedians wote wa TZ, comedy unatunga, Unaandika kama unavyotunga nyimbo pia kuna mda una freestyle ,comedians wa Kenya wako way far from ours ni kitu cha kujifunza kutoka kwao stand up comedy Sio kupanda stejin na kutuhadithia memes
Qabiisa
Tutafka tu lkn
Kufika ningumu maana hata huyo koi hajifunzi
Kila mtu ni mcheshi 254 alafu Tz ata mtoto mdogo anaweza imba❤️❤️
wapi likes za wakenya ??
let's
Accent ya wakenya tu comedy tosha
Kenya mpo vzr nakubali
Nadhani comedian wetu wanajifunza and soon watakuwa vzr zaidi ya walipo Sasa .
Thanks ndugu zetu Wakenya kwa kushirikiana nasi kukuza Cheka tu
Comedian wa Kenya wote ni wanajua vibaya jamani daah
Thank you prof. Hamo for teaching them how comedy iz den keep learning from hamo cheka tu
😂😂😂Kali sana, a boy from 254 watching this from Qatar Doha Mlete na Terence Creative na Nasra tucheke zaidi
Proff. Hamo uko juu sana.❤❤❤❤❤
Oya koy mzungu mleteni MC TRICKY 😂
Watanzania hawawezi kumuelewa tricky.. ni tricky Sana. 😅
Mpaka leo hamjui kuconnect sauti inayotoka kwenye mixer na video ili muwe na good sound jamani. Mbona nyie wakubwa tayari jifunzeni video za churchill na sound zake
So good
Tanzanian comedian kipo cha kujifunza
I like it, ila fanyien kazi iyo sound . Make it more viable and superb
Kweli kiongozi
Nampenda sana professor. Mlifnya vema kumu invite
Sauti iko chini sana
Boresheni tunasikia vicheko zaidi ya mchekeshaji
Kenyan legend. Even if he's seriously speaking (comedy and jokes aside), I'll always laugh 😅
I agree Kenya for comedy Tanzania for music 😂😂😂🇹🇿
Mchekeshaji nnaemkubali kwasana kenya
Prof..kiboko yao wote..hongera sana brother Coy kwa kutuletea hawa jamaa..
30 min straight. Hats off Professor
Asanteni sana. Naomba mumlete MCA TRICKY pia
From Kenya 🔥🔥🔥
The best of I have seen Hamo perform i a while
Kenya comedy 🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪
One of the best comedian.
Kenya comedians are the lessons for Tanzanian comedians .. keep learning from them Cheka tu.
Only Proffesor
Tunaomba uweze kuhudhulia show moja wapi uone kwa karibu uwezo wao kwa sasa.
Hahaha nothing unachowe,a ni kuponda tu
@@deboraezekiel784 🙏🙏🙏
We know what makes us laugh. Na Tanzania hatuhitaji kuchekeshwa ili tucheke maana hata tusipochekeshwa tuna Furaha. Kwa hiyo Kenya you need a lot of energy to make someone laugh in Tanzania you need only a person to laugh... Labda mje tukufundisheni what it means to make someone laugh. But anyway we will take that as a compliment 😊😊
This Guy is a LEGEND,...Hands Up Professor
Q
Nimependa umahiri wako kwenye kiswahili. Umejitahidi sana kuendana na hadhira yako.
Waa, sasa hadhira ndio nini
Prof Harmo we love you, Tanzanian tunakupenda sana
Kenya for comedy Tanzania for music.
Very true 🙌🙌🇰🇪🇰🇪❤
Kweli Kenya mpo vizuri,,, Prof hamo na kena
I approve this
Tuna la kujifunza Tz stand-up comedianz
Hawa watu tajiri ujifanya sana sasa uyo baba amekaa mbele ata haoni kitu funny
shida kubwa kuliko talanta
Sound engineer umetulet down but Cheka Tu are coming i see very soon you are going to conquer Churchill
Kenya kwa comedy noma tz bado sanaaaaa
Wapi wachagaa😁
30 min on stage. Great work prof
Chekatuu mnafeli kwenye sound engineering sound quality ni mbovu
Professor 🥰🥰🥰🥰.....
Finally on stage ❤❤❤
Kwenye standup comedy wakenya shikamoo
hawa ni kiboko wakenya noma
Hongereni
Kama umemjua aliepeana mkono na prof hamo ni denzel trainer wa alikiba gonga like
Good job Prof Hamo.kazi safi sana
Most talented.......
Prof Hamo..
Very intellectual!
Nakupenda tu bure AMO!!!
Respect madevu I believe you
Amo hapa uliweza. Iko fine thank you
You did well bro
Cku moja mualikeni teacher wanjiku nampenda sana.
Coy hongera sana unapush sana stand up comedy Ila fanyieni maboresho zaidi katika sound engineering, na maiki za kushika zinachosha sana mpaka mchekeshaji kumalizia segment
Ahsante sana na tunalifanyia kazi karibu kwenye show hii uone maboresho live.
Daah nimecheka yote🤣🤣🤣🤣
Hamo wetu.umeweza🥰😍😍😍
Jamaa ni mkali sana 😂😂😂
Hongera kwa kumleta hamo,ntakuja cheka tu sababu ya kuwepo watu kama hawa wanajuwa kuchekesha ukienda lazma ucheke,nasubiri PR kuria,mamito,MCA,Teacher wanjiku,teacher mpamire,Jessy na kansiime,tz jifunzen kwa hawa kiukwel wanajuwa
Hizi microphone sio nzuri nyie cheka tuu... Nmetoka kusikiliza Churchill ya prof harmo na saiv naskiza hii ya cheka tuu ni mbingu na ardhi... Embu jirekebisheni
Huyu noma professor
Ww jamaaa ninoma cna 😂😂😂😂😂👐👐👐👐
Soun mbovu aisee,😀ila Prof Hamo anajua hadi anakera kabisa🔥🔥
Aisee professor hamo ni noma
Mtakalishwa na kina leornard na eliud
I love Proff. Ever creative
Fundi mitambo bado hajaweza kukadiria sauti
this man is very talented
Hamo makes me laugh more when away from home, meaning, kuna a lot of unexploited content nje, keep it up Bro.
we jidanganye
Huyo mwenye kanzu hapo vip ana shida kubwa kuliko talanta yako🤣🤣kauzu sana
You never dissapoint prof hamo🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥❤️❤️
Proff you are a living legend bro......... Uko juu tu sana
Hamo kama hamo
Huyo anae chat na kamzi itskuwa ni kiziwi au habari xa yesu zimememeenguza
Kenya we're the best
My favorite comedian i appreciate in East African nakuelewanga sana hamo
representing Kenya to the fullest. MUCH RESPECT PROFFESSOR .
Jokes come from where you from,mawazo sahili huja kwa fikra sahili!
Bado Jemutai...jibambe
Hahahàahaahaaha huyu kweli professor 😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kabisaaa
Prof. Hamo Kumbe wee Mkali ivi, 🔥🔥🔥🔥😂😂😂😂🖐🤣🤣🤣🤣🤣
Hongera Prof kwa Kazi nzuri
I love this guy
Prof. Hamo anajua sana aiseee...!!!
💥💥💥💥💥big up to profesa
🤣😂harmo bana....but this video has a poor sounds.Kindly work on that...am happy to see my fellow Kenyans doing well out side Kenya 👍👏👏
Kumchekesha mtanzania ni kazi nyingine isee
Mshikaji aliyevaa kanzu hapo mbele 11'45'' yupo wrong place kabisa - una muda wa kuchat kwenye simu wakati Prof Hamo yupo on the stage na hatujui atarudi tena lini Bongo kuchekesha ! Daaaamn
Huyu jamaa kichwa yaan matukio anakutana nayo hapo hapo na anayatengezea move.
Creativity yani Ubunifu
Sauti ni shida haisikiki vizur fanyien kazi hlo
Keep soaring prof. Am proud
Our Kenyan Professor wapi chemu
Prof umerogwa
Aiseee This Guy is fireee
Prof😅🔥🔥
Sitaki kulipwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️