BSS 2023 SN 14 EPISODE 01 ARUSHA
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
TikTok: bongostarsearch
Channel Administered by Slide Digital
Instagram: / slidedigitaltz
Dada shishi tulia kidogo dear...usiimbe na wanao imba
Master na salama wako serious na kazi yao sana😂 i love it
Jamaa wa profession mmemjudge kwa muzikii wake au mmetumia nn kumjudgee....he is sooo goood
Wamemuonea may be nyota😢
Shilole you’re doing great unafanya vzr kakını please jaribu kukaa kimya wakati wanaimba it’s annoying
Jamaa alive imba na kinanda alafu an a dready anajua mno walichomfanyia ndokinafanya mashindano yapoteze mvuto kila mwaka judje mudamwingine kama wana kurupuka kwenyemaamuzi napia msanii anapoingia wamwache afanye kilichomleta kwanza akimaliza ndowaanze kuongea wanafanya wawe awajiamini mtu anaanza kuimba judje anaanzisha mada ambayo at a haihusian fanyieni Ilo. kazi show nzuri Sana inajina kubwa ila mnaweka uswahili waajabu Sana ndani
Shilole apunguze sifa anaharibu taste ya mashindano anaboa
Jamaa mwenye Rasta aliye imba na kinanda ni 🔥 mrudisheni apunguze ujuaji tu
Hmn kupunguzaa ujuaji kaka jamaa anajua na alichoongea ni sahih kbs kuhusiana na professional music maana aliulizwaa
Dada wa kizungu ameimba vizuri semeni nyie ndio hamuelewi kizungu
Bss Kwanza waache kuwaambia watu "una nyimbo nyingine yakidunia" tuwe professional at shilole acha kujiimbisha wakati msanii anaimba angalieni wanavyofanya the voice, x factor mjifinze kitu.
anakidomodomo kweli Chilole sijui kwa nini wamemuweka kimbelembele kingi
Kabisa, au waweke wazi kama waimba gospel hawatakiwi
Na kama ki design kuna beef na Ke music....mtu amepenya na Ngoma ya Kenya? Nil😔
@@rasmissionary7518100% bro wanajudge na feelings jamaa wa rasta ameimba vizuri sana wanamtoa coz of confdence yake wamenikwaza sana
Kwa season hii
Hii ni mara yangu ya kwanza naangalia videos Bss nipo kwenye dakika ya kumi na 11 nimegundua hiki hiki ambacho unasema shilole acha fujo unamkera mpaka salama apo
Huyu dada mlemvu wa mguu alipoimba nimetoa majonzi kwakweli mashallahhhh 😭😭😭😭
Sio mlemavu kaaa kaumia tu mguu jaman
Sema jamaa wa professional wamemuonea sanaaa Madam Rita unakwama sana...
Aisee sjui shida nini mana mshikaj Ana vocal kali sana
Jamaa wamemuonea sanaaaaa
I second u bro
Jamaa wa rasta anajua sana jamaa wa professional anajua kuimba zaidi ya watu wengi sana hapo mlowachukua kuweni wakweli mnakatisha tamaa watu
All in all mtambue hapo ma jaj n wawil tu master j na salama wengne washehereheshaj tuu'
0019 hamjamtendea haki wallah.. Amefanya vizuri sanaaaaa
She was so good wallah😢
Kwani ametolewa
Kumamae zenu majaji wote huyo jamaa professional anajua sana tena sana tu sijui ni nongwa au usenge tu pumbavu zenu
Jamaaa profesional wamemuonea
SHILOLE UNAKERA KURUKIA RUKIA MTU AKIWA ANAIMBA UNAHARIBUUUU
amina uyo mtoto anajua yani kama vile matokeo yamepangwa asichaguliwe
Iv shilole anaujua mziki upi adi awe judge jamani
Abby unajua sana tu wala usikate tamaa hapo wasenge hawajui chochote Mungu akubles kwa njia nyingine utafanikiwa unajua unajua unajua tena ❤❤❤❤
Shilole mbon unachek sna kweny vit muhimu km ivyo
Amina❤❤mshindani mzuri sana, ila kafanya vzuri sana
sema amina ameonewa
Dada good ❤❤
You are such a beautiful sings 😂😂😂😂😂 wueh!
Hyu shilole anaharibu sana
KuSEMA ZA UKWELI SHILOLE ANABOAAA
kweli kabisa mimi ananiuzi
Yeye mwenyewe hajui kuimba hata kuvaa hajui
@@isabelavictor9964 umeona eee kazi yake mdomo tu
Salama anaboreka kinoma
Jaman shishi bhana kwenye hii show ana nikosha sana❤
Shishi mzuriiiii
Amina ni moto aiseeee
Shilole mwili mkubwa akili kisoda anaboa bana.
shilole please when the contestants are singing just listen cz when you join it is now not ok
😂😂😂😂 hospitali ya milembe ipelekwe Arusha
😂😂😂😂😂😂arusha hiii
Nikiangalia BSS namkumbuka Maunda Zorro .. Rest easy .. her songs are still alive today.
true
ua-cam.com/video/ERb6YA0dlcI/v-deo.htmlsi=NaIcfNLxXMBk3jJC
Mko vyedi sana ila naomba msiwe mnawaingilia washiriki wakiwa wanaonyesha vipaji vyao. Muwapa nafasi ya kuwasikiliza wakimaliza ndio mtoe comment zenu😊
Sema chugga patam sana
Ati beautiful sings 😂😂😂😂 alah.God have mercy😂😂
Huyo Benedict james ndo mshindi wa msimu huu, wekeni hii comment yangu, mtakuja ikumbuka🙌
Dah huyo jamaa wa professional kaua sana ila siwaelewi majaji walai
bongo star search big up 2023 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Check artist time 16 minutes 50second he has nailed it. be fair. ameimba sawia na mwenye wimbo
Shilole ni kichaa sana
Bss iwe kila siku jaman msikae sana mnatupa raha muno❤❤❤
0019 what the hell dada kaimba vizuri sanaaa
Professional music mmembania yuko vizur
Razak mnoma natekea tu saana bss from🇺🇸🇺🇸
here bcoz of 43:51 favourite jmniii yoh
😅😅😅walai
Jaji Salama,sio vizuri kumkatisha mshiriki Abby Africa tamaa Jamaa anakipaji naomba umpe nafasi aendeleze ndoto yake.
Wasenge wakubwa amina anajua sana tu ❤❤ halafu mtoto mkali kama mmemkataa kumamae zenu
Wamemtoa Amina bule aisee
Unafanana na Ssaru wa Manyaru from my homeland Kenya🥰
Jamaa wa professional music wamemkata tu kichuki ila anaeza
Sema huyo mwamba professional wamemuonea pia nilichogundua mageorge hawapendi watu wanaojua sana
Sure kk
Jamaaa kaonewa
Hawa madjudge wako na altitude
From 254 bt the girl 019 knows how to sing 🎉...do disappointing that u picked the louder voice than the fillings.
Madam rudisha ommy dimpoz au bella wengin watusumbua tu
Hapo hamna majudge hamko perfect mmemuonea namba 0019
0057 aliimba vizuri shida ni hao majudge na watanzania in general kwani amukuenda darasa la kingereza .startime ningeomba mtafute majudges wenye wanaelewa pia kingereza mbona wanakill talent ya huyo dada ama mkuje kenya tuwafunze
Huyu shilole ameharibu kipindi
Waooo 100% nimependa hii post maana nindefu❤❤❤❤❤❤ mina ali thank you keep post videos like this one don't send shot vedeos
Amina ❤❤❤❤
The lady 0019 has talent she was supposed to go to dar judges I appeal her case.
I second that -she's extremely good! I'm disappointed by the judges kuacha such a talent!
Salama c astaafu xx hapendezei Tena bna
Disability is not inability
So vizuri .. Hawajudges mumekuja chagua watu. Ama kuwacheka .. ..?? This bad..that guy on a tight trouser tried
Arusha kama uturuk jman
Minaona gospels watahama sana kw1 style hii wakifik dar gospel bas
Salama kiukweli hata mimi hiyo chombo ilivyovua miwani nimeiyelewa
Uyu wa shalom wajamen
17:05 mark his words. 👏👏👏
Hivi shilole uko sawa kiakili kweli😅
Shilole unaboa acha mdomo😊
0019 was the best out of all 😎😎😎
Imagine tangu jana sijafeel poa first alipoimba walimsifia Kisha baadae walimchuja she has talent tena natural❤❤❤
0413 will be top 5 in this season BSS take that to the bank.
Enyewe uyo zachu sasaa😂😂😂😂😂
Anajuaa razak
Razak ni moto
Na uzee wote huo hamtaki shkamoo mungu wangu cjui wamama wa ckuiz wakoje jmn😢
Mkaka mweusi alieimba kingereza amenikosha
Uyo wa haniiiiiiii😂😂😂😂😂😂😂
jamani amina uyooo
Shilole na master j punguzeni biffu vijana wako sawa ila nyie mnazingua kinyama
Sasa huyo Najma na huyo dada mwenye koti jekundu who's best???mnazingua uyo demu Najma ndio angebaki maana hata kale kademu keupe kamemzidi achen upendeleo wa muonekano🙌🙌😒
It's so annoying mazeee
Shishi bby miwani ile ya blue umeuwa sn 😍🔥🔥🔥👌
Kutokumskiliza mtu hapo mnaonekana ovyo kwel asa we shilole unacheka nin mtu anapoanza kuimba c unyamaze au hakuna mtu ajui kuimba ila nikwamba tumetofautian unapomcheka mtu maan ake nin we mwenyew sauti mbayaa bora hao wanaojarib anapoimba mtu funga kibakuli
Sikuiti shishi nakuita zuwena mbona unazalau Sana salama mumefer Sana Kua nashishi hapo Mimi mfatiliaji Ila Safar hii shishi anawaangusha
Sasa shilole naye ana utaalamu gani kwenye mziki? Huu ni ubabaishaji
Kwahio viatu ndo viatu ndo vilienda hvo 🤣🤣🤣🤣🤣nimecheka
sijui ma judge wana angalia nn but 21 13:42 & 19 deserved kuliko wote walio pata nafasi alaf kuna yule chalii wa professional music wame muomea sana just because amesema anajua professional music wame amua kumprove wrong kwalazima honestly I'm very disappointed
#ShiloleOutBss2023
Huyu aliyeimba always love you ana tone ya dunia
😂😂😂😂Hii ndio Chuga MasterJ viatu vimeenda😂
I'm no sure kama ni mimi tu nime notice,Sina ujuzi sana kwenye mambo ya music ila kwa Shilole ni wrong choice ya judge, I love & Respect her But Again she doesn't deserve to stand there as judge 🙏
Kwanza yy hana sanautii ya kuimba
Definetly
Huyu shishi anaboa kishenzi
Ila huyo wa honey😂😂😂😂
0143 please add your confidence and your punch
Abby anajua
Shilole waduara ana kiherehere
Kweli ata me nimesicmka sio Siri anaimba vzr sana