WELLU SENGO AJIBU SKENDO YA KUMUACHA STEVE NYERERE NA KUTEMBEA NA JB, UKWELI NI HUU..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 кві 2022
  • WELLU SENGO AJIBU SKENDO YA KUMUACHA STEVE NYERERE NA KUTEMBEA NA JB, UKWELI NI HUU..
    Global TV imepiga stori na muigizaji, Wellu Sengo, ambaye pia ni mzazi mwenza na Steve Nyerere, ambapo amefunguka mambo mbalimbali kuhusu kazi zake na sanaa, na maisha yake binafsi likiwemo suala la kuhusishwa kutoka kimapenzi na muigizaji Jacob Steven maarufu kama JB.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 46

  • @emmanuelyaah9405
    @emmanuelyaah9405 Рік тому

    My favorite actress ❤

  • @fatufatu5754
    @fatufatu5754 2 роки тому +1

    Nampenda sengo jmn

  • @zainabujuma4278
    @zainabujuma4278 2 роки тому +2

    Huyu dada mzuri kweli

    • @asiamohd5516
      @asiamohd5516 2 роки тому

      Alivo kuwa Matilda ndio alikuwa 😘😘😘😘lkn Sai kabadilika sn.

  • @happyndomba6965
    @happyndomba6965 2 роки тому

    basi angekuwa anamwelekeza mwenzie kwamba puaaa puaa sio kingereza😥😥😥😥😥

  • @manirakizadiane6981
    @manirakizadiane6981 2 роки тому

    Mwanamke poz !

  • @mohammedabdala7526
    @mohammedabdala7526 2 роки тому

    Wellu mzur nafatilia tamthilia zake kwajili yake nawapenda wote

  • @omanigaming6430
    @omanigaming6430 2 роки тому

    🔥🔥

  • @zaynabmwanjovu8277
    @zaynabmwanjovu8277 2 роки тому

    Thubutuuuuu Jua kal ni levo nyngne

  • @judyngowi391
    @judyngowi391 2 роки тому

    Steve Nyerere na wewe wapi na wapi? Mbona kama ulichemka

  • @crispinakimaro3821
    @crispinakimaro3821 2 роки тому +1

    Leo ndio anamuuona Steve Nyerere hafai mwanamke akipata ujiko na pesa ndio inakuwa jamaa hafai€££¥₩!@#*%$

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 2 роки тому +2

    Huyu dada ndi mzuri hivi

  • @juliethdaniel2664
    @juliethdaniel2664 2 роки тому +3

    Mzuri welu mdada wakinyamba

    • @teresiamsigala5925
      @teresiamsigala5925 2 роки тому +1

      Huyu sio mnyiramba, ni mtu wa morogoro

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 2 роки тому +1

      @@teresiamsigala5925 itakuwa Kuna mzazi mmoja mnyiramba hilo jina la Wellu ni la singida.

    • @jackierama1817
      @jackierama1817 2 роки тому

      @@annasolomon9855 kweli bhn

    • @rehemajackson29
      @rehemajackson29 2 роки тому

      Mama ake mnyiramba baba mtu wa morogoro

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 2 роки тому

      @@rehemajackson29 hapo sawa

  • @aishahusseni3352
    @aishahusseni3352 2 роки тому

    Wewe unasema awaendani unakosea sana mpaka kaenda kwa stivu kuna kilichomkosha msizarau mtu Siri ya mtungi aijuae kata

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 Рік тому

    Mapenzi NI hisia na sio muonekano

  • @nasibndaro6281
    @nasibndaro6281 2 роки тому

    yanini ?yanini ...?yanini mie nmeachia .

  • @mgawesaid5137
    @mgawesaid5137 2 роки тому +1

    Kichwa cha habari Tofauti na story

  • @redydasca8846
    @redydasca8846 2 роки тому

    Watu wanasifia saana Huyu mimi sioni uzuri wake ni wakawaida saana tu uku kumsifia saana ndo Kuna mfanya hawe kichwa Maji

  • @nusaebahkeis6774
    @nusaebahkeis6774 2 роки тому

    Mhhh

  • @mariammaganga3024
    @mariammaganga3024 2 роки тому +8

    Hivi huyu dada alivyo mzuri aliwezaje kuwa na huyu jamaa hawaendani kabisa

    • @jumasoli7818
      @jumasoli7818 2 роки тому +5

      Hawaendan kivp ww ndio wale mnaoangalia kuendana mnabaki kuburuzwa tu

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 2 роки тому +2

      @@jumasoli7818 kabisa ukimpta akupendae akakuheshimu haina maana kuangalia vile alivyo kikubwa heshima inatosha

    • @annasolomon9855
      @annasolomon9855 2 роки тому +1

      @@jumasoli7818 ukweli Wellu sio type ya Steve nyerenyere

    • @modetheo5182
      @modetheo5182 2 роки тому +1

      hawaendani ndo nini kikubwa upendo na heshima

    • @modetheo5182
      @modetheo5182 2 роки тому +1

      @@annasolomon9855 type ya nani? acheni dharau

  • @Official83640
    @Official83640 2 роки тому

    Vido ushakuwa mchonganishi km Lokole

  • @manirakizadiane6981
    @manirakizadiane6981 2 роки тому

    Mwanamke poz !