Official Dating Assistance
Official Dating Assistance
  • 416
  • 5 084 793

Відео

NAMNA YA KUSITISHA MALIPO MTANDAONI ILI USIENDELEE KUKATWA PESA
Переглядів 9425 місяців тому
NAMNA YA KUSITISHA MALIPO MTANDAONI ILI USIENDELEE KUKATWA PESA
NILIPATA MZUNGU MTESAJI| MTANZANIA MWENZANGU ALINIPITISHA KWENYE MTIHANI|WAAFRIKA WENZETU HAWATUTAKI
Переглядів 11 тис.6 місяців тому
NILIPATA MZUNGU MTESAJI| MTANZANIA MWENZANGU ALINIPITISHA KWENYE MTIHANI|WAAFRIKA WENZETU HAWATUTAKI
WALIKUTANA MTANDAONI KUMBE ANASHIDA YA AFYA YA AKILI
Переглядів 20 тис.7 місяців тому
WALIKUTANA MTANDAONI KUMBE ANASHIDA YA AFYA YA AKILI
MAISHA YA NDOA YALIVYOBADILIKA NA KUA MAUAJI
Переглядів 8 тис.7 місяців тому
MAISHA YA NDOA YALIVYOBADILIKA NA KUA MAUAJI
UTAPELI WA KUTAFUTIWA KAZI ULAYA NA KWENDA ULAYA KIMASOMO
Переглядів 3,1 тис.7 місяців тому
UTAPELI WA KUTAFUTIWA KAZI ULAYA NA KWENDA ULAYA KIMASOMO
JE UNAPENDA KUVAA ORIGINAL BRAND LAKINI UNAONA NI GHRAMA KUBWA ? UNAWEZA KUPATA KWA BEI YA NAFUU
Переглядів 1,4 тис.8 місяців тому
JE UNAPENDA KUVAA ORIGINAL BRAND LAKINI UNAONA NI GHRAMA KUBWA ? UNAWEZA KUPATA KWA BEI YA NAFUU
NILIKUTANA NA MZUNGU ANALALA NA KUKU | NILIKUA NAVUMILIA KISA TU NIPATE PESA NA NIFIKE ULAYA
Переглядів 53 тис.8 місяців тому
NILIKUTANA NA MZUNGU ANALALA NA KUKU | NILIKUA NAVUMILIA KISA TU NIPATE PESA NA NIFIKE ULAYA
KAZI ZA HUKU ZINATUMIZA MIGONGO NA MIGUU | UKILETWA NA MZUNGU HAKIKISHA UNAFANYA KAZI USINYANYASIKE
Переглядів 21 тис.9 місяців тому
KAZI ZA HUKU ZINATUMIZA MIGONGO NA MIGUU | UKILETWA NA MZUNGU HAKIKISHA UNAFANYA KAZI USINYANYASIKE
MITANDAO YA KIMAHUSIANO ITAYOKUPATIA MATOKEO MAZURI
Переглядів 4,6 тис.9 місяців тому
MITANDAO YA KIMAHUSIANO ITAYOKUPATIA MATOKEO MAZURI
FAHAMU MAKOSA HAYA YANAYOFANYWA NA WANAWAKE KWENYE ONLINE DATING WANAPOTAFUTA MAHUSIANO YENYE TIJA
Переглядів 1,7 тис.9 місяців тому
FAHAMU MAKOSA HAYA YANAYOFANYWA NA WANAWAKE KWENYE ONLINE DATING WANAPOTAFUTA MAHUSIANO YENYE TIJA
KAPATA UJAUZITO WA KAKA WA MUME WAKE NA MUME NAE KUMBE NI MUME WA MTU MWINGINE
Переглядів 3,3 тис.9 місяців тому
KAPATA UJAUZITO WA KAKA WA MUME WAKE NA MUME NAE KUMBE NI MUME WA MTU MWINGINE
WIZI MPYA WA VIDEO CALL WA KUTUMIA TEKNOLOJIA
Переглядів 2,8 тис.9 місяців тому
WIZI MPYA WA VIDEO CALL WA KUTUMIA TEKNOLOJIA
KAZI ZA MASHAMBANI MAREKANI | MAZUNGUMZO YA INSTAGRAM NA BLACK SINGAPORE
Переглядів 11 тис.10 місяців тому
KAZI ZA MASHAMBANI MAREKANI | MAZUNGUMZO YA INSTAGRAM NA BLACK SINGAPORE
ATHARI YA TOHARA NA MAHARI KWENYE MAHUSIANO NA WAZUNGU
Переглядів 3 тис.10 місяців тому
ATHARI YA TOHARA NA MAHARI KWENYE MAHUSIANO NA WAZUNGU
KUA TAYARI KUJIFUNZA KUPITIA HADITHI ZA WENGINE
Переглядів 1 тис.11 місяців тому
KUA TAYARI KUJIFUNZA KUPITIA HADITHI ZA WENGINE
WAZUNGU NA KUAMINI MUNGU
Переглядів 98911 місяців тому
WAZUNGU NA KUAMINI MUNGU
SACRIFICE AMBAYO MZUNGU NA WEWE MNAIFANYA KWAAJILI YA PENZI | SEXUAL FANTANSIES |Questions & Answers
Переглядів 4,4 тис.11 місяців тому
SACRIFICE AMBAYO MZUNGU NA WEWE MNAIFANYA KWAAJILI YA PENZI | SEXUAL FANTANSIES |Questions & Answers
KUA NA PASSPORT SIO KIGEZO CHA KUPATA KAZI ULAYA|SIO KILA DIASPORA ANAMCHONGO MAJUU|Questions&Anwers
Переглядів 2,3 тис.11 місяців тому
KUA NA PASSPORT SIO KIGEZO CHA KUPATA KAZI ULAYA|SIO KILA DIASPORA ANAMCHONGO MAJUU|Questions&Anwers
TUZUNGUKE KWENYE CHRISTMAS PAMOJA
Переглядів 1,5 тис.Рік тому
TUZUNGUKE KWENYE CHRISTMAS PAMOJA
SHEREHE ZA KRAMPUS NA KUWAADHIBU WATOTO WATUKUTU
Переглядів 984Рік тому
SHEREHE ZA KRAMPUS NA KUWAADHIBU WATOTO WATUKUTU
NIMEPOTEA ULAYA NIKATOKEZEA KIJIJINI | ANAISHI KIJIJINI NAOGOPA KUCHINJWA
Переглядів 10 тис.Рік тому
NIMEPOTEA ULAYA NIKATOKEZEA KIJIJINI | ANAISHI KIJIJINI NAOGOPA KUCHINJWA
USIKARIBISHE WATU KWENYE NDOA YAKO WENGI NI WEZI WA WAUME | NILIKIMBILIA KUSOMA BAADA YA KUFIKA
Переглядів 8 тис.Рік тому
USIKARIBISHE WATU KWENYE NDOA YAKO WENGI NI WEZI WA WAUME | NILIKIMBILIA KUSOMA BAADA YA KUFIKA
MAHUSIANO MENGI YANACHANGAMOTO KUBWA YA TENDO
Переглядів 4,1 тис.Рік тому
MAHUSIANO MENGI YANACHANGAMOTO KUBWA YA TENDO
NIMEWASILIANA NAE MWAKA KUMBE NI MUME WA MTU | RAFIKI ALIKUA ANAMNYEMELEA MCHUMBA WANGU
Переглядів 9 тис.Рік тому
NIMEWASILIANA NAE MWAKA KUMBE NI MUME WA MTU | RAFIKI ALIKUA ANAMNYEMELEA MCHUMBA WANGU
UNAWEZA KUKOPA BANK KUPITIA JINA LA MWENZA WAKO | TALAKA INATOKA BAADA YA MIAKA 2 | PRENUP NA NDOA
Переглядів 1,2 тис.Рік тому
UNAWEZA KUKOPA BANK KUPITIA JINA LA MWENZA WAKO | TALAKA INATOKA BAADA YA MIAKA 2 | PRENUP NA NDOA
WE MET ONLINE AND ARRANGE OUR MARRIAGE BEFORE SEEING EACH OTHER
Переглядів 4,2 тис.Рік тому
WE MET ONLINE AND ARRANGE OUR MARRIAGE BEFORE SEEING EACH OTHER
BADO NAJIFUNZA KISWAHILI | ONLINE DATING INASAIDIA
Переглядів 2,6 тис.Рік тому
BADO NAJIFUNZA KISWAHILI | ONLINE DATING INASAIDIA
HATAKI TUONGEE VIDEO CALL| HAWEZI KUJA
Переглядів 813Рік тому
HATAKI TUONGEE VIDEO CALL| HAWEZI KUJA
WEZI MASHUHURI WA MTANDAONI
Переглядів 1,3 тис.Рік тому
WEZI MASHUHURI WA MTANDAONI

КОМЕНТАРІ

  • @RehmaBeatrice
    @RehmaBeatrice 6 хвилин тому

    Asallam Alaykum warahmatullahi wabarakatuh

  • @RehmaBeatrice
    @RehmaBeatrice 9 хвилин тому

    Asanten kaka Mungu akubariki

  • @RehmaBeatrice
    @RehmaBeatrice 10 хвилин тому

    Waache wale nachuki zao elmishatu wenye masikio wasikie namwe luake haluachake

  • @theresiamilanzi5907
    @theresiamilanzi5907 2 години тому

    Nimependa sana kawe wazi ❤❤

  • @roseeuphrase3853
    @roseeuphrase3853 3 години тому

    🎉🎉🎉kwa sababu bongo hata usipokwenda kazini unalipwa mshahara. Lakini Ulaya usipo kwenda kazini, analipwa aliye kwenda kufanya kazi zako.🎉🎉🎉🎉❤

  • @MohamedHukumu
    @MohamedHukumu 6 годин тому

    Mwanangu unataka uwe rambo au

  • @Ablahisaid
    @Ablahisaid 9 годин тому

    Huyu kaka mm unapenda sna vedeo zk kwni ukiangalia km una mawazo basi huwa upo na faraj sana kaka hongera kwli unatish

  • @janethrwambali2782
    @janethrwambali2782 11 годин тому

    😂😂😂😂unachekesha sana

  • @RehmaBeatrice
    @RehmaBeatrice 14 годин тому

    Nahiokupendapena ndoinawaponza wengi

  • @RehmaBeatrice
    @RehmaBeatrice 14 годин тому

    Kaka mzuri tena unastaili uwe mfano wavijana wengi

  • @RehmaBeatrice
    @RehmaBeatrice 14 годин тому

    Mkaka mkweli kabisa Mungu akupe kufanikia

  • @yvesBigirimana-c9k
    @yvesBigirimana-c9k 15 годин тому

    Hapo Ni wapi?

  • @MaryMichaelMaryMichael-i7o
    @MaryMichaelMaryMichael-i7o 20 годин тому

    Wajina wangu polee bt unatundishaa wacha niipende inchi yangu.tzd.blessed na my sis sheena

  • @AbdallaAbdalla-x2s
    @AbdallaAbdalla-x2s 20 годин тому

    hamna hukum yoyoto ya malipo napia siwarabu sote wabaya hata weusi pia wanatesa watupia hapo tanzania pia

  • @MwanaidiHamza-n6j
    @MwanaidiHamza-n6j 20 годин тому

    Napenda hekaheka za jaack,nafurah san

  • @AbdallaAbdalla-x2s
    @AbdallaAbdalla-x2s 21 годину тому

    kweli warabu watama sana hata ukiumwa hama ufanyetu kazi au atkatwa pesa za mshahara mtu mweusi ni mtumwa tu wanatabia hiyo kama bilali rabaha likuwa mtumwa wa omaya

  • @CharlesMabwayi
    @CharlesMabwayi 22 години тому

    Pw sn mwamba

  • @JanethMadios
    @JanethMadios День тому

    Nakupendaga mimi wewe sijui kwanini yani🥰🥰🥰🥰🥰

  • @katemachanda7035
    @katemachanda7035 День тому

    She got a pure heart!

  • @AnnaSamson-o5f
    @AnnaSamson-o5f День тому

    Mm kadi yangu ya benk hai jina ina namb tu ya benk pia nimejalibu kufany hivy inagoma

  • @khadijamhina5207
    @khadijamhina5207 День тому

    Kakutana na Mzaramo wa Bagamoyo😊 safi kabisa

  • @raiyaomary1988
    @raiyaomary1988 День тому

    Mlaileyana wa singida.mwenzangu

  • @abdullahgao2692
    @abdullahgao2692 День тому

    Tunakupata

  • @mwalagokache375
    @mwalagokache375 День тому

    Namba Yake anayotumia WhatsApp kuna ndugu yangu nimconnect NAYE tuangalie namna ya kurudi Tanzania

  • @abdoaljuhani2272
    @abdoaljuhani2272 День тому

    👀👂🏾🧏🏻‍♂️😅😅😅🙏❤🌹🤝🏼

  • @SenzieMrema
    @SenzieMrema День тому

    Sister shena naomba na no ya Whatsapp please

  • @SenzieMrema
    @SenzieMrema День тому

    Naomba contact zenu

  • @NeemaPaulo-q9w
    @NeemaPaulo-q9w День тому

    Yani kwamimi naombeni Tu konekshen

  • @childrengospelmissiontanza1474

    Hongera sana kijana,mwanq Kinyerezi Secondary tuwasiliane tafadhali

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 День тому

    Wazanzibar ni wanatabia ya ubaguzi hata mtaani

  • @AgustnoJohn
    @AgustnoJohn День тому

    Kiukweli Jack uko vizuri sana kwaza unajiamini pongezi kwako

  • @AgustnoJohn
    @AgustnoJohn День тому

    Jack mi kila mda hawaza nawezaje kuwa dizaina mkubwa? Maana mi nidizaina wa finshing kwenye Rum za nyumba kila cku huwaza

  • @AgustnoJohn
    @AgustnoJohn День тому

    Oky nawaelewa sana dugu zangu

  • @AlinalinThadeo
    @AlinalinThadeo День тому

    Jamn nipo nawapenda

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 День тому

    Jaa anaongea na bonge la vaibu

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 День тому

    Haya mahojiano ni maziri sana

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 День тому

    😮😮😮😢😢😢😢

  • @janethrwambali2782
    @janethrwambali2782 День тому

    Kunautapeli pia nikuwa makini na haya mambo ya mtandaoni

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy День тому

    Mwanaume anaringa ringa hivi na cheni shingoni mbona mtihani jamani zama zetu hizi

  • @verachikulupi8063
    @verachikulupi8063 День тому

    Billa Plus😊

  • @Richie1Man
    @Richie1Man День тому

    Jamaa namjua alikuwa anakaa pale magomeni mwembe chai mtaa wa Iraq.

  • @verachikulupi8063
    @verachikulupi8063 День тому

    Point zimeenda shule Shena. Pia waeleze kwamba ukikuta watoto, ujue wazazi hspo wa awasiliana hapo mara kwa mara. Kwa nchi za huku nimkaiwada kabisa. Vilevile baba za watoto wanaenda every second week kuchukuwa watoto na ku spend nao time. Na kila mwazi ye vaba watoto anayuma pesa za matumizi kwa mtoto wake...

  • @verachikulupi8063
    @verachikulupi8063 День тому

    Umeingea vema Shena..Wa Tz huwa hawapo sharp kabisa. Mtu unapa information link ya information anakujibe hemu nifanyie basi application dah

  • @MeckitilidaTushabe-or9hu
    @MeckitilidaTushabe-or9hu День тому

    Aseee anaongea kiswahili kizuri

  • @julianachoto9696
    @julianachoto9696 2 дні тому

    Mdogowangu nakupenda❤ nitafutie babu anaetaka kuhudumiwa😂

  • @SAFIAFOMAR
    @SAFIAFOMAR 2 дні тому

    Waislam wengi kuna sheria ya ndoa hatuijui. Moja kati ya sheria kabla ya ndoa unaruhusiwa kumchunguza mke au mumeo. Kumchunguza sio kwenda kuishi nae la hasha. Unatumia ndugu zako kumchunguza kwa siri mume au mke kupitia ndugu au marafiki zake kimya kimya. Mkiridhika nae ndio ndoa ipite. Sasa wengi wetu tuna funga ndoa za haraka bila kuchunguzana kisha ghafla ndoa zinatushinda baada ya kujua tabia za mume ambazo hazivumiliki. Pole sana ndoa next time usirudie hayo makosa usifunge ndoa na mtu ambae umemjua kwa wiki au mwezi

  • @TeresiaSagga
    @TeresiaSagga 2 дні тому

    Ukiwa na mtoto utapata mchumba

  • @NAJIBNAJIBI-v4z
    @NAJIBNAJIBI-v4z 2 дні тому

    Kutoka b