KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NA UNABII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • KUHANI MUSA RICHARD MWACHA NA UNABII

КОМЕНТАРІ • 244

  • @user-yl8dv7ip7f
    @user-yl8dv7ip7f Місяць тому

    najiunganisha na nabii mwasha nipate ndoa sahihiii nipate mume sahihi nipate kizazi kilichosahihi ameeen mungu nione na mimi .. ameen

  • @huseinkanjenje5125
    @huseinkanjenje5125 2 роки тому +2

    Kuhani mm naitwa Hussein kanjenje natokea tunduru mkoa was ruvuma naomba uniombee changamoto ni nyingi kuhusu maisha pamoja na kazini tafadhali mwlm kw unyenyekevu mkubwa ahsante

  • @frankmwanyingili5499
    @frankmwanyingili5499 2 роки тому +2

    Najiunga manisha na madhabahu ya ngomeni kwa kuhani Musa mwacha aniepushe na mikosi nabalaa katika safari yangu kutoka dar kwenda mpanda katavi damu ya yesu kristo ikani funike kwa jina layesu ameeeni

  • @latefalatefa2664
    @latefalatefa2664 2 роки тому +2

    Amina nami napokea uponyaji kwa jia ya imani kwajina la Yesu Kristo alie hai Ameen

  • @OzonMwangosi
    @OzonMwangosi 5 місяців тому

    Bwana yesu asifiwe mtumish,naitwa malia,rabi naomba uniombee kila ninalofanya sifanikiw,naomba uniombee mtumish wa mungu

  • @heppy-rk7un
    @heppy-rk7un 2 місяці тому

    mtumishi naomba na mimi unitabilie ndoa yangu na maadui kwenye maisha yangu

  • @esterfungo3105
    @esterfungo3105 2 роки тому +1

    Bwana yesu atukuzwe kwajina naitwa ester nimwimbaji napenda kuhudm ngomeni lakini spatagi nafasi naomba nihudm maaana kipawa nimepewa bule nami naitaji nitoe huduma bule ndofulaha yangu maaana kila nikija naandika karatas lakini kibali sna naombA maombi nikubarke

  • @pendoboay2401
    @pendoboay2401 Рік тому

    Amina mungu anaponya I LOVE YOU JESUS naimani mambo yangu yatakuwa safi niombee na mimi mtumishi pamoja na familia yangu

  • @ClementinaMtumbuka-u1q
    @ClementinaMtumbuka-u1q 15 днів тому

    Nataka unipe mapacha wa kiume we YESU wangu

  • @ClementinaMtumbuka-u1q
    @ClementinaMtumbuka-u1q 15 днів тому

    Nataka Deni la crdb liishe nitakavyoimi kwa jina lako YESU AMEN

  • @janembanga2465
    @janembanga2465 2 роки тому +2

    Mtumishi naomba utuombee Mimi na famili yangu kwa kukataliwa Amina 🙏🙏🙏

  • @maryburule9790
    @maryburule9790 2 роки тому +1

    Yesu wa ngomeni naomba uniondolee magonjwa na unishindie kesi mimi na mama yangu

  • @RukundoAdelphine-jb2xz
    @RukundoAdelphine-jb2xz Рік тому

    Amena wachawi wangu wote wakate moto kwajira lá yesu kristo wanazaleti aliehai

  • @petezyulempole2178
    @petezyulempole2178 Рік тому +1

    Amen na ao wasilam waokoke na yesu awafunikie na damu yake namini nikiwa Kenya maneo ya wajir

  • @erlytesafari2547
    @erlytesafari2547 2 роки тому +1

    Mungu akusidichiye baba,utazani Élie amerudi sasa.

  • @ClementinaMtumbuka-u1q
    @ClementinaMtumbuka-u1q 15 днів тому

    Ponya familia na ukoo wangu Sasa hivi inua uchumi wangu na wa ukoo wangu

  • @miriamabwao3062
    @miriamabwao3062 Рік тому

    Shaloom naitwa miriam abwao mtumishi naomba maombi yako sina ninachokifanya nikafanikiwa katika maisha yangu

  • @uchebechebe8653
    @uchebechebe8653 2 роки тому +1

    Ni mbaya, pale unakata tamaa alafu ndio wakati huo Mungu anataka kukupatia kilicho sahihi kwako...ndugu yangu,utahangaika sana,tuwe na subrah na jitihada za kuswali na kusali😎

    • @sabinamatutu8382
      @sabinamatutu8382 Рік тому

      MUNGU WEWE UNAJUA UKWEL WOOOTE HILI KUPITIA KANISA NIMESHIKWA UCHAWI ATA MZIZI WAS KUTIBU TUMBO SIJUI NAMLILIA MUNGU IPO SIKU UKWEL UTAJULIKANA KWA UWEZO WAKO

  • @Dogs-jg3mg
    @Dogs-jg3mg 2 місяці тому

    Mtumishi naomba unisaidie udusaidie dani ya famully yangu dada yangu nimgojwa wahakiri nadie kama mama yetu nakuomba wa toto wake pia wame mukimbia hatujui walipo 🥹🥹🥹 nakuomba Mungu wambiguni udusanidie 🙏🙏

  • @TabuMashamba
    @TabuMashamba 7 місяців тому

    Kuhani mm naitwa Tabu Mashamba naishi chato naomba uniombee Nina changamoto nyingi sana za. Maish ktk jina la yesu ameen

  • @neyhmrs7704
    @neyhmrs7704 2 роки тому

    ee Mungu naomba nisaidi watoto wangu wasitumiwe na wachawi maana wanatumia langu la kunilonga kwa njia ya watoto wangu wakitumia damu.yangu kwni wanajuwa nawapenda navunja madhabahu ya kichawi

  • @ClariskachephilipNice
    @ClariskachephilipNice 2 роки тому

    Bwana yesu asifiwe mutumishi naomba uniombee nko na mtoto wangu ako na miaka naminne lakin amekataa kuenda shule kabsa nikuenda tu madiscko

  • @hanidamlwale1227
    @hanidamlwale1227 Рік тому

    Yesu tuokoe kwenye mikono ya wachawi wanaiharibu hekalu lako Ameeen🙏🙏🙏🙏

  • @heppy-rk7un
    @heppy-rk7un 22 дні тому

    Kuhani naomba unitabilie ndoa yangu

  • @MudedaBrigitte
    @MudedaBrigitte 17 днів тому

    Jambo mtumishi na mimi naitwa mudeda Brigitte uisaidiye sana mumaombi tunafungwa ndani ya yetu kukosa ndowa makazi na ulevi

  • @toussinseraphin8789
    @toussinseraphin8789 2 роки тому

    Kuhani naomba unisaidiye msaada wa maombi naitwa nyongolo mchindewa wanataka kuninyanganya fomu yangu naomba jina langu wasilioni nirudishiwe fomu yangu na ukimbizi wangu na kesi yangu isonge mbele niende marekani ivi wanataka kunirudisha Congo naomba badala ya kwenda Congo niende marekani.

  • @eunicenanjala3216
    @eunicenanjala3216 5 місяців тому

    Naomba number ya sim ya mutumishi wa Mungu kuhani Musa

  • @ibrahimejeancosmas4599
    @ibrahimejeancosmas4599 2 роки тому +1

    Mungu azidi kuku linda kohani wa mungu, Mimi Niko Congo 🇨🇩🇨🇩 nateswa n'a matatizo Sana nahitwa kwa jina ya Jean. Nihombeye pale ulipo nita pona, mke wangu ana teswa sana n'a pepo wachafu jina yake ni Bimwana jina ya mtoto ni Grâce. Nihombeye pale ulipo mtumishi wa mungu tuta pona.

  • @bwamijeannejo5473
    @bwamijeannejo5473 7 місяців тому

    Ahsantene nabii Musa.
    Amiiina
    Balikiwatena

  • @user-mq2gn5xe4o
    @user-mq2gn5xe4o 11 місяців тому

    mtumishi naomba niombee nip ate kazi mm naitwa naomi elirehema nasary naomba mtumish

  • @FloraNaftal
    @FloraNaftal 4 місяці тому

    Najiunga na.madhabahu ya kuhani musa

  • @SmilingJellyFish-vf6xy
    @SmilingJellyFish-vf6xy 8 місяців тому

    Amiiina
    Baba
    Musa
    Lichard
    Mwacha

  • @SmilingJellyFish-vf6xy
    @SmilingJellyFish-vf6xy 8 місяців тому

    Achiya.
    Amiiina
    Baba

  • @bwamijeannejo5473
    @bwamijeannejo5473 7 місяців тому

    Yoo. Mungu. Weee naguchukuru. Mungu.

  • @fredylaulentisarumo2243
    @fredylaulentisarumo2243 2 роки тому

    Mtumishi maisha yangu yanakuwa kama yamefungwa sielewi kabisa nimekuwa nikimtumaini Mungu na kumwamini bila kuona matokeo ya tumaini yangu mambo yangu hayaendi kabisa nimekuwa mtu anae poteza tumaini muda wote kifupi sielewi kabisa nahitaji msaad wa maombi

  • @Listarmwandenuka-fq8jm
    @Listarmwandenuka-fq8jm Рік тому

    Mungu akutunze sana mtumishi wa mungu hata mm mwenyewe linacheza Sanaa tumboni kama mtoto nikipima hamna mimba

  • @nshimiyimanapetero9803
    @nshimiyimanapetero9803 2 роки тому +1

    Amena Amena 🙈 mungu asifiwesana pasta

  • @user-dn8bh8ey4q
    @user-dn8bh8ey4q 8 місяців тому

    Tafadhali mutumishi nahitaji namba yako ya simu naitika kwajina la Danièle toka congo

  • @georgettewembo4993
    @georgettewembo4993 2 роки тому +4

    Amen Amen

  • @nicemonyo3343
    @nicemonyo3343 3 роки тому +1

    Aminaaaaaaah Baba Akuzidishie miaka mingi ya kuishi

  • @bahatevagre933
    @bahatevagre933 2 роки тому

    Mm naitwa Evagre Baltazari Moshi naomba kuomba huduma ya sala kuwaombea wajomba zangu na mabinamu zangu Mungu awafungue,pia familia ya nyumbani alikotoka baba na ardhi tulioachiwa

  • @bwamijeannejo5473
    @bwamijeannejo5473 7 місяців тому

    Nachukuru pasta.
    Musa
    Lichard.
    Mwacha

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 Рік тому

    Jamani huyo mpambe Ana sauti kubwa mno.looh!!

  • @fidiataraba9525
    @fidiataraba9525 Рік тому

    Kuhani Mungu akutunze unaokoa maisha ya watu uendelee kutuponya 🙏🙏

  • @godfreyseni1392
    @godfreyseni1392 4 роки тому +2

    Bwana Yesu atukuzwe Baba

  • @user-yl8dv7ip7f
    @user-yl8dv7ip7f Місяць тому

    najionganishaaa na nabii mwashaaa mama yanguu kokote huko aliko apone marafhi yake yoteee ... awee sawaaa

  • @rithersospeterkati2303
    @rithersospeterkati2303 3 роки тому +1

    Amen amen wote. Ubarikiwe kuhani Musa.

  • @shafiimtemba8241
    @shafiimtemba8241 2 роки тому +1

    Nyakat zamwisho ndoo hiz watu wanapenda miujiza mno,huyu sina iman naye kabisa namikanzu take duuuu jaman mwenye ufaham afaham

  • @ashuramachinja
    @ashuramachinja Місяць тому

    Aminaa baba

  • @emanuelemanuelcomemanuelem5385

    E mungu wakwamusa naombaunifunguwe

  • @jescasamson1123
    @jescasamson1123 Рік тому

    Najiungamanisha kumkomboa mchumba wangu wachawi wamuache

  • @irinekoka3278
    @irinekoka3278 2 роки тому +1

    Nakaribia yes kwenye Maisha yang u

  • @shakiramajayo302
    @shakiramajayo302 2 роки тому

    Tafadhali naomba kusaidiwa mtoto wangu alipotezwa na my sister, please imeleta shida Hadi family imeamua nimfunge

  • @user-ri5wu1hy7n
    @user-ri5wu1hy7n 7 місяців тому

    Kuhani mm nasumbuliwa na miguu naomba msaada nakufatilia kea njia ya youtube

  • @adisabetty2173
    @adisabetty2173 Рік тому

    Amiiiiina
    Bwanayesu asifiwe.

    • @adisabetty2173
      @adisabetty2173 Рік тому

      Balikiwa
      Musalichard mwacha 🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️🖐️😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @rechosabaya2408
    @rechosabaya2408 2 роки тому

    Amina baba

  • @bonithakankerauwera2323
    @bonithakankerauwera2323 6 місяців тому

    Amen Amen Amen

  • @nas_2761
    @nas_2761 2 роки тому +1

    Kwani mtumishi wa mungu haiwezekani kufungua mtu au kuponya watu mpaka umtolee unabii au ndio kuaminisha watu kwamba unamaono mbona mwamposa anaponya maelfu ya watu bila kutoa unabii na watu wanafunguliwa🤔

    • @florencechilango326
      @florencechilango326 2 роки тому

      Mwaponsa anatoaga ushuhuda bn ambao hawaonyeshi nisafina tu

  • @user-yl8dv7ip7f
    @user-yl8dv7ip7f Місяць тому

    najionganisha nipate mume sahihii nipate ndoa sahihi ameeee

  • @photupaschal9410
    @photupaschal9410 Рік тому

    Amina kubwa

  • @eliasimwamasage6876
    @eliasimwamasage6876 2 роки тому

    Ninaitwa thadey Elias naweza kupata mawasiliano ya moja kwa moja na kuhani musa nipo mbali

  • @heppy-rk7un
    @heppy-rk7un 2 місяці тому

    mchuganji naomba uniombee na mm mtoto wangu toka anasoma chekechea nakwenda la kwanza. ajui kusoma nasasa yuko la pili ajui kusoma

  • @suzan4712
    @suzan4712 Місяць тому

    Sharon pastor Sharon pastor plse help me maana mguu wanisumbuwa Sana

  • @ashnaom2270
    @ashnaom2270 2 роки тому

    Ambao mshawahi muona private nishingap, unalipa unamuona ckuhiyo au utapangiwa kuonana cku ingine, naomba mnisaidie ambae amewah

  • @sylvestermahega9311
    @sylvestermahega9311 2 роки тому +1

    Nawaonea huruma sana watu, yaani unadanganya na unapiga makofi tu, dah

  • @abasayoo5934
    @abasayoo5934 2 роки тому

    Mwenyezimungu atuongoze na hii maigizo atuepushe nayo

  • @bintunshombo3060
    @bintunshombo3060 Рік тому

    Naitwa Nabintu nshombo mimi ni mukongomani naitaji msaada Wa maombi ju ya magonwa n'a vyashara vyangu vitembeye vizuri

  • @maryburule9790
    @maryburule9790 2 роки тому

    Naomba watesi wangu katika kesi waondolewe

  • @stellamwinuka7924
    @stellamwinuka7924 2 роки тому

    Amina baba nitengeneze na mimi

  • @catherinealex6255
    @catherinealex6255 2 роки тому

    Amina sana

  • @valenakomba7686
    @valenakomba7686 3 роки тому +2

    ASANTE MUNGU KWA KUTUTUMIA MTUMISHI KUAHNI MUSA HAPA TANZANIA.

  • @ashatemba9689
    @ashatemba9689 2 роки тому +2

    Ameeen baba 😥🤲👏👏👏

  • @sia4867
    @sia4867 2 роки тому

    Eeeh yesu nisaidie na Mimi plz

  • @amisashbani4760
    @amisashbani4760 Рік тому

    Mimi naitwa amisa niko Australia naitaji maombi kwako najaribiwa sana

  • @costantinlucas6300
    @costantinlucas6300 Рік тому

    Baba Mungu anakutumia kwa viwango vingine

  • @justinmigambwe8461
    @justinmigambwe8461 2 роки тому

    Mcungaji nakuomba uniombeye mimi na famillia yangu

  • @shafihniwa9221
    @shafihniwa9221 3 роки тому +1

    Mungu akupe maicha malefu baba

  • @fridayjonas9864
    @fridayjonas9864 3 роки тому

    Naomba unitiazame maendeleo yangu sielewi kipato changu naangaika sana sielewi kabisa na shidagani

  • @loveness5890
    @loveness5890 2 роки тому

    Mungu akutangulie mtumishi

  • @majirabonifasi5628
    @majirabonifasi5628 Рік тому

    Kuhan Musa naomba namba natka nije uko

  • @dianaayuka261
    @dianaayuka261 2 роки тому +1

    Nahitaji maombi tafadhali Nabii wa Mungu 🙏

  • @bonithakankerauwera2323
    @bonithakankerauwera2323 6 місяців тому

    Yesuu

  • @poulbonifaci2847
    @poulbonifaci2847 4 роки тому +2

    mtumishi hakika kuna mungu wakweli

  • @nuruelkeneth9940
    @nuruelkeneth9940 Рік тому

    Mung siunifungue na mm mbon nimehangaika san

  • @omega-gl9wt
    @omega-gl9wt Рік тому

    Tunaomna wakati muhubiti anahubiri asiwepo mtu anayeongea tena akisema ndio,kabisa ,sawa,nk.

  • @joanithaalex249
    @joanithaalex249 Рік тому

    Amina

  • @HylineNyaboke-e8g
    @HylineNyaboke-e8g Місяць тому

    mtumishi namba nataka nikuoni uso kwa uso unisaidie

  • @shangweeliya4958
    @shangweeliya4958 2 роки тому

    Mwenye no zauyu nabiii anisaidie

  • @gracekavithi9205
    @gracekavithi9205 2 роки тому

    Naitaji maobi nko kenya nlikua nimeolewa kwa miaka saba sijawai pata mtoto mume wangu nkanjua akona mpango wa kando na tuliachana mimi nimeokoka yeye ajaokoka so anataka turudiane but mimi nmeshidwa la kufanya juu ajawai npeleka kwao na yeye ajui kwetu so sitaki kurudiana nae alinitesa sana but anadai turudiane naitaji maombi

  • @maryburule9790
    @maryburule9790 2 роки тому

    Mungu naomba uzao wangu ukombolewe, kila kitu changu kimekufa

  • @janethkinabo3486
    @janethkinabo3486 Рік тому

    Napokea baba

  • @uchebechebe8653
    @uchebechebe8653 2 роки тому

    Mmmh😫😫😫😫naona huruma sana na unabii unaoufany

  • @emanuelemma4639
    @emanuelemma4639 2 роки тому

    Asante baba tukomboe

  • @melinabenedict312
    @melinabenedict312 4 роки тому +1

    Yesu azidi kukutumia babaa

  • @irenebeddah6524
    @irenebeddah6524 Рік тому

    Ameen baba. Namimi naomba nifunguliwe

  • @chazyshadrack2558
    @chazyshadrack2558 2 роки тому

    amina baba tusaidie 🔥🔥🔥🔥

  • @grancemashauli6661
    @grancemashauli6661 2 роки тому

    Ubarikiwe mtumishi

  • @DivineFuraha-jo7gd
    @DivineFuraha-jo7gd 2 місяці тому

    Kuhanimusa tunakuhitaji burundi nasisi umebalikiwa namungu

  • @rosewilliam1324
    @rosewilliam1324 Рік тому

    Mungu akuweke miaka mia

  • @deborahanthony5872
    @deborahanthony5872 2 роки тому

    Amina kubwa sana baba