TAZAMA ZUCHU alivyompa GARI ANJELLA/Afunguka MAZITO baada ya KUMPA/KUHUSU ANJELLA kusaidia...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • _________________________________________________________________________________
    Kuwa wa kwanza kupata Habari zetu kwa ku-subscribe UA-cam channel ya RICK MEDIA. Tufuatilie kupitia Instagram, Facebook na Twitter kwa jina la @rickmediatz
    _________________________________________________________________________________
    Contact Us Now +255 742 447 854 | Normal Calls & WhatsApp

КОМЕНТАРІ • 163

  • @Keyjop
    @Keyjop 20 днів тому +58

    Kweli zuchu ni msomi 🥰🥰🥰 zuchu kavunja record ya mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie 🌹Kwa zuchu

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh 20 днів тому +1

      ,💯💯💯💯

    • @KhadijakassimMwaipaya
      @KhadijakassimMwaipaya 20 днів тому

      Mashaalah mungu awajalie

    • @fazo-kl9fu
      @fazo-kl9fu 11 днів тому

      Kweli mwanamke kumpenda mwanamke mwenzie ni Kaz zuchu anaupendo nimependa

  • @user-tw7gb1nu2e
    @user-tw7gb1nu2e 20 днів тому +17

    Mungu akubaliki sana Zuchu.Azidi kuibaliki kazi ya mikono yako.Uzidi kua na moyo wa kusaidia .

  • @DonardMaduka
    @DonardMaduka 6 днів тому +1

    Hongela sana zuchu mungu akuzidishie Zaid nazaid ubalikiwe sana

  • @MariaHabakuki
    @MariaHabakuki 13 днів тому +2

    Zuchu jaman mungu akupenn cjui daah mungu akubariki sana

  • @tshibangumunyenza7383
    @tshibangumunyenza7383 20 днів тому +5

    Thanks guys musaidieni uyu DaDa one love 💕 zuchu big up mama watching you live from Canada 🇨🇦 congratulations you guys 🇹🇿 🇹🇿

  • @EricaBizuru-jp9by
    @EricaBizuru-jp9by 20 днів тому +5

    Diva na Wasafi Media mmefanya jambo mbele ya mungu na mungu awainue sana❤❤❤

  • @petroniesindarubaza2420
    @petroniesindarubaza2420 20 днів тому +18

    Sio ww tu unalia dada anjella adi nimetokwa na machozi 😢😢😢Mungu akuzidishiye zaidi ya zaidi da Zuhura ,hujawayi niangusha kbs!!!akupe kila hitaji la moyo wako dada

  • @stevenhendry2377
    @stevenhendry2377 20 днів тому +4

    Mbn na me nalia jaman zuchu mungu akubarik wasafi mungu awabarik na ikawe kher ya kila kitu

  • @cuteliciacutelicia3968
    @cuteliciacutelicia3968 20 днів тому +6

    Woow sijuti kukupenda Zuchu ❤wetu... soo much wisely dah! Afu unaimani yakweli kbs we dada Mondi anakuoa na km atakuwacha analaana ya M.Mungu

  • @drcharlestz
    @drcharlestz 20 днів тому +16

    That's what we call humanity, Mungu Akupe Umri Zuchu, huyu binti talent yake ilikuwa inakufa. Zuchu you are very smart, Mungu Akupe Umri.
    Lakini pia Anjella Asimchukie Harmonize kwani ndiye aliemfanya awe introduced, cha msingi aamini kila jambo hutokea kwasababu. Mungu anakupitisha sehemu ili kukufundisha kitu.
    All in all hatutakiwi Kukata tamaa kamwe, Mungu ni wetu sote.

  • @JamaliAbass-pd3nq
    @JamaliAbass-pd3nq 20 днів тому +3

    Zuchu Mwenyezi Mungu akuongoze kwakeli umeongea mambo mazuri yenye upendo,busara,hamasa yana kitu kikubwa ndani yake kwa mwenye Akili❤❤

  • @user-cw6jq7cv2k
    @user-cw6jq7cv2k 20 днів тому +4

    Zuchu you were promoted and now you are giving back, good thing mama. May give you more.

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 20 днів тому +6

    Asante kwa kumsaidia huyu ndugu yetu nimefurahi saba kutoka moyoni asante Mungu wetu ni mkuu jamani mbona mnataka kuniliza mimi jamani all I can say asante mnatuliza jamani mpaka nimelia

  • @praizmwabukusi3452
    @praizmwabukusi3452 11 днів тому +1

    Mungu akuzidishie upendo kama huohuo zuchu the boss artist ni EastAfrica🙏🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Keyjop
    @Keyjop 20 днів тому +10

    Mtu akikufungia mlango mmoja, machine Mungu ,mwambie Mungu asantee Kwa hili najua una zaid ya hili ,badala ya kulaumu shukuru kua hata kupitiwa huyu mbaliki amekua daraja inuka pambana Mungu anaona na ananjia

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 20 днів тому +9

    Zuchu inaonekana ni mkarim saana. Mungu akuzidishie kl la kheri.

  • @Nancy-f3v7e
    @Nancy-f3v7e 20 днів тому +9

    Angela will join WASAFi soon🙏🏾. She has a talent and experience please consider her.

    • @john_1trader
      @john_1trader 20 днів тому +1

      Doto brother watamsaidia tu kama wengine kama b levo na wengine wengi

  • @EstherGitau-n1k
    @EstherGitau-n1k 6 днів тому

    This is sister code for real. Zuchu🫡 and may God continue to bless you more❤.Anjella feel better soon and don’t give up

  • @allymbwana1264
    @allymbwana1264 15 днів тому +1

    Daah binadamu wote tungekuwa na moyo na maneno anayo sema zuchu hakika mungu angetupa maisha mazuri sana na mwisho mwema

  • @celenamduda3417
    @celenamduda3417 15 днів тому +1

    ❤❤❤❤ you so much ww nizaidi ya mzung🎉🎉🎉❤❤❤❤❤

  • @MuharamiKaposo-qt9cy
    @MuharamiKaposo-qt9cy 20 днів тому +4

    Nakupenda Zuchu ❤

  • @REHEMASAMI
    @REHEMASAMI 20 днів тому +7

    ❤❤ duh nouma sana

  • @JoabJacob-wn7hg
    @JoabJacob-wn7hg 9 днів тому

    You are the best artist in african,,,, be smart girl

  • @user-co2by8re4p
    @user-co2by8re4p 20 днів тому +2

    Zuchu.wewenimzuri.sana.tena.sanaaaaaassaaa❤❤❤❤❤❤❤

  • @plujoncylugano4611
    @plujoncylugano4611 20 днів тому +3

    Hongera sana Zuchu kwa msaada huu.....

  • @enjobw5682
    @enjobw5682 18 днів тому +1

    Mungu akubariki sana zuchu 😢😢😢😢🙏🏽💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼💪🏼🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @NauriaKhamis-mz4il
    @NauriaKhamis-mz4il 20 днів тому +1

    Ur something else zuchu .......Masha Allah

  • @Mindsetting4success680
    @Mindsetting4success680 14 днів тому +1

    This Zuchu is very a small girl, but she has a big wisdom

  • @user-lk9dr2mf3s
    @user-lk9dr2mf3s 20 днів тому +5

    Zuchu for life❤❤❤❤

  • @rechopiahmusic9331
    @rechopiahmusic9331 20 днів тому +3

    Nimelia sanaaa dah zuchu😭😭😭❤️❤️❤️

  • @kingleorpad117
    @kingleorpad117 20 днів тому +2

    Aisee zuchu mungu akuongezee zaidi

  • @gloryEdwin-fd3hn
    @gloryEdwin-fd3hn 20 днів тому +1

    Zuchu wetu😍😍❤️❤️

  • @naimarishedy1523
    @naimarishedy1523 15 днів тому

    Nimelia wallah tungejua mtu anaumia hivi Zuchu mungu akubariki tujaalieni tupendane❤❤❤❤

  • @AndrewZamoyoni
    @AndrewZamoyoni 7 днів тому

    Alicho kifanya dada zuchu nimependa Sana naomba nawegine tuige yalio mazuri na yenye kupendeza ❤❤❤

  • @damasioadrianosalendi6871
    @damasioadrianosalendi6871 20 днів тому +18

    Wasafi watu wazuri sana, amesota sana konde gang 🙏🙏

    • @LilianMpenda-gw5pp
      @LilianMpenda-gw5pp 20 днів тому

      Kwani bila kondegang angejulikana, pamoja na mapungufu yote ya harmonize lkn ndio aliemfungulia njia mpk wasafi wamemuona

    • @john_1trader
      @john_1trader 20 днів тому

      ​@@LilianMpenda-gw5ppKuna kutambulishwa sawa lakini umegain nini huko walitambulishwa wasafi...lakini na mtonyo wakalipata

    • @mariakibusi5914
      @mariakibusi5914 20 днів тому

      Kabisa ndio maana nawapenda wasafi

    • @annndunda3953
      @annndunda3953 20 днів тому

      Wooooi Angela 😢❤

  • @NeysmophathMopha
    @NeysmophathMopha 19 днів тому +1

    Zuchu ni zuchu na nusu umefanya kitu kizuri sanaa❤❤❤

  • @user-og8vg8rk5b
    @user-og8vg8rk5b 20 днів тому +6

    This is wat we call girls code❤

  • @user-ul1hj6wh2j
    @user-ul1hj6wh2j 20 днів тому +4

    Duuu kwel zuchu mungu akujazie kheli kwa hili kwakumfalij mwenzako lispect sana zuchu

  • @kadito-o3j
    @kadito-o3j 20 днів тому +1

    Zuchu niamini mimi mwenyezi Mungu fundi ameona hili jambo ulilolifanya❤

  • @karemakarema8260
    @karemakarema8260 20 днів тому +1

    Love you zuchu mdogo wangu❤

  • @meryorotha671
    @meryorotha671 20 днів тому

    Ubarikiwe sana zuch mi sikuamini alivoambiwa akupigie sm akuombe usafir sikuzani kama ungetoa kweli nilihisi umeitika tu kwakua wako live ili uondoe aibu pale hongera San umeonyeaha upendo wahali yajuu kwa msanii mwezio Angela ❤❤

  • @andreadaniel8276
    @andreadaniel8276 20 днів тому +10

    NAMPENDA ZUCHU JAMAN ,❤ LIKE ZANGU PLZ

  • @PeterWilliama
    @PeterWilliama 20 днів тому +1

    Mm mwenyewe ni mwanaume lakini machozi yananitoka daah mungu akupe umri mwingi sana na akubariki kwa kumsaidia mwanamke mwenzako ni ngumu sana kuona hivyo barikiwa

  • @user-xn6hz9ht1x
    @user-xn6hz9ht1x День тому

    Baaada ya mama samia Raisi ni Zuchu 2025😢❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 20 днів тому +2

    Wcb 4 life hongera sana zuchu wallah wewe mwanamke na nusu

  • @user-hp4pf9cm4s
    @user-hp4pf9cm4s 18 днів тому

    Mungu akuzidishie zuchu uwa ni dada mpole mwenye mungu myenyekevu mungu akusaidie

  • @queenstashabeiby
    @queenstashabeiby 19 днів тому

    ndio maana nampendaga zuuu ❤❤❤❤❤❤
    God bless u dear

  • @SaimoniChilale-bo2pi
    @SaimoniChilale-bo2pi 20 днів тому +2

    Mungu akibaliki sana zuchu kwaupendo wako huo

  • @Robinson24560
    @Robinson24560 20 днів тому

    So touching hii video nimeirudia zaidi ya marakumi na nahisi kua sijaumaliza kuiona mwenyewe machozi yananitoka mola akuzidishie zuhura wetu

  • @EunicePius
    @EunicePius 3 дні тому

    Zuchu Mungu akubarik

  • @HemedmusoTz
    @HemedmusoTz 13 днів тому

    Kiukweli suchu.uendelee kua na moyo huohuo mungu akubariki

  • @RAJABUShaibu-mx2iy
    @RAJABUShaibu-mx2iy 20 днів тому +2

    Wasafi sio maboya wameona izi nyimbo za anjela Alizo toa ni nzuli wanaangalia jinsi ya kutengenez Faida nae

  • @alilalji1306
    @alilalji1306 20 днів тому +2

    Zuchu umenifanya nikuamini much ❤

  • @ziadajoseph6704
    @ziadajoseph6704 15 днів тому

    Mungu mpe maisha marefu zuch kikweri mungu kutunze mondi mungu anakuona

  • @G7_G.I.J.O.E
    @G7_G.I.J.O.E 15 днів тому

    good heart for the right people

  • @user-ql7gx5xe7m
    @user-ql7gx5xe7m 20 днів тому

    Mungu akuweke zuhura wetu umetisha sana ❤❤❤❤

  • @musampanda3643
    @musampanda3643 20 днів тому +3

    Sijawai kuskia msanii wa kike kamsaidia msanii mwenzake ni leo zuchuchuuuuu

  • @SubiraJohn-k7k
    @SubiraJohn-k7k 20 днів тому +1

    Zuchu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ngimbakuyi3250
    @ngimbakuyi3250 19 днів тому

    Da zuhurs mungu akubariki mno

  • @fawziagabriel3355
    @fawziagabriel3355 19 днів тому

    Diva unamoyo mzuri pia mashallah ❤

  • @IreneAdieli
    @IreneAdieli 5 годин тому

    Love zuchu

  • @user-mn3yd7jg3q
    @user-mn3yd7jg3q 20 днів тому

    .Hongera sna Ii ndo sanaaa tunayoitaka mwenye nayo amzaidie mwenzake Ili muweze kufika kwenye malengo ynu wenzetu walituacha bcoz ya kusaidiana

  • @annastaziaramadhani2666
    @annastaziaramadhani2666 20 днів тому +1

    Hiii safi Sana

  • @user-fl1xz3ln3c
    @user-fl1xz3ln3c 19 днів тому +1

    Pia harmonize apongezwe maana ndiye alimleta mjini tafadhari

  • @kebbymwalimu
    @kebbymwalimu 19 днів тому

    Allah akulipe Zuchu kwa kujitoa KWAKO☝️🙏😇🇹🇿🇺🇲

  • @HalimaOmary-j2v
    @HalimaOmary-j2v 16 днів тому

    Nakupenda bure zuchu❤❤❤❤

  • @Sharifakhamis-vx2ne
    @Sharifakhamis-vx2ne 20 днів тому

    Mungu akuongoze Sana kipenzi Zuchu

  • @irenebwanga-pf4qq
    @irenebwanga-pf4qq 19 днів тому +1

    zuu nimefurah apo pa kwenye mungu atubariki wotee

  • @ngimbakuyi3250
    @ngimbakuyi3250 19 днів тому

    Da zuchu ubatikiwe sana mpaka mimi mwanaume nimetoa machoz ya furaha😭😭

  • @FaridaKaduguda
    @FaridaKaduguda 20 днів тому +2

    Hiyo miwani zuchu km muogeleaji😅😅

  • @jaytee2021
    @jaytee2021 19 днів тому

    I'm crying from Kenya 🇰🇪😢😢😢

  • @aminanchimbi-eb8ee
    @aminanchimbi-eb8ee 20 днів тому +1

    Nyie zuchu yupo vizur sana

  • @annastaziaramadhani2666
    @annastaziaramadhani2666 20 днів тому +1

    Nandy ampe kazi katika festival yake😊

  • @habibaa9503
    @habibaa9503 20 днів тому +1

    Hadi nimelia 😢

  • @givenessemmanuel3463
    @givenessemmanuel3463 20 днів тому +1

    Wow zuu ❤

  • @mishiabdu7478
    @mishiabdu7478 20 днів тому

    Mungu akupe roho hy hy zuchu

  • @salehejuma5832
    @salehejuma5832 19 днів тому

    Dah! Jamani Mungu huyu

  • @user-yt8eh1qn5n
    @user-yt8eh1qn5n 18 днів тому

    Love u dad zuu❤

  • @ziadajoseph6704
    @ziadajoseph6704 15 днів тому

    Safi❤❤❤ diva

  • @fawziagabriel3355
    @fawziagabriel3355 19 днів тому

    Mungu akubariki dada❤

  • @Mindsetting4success680
    @Mindsetting4success680 14 днів тому

    See me cutting the onion with Angela, Zuchu. You're one of the million. This is how we call humanity.

  • @fawziagabriel3355
    @fawziagabriel3355 19 днів тому

    Zuchu I love you ❤

  • @HAWAMAULIDI-zl5xd
    @HAWAMAULIDI-zl5xd 20 днів тому +1

    Nimeliya aiseee 😭

  • @joyhylton7901
    @joyhylton7901 20 днів тому +1

    ❤❤❤❤❤❤ Zuchu

  • @hamisizuberi2163
    @hamisizuberi2163 20 днів тому

    Sijawahi ku comment kwenye mitandao aina yoyote ila hii imenifanya nione chakusema Kwa kile ambacho zuchu amepokea kutoka Kwa dada anjela Jana na bila shaka akajibu sambamba na mategemeo yaliokuwa yakitegemewa lakini si Hilo tu akadhihirisha kauli yake Kwa vitendo pamoja na maneno ya faraja upendo na sababu ya kuonyesha Kuwa kila kitu kina muda wake Kwa wakati sahihi na sio kila mtu anaweza kufanya ulivofanya wewe umefanya na mungu akubariki sana katika utaftaji wako mungu hawezi kukuacha kwakuwa unatambua umuhimu wake kwako Asante love u zuchu 🙏🙏

  • @user-jt5qf5ep6y
    @user-jt5qf5ep6y 20 днів тому

    We love you zuchu

  • @JOCENTE
    @JOCENTE 20 днів тому

    Am crying
    God bless you people

  • @kulyafx-c9h
    @kulyafx-c9h 15 днів тому

    Wasafi 4 life mi nilisema miaka minne nyuma ❤

  • @SurprisedFullMoon-gg9vu
    @SurprisedFullMoon-gg9vu 18 днів тому

    Maua yako zuchu"mm ni shabiki wa harmo but kwa hili zuchu nakupa maua yako mama"mwenyez Mungu akubariki saaana

  • @AdamMujuni
    @AdamMujuni 19 днів тому

    Baarakallahu zuhur❤

  • @DianaWakio
    @DianaWakio 18 днів тому

    Zuchu anaroho nzuri hadirahaa jamani

  • @florianmunisi4280
    @florianmunisi4280 17 днів тому

    MUNGU akubariki zuchu❤

  • @OkGoo-b9w
    @OkGoo-b9w 18 днів тому

    Mungu akubariki zuhura

  • @MuharamiKaposo-qt9cy
    @MuharamiKaposo-qt9cy 20 днів тому +2

    ZUCHU ANAONGEA VIZURI, ALIENDA SHULE VEMA

  • @MahijaMagwiza
    @MahijaMagwiza 20 днів тому +1

    Zuch we ni wamfano KBC honger zuch

  • @sautikaliitz934
    @sautikaliitz934 19 днів тому

    Zuuu Mungu akubariki😢😢

  • @moshielfesty7992
    @moshielfesty7992 20 днів тому

    Vizuri Sana zuchu

  • @tridun.65
    @tridun.65 20 днів тому +3

  • @rosemaryyohana2635
    @rosemaryyohana2635 20 днів тому +1

    Zuchu nakuombea hekima hivyo hivyo milele😢😢😢😢

  • @OBBYOBBY-s8y
    @OBBYOBBY-s8y 17 днів тому

    Sana zuchu nakubari