Huyu ni mchungaji kweli,tuache ushabiki ndugu zangu,Asante sana kwa ujumbe mzuri sana,Nimeipenda sana hii Crip,na Mungu wa wote wenye haki akulinde sana!,Amen,Ameni,Amen!.
Usioe unajichelewesha mwenyewe,uzee unakuja ,hata dukani utafeli kwenda kama huna watoto na wajukuu utajuta. Kama unaiahi maisha matakatifu na kuwasikiliza watumishi wa MUNGU ww au mwenzio mtakuwa vizuri na kuacha mabaya na kutendeana vizuri ktk ndoa yenu.tulikata tamaa lkn hakika MUNGU ukimwamini anakupa ndoa nzuri.
Mchungaji mgogo yesu akubariki mno kwenye eneo hili yesu amekutuma kwajili yangu
Mchungaji nakupenda sana maana unasema ukweli mno.
na Burundi kwetu karibuni sana pastor🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Tunakungoja hapa kwetu Congo de
Mungu akubariki sana mchungaji tunabarikiwa sana
Kubari sana baba kwa meseji nzuri
Ubarikiwe sana baba mchungaji
Aminaaaa baba
Mchungaji Mungu akuongezee Mafuta kweli Tena ukutakase kwli , yani n'a kupenda Mno 🎉🎉❤
Hiyi ni mafundisho kwa wenye ma bwana musikie kbs❤❤👍🙏🙌
Huyu ni mchungaji kweli,tuache ushabiki ndugu zangu,Asante sana kwa ujumbe mzuri sana,Nimeipenda sana hii Crip,na Mungu wa wote wenye haki akulinde sana!,Amen,Ameni,Amen!.
Ubarikiwe Sana umenigusa Mimi 7:53
Hapo sawa pasta
Asante sana Pastor, mpaka huku Congo unatuonya
Amen 🙌🙏❤ pastor 🙌 una washaria vizuri sana 🥰
Amina baba MUNGU akubariki san
Amen 🙏🙏 pastor kweli napenda mahunili yako
Uko sawa pastor
Pastor tuambie kweli ❤,
Haya mafunzo yako nawafatilia vizuri sana 💕 nayananifunza mengi sana
Asante 🙏 sana 🎉❤
Mungu akuchunge mchungaji unatuubiri vizuri sana
Pasteur tuna kungonja nahamu Burundi karibuni
1la mchungaji huwa unanibariki sana tena sana umetuponya wengi
Kimbilio la wenye shida na Raha, wenye Raha Bado wanahitaji Raha zaidi.
Wewe unatibu ndoa za watu kweli . Mungu wangu akupe maisha marefu pasta
Mungu akuinue mtumishi wa Mungu huwa nakuelewa sana
Amina. Mungu akubariki, unayagusa maisha yetu yakila siku❤
Pastor ubarikiwe
Tuna ku itaji
Kwetu Burundi
Nakupenda mtumishi wamungu ubalikiwe
Mungu akujalie maisha marefu .
😮mutumishi wabwana u
Napeda ujumbe thanks pastor
Asante kaka Mchungaji
amen
Kweli mtumishi sema
Ubarikiwe kwa kuponya mioyo ya wamama 26:06
Sema baba wapone
N kweli pasta 🙏🙏
Very true ❤❤❤😂😂😂Tabia muhimu
Baba w kuponyesha ndoa za watu
Amen baba
fundisha sawa
Amen paster is true
Hakika
Safi sana sanawafundiishe
Umesema ukweli pastor
Yasemwayo yote kweli
Mahubiri yako ni mazuri mchungaji ,sema huenda ndoa zitapona.
pasto mafundisho yako yameboya ndoa yangu
❤❤❤❤❤ amen
Hiyo ni ukweli mchugaji
Ni kweli tupu
Sana kabixa
Yeah, he's right.
Amen 🤲
❤
Wengine wanaweka vigodoro😊😊
Kiukweli unasema kweli
Shukulani pastor unatoa semina nzuri ila naitaji wakati mwengine kuwaona kwamahubiri mengine ya bibilia isio semina tuu.
Hicho ndicho kitengo chake nakipawa chake ukitaka mahubili mengine wapo wenye kuhubili pia
Mchungaji anangusaka ngamboyote
Ni sawa kabisa mahali pake 😅
Miez 3 mingi sana
Baba WA ukweli
🎉🎉
😅abari Congo zaleo
Niukweli kabisa
Sema baba tupone
Nabaexe banasababisha jewuli sana
😂😂amen❤
mchungaji unaongea ukweli mtupu, Mungu akubariki
The sound is not good please. The technician should work on it please.
Ndiyo iyonikweli
Kwakweli
Kwa hayo machache,sioi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Ntauchukua mda😅😅
Aii mbona, oa ndio uwe jogoo hii ni nyudo kwa wele hawana akili, mungu akuongoze ujiwe na akili uelwe mahubiri ya mgogo, ubarikiwe
Usioe unajichelewesha mwenyewe,uzee unakuja ,hata dukani utafeli kwenda kama huna watoto na wajukuu utajuta. Kama unaiahi maisha matakatifu na kuwasikiliza watumishi wa MUNGU ww au mwenzio mtakuwa vizuri na kuacha mabaya na kutendeana vizuri ktk ndoa yenu.tulikata tamaa lkn hakika MUNGU ukimwamini anakupa ndoa nzuri.
Bwalimu wakweli
😂😂😂😂😂😂 jamen
Kweri mchugaji
😂😂😂😂😂😂😂waaa!
Anazira pia. , yote kabisa 😂🎉
Kipepsi hapo
@@kanankirannko6174 🥺🥺🥺
😂😂😂😂😊❤
Hahahahaha 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Unaongea ukweli mchungaji wanawake zuri change motor sana
Mchungaji ubarikiwe sanasana unaongea ukweli kabisa
😂😂😂😂😂😂
Unaongea ukweli kabisa wapige nyundo ili warekebishe
Amen
Amina
Amina
Amen