NILIKUTANA NA MZUNGU ANALALA NA KUKU | NILIKUA NAVUMILIA KISA TU NIPATE PESA NA NIFIKE ULAYA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ •

  • @OfficialDatingAssistance
    @OfficialDatingAssistance  7 місяців тому +15

    Tiktok yake ni Jenichris

  • @AinekishaNyakato
    @AinekishaNyakato 7 місяців тому +22

    Interview yetu leo mgeni kachangamka sanaa kwakweli raha mno ni kucheka mwanzo mwisho yaan haboi mkaribishe tena😂😍

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 6 місяців тому +3

    🤣🤣🤣
    Huyu Dada Mcheshi Sana Mno!!!
    Good story teller👍🏽

  • @joycebosire3434
    @joycebosire3434 7 місяців тому +29

    Habari dada Shena interview ilikuwa nzuri asanteni. Ombi langu uwe unawauliza wageni wako social media zao tuwe tunawa follow pia waweza uandika kwenye description hapo chini. Asante

  • @ruthiemacharia5152
    @ruthiemacharia5152 28 днів тому

    I like her. She's a good story teller and no filters too😅. Just real

  • @hawasaid7151
    @hawasaid7151 7 місяців тому +12

    Shena please mualike tena huyu dada for part two bado ana vitu vya kujieleza story haijaisha😢😢

  • @maiyaalhabsi2926
    @maiyaalhabsi2926 7 місяців тому +16

    Nimeipenda Sana story, nimecheka, nilikua kama na angalia comedy movie. 😂

  • @gracenaomi6234
    @gracenaomi6234 7 місяців тому +2

    Hongera Jane. Nimefurahia uaminifu wako. Nakutakia kila heri kwa ndoa yako. Ubarikiwe sana.

  • @kyambahacharles-mr4zk
    @kyambahacharles-mr4zk 7 місяців тому +8

    Dada hongera
    nimependa ukweli wako siku hizi watu ni waongo sana umefunguka safi !

  • @MarthaEdwardsMafuko
    @MarthaEdwardsMafuko 7 місяців тому +4

    Asante sana mwanangu kwa simulizi zake zuri sana ukweli mtupu halafu anachekesha ubalikiwe sana Jennifer

  • @JokhaKhamis-z8e
    @JokhaKhamis-z8e 7 місяців тому +6

    Nimekupenda mdada umejieleza vizuri tena kiswahili ❤

  • @janemichaeljordan8699
    @janemichaeljordan8699 4 місяці тому +1

    Wow asante kwa interview nzuri Jane ❤

  • @TausShaban-t1d
    @TausShaban-t1d Місяць тому

    Asante sana love kwa ushauri ❤️

  • @ShariahajiOmar
    @ShariahajiOmar 7 місяців тому +3

    Pole kwa yaliokufika pia Mabrouk yako kwa kutimiza malengo yako ya kupata mume mzungu mtaoendana tabia kuishi kwa amani na upendo was dhati.🎉🎉

  • @sophiarwehumbiza209
    @sophiarwehumbiza209 7 місяців тому +3

    nimependa sana story mungu akutangulie kwenye ndoa yaki💓🧡

  • @NeemaWilliam-n7t
    @NeemaWilliam-n7t 7 місяців тому +3

    My dear Shena wewe ni amazing kipenzi,kwakweli huwa unanifurahisha jinsi unavyotulia wageni wako wakiwa wanajielezea Mungu akutunze kipenzi love you so much,kwakweli nimempenda sana mgeni wa leo

  • @samtushi1759
    @samtushi1759 7 місяців тому +13

    This why I love this channel so much it as a lot of things to learn and very educative.

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  7 місяців тому +2

      Thanks dear, I appreciate
      Please share to others 🙏🥰

    • @samtushi1759
      @samtushi1759 7 місяців тому

      @@OfficialDatingAssistance I use to share your channel each and every single day because it is worthy it congratulations and stay strong and blessed amen

    • @sharifuLiheta
      @sharifuLiheta 5 місяців тому

      Hello dear Mambo natafuta mchumba nem Sarah natafuta mchumba mwema.

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 6 місяців тому +1

    Yaani umenifurahisha sana nimecheka sana❤❤❤❤❤ kama liziki ipo ipo tuuu❤❤❤❤

  • @asminemaringo2636
    @asminemaringo2636 7 місяців тому +2

    Nimecheka ,story nzuri inafundisha,inafurahisha.

  • @BabyfaiyaSalum
    @BabyfaiyaSalum 7 місяців тому +2

    Napenda Interview zako dada Shena pokea Maua yako inasaidia wengi sana Mungu akusaidie Zaidi 🎉🎉🎉

  • @SarahRobert-o6e
    @SarahRobert-o6e 7 місяців тому +3

    Mungu akutunze Akupe Afya njema enjoy Dada, story yako nzur na mim nahitaji mzungu ndoto Yang ipo Siku hitatimia

  • @cocorita8367
    @cocorita8367 7 місяців тому +2

    Nime enjoy sana na hii Interview

  • @suleimanbalemba3348
    @suleimanbalemba3348 7 місяців тому +7

    Dada katisha kwenye kufakamia jenipha uko vzr mcheshi sana mungu akubariki

  • @winfridamdaki5699
    @winfridamdaki5699 7 місяців тому +1

    Hongera sana Jeni story yako inafundisha sana. Nimecheka sana kwa kweli😂😂😂😂

  • @blacksingapore
    @blacksingapore 7 місяців тому +4

    Story tamu sana na inafunza, na hongera dada na ndio maana nasemaga penye nia pana njia👏🏾

    • @sharifuLiheta
      @sharifuLiheta 5 місяців тому

      Holle Mambo natafuta mchumba nem saray

  • @flavianakanga4726
    @flavianakanga4726 7 місяців тому +2

    Of all the videos have watched on this channel but this one have laughed.Wee dada asante you have made mynight

  • @GetrudaMamiro
    @GetrudaMamiro 7 місяців тому +2

    Yaaani nimeisikiliza, ni nzuri sana ... Itabidi niirudie tena nitamu hatari. amenipa moyo sanaaaaaa... Hongera sana dada mungu likubariki

  • @johnriwa2854
    @johnriwa2854 7 місяців тому +2

    One of the best interviews 👌

  • @kalengashoppingcenter1108
    @kalengashoppingcenter1108 7 місяців тому +3

    Kwa mara yakwanza kumaliza interview yako dada,, Hongera kwa kua mkweli

  • @vero57
    @vero57 7 місяців тому +2

    Huyo dada ametisha sana hongera sana 👌👏👏

  • @RoseJNsilo
    @RoseJNsilo 3 місяці тому

    Hongera sn mwanangu nimependa story.

  • @gracehamis
    @gracehamis 7 місяців тому +1

    Yaani story nzuri sana

  • @NuruYussuph
    @NuruYussuph 7 місяців тому

    Aminaaa hongera kwakupatamzung

  • @LilianSolomoni
    @LilianSolomoni 3 місяці тому

    Yan nimecheka sana ❤

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 7 місяців тому

    Amani, furaha, ndoa, pesa iko pembeni. Vizuri sana mwanangu, Mungu akulindie ndoa yako.

  • @laetitiamathe5779
    @laetitiamathe5779 7 місяців тому +5

    Dada nafuraiya sana expérience ya uyu dada, inaonesha wazi hali yetu Sisi vijana, zaidi sana kwenye tiktok ,Sisi hatuja Pata tunatafuta hali zote ,nakujiuliza ma swali kama dada huyu. Glory to God alipata alicho tafuta

  • @BabyfaiyaSalum
    @BabyfaiyaSalum 7 місяців тому +2

    Unajuwa kuna baadhi ya watu wakiona watu wanaongea hapa wanahisi Labda wanatunga Ila jamani kama bado Mungu anakusubirisha kwenda ulaya Bora uwe Makini Sana ukimuomba Mungu Akupe unachostahili, Jamani Kama haya mambo yakikukuta Ulaya Mpaka uje ukae sawa Tayari umeshika Adabu 😢 Dada Shena Ubarikiwe dada Mwenye kuelewa na akuelewe tu

  • @joycemlewa3734
    @joycemlewa3734 7 місяців тому +10

    Yaani leo nimecheka sana nilipokuwa live kwa office huyu Dada ni noma...

  • @doreenhendry4259
    @doreenhendry4259 7 місяців тому +7

    Jamani nimejua kucheka kwenye hii interview

  • @brendazayumba235
    @brendazayumba235 7 місяців тому +7

    Jenipher umenuiacha hoi sjawai kucheka kweny kipindi hiki nimecheka mpk nimepaliwa

  • @TeddyJosephAsanteyesukwaupendo
    @TeddyJosephAsanteyesukwaupendo 5 місяців тому +1

    Eeee mungu mm mwenyew nilikuw nandot za kuwa na mzungu lkn sijawah fanikiw Aisee honger sn jmn mami❤

  • @naimajuma647
    @naimajuma647 7 місяців тому +1

    I love this conversation alot mashallah❤ nami nataka aiseee😂

  • @mummymaduhu5307
    @mummymaduhu5307 7 місяців тому +1

    Hiiii interview imeishq nikiwa staki 😊

  • @francoismalenge1373
    @francoismalenge1373 7 місяців тому

    Ok merci beaucoup mère Boss 👏👏

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 7 місяців тому +1

    😂😂😂😂😂😂 yaan mbavu sina, yaan nimekupenda zaida dd❤❤❤🎉🎉

  • @josephinepatrick6026
    @josephinepatrick6026 4 місяці тому +1

    Story yake nzuriii......🫶🏽🫶🏽👏🏽👏🏽mdada kachangamkaaaa

  • @KARENZOGabriel
    @KARENZOGabriel 20 днів тому

    Story yako nimeipenda

  • @ZabibuMkeleka
    @ZabibuMkeleka 6 місяців тому

    Machaguz na uvumilivu. Hukuwa mtu wa kugawa ovyo. Ulikuwa una alili na maarifa ndo mwanamke anatakiwa hivyo. La kwanza kumtanguliza MUNGU.,ulimwambia MUNGUkwanza unataka NDOA., hukuwa na tamaa ya kupata kwaharaka. Na ulikuwa unatembea na muumba Amin.

  • @ivankadaudi8161
    @ivankadaudi8161 7 місяців тому +3

    Nmecheka nyie leo❤❤

  • @pendoanzigar3172
    @pendoanzigar3172 7 місяців тому +2

    story tam mpa natamani mwendelezo cose sijasikia safari ilikuwaje ya kuelekea UK ,mqpokezi na vingine mfano maisha please

  • @joharilweno5596
    @joharilweno5596 7 місяців тому +1

    Beautiful story

  • @BellaBellaa-oq7tc
    @BellaBellaa-oq7tc 7 місяців тому +6

    Nimekupenda Jenifer niambie dating chat

  • @salmamasemo8079
    @salmamasemo8079 7 місяців тому +1

    Nice story 👏👏😊❤️

  • @vanessamshana4144
    @vanessamshana4144 7 місяців тому +6

    Leo nimecheka sana its a good story 😂🎉. Be blessed da shena

  • @herielnk
    @herielnk 7 місяців тому +2

    Aiseee nimecheka sanaaaaaaa. Huyu dada mfanyie interview nyingine

  • @efrahfarahahmed8960
    @efrahfarahahmed8960 7 місяців тому +5

    Dah nimecheka😄😄😄

  • @shixsshixs4191
    @shixsshixs4191 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤❤Stori nzuri sana

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 7 місяців тому +1

    Hongera dada story yako ni nzuri nimeipenda, halafu umetaka kufanana na mke wa bongo zozo

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 5 місяців тому

    Ila huyu dada😂😂😂
    Nimecheka
    Alikuwa ana ukame🙌🙌

  • @NeemRamadhani-j8h
    @NeemRamadhani-j8h 7 місяців тому +1

    Ya Leo Kali , Ani Sina mbavu

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 7 місяців тому +3

    Huyu dada nimempenda buree yani kaelezea vizuri kwa uwazi hakika shena tunajifunza mengi humu

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 7 місяців тому +1

    Mambo ni moto 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥

  • @Sumaiya-h7m1p
    @Sumaiya-h7m1p 7 місяців тому +1

    Nice entervew nimecheka mpaka like comedy 😅😅😅

  • @Interracialcouple.
    @Interracialcouple. 7 місяців тому +1

    Uyu dada amenichekesha😂Hongera sana dada

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 7 місяців тому +1

    😂😂😂😂 mkwe na mapengo, wakwe wana meno 😅❤

  • @atutweve4160
    @atutweve4160 7 місяців тому +4

    MH LEO NMECHEKA KILA KIPENGELE EMBU KATOKEA MKOA GANI HUYU DADA

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 7 місяців тому

    Amina Asante

  • @TausShaban-t1d
    @TausShaban-t1d Місяць тому +1

    🤣🤣🤣👌ugumu wa miez na miez

  • @BahatiAlly-xs8jr
    @BahatiAlly-xs8jr 4 місяці тому

    Nimeipenda san

  • @nuruleonard959
    @nuruleonard959 7 місяців тому +10

    😂😂 Huyu Dada anachekesha jamani

  • @Mamy49
    @Mamy49 7 місяців тому +5

    Wallah bora ss wa Zanzibar tukitaka kwenda ulaya unajiripua tu hatusubir hisani ya mzungu mume tutampa huko huko

  • @GracePendo-nc1el
    @GracePendo-nc1el 7 місяців тому

    ❤❤❤❤❤dadangu hii story yako nikama mimi 😅😅😅

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 7 місяців тому +13

    Wewe Jennifer 😂😂😂😂😂😂 kwahiyo saa hizi mnaenjoy tu Marekani ♥️ mambo ya kuku na nyoka tupa kule 😂

  • @Upendo6045
    @Upendo6045 4 місяці тому

    Dada shena vipindi vizuli sana tunashukulu

  • @lovely10emoji49
    @lovely10emoji49 7 місяців тому

    Hichi kipindi nakipenda sana shena big up MashaAllah..love from Canada 🇨🇦❤

  • @rachelmgema6930
    @rachelmgema6930 3 місяці тому

    😂😂😂jenifa umetisha ulivaa bendera ya Tz ukapiga show ya maana.😂😂

  • @dorcasPhyuza
    @dorcasPhyuza 7 місяців тому +1

    😂😂😂 km wew Jenifer umept ht mimi nitapat ipo siku😂😂😂😂

  • @zahrababygarl1568
    @zahrababygarl1568 6 місяців тому

    Eti chukua funny story ever 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @marykisoka4233
    @marykisoka4233 4 місяці тому

    😂😂😂😂Leo nimecheka shena

  • @safiaAhmed-v8x
    @safiaAhmed-v8x 7 місяців тому +1

    Unachekesha sana dada 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @getrudegambi3525
    @getrudegambi3525 7 місяців тому +2

    Chausiku kanifurahisha sana

  • @Annie_944
    @Annie_944 7 місяців тому +1

    Wow wow best interview kwakweli... Jenipher tumekupendaaaaaaaa😂😂😂😂

  • @annkim2690
    @annkim2690 7 місяців тому +1

    Leo. Nimecheka kweli🤣🤣🤣

  • @husseinjongo7588
    @husseinjongo7588 7 місяців тому +1

    Huyu dada is very interesting
    Eti mamake friji lake bovuu

  • @glaqgloryaqram7511
    @glaqgloryaqram7511 7 місяців тому +4

    Alikuwa ametumia App gani?!good job shena tunaelimika mno

  • @pricemlay
    @pricemlay 7 місяців тому +7

    Mimi ni Rafiki mzuri Mungu awabariki marafiki kama yeye 🎉

  • @klaussteiner94
    @klaussteiner94 7 місяців тому +3

    Dada chausiku amenikumbusha formula ya performance appraisal 🤣🤣🤣alipafomu ipasavyo hakika aliinyanyua bendera ya tz🤸🙌🙌

    • @lucysingano8131
      @lucysingano8131 7 місяців тому

      Uwwiiiiii nacomment kwa mara kwanza nimempenda huyu dada yuko open nimecheka interview nzima

    • @NuruJabu-te8tf
      @NuruJabu-te8tf 7 місяців тому +1

      😂😂🎉🎉

  • @suziemichael4338
    @suziemichael4338 7 місяців тому +1

    Story nzuri mnoo

  • @gracejoelwadugu6327
    @gracejoelwadugu6327 7 місяців тому

    Show ilikuwa show show
    Nimempenda mdada

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 7 місяців тому +3

    Yan leo ni kuche😂😂😂😂

  • @ElizabethMasala-op3vd
    @ElizabethMasala-op3vd 7 місяців тому +1

    Nimejifunza wazungu wanapenda ngozi nyeusi

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 5 місяців тому

      Pia wanapenda waafrika sbb hatuna mambo ya divorce na nn tunaheshim ndoa bado

  • @marthakimia4075
    @marthakimia4075 7 місяців тому +4

    Mimi napata taabu wapi mapema afya kabla ya kukutana kimwili ili msipeana ukimwi

    • @annkim2690
      @annkim2690 7 місяців тому

      Waa nakwambia kumbe life ni kurisk waoga kama Sisi

    • @carolynemukui4810
      @carolynemukui4810 7 місяців тому

      @@annkim2690never risk wangu nimuonyesha lazima tupimwe ukimwi

  • @christinemutinda8300
    @christinemutinda8300 5 місяців тому

    Tafadhali nmependa istoria stori ya Jane ,,naezapata number yake ya private please Kuna swali nataka nmulize anielezee Kwa undani

  • @emmatryphone6921
    @emmatryphone6921 5 місяців тому

    yaani nimecheka sanaaaaa

  • @hellenmwasalwiba6555
    @hellenmwasalwiba6555 7 місяців тому +1

    nimecheka mpaka basi

  • @selahkitchen2022
    @selahkitchen2022 6 місяців тому +1

    Nimecheka sana 😂😂😂 (Bado Niko kwenye kuku) nyie nimecheka zaidi ya Shena 😂😂😂😂 ngoja niendeleee😂😂😂😂

  • @ikenrobert4490
    @ikenrobert4490 4 місяці тому

    Huyu dada ni mimi kabisa nisha acha watu wawili mmoja mapengo 😂 mwingine anatembelea gongo vinataka moyo 🙌

  • @hellenelias8854
    @hellenelias8854 7 місяців тому +1

    😂😂😂😂 uwiii kusaka sio zoezi rahisi

  • @suzannemilembenyalagu4802
    @suzannemilembenyalagu4802 7 місяців тому +8

    😂😂😂 yaani nimecheka utadhani mazuri, daah pole, daah ila Chausiku kibokoo!!!! ila nimejifunza jambo kubwa sana!

  • @priscangimba6194
    @priscangimba6194 7 місяців тому +7

    Mbavu zangu leo dada unachekesha😂😂