Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Great song. God bless you much 🙏
Wimbo mzur sana ❤❤
Dieu du prophete Jule Mulindwa m'asecouru
Ubarikiwe wifi Kwa huduma Yan saut zimetulia
Woow so BLESSED ❤❤❤
This song make me to crying 😢😢😢😢😢 God is good all the time 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏
Amen
Mbarikiwe sana
powerful, much love from Kenya♥
Be blessed
Mungu akubariki sana madam Vicky na wanakwaya wote,,, wimbo unabariki sana adi naogopa🙌🙌🙌 NI WEWE!!
Amen hakika Mungu anatushindia katika mambo magumu hata akili zetu haziwezi. Isaya 41:10. God bless you
Aminaaa ,Aminaaa,Aminaaa , Halleluyaaaaaa !!
MUNGU awalinde
Wimbo mzuri sana MUNGU akubariki sana unautisho sana
Tunaomba number tu support
@@emmanuelbaribarira1992 0750805734 Rejoice gospel
This song blesses me ❤❤❤ni wewe tu Bwana msaada wetu ,niliyekuwa dhaifu sasa hivi Nina nguvu
Beautiful. Too beautiful for words. Mungu awatunze jamani. Wamama bidii ya kumchezea Mungu na kuimba jamani
Ni Wimbo wangu wa usiku na mchana
Ubarikiwe
Good song
Hongera sana nawapenda sana rejoice godbless 🎉🎉🎉🎉
Dada ubarikiwe sana kwa kipaji chako nilikujua toka upo unaimba na imanweli mgogo
Sauti zimetulia na neno unalisikia vizuri.Mungu awabaribiri sana
Hili kanisa liko mafinga sehem gan maan nimevutiwa na hii kwaya jaman
Mafinga kinyanambo unaulizia kwa pastor Julius Kikoti au kanisani kwa kwaya ya rejoice unafika
From kenya love the song. God bless rejoice choir .# ni neema.ni wewe
Be blessed in the name of Jesus
Safi mtumishi
Mungu awabariki sana kwa wimbo huu. Unanibariki sana. Ninaweza kuusikiliza siku nzima bila kuuchoka.
Ni kweli kabixa for 100%😁😁
Napenda sana Rejoice Mungu Azid kuwabariki ili tuendelee kubarikiwa na nyimbo nzr hizi..
Amiina 🙏🤝
Mungu awabariki sana, endeleeni kunyenyekea ili Mungu awainue zaidi na zaidi.
Amina sanaa ashukuliwe MUNGU atupae kushinda kwa BWANA WETU YESU KRISTO
Hakika! ubarikiwe
@@rejeoicegospelchoir Amina barikiwa pia ndugu katika KRISTO YESU BWANA WETU
Barikiwa dada❤
Nimesikiliza huu wimbo usiku kucha. MUNGU AWABARIKI SANA. Ni wewe Bwana mtetezi wetu
Ni wewe umetenda yote baba,msaada wetu ,tumaini letu ni wewe tu Bwana ❤
Hakika
Amen, kristo ndiye nuru yetu, nabarikiwa sana
God bless you servants. Glorious song indeed. A man in brown coat be blessed because you know whom should we dance for with vigour and energy. Ubarikiwe sana🎉🎉
Ameen
Sauti ya huyu Dada inanikoshaga 🥰🥰
Powerful words.
Esteria nimemuona Rafiki angu nimefurahi❤.Nawapenda rejoice
Mbarikiwe
God bless you it's amazing song
Ukwel nimebarikiwa na wimbo hhu Mungu awatunze sana ❤
Wimbo mzuri sana
Hongera da da kumbe waimba kwaya Hongera sana🎉
Awesome ❤❤❤❤
Thank you🙏
Twashukuru Mungu Kwa yote.
Wimbo huu unaniliza😢😢😢 hakika ni wewe yesu🙏🙏🙏🙏
Amina mbarikiwe sana rejoice choir Mungu azidi kuwabariki zaidi na zaidi nimebarikiwa sana na wimbo huu 🙏🙏
Napenda sana huu wimbo, hakika tumaini letu ni MunguKutoka Kenya Nawapenda sana
Amen ubarikiwee
Waooooo
Hakika ni wewe Bwana hata sasa bado niwewe nakutegemea mpka mwisho wa uhai wangu HAKIKa ni wewe
MUNGU aendelee kuwainua zaidi na zaidi ❤❤❤
Mnaimba kwa ubora kabisa, nyimbo zenu zina upako, Mungu azidi kuwafurahia
Ubarikiwe pia
Excellent God bless you all
My every morning song😊kwa kweli hakuniacha kua mawindo kwa adui zangu....
Am seriously blessed with this song and the powerful words. God bless you all. Lucas
Ongera dada
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri unanifariji
Awesome worship
Rejoice choir ❤️❤️❤️💯
Niwewe mungu 🙏🙏🙏
Niwewe mungu anabaki sana wimbo mzuri sana unitia nguvu
Amina Ni wewe bwana 🙏🙏🙏
Amina vick barikiwa sana napenda wimbo na kazi zako
Makes me cry
Aisee nimekupenda
Mbalikiwe sana
Eimeeeen eimeeeen ni weweee
Hakika, ni yeye hakuna mwingine
Mbarikiwe sana kazi mjema
Yes ohhhhhh utukufu kwa mungu
Hallelujah
Hakika ni Mungu umetenda haya
Hy sauti Yako da viki mimi naona kama Niko peponi barikiwa dada v
sio wewe tu
Excellent song with a lot of encouragement from the word of God.sister be blessed
Amen 🙏🙌❤
Amen Amen Amen Amen much love from kenya❤❤❤❤❤
Be blessed Rejoice choir🙏🙏
Mnanibariki Sana mungu awainue zaidi
Hakika tumain letu ni mungu penda sana my Wii kipenz
Hakika hakika ni wewe Mungu 🙌
Mbarikiwe sana sana,utukufu kwa Bwana
Hakika ilikua njema sana jana balikiwa sana rejoice
Amen,amen
Mungu utabaki Mungu tu
Oooh Hallelujah utukufu Kwa mungu.im blessed.
Iko vizuri sana
Sms nzuri wimbo mzuri sana ❤❤
Asante
Nice🎉🎉❤
Yaani mnanibariki sanaaaaaa uwiiii
kazi zuri kweli kweli... from KE KE KENYA
I love the song
Hakika Ni wewe Bwana 🙏🙏🙏
Amen. Mungu awabariki. You have blessed me ❤
Tegemeo langu ni ww bwana❤️❤️❤️
Waooo Bint Victoria ubariwee sana unanibariki sana patamu
Neno moja niseme mbarikiwe sana jmn
Good work.
Thanks
Nahitaji huyo solist
+255750805734
Amina Amina, wimbo mzuri kabisa
Ubarikiwee
MUNGU awabariki sana 🙏
Amina kasauti kako wifi wa mnyalu nakupenda sana❤❤
Mnanibariki sanaa🙏🙏
Mbalikiwe sana wimbo Huyo umenipa falaja
Amen, ubarikiwe
Nawapenda saaana❤❤❤❤❤God bless you
Top vocals❤
Vigorous BLESSING AMEN

Esteria nimemuona Rafiki angu nimefurahi❤.
Nawapenda rejoice
Mbarikiwe
God bless you it's amazing song
Ameen
Ukwel nimebarikiwa na wimbo hhu Mungu awatunze sana ❤
Amen
Wimbo mzuri sana
Ubarikiwe
Hongera da da kumbe waimba kwaya Hongera sana🎉
Amen
Awesome ❤❤❤❤
Thank you🙏
Twashukuru Mungu Kwa yote.
Amen
Wimbo huu unaniliza😢😢😢 hakika ni wewe yesu🙏🙏🙏🙏
Amina mbarikiwe sana rejoice choir Mungu azidi kuwabariki zaidi na zaidi nimebarikiwa sana na wimbo huu 🙏🙏
Amen
Napenda sana huu wimbo, hakika tumaini letu ni Mungu
Kutoka Kenya Nawapenda sana
Amen ubarikiwee
Waooooo
Hakika ni wewe Bwana hata sasa bado niwewe nakutegemea mpka mwisho wa uhai wangu HAKIKa ni wewe
Amen
MUNGU aendelee kuwainua zaidi na zaidi ❤❤❤
Amen
Mnaimba kwa ubora kabisa, nyimbo zenu zina upako, Mungu azidi kuwafurahia
Ubarikiwe pia
Excellent God bless you all
Amen
My every morning song😊kwa kweli hakuniacha kua mawindo kwa adui zangu....
Amen
Am seriously blessed with this song and the powerful words. God bless you all. Lucas
Amen
Ongera dada
Mungu awabariki kwa ujumbe mzuri unanifariji
Amen
Awesome worship
Amen
Rejoice choir ❤️❤️❤️💯
🙏
Niwewe mungu 🙏🙏🙏
Niwewe mungu anabaki sana wimbo mzuri sana unitia nguvu
Amina Ni wewe bwana 🙏🙏🙏
Amen
Amina vick barikiwa sana napenda wimbo na kazi zako
Makes me cry
Amen
Aisee nimekupenda
Mbalikiwe sana
Amen
Eimeeeen eimeeeen ni weweee
Hakika, ni yeye hakuna mwingine
Mbarikiwe sana kazi mjema
Amen
Yes ohhhhhh utukufu kwa mungu
Hallelujah
Hakika ni Mungu umetenda haya
Amen
Hy sauti Yako da viki mimi naona kama Niko peponi barikiwa dada v
sio wewe tu
Excellent song with a lot of encouragement from the word of God.sister be blessed
Amen
Amen 🙏🙌❤
Ubarikiwe
Amen Amen Amen Amen much love from kenya❤❤❤❤❤
Amen
Be blessed Rejoice choir🙏🙏
Amen
Mnanibariki Sana mungu awainue zaidi
Hakika tumain letu ni mungu penda sana my Wii kipenz
Ameen
Hakika hakika ni wewe Mungu 🙌
Amen
Mbarikiwe
sana sana,utukufu kwa Bwana