Kimeumana! Mbarikiwa na IPM Wakristo kutoa kafara. Nani yuko sahihi?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 місяці тому +1

    Ukristo umevamiwa na wahuni. Manabii wa Mathayo sura ya 24

  • @tujajackson8142
    @tujajackson8142 2 місяці тому +4

    Ipm bado kabisa .kweli atadanganya wauminï wake tu.

  • @zainabusona5901
    @zainabusona5901 2 місяці тому +1

    Yesu alitosha kuwa kafala kwetu

  • @Shalom2018
    @Shalom2018 2 місяці тому +2

    Bwana IPM kama wewe ni msomaji wa biblia(neno la Mungu)soma Waebrania 10:1-9,damu ya mafahali na mbuzi wala mnyama yeyote haziwezi kuondoa dhambi
    Wala kutusaidia chochote kile.damu ya Yesu Kristo imejitosheleza kwa kila kitu

  • @FaustinaBoniface
    @FaustinaBoniface 2 місяці тому

    I'm hajamuelewa Kristo bado, daa hatari sana.
    Mimi sio mchungaji ila tunapojifunza Agano la kale jifunze na Agano jipya ili ujue vizuri kusudi la Mungu, kutoa kafara kwa sasa ni upuuzi ni kumkana Kristo.

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti7689 2 місяці тому

    Mbarikiwa Unagawa Dose😂

  • @KisaMwakyagi
    @KisaMwakyagi 2 місяці тому

    Mnyama hawezi kuondoa dhambi ni jina la YESU tuu mkiniomba neno lolote kwa jina langu nitafanya Yohana 14:14 OKOKA

  • @gerald-s1e
    @gerald-s1e 2 місяці тому

    Tutafute pesa Kwa jasho sio Kwa kafara,Damu ya Yesu ni zaidi ya kafara,usitudanganye ipm hata waganga wanafanya hizo kafara,Mungu hachanganywi neno lake linatosha.Baba Mbarikiwe Mungu akubariki Kwa kufumbua vifingo wanavyofungwa wanadamu na mafundisho ya uongo,Sina shaka na Adamu haji Wala Victoria msomali lakini wengine wazee wa kafara acha hizo kulilia mafanikio ya mwilini,hazina Yako unaweka dunuoni chukueni tunguli msituharibie dini

  • @KisaMwakyagi
    @KisaMwakyagi 2 місяці тому

    Ni Mungu yupi wakafara?

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 місяці тому +1

    Eti Paulo alikutana na yesu akauliza tumekufata tutapata nini!! Uongo 😄🤣😂😆😄

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 місяці тому

    Swali langu IPM ni mkristo? Nani alimuhubiria akaokoka? Je alibatizwa na nani kanisa gani? Nani baba yake wa kiroho?

  • @ShukuTete-wb1fp
    @ShukuTete-wb1fp 2 місяці тому +2

    Ipm kama yuko sawa ninyi niwavivu wa kuelewa neno

    • @maxmillanayo2979
      @maxmillanayo2979 2 місяці тому

      Soma biblia

    • @sommnetengineeringltd6117
      @sommnetengineeringltd6117 2 місяці тому

      Daa

    • @Shalom2018
      @Shalom2018 2 місяці тому +2

      Tokea Bwana wetu Yesu Kristo alipokufa msalabani na damu yake kumwagika ndio tulipata ukombozi,damu ya Yesu Kristo inanguvu kuliko damu nyengine yeyote mpaka sasa na ndio maana tunaitumia ili kutusafisha dhambi na mambo mengine ,mambo ya kutoa sadaka za kuchinja yapo kwa shetani na sio kwa Wakristo, Wakristo tunatumia damu ya Yesu Kristo.

  • @jasonplayz4394
    @jasonplayz4394 2 місяці тому

    Tupo kabisa baba tuko

  • @blessedlovedandfavoured4129
    @blessedlovedandfavoured4129 2 місяці тому

    Bora uyo ipm angekaa tu katika uislamu ni mgan'ga mkubwa huyu

  • @ShukuTete-wb1fp
    @ShukuTete-wb1fp 2 місяці тому

    Mngu akubaliki mtumishi ktk kilo m baliki

  • @RafaelyMmbede
    @RafaelyMmbede 2 місяці тому

    Sasa mi najiuliza ivi uyu nimchungaji gani asiye jua biblia yaani uyu ipm ndompinga kristo kabisa kwa %100 Tuwemakini sana jaman watu wamungu maana wanajifunua sasa

  • @masindemagee9603
    @masindemagee9603 2 місяці тому

    Ipm ni mchawi

  • @danielnzikali
    @danielnzikali 2 місяці тому

    Ipm yuko sawa.

  • @fatumamwalimu5765
    @fatumamwalimu5765 2 місяці тому +1

    Maswali yenu hayajibiki bila kutaja uislam?alafu mnasherekea pasaka mnasema ni mwili wa yesu, huo sio ushirikina ?

    • @FridayMwassa
      @FridayMwassa 2 місяці тому

      Yesu ndiyo kafara yetu,

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 2 місяці тому

      @@FridayMwassa na waliokuwepo kabla ya yesu kuzaliwa kafara yao ilikua gani? Tumia akili, yesu anasema hivi 👉SIKUTUMWA ILA KWA KONDOO WALIOPOTEA WANYUMBA YA EZRAEL 👈 sasa ikiwa kweli kafara basi sio kwa ajili yako, na hapo bado inaongelea kuuwa tena binadamu! Hujui kua huo ni uchawi na ujambazi kabla?

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 2 місяці тому

      @@FridayMwassa sasa ikiwa unaamini hivyo huo ni ushirikina, yani u DEVOLWASHIPER wenyewe wa nyama na damu za binadamu

    • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
      @RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 місяці тому

      ​@@fatumamwalimu5765ndiyo ka mstari ulikokaririshwa na shehe wako maana ndiyo mnatembeaga nako kama hirizi

    • @elimikasasa643
      @elimikasasa643 2 місяці тому

      Ndio, ni ushirikina tu kama kufuga majini

  • @danielnzikali
    @danielnzikali 2 місяці тому +1

    Yani mnapinga kila kitu,ipm yuko sawa