NILIKATALIWA KUA MWALIMU BONGO NA SASA NI MWALIMU ULAYA | UKIWA NA PAPARA UTAONEKANA NI GOLD DIGGER
Вставка
- Опубліковано 20 лют 2024
- @ChrisZLC ameeleza Safari yake ya maisha kutokea Mbeya mpaka Czech Republic
Ameeleza maisha ya kufanya kazi na wazungu, mahusiano nao, na mpaka kuishi Czech Republic
Opportunities zinazopatikana, na mifumo ya maisha.
Please subscribe to his UA-cam channel @ChrisZLC ili kujifunza mengi kuhusu Czech Republic na maisha ya ughaibuni - Be inspired
Thank you Chris for allowing this to be online
www.oda.international
shena heshima yako aisee unakoelekeya kwenda kufunguwa tv aisee maana unaweka bapa tu bapa vitu ju vitu vyo motooo daaaah 📌📌📌❤️❤️❤️❤️
Nimempenda huyu Kaka bure tu,I wish nipate Mume kama huyu,mwenye huruma na Mkewe,halafu anajitambua.
Wanawake bhana, acha tamaaa kila mwanaume kila mwanamke ana uniqueness yake tulia na mtu wako kila mtu sna weakness and strength na focus on strength
Mambo ya hela ni nyinyi wote wawili ukishakuwa mke na mume hela na mali zoooooote ni za wote 100% mtu yoyote ambaye hataki kushare mali na hela na mwezie wake hafai kuwa mke wala mke achana naye haraka
@@kevinmary7129 sawa dobi nimekuelewa,mshauri wangu nasaha
@@kevinmary7129hakika
@@kevinmary7129
Mume je tuendelee nae au tumuache pia😮😮
Z'mbia wapo juu kingereza chao ukilinganisha na Tz
Kwa kweli tunashukuru sana kwa Elimu hii
Dada uko vizuri kimaswali umebobea haswaa....unaweza hichi kipindi nasubiria na mimi mwaliko
Shukran na Karibu sana +4367764790884
Umemwaga radhi kaka. Makabila ya TZ ni hovyo kabisa mila zao za kukamua mwanaume afanye kila kitu. Bora umeliweka wazi. Asante sana.
😂😂TZ ni kukamuana tu, ilibidi niingie mitini
Kila watu na choice yao viwanda vingefungwa wote tukisema saa ya nini au pete ya nini!
Uko vzr bro
This interview is so hot 🔥🔥🔥
Kuhusu BENZ mi naona sio issue sana inategemea na (toleo) design yake.
Dada binafsi nakushukuru kwakutuunganisha na wezetu wa ughaibuni
Asante kaka tumejifunza kit kutoka kwako ngoja tukawasake huko
Mzee wa nondo again shukran kaka tumepata elim kubwa
Asante
Mimi nipo czech naomba contact zake uyo kaka
Uko sahihi chako ni chenu chake ni chake
😂😂 bro yupo really sana
😂😂😂
Napapendaga xn huko check napasikiaga pako vzr
Miaka 3 mtoto mwengine uyo
Aisee mbona hii ni heri kukuona mtz unatesa Czech. Upo tayari kusaidia wa - Tanzania wenzako wanao surubika huku bongo?
Naomba Namba yako ya wasap Mr Chris ili nipate ushauri wako private
❤️❤️❤️
Na mie mwalimu WA kiswahili naomba numba
Mkurya na mkinga 100%
Shena mambo?
Dada nipo Japan naomba nitafute
+4367764790884 tuwasiliane WhatsApp
Ndaga fijo
Ukweli huwa mchungu jamani yani interview ya kaka Chris inanifokea kila mahali😂😂😂
😁 he is amazing
Nipo nakuangalia sasa na wewe kwake😂
😂😂😂Pole kwa kukufokea
@@ChrisZLC ndio kujifunza huku maana lazima akili isogee😅