Asante kwa hii interview. Mwaka 2007 nilibahatika kusoma na kushinda na watu kadhaa toka Serbia na muda mwingi walinifurahia kwa kuwa natokea Tz. Walisema Yugoslavia ilimsaidia Nyerere during the independent struggles na kuwa walituna misaada ya kijeshi Tz kwa kuwa ilikua ni nchi ya kijamaa. So walinikaribisha sana Serbia na nikauliza interactions ya watu weusi na wa kwao, wakakemea kuwa wao sio wajeruman ama wagriki. Natambua ukakasi uliopo mazingira yao na Waturuki ugomvi uliopo kati ya ugiriki na waturiki kwani majirani zangu walikua ni wagriki na nilifanya kosa kuwaita waturiki. So reaction ya Waserbia kwangu nikilinganisha na Ile niliyoipata kwa wa Hungary na Chekslovia. Kutokana na hii interview, ninaamini kuwa wa Serbia si wabaguzi na nitaendelea na urafiki nao fb.
Ni mchapakazi alafu hajui kuringa aisee nakumbuka 2018 nilimuuliza mafuta ya nywele akanielekeza pa kuyapata mpaka leo natumia hayo na nywele Mashaallah
@@AminaTwaha-h6t Maadili na miiko iliyokuwepo vizazi viwili nyuma leo havipo; unategemea nini zaidi ya uharibifu? Kila cha zamani leo si kinaonekana ni ushamba; sasa vya kileo ndio hivyo vina changamoto zake.
Hongeraa.. Zako dada muongoza kipindi kwa maswali mazuri ya kimkakati toka kwa wageni waalikwa. Umenipatia taswira mpya kumbe! Wabongo tupo karibia nchi zote duniani nikikumbka pia yule dada wa Alaska na wengineo. Salaam toka Mwanza.
Hongera sana Naila, Nimefurahi sana kukuona hapa leo rafiki yangu. Mungu wetu akulinde na akujaalie kila la kheri kwenye maisha yako🙏 I miss you so much
Kuna swali la kizushi na lilikuja kutoka kwa rafiki zangu kutoka Uzbekistan na Albania. Kutokana na kile walichokisema ni kwamba eti walikua hawataki kuwa na mbwa kwa sababu ni waislaam. Marafiki zangu kutoka Serbia walikua ni waislam pia. Je Serbia ni mostly waaislam ama shemeji yetu alikua ni dini gani mpaka akakuruhusu kukubali kufuga mbwa? Pili juu ya kuuliza kituo cha polis, niliambiwa polisi wa ujerumani wanasikiliza ngozi nyeupe siku zote hawatosaidia mtu mweusi. Wasebia hawana kajitabia ka kuegemea na kutetea mserbia mwenzao?
Serbia mostly ni wakristu Orthodox, but dini zingine kama waislam, mashahidi wa Yehova, waroma, wapagani zote zipo but 80% of the population ni Orthodox. Shemeji alikua Orthodox, Polisi anaskiliza mtu anaejua kujieleza vzuri na mwenye ushahidi.
Asalaam aleikum warhatullah wa barakatuh dada yangu. Mimi jina langu naitwa Abdul - SIMBARAKIYE mwenye asili Ya Burundi lakini naishi uolanzi Amsterdam Netherlands pia nipo na uraiya nationality. Nimeoa mwana Mke mtanzania nipo na mtoto nae tatizo langu imigresheni dar es Salaam hawataki kunipa kibali Tanzania wananiambia kibali chamtu kawoa mtanzania nilipe dollars 800 bila hivyo siwezi kupewa tafadhali ndugu zangu mnisaidie Kila wakati nilipe visa nimechoka
Mara ya kwanza Mwanamke wa kiswahili anawaongelea Wazungu kama walivyo!wazungu Wachovu wengi tu mbona😊 Sheina,Je Dada huyu anataka Mme Muafrika? Nipo hapa mimi😉 Could you possibly share her email adress please? Very smart,articulate nd expressive lady❤👍🏽😢
Jaman huku kwetu gulf raiya akisafiri nchi yoyote akifika tu airport inamjia sms kutoka ktk country yake kumpa no za simu za balozi wa nchi yake aliyekuwepo nchi aliyofika na maelezo mengi❤❤❤
Yaani tangu nimeanza kusikiliza kipindi chako,huyu Dada amenigusa saaana,anajua kujieleza,anajua kujua vitu vingi.ki ukweli ,wadada wengi kama wamemsikiliza kwa makini,watakuwa wamejifunza vitu vingi sana. Ni mchapqkazi,ni mjanja,Anajiamini na ana akili sana.nimempenda sana.
Hello sister Shena,how do i get Naila's UA-cam account? Im tryig to search it but in vain,i really wanna get in touch with her about something so please assist
Kwakweli vijana mjifunze saana, nahaswa mlio na ndoto za kuhamia nchi za nje hata kama ni kenya uganda, kukosa elimu na information nikukosa fursa. Ameongea vizuri sana
Huyu dada ana akili sana na anajitambua mno, huyu ni mfano wa wadada tunaowahitaji katika interview kwaajili ya kutoa elimu kuntu kama hii ambayo kaitoa.
Instagram: Naila__y
UA-cam: Naila__y
Thank you so much for ya reactivity sister Shena.
Asante sana kwa Ku share
Ila hajibu,labda hataki Warundi
Kwamba Wachovu🤣
Maskini, well.. I m gonna miss her🤠🤠
Naila
@@burundishallsmile1day109 mimi apa niambie napenda warundi Amakuru
Jamani naila yusuphu nimesoma nae oysterbay 2009 tumemaliza wote
Hii ndio interview Sasa,umetuletea mrembo anaejitambua ,mpambanaji na pia muelimishaji nimeipenda sana kwa kweli full kujifunza🤝🇫🇮
Asante kwa hii interview. Mwaka 2007 nilibahatika kusoma na kushinda na watu kadhaa toka Serbia na muda mwingi walinifurahia kwa kuwa natokea Tz. Walisema Yugoslavia ilimsaidia Nyerere during the independent struggles na kuwa walituna misaada ya kijeshi Tz kwa kuwa ilikua ni nchi ya kijamaa. So walinikaribisha sana Serbia na nikauliza interactions ya watu weusi na wa kwao, wakakemea kuwa wao sio wajeruman ama wagriki. Natambua ukakasi uliopo mazingira yao na Waturuki ugomvi uliopo kati ya ugiriki na waturiki kwani majirani zangu walikua ni wagriki na nilifanya kosa kuwaita waturiki. So reaction ya Waserbia kwangu nikilinganisha na Ile niliyoipata kwa wa Hungary na Chekslovia. Kutokana na hii interview, ninaamini kuwa wa Serbia si wabaguzi na nitaendelea na urafiki nao fb.
Woow hongera sana
Nimeupenda Sana ushuhuda wako Baraka, ahsante kutuwakilisha huko ng'ambo.
Yaani huyu dada nimuelewa sana anajibu maswali vizuri sana
Nakupenda sana dadaagu nakufatilia sana kutoka mabwepande bunju b police station daresalam Tanzania Africa nakupenda sana dadaagu nakufatilia pia
Nimependa behavier yako Dada.
Dada shena nimefurahia hiyo interview mungu akubaliki sana
Naila is smart and civil, congratulations 🙌
Jamani dada mzuri na rangi yake, nywele daah, hongera 🎉
Ni mchapakazi alafu hajui kuringa aisee nakumbuka 2018 nilimuuliza mafuta ya nywele akanielekeza pa kuyapata mpaka leo natumia hayo na nywele Mashaallah
Yapi hayo
Tuambie hayo mafuta ndugu yangu!
Tunaomba account yake
Tuambie hayo mafuta
Naomba na wewe utuambie ni mafuta gani yanapatikana wapi
Smart interview ever. We love you Shena.
Umetisha dogo,nimejifunza sana,na nimepata ujasiri mwingi
Asante mrembo mwenye sikio asikie,God bless you shena ❤
A very bright and focused young lady,hongera
Naila anaonekana kifaa kweli kweli. Sijui Tanzania vijana wanakosea wapi. Binti mrembo, mchangamfu na anaonekana kujielewa vyema.
Interview nzuri Shena & ODA “Bless”.
Vijana wa huku kwetu wanapenda tu kuchezea wadada
😂
@@AminaTwaha-h6t Maadili na miiko iliyokuwepo vizazi viwili nyuma leo havipo; unategemea nini zaidi ya uharibifu?
Kila cha zamani leo si kinaonekana ni ushamba; sasa vya kileo ndio hivyo vina changamoto zake.
Woow❤ nimempenda sana huyu dada anajua kujielezea na anajituma sana!
Hongeraa.. Zako dada muongoza kipindi kwa maswali mazuri ya kimkakati toka kwa wageni waalikwa. Umenipatia taswira mpya kumbe! Wabongo tupo karibia nchi zote duniani nikikumbka pia yule dada wa Alaska na wengineo. Salaam toka Mwanza.
Yaani wewe binti nimekupenda sana unaeleza vizuri Mim Niko Zanzibar ukitulia unatengeneza pesa
Very smart young lady.
Waoooooh Shena hii ni nzur nilitaman sana umlete huyu dada
Asante shena kwa kutuletea mafunzo mazuri
Waaaooo! She is bright for real. Nimependa nywele jamanii. Naomba nielekeze mafuta unayotumia dear.
Big up guys...naona Leo team manywele mmekutana..had rahaaa!
Nmempenda sana mgeni wako wa leo shena anajielewa sana
She is amazing 🥰
Very intelligent lady...thanks shena for her
Nilimuona kwa bongo zozo pia.nimefurahi kumuona tena mcheshi na muwazi..❤
MashaaAllah this girl she's so smart.
she is very eloquent mashaallah.
Yoooo mdada anajuwa kujieleza I like it ❤
She is very very smart 🤓. Be blessed 🙌
Woooooh ❤❤❤ naila
Nailah Shukran Dada... 🥰
We uko vzr nimependa sana mwenyezi mungu akutangulie katika mahisha yako
Hongera sana Naila, Nimefurahi sana kukuona hapa leo rafiki yangu. Mungu wetu akulinde na akujaalie kila la kheri kwenye maisha yako🙏 I miss you so much
Very good interview ,and she understands how life goes, and she's very clever with good focus big up
Smart girl Mashaalhah
Beautiful with brain 💕❤️❤️❤️❤️❤️
Hvala lepo 😍
@@Naila__y
Asante shena
Kuna swali la kizushi na lilikuja kutoka kwa rafiki zangu kutoka Uzbekistan na Albania. Kutokana na kile walichokisema ni kwamba eti walikua hawataki kuwa na mbwa kwa sababu ni waislaam. Marafiki zangu kutoka Serbia walikua ni waislam pia. Je Serbia ni mostly waaislam ama shemeji yetu alikua ni dini gani mpaka akakuruhusu kukubali kufuga mbwa? Pili juu ya kuuliza kituo cha polis, niliambiwa polisi wa ujerumani wanasikiliza ngozi nyeupe siku zote hawatosaidia mtu mweusi. Wasebia hawana kajitabia ka kuegemea na kutetea mserbia mwenzao?
Serbia mostly ni wakristu Orthodox, but dini zingine kama waislam, mashahidi wa Yehova, waroma, wapagani zote zipo but 80% of the population ni Orthodox. Shemeji alikua Orthodox, Polisi anaskiliza mtu anaejua kujieleza vzuri na mwenye ushahidi.
Niliwahi ngatwa na mbwa na nikaita polisi wakaja mara moja na waliniskiliza japokua lugha nlikua naongea broken, mwenye mbwa alifunguliwa kesi
@@Naila__y nilikuona juzi ukiwa na BongoZozo na leo nimekuona hapa. Barikiwa sana
She is very smart hivyo ndivyo mwamke mwenye akili zake timamu hufanya. atakuwa mama mzuri saaana. Hapo mbeleni. Mungu amjalie mema 🌻😘
asante sana, Amina
Naila alikuwa darasa lachini yangu chuo,she very simple n beautiful
What a girl!
She is so proffessinal na mchapa kazi sana
She is so smart. Safi sana
Nailah hongera, unajitambua sana, Mungu azidi kukuinua
Naila smart sana,nilionanaga nae national college of tourism charm and professional,kudos
asante sana
She is so smart ❤️… and beautiful 🥰
Safi
Business mindset is pretty high, respect
Huyu dada ana ubongo kweli,nampeleka mdongo wangu Serbia ni mfanya biashara anatafuta mke wataelewana100% wanaamtafute wao
Asante
Mmependeza hongeren
I like her attitude
She’s beautiful inside and outside
Yupo single?
Nimempenda Sana huyu binti naomba kujua hiyo kozi aliyosoma tafadhali
Travel and tourism at NCT Temeke Dar es salaam
Very pretty +brain 👏🏾
Dada mzur sana mashallah 🎉
Asalaam aleikum warhatullah wa barakatuh dada yangu. Mimi jina langu naitwa Abdul - SIMBARAKIYE mwenye asili Ya Burundi lakini naishi uolanzi Amsterdam Netherlands pia nipo na uraiya nationality. Nimeoa mwana Mke mtanzania nipo na mtoto nae tatizo langu imigresheni dar es Salaam hawataki kunipa kibali Tanzania wananiambia kibali chamtu kawoa mtanzania nilipe dollars 800 bila hivyo siwezi kupewa tafadhali ndugu zangu mnisaidie Kila wakati nilipe visa nimechoka
W.mslm, Tanzania haina dual citizenship
Pole kwa changamoto
Visa ya tourist unalipa pesa kidogo sio nyingi
Naila mdogo wangu wa dhahabu💕🥰🥰🥰🥰
🤗 ndio dada yangu wa dhahabu
@@Naila__ynaomba unielekeze mafuta ya nywele
Dada una nywele nzuri sana
Mara ya kwanza Mwanamke wa kiswahili anawaongelea Wazungu kama walivyo!wazungu Wachovu wengi tu mbona😊
Sheina,Je Dada huyu anataka Mme Muafrika?
Nipo hapa mimi😉
Could you possibly share her email adress please?
Very smart,articulate nd expressive lady❤👍🏽😢
Wow Naira tulikuwa wote Bandas nakumbuka picha zako ulizonipiga please tutafutane mimi now nipo German
Jaman huku kwetu gulf raiya akisafiri nchi yoyote akifika tu airport inamjia sms kutoka ktk country yake kumpa no za simu za balozi wa nchi yake aliyekuwepo nchi aliyofika na maelezo mengi❤❤❤
Uku sio hivyo, unapata tu sms ya kukukaribisha nchini na msg za data roaming
Mungu ni mwema utabarikiwa
Naila M/Mungu azaidi kukubariki🙏🙏
Amina mungu yu mwema
Dada nakushukuru sana,yaani nimependa vyote ulivyoongea, ni ujasiri sana upo mwenyewe,ugenini na bado una furaha.
Asante yesu
Nywele zake nzuri jamani
Dada naomba kujua mafuta ya nywele anayotumia
Serbia nchi nzuri sana kwa utalii,nilishaenda beougrade ni pazuri sana
Hongera kwatufungua macho
Yaani tangu nimeanza kusikiliza kipindi chako,huyu Dada amenigusa saaana,anajua kujieleza,anajua kujua vitu vingi.ki ukweli ,wadada wengi kama wamemsikiliza kwa makini,watakuwa wamejifunza vitu vingi sana.
Ni mchapqkazi,ni mjanja,Anajiamini na ana akili sana.nimempenda sana.
Huyu Dada kanyoka sana adi raha😊😊😊
Yupo vizuri sana huyu dada
Genius in business rud tz ufanye biashara
Waoooh ana nywele nzuri sana
Waooo naila wangu❤
Dada yupo smart sana,nimepata kujifunza
Hello sister Shena,how do i get Naila's UA-cam account? Im tryig to search it but in vain,i really wanna get in touch with her about something so please assist
Nimeweka kwa pin comment dear
Karibu 🤗 mm apa
Nikuingia naku'like..
Huyu msichana yuko vizuri sana,amejibu maswali kiufasaha hongera
Nakuomba niambie mafuta gani unatumia kwenye nywele
Nywele ni km ngozi inategemea na mtu
Pia ni asili ya mtu tu,mi ht sihangaiki na hayo mambo na Nina nywele haswaa
Zinakatika nikiwa na stress tu😅
Kumbe hili jina la wazungu vishuka bado linaendelea Zanzibar 😂😂😂nalokumbuka sana tu
Blessed sana umefungua maisha ya watu wenye ndoto wafanye nn
Dada anajiielewa sana
This lady has high self confidence, naturally beautiful and high self esteem….This what they call beauty with brains.
thank you so much darling
Naila Yusuf , i missed you so much jmn, ulivyosema unapenda punda nimekumbuka zile picha zako na Makenya😂😂
hahahaha i miss you more Rosieee
Hard work girl ajitambua
❤❤❤💯
Bonge la interview dada anaongea viziri Hadi mtu huchoki kusikiliza
Hongera sana binti mdogo ubora mkubwa
Huyu Dada yuko vizuri sana
Leo shena umetuleteya dada katowa good idea
Hi baby girl 💜 muda wote huo Zuri alikua wapi @naila
🤣nyuma yangu amelala
Uko vzr na family Yao nzuri
Huyu sister ni kichwa kizuri sana
❤
Cuvajmiljubav nyimbo nzuri toka serbia
Serbia ni nchi nzuri ya utalii europe hila ujue historia
InshaAllah utapata. Rizki yako. Ya. Halali