Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili
Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili
  • 505
  • 368 659

Відео

Majibizano ya kuhani Musa na Mbarikiwa. Pamechimbika
Переглядів 15 тис.14 днів тому
Majibizano ya kuhani Musa na Mbarikiwa. Pamechimbika
Mbona Waislamu, na Wakatoliki huvaa nguo zao hata kwenye baridi? Ni umalaya tu
Переглядів 1122 місяці тому
Mbona Waislamu, na Wakatoliki huvaa nguo zao hata kwenye baridi? Ni umalaya tu
MKE WA MBARIKIWA AIMBA WIMBO WA KWAYA KUU MBEYA,huyu mama Mungu amsaidie
Переглядів 3352 місяці тому
MKE WA MBARIKIWA AIMBA WIMBO WA KWAYA KUU MBEYA,huyu mama Mungu amsaidie
Ni nguvu ya umalaya na freemason ili nyuma ya mama wachungaji na waimbaji wa Injili wanaovaa suruali
Переглядів 2532 місяці тому
Ni nguvu ya umalaya na freemason ili nyuma ya mama wachungaji na waimbaji wa Injili wanaovaa suruali
Mungu ona tunavyodharauliwa na akina CHRISTINA SHUSHO. TENZI NO 9.
Переглядів 8262 місяці тому
Mungu ona tunavyodharauliwa na akina CHRISTINA SHUSHO. TENZI NO 9.
HATUTAMBUI UGONJWA WA MBARIKIWA NA MKE WAKE "LABDA AKATE KAULI"
Переглядів 2232 місяці тому
HATUTAMBUI UGONJWA WA MBARIKIWA NA MKE WAKE "LABDA AKATE KAULI"
VIDEO MUSIC; FANYENI KAZI MKICOKA KULENI MATEMBELE MTAHESHIMIKA TU.
Переглядів 1322 місяці тому
VIDEO MUSIC; FANYENI KAZI MKICOKA KULENI MATEMBELE MTAHESHIMIKA TU.
Mbarikiwa Mwakipesile video music. Heri kung'ang'ania kwa Yesu
Переглядів 1722 місяці тому
Mbarikiwa Mwakipesile video music. Heri kung'ang'ania kwa Yesu
Msiwazuie waumini wangu kulia na kupiga kelele wawezayo ikiwa mimi nitakuwa katika mateso.
Переглядів 1662 місяці тому
Msiwazuie waumini wangu kulia na kupiga kelele wawezayo ikiwa mimi nitakuwa katika mateso.
Good quality VIDEO MUSIC; MBARIKIWA MWAKIPESILE ANAKUJA YESU
Переглядів 2,5 тис.2 місяці тому
Good quality VIDEO MUSIC; MBARIKIWA MWAKIPESILE ANAKUJA YESU
HUYU MAMA NA WATU WA MUNGU,SIMAMA YANAYOKUJA MBELE NI NYAKATI MBAYA
Переглядів 7763 місяці тому
HUYU MAMA NA WATU WA MUNGU,SIMAMA YANAYOKUJA MBELE NI NYAKATI MBAYA
NYIE ASKARI SIO ZAMU YENU TAFUTA KAZI NYINGINE,ANACHOFANYA MAKONDA NI UIGIZAJI? WANAOSABABISHA KERO.
Переглядів 1,4 тис.3 місяці тому
NYIE ASKARI SIO ZAMU YENU TAFUTA KAZI NYINGINE,ANACHOFANYA MAKONDA NI UIGIZAJI? WANAOSABABISHA KERO.
HEE KUMBE NAYE HUYU ALIOLEWA AKIWA NA MIAKA 18 NA AMEDUMU KWENYE NDOA PAMOJA NA UMAARUFU
Переглядів 5573 місяці тому
HEE KUMBE NAYE HUYU ALIOLEWA AKIWA NA MIAKA 18 NA AMEDUMU KWENYE NDOA PAMOJA NA UMAARUFU
Mbarikiwa na Isaya wazozana vikali kimaandiko. Mbarikiwa utauawa kijinga kama YOHANA MBATIZAJI...
Переглядів 2113 місяці тому
Mbarikiwa na Isaya wazozana vikali kimaandiko. Mbarikiwa utauawa kijinga kama YOHANA MBATIZAJI...
Mbarikiwa ainua mikono kwa Isaya Benson. Yohana Mbatizaji alikurupuka! Hakujua mipaka ya huduma?
Переглядів 5523 місяці тому
Mbarikiwa ainua mikono kwa Isaya Benson. Yohana Mbatizaji alikurupuka! Hakujua mipaka ya huduma?
Mbarikiwa amvaa Lusekelo kupinga KUSALI JUMAPILI. Na kukataa kuwa mwanaharakati
Переглядів 3,8 тис.3 місяці тому
Mbarikiwa amvaa Lusekelo kupinga KUSALI JUMAPILI. Na kukataa kuwa mwanaharakati
Abiud na Mwakasege wamewahi kutenda wema mkubwa kwangu - Mbarikiwa amefafanua uhusiano wake na..
Переглядів 1,1 тис.3 місяці тому
Abiud na Mwakasege wamewahi kutenda wema mkubwa kwangu - Mbarikiwa amefafanua uhusiano wake na..
Kisa cha BEGI LENYE BUNDUKI kimemfanya Mbarikiwa amfukuze MGENI huyu na BEGI lake hadharani
Переглядів 8723 місяці тому
Kisa cha BEGI LENYE BUNDUKI kimemfanya Mbarikiwa amfukuze MGENI huyu na BEGI lake hadharani
Wimbo no 1 wa Mbarikiwa na mkewe ulio full "NASAHA" kwa wanandoa wapya na wale wa zamani.
Переглядів 5633 місяці тому
Wimbo no 1 wa Mbarikiwa na mkewe ulio full "NASAHA" kwa wanandoa wapya na wale wa zamani.
Huyu mke wa Mbarikiwa kumbe ndiye anayemnyoa mume wake?ama kweli
Переглядів 4333 місяці тому
Huyu mke wa Mbarikiwa kumbe ndiye anayemnyoa mume wake?ama kweli
Hivi nguo kama hii inazeesha? Na huyu mama amekuwa mbibi kwa kuvaa hivi?
Переглядів 4763 місяці тому
Hivi nguo kama hii inazeesha? Na huyu mama amekuwa mbibi kwa kuvaa hivi?
Vijana mnaojiita "wachokozi" mtakufa mmekenua meno kama panya
Переглядів 5473 місяці тому
Vijana mnaojiita "wachokozi" mtakufa mmekenua meno kama panya
Mbarikiwa baada ya kufiwa na Mtoto tena "ALIPUKA" kifo sio kitisho tena
Переглядів 4223 місяці тому
Mbarikiwa baada ya kufiwa na Mtoto tena "ALIPUKA" kifo sio kitisho tena
VIDEO TENZI NO 129. Karibu na wewe - Mbarikiwa Mwakipesile
Переглядів 1,7 тис.3 місяці тому
VIDEO TENZI NO 129. Karibu na wewe - Mbarikiwa Mwakipesile
Mbarikiwa awahusia waumini wake. Mbele naona giza totoro. likitokea lolote bakini na hiki.
Переглядів 2743 місяці тому
Mbarikiwa awahusia waumini wake. Mbele naona giza totoro. likitokea lolote bakini na hiki.
Sijui kwakweli yako majanga ya kuwashitua watu ila hawatatubu😭😩
Переглядів 3343 місяці тому
Sijui kwakweli yako majanga ya kuwashitua watu ila hawatatubu😭😩
Mbarikiwa katika majonzi makubwa tena. Aliyekuwa rafiki wa mtoto wake naye amefariki
Переглядів 5003 місяці тому
Mbarikiwa katika majonzi makubwa tena. Aliyekuwa rafiki wa mtoto wake naye amefariki
Yaliyotupata bado Mungu utabaki kuwa Mungu. RIP Mecy wetu aliyekuwa rafiki wa mtoto wa Mbarikiwa
Переглядів 6883 місяці тому
Yaliyotupata bado Mungu utabaki kuwa Mungu. RIP Mecy wetu aliyekuwa rafiki wa mtoto wa Mbarikiwa
Mbarikiwa aonyesha ni kwa namna gani wahubiri "wanapinga" kuwa mtu mwema/mwenye haki.
Переглядів 2,7 тис.4 місяці тому
Mbarikiwa aonyesha ni kwa namna gani wahubiri "wanapinga" kuwa mtu mwema/mwenye haki.

КОМЕНТАРІ

  • @WinfordMosha-x7y
    @WinfordMosha-x7y 6 годин тому

    Hakuna shughuli hapo serkali iangalie vzr na haya makanisa kama huyu niwakufungia kanisa tu

  • @anazarethlalama
    @anazarethlalama 16 годин тому

    Mbarikiwa mungu akubariki sana huyu anacheza na akili za watu

  • @Emanuelkitege-dd2tc
    @Emanuelkitege-dd2tc 17 годин тому

    KINACHONISIKITISHA WOTE TUNAJENGA MWILI WA KRISTO LAKINI TUNAPINGANA. Na alichopewa mwenzako usimuonee wivu kila mtu Ana kipawa chake

  • @anafikamugisha8834
    @anafikamugisha8834 19 годин тому

    Mbarikiwa kaka NIMEKUELEWA Sanaa Sanaa tena Sanaa. Jambo ambalo nimeliona kwako siku zote ni kutamani mapenzi ya Mungu YATIMIZWE.

  • @farajamahenge532
    @farajamahenge532 День тому

    Nazan mungu ndo mtoa hukumu usijalibu kuingilia utumishi wa mtu mwingine ... Wafundishe watu waijue kweli sio kukosoa wengine.... 1wakorintho 12: 4 nakuendelea

  • @fikencharles9993
    @fikencharles9993 День тому

    Huu ni ukweli mtumishi hata mimi ninakuelewa vizur

  • @JacobLumila
    @JacobLumila День тому

    Namchoganishaji sana

  • @JacobLumila
    @JacobLumila День тому

    Huyo mogo sana

  • @aika3024
    @aika3024 2 дні тому

    Ukome ukome ukomeeeeee😡, achana na Kuhan wangu😡

  • @tenzichagaga
    @tenzichagaga 3 дні тому

    😂😂😂😂😂

  • @franklinemutai7117
    @franklinemutai7117 3 дні тому

    May God help us. This prophecy has a hidden agenda behind it in Jesus's name may God's people be preserved in his word, many wants to prove there wrong prophecy right ✅️, ndivyo ulimwengu wa sasa

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 3 дні тому

    😂🤣🤣🤣🤣🤣 yaani wewe matusi unayotoa hapo yameshakuwa common,hakuna tusi jipya,subiri siku tumechafukwa tutakujia na mapya mapya yatakayoku-touch moyo miaka na mikaka, sasa hivi ukimwita mtu malaya,pepo,mwizi hayo tumeshayazoea umekuwa ukitukana viongozi wetu wa kiroho kila siku.Labda uje na jipya ndio tutataayari.

  • @FrankSutta
    @FrankSutta 3 дні тому

    Ikiwa we ni mtumishi wa mungu aliye hai,huwezi ukawa kishawishi chakubeza yawenzako na kama anatenda kinyume mfate faraa nakingine huduma za mungu zipo tano,Kila Moja mungu humpa apendavyo,kama we alikupa Moja uwezo wako ndiyo huo,ushindane na mwenye huduma 5,ng'ang'ana na hapo ulipo,muache muonaji ashugulike na kile alicho itiwa,utalukwa na akili,na kuwa na mwisho mbayo tubu!

  • @paulocosmas7232
    @paulocosmas7232 3 дні тому

    Kuwa muislam

  • @jeremiahkigao5304
    @jeremiahkigao5304 3 дні тому

    Ubarikiwe kama lilivyo jina lako

  • @jeremiahkigao5304
    @jeremiahkigao5304 3 дні тому

    Ubarikiwe kama lilivyo jina lako

  • @Daniel_kimambo
    @Daniel_kimambo 3 дні тому

    Mbarikiwa umefeli

  • @DavisIssangya-kc3rm
    @DavisIssangya-kc3rm 4 дні тому

    Wewe chizi kabisa mm nikiwa nyumban anaita jina la mjomba wangu nikichawe kikanyoosha maalezo vzr ila nilicho gundua kwako unawivu sana na karama kubwa aliyo nayo kuhan

  • @hosianaeliud243
    @hosianaeliud243 4 дні тому

    Huna lolote umejaa chuki sana ni aibu wakristo kwa wakristo kupinga injili aibu tena kwa mtu unaejihita mchungaji shida nikwamba huna macho ya rohoni that's why uwez ona vitu vya kirohoni.... Tuulize sisi tuliokanyaga hii mazabau na tukatendewa....

  • @ThobiusMashaka
    @ThobiusMashaka 4 дні тому

    Wewe syo mungu fanya kazi Yako nae afanye yake hyo haikusahidii mtumishi nawe nani anakuamini ,mumeitwa kumtumikia white Sasa mbna mnachukiana??

  • @NellyMadeni
    @NellyMadeni 4 дні тому

    Nafurahi Kuna tabasamu lako tena

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 4 дні тому

    Mbona hawa wapo wengi hawa kama utii amri za mungu na sheria na imani ya YESU lazima takataka hawa wanamfanyia kazi shetani watakupoteza

  • @KwikwiAbu
    @KwikwiAbu 4 дні тому

    Wewe mbwubwa wewe akuna kitu unajua

  • @Makevo08
    @Makevo08 4 дні тому

    Yaani hadi unaogopa kuingia kwa kuhani...maana unaweza ukashangaa pa!wewe ni mchawi......mama yangu ameharibika kusakologia kwa sababu ya kuhani musa ...kila jiran mchawi Ukisikiliza kwa siku hata watoto kumi wachawi ....mh....serikali iingilie kati Tazama wahudu.u wake na waumini wengi wana hali mbaya.

  • @user-sp4iw8jt6p
    @user-sp4iw8jt6p 4 дні тому

    Acha kusema watumishi wa Mungu ww tafuta ufunuo ni hakika kuwa umekosa mahusiano na Roho mtakatifu umebak kusema Watumish na hata hiz crip unakata hazitakusaidia kitu chochote.

  • @elishakayagwa9371
    @elishakayagwa9371 5 днів тому

    Baba yangu wa Kiroho Nabii William Prince wa Arusha anaweza zaidi ya huyo Musa na wala hapangi watu. Kuna siku nilifanya jambo lililokuwa siri yangu na ilipofika siku aliiniita mbele za watu akanionya nisirudie tena wakati nilikuwa nimelificha mwenyewe. Katika hili sikuungi mkono na kama huna hii neema ya Karama ya neno la Maarifa (1Wakorinto 12:4....) wewe endelea kuhubiri tu kama kipofu ila kuna watu wamepewa neema hiyo na Mungu. Ingawa pia wapo wanaotumia pepo la utambuzi.

  • @fridagodfrey6246
    @fridagodfrey6246 5 днів тому

    Muda umebaki mchache sana, chapa injili watu waokoke na kimrudia Mungu, acha kukalia kiti cha Mungu cha hukumu. Ukiwa dosari kwa watumishi waombeee

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 5 днів тому

    Mmmh huyu mhuni kuhani gani?? Huyu???

  • @fridagodfrey6246
    @fridagodfrey6246 5 днів тому

    Chapa injili ya kuokoa watu, hukumu mwachie Mungu.

  • @fridagodfrey6246
    @fridagodfrey6246 5 днів тому

    Peleka injili mbele watu waokoke acha kupoteza muda kuchambua watu

  • @NeemaMwaipopo-c5m
    @NeemaMwaipopo-c5m 5 днів тому

    Akiri auna mambo yako yamekushinda unaanza kufuatilia mtu wa mungu aliye barikiwa na kupewa maono ya kuona wewe wewe mwenyewe utakuwa mchawi izo tabia za kike kumbe ata wewe mwanaume duh wanawake tumeacha mmekuwa wanaume ndio wambea bado ujasema mpaka useme

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 5 днів тому

    Mganga wa kienyeji huyo

  • @ImaniTinda-h6x
    @ImaniTinda-h6x 5 днів тому

    Mwakipesile taja account number nkulipe yaan kuchafua tag kisa m.2 tuu

  • @user-sz7cu8vm4j
    @user-sz7cu8vm4j 5 днів тому

    Kuhani musa pambana usiogope kupigwa vita baba mm sikupingi ata kidogo

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 5 днів тому

    Ila kuna watu wanatumiwa/tumika na wachawi Haya mi acha nibaki na Yesu wangu

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 5 днів тому

    sijapenda mtt kuambiwa mchawi , watumishi muwe na hekima

  • @NeemaJohn-s7r
    @NeemaJohn-s7r 5 днів тому

    Wewe muongo sana mbarikiwa

  • @NuruYussuph
    @NuruYussuph 5 днів тому

    Unachokisema hatukuelewi achakuzungumzq upumbavu wewe

  • @NuruYussuph
    @NuruYussuph 5 днів тому

    Wewe mbarikiwa ni mchawi naunatafuta kiki ujulikane hatukutaki wewe ni mfuasi 2a shetani ushindwe katika kina layesu

  • @modestamakoye9319
    @modestamakoye9319 5 днів тому

    Wenyewe macho na masikio ya rohoni tumefinguka❤❤

  • @neemamgendi1389
    @neemamgendi1389 6 днів тому

    Sijui hatakama unapata usingizi wewe,kucha unatafuta nani nimuongelee leo,ukitaka kula mieleka ww mchokonoe kuhani utajua hujui,siyo siku nyingi utapigwa na kitu kizito

  • @neemamgendi1389
    @neemamgendi1389 6 днів тому

    Mungu atakuumbua vibaya sana

  • @aderamsafiri3113
    @aderamsafiri3113 6 днів тому

    Mimi naonA hapo hakuna sababu ya mtu wa mungu kuwapa watu faida weweeeee piga magoti waombeee acha maneno manenoo unajinajisiii mwombe mungu anawezaa kaaa

  • @clevermgedzi4708
    @clevermgedzi4708 6 днів тому

    Mbarikiwa piga kazi tumekuelewa sana!!! Chambua makanisa yote makanisa maovu yatakufa kupitia hayo unayoyaweka wazi!!! Twende kazi

  • @denismugisha2
    @denismugisha2 6 днів тому

    Wanaongeaga kwa majivuuuunoo kama watu fulani wasiokuwa na shida yani Akili zetu bhana

  • @benignacurtis
    @benignacurtis 7 днів тому

    Tatizo watu wanakosa msingi wa neno la Mungu, na ndio maana wengi wanadanganywa na mafundisho ya manabii wa uongo. Wanaofikiri kuwa injili ya ufalme ni kuwahubiria watu namna ya kupata mafanikio. Yesu alikuja kuleta agano jipya, akalifuta agano la kwanza la Mungu anataka toba sio sadaka za kuchinja. Waebrania 10:3-6,8-10 Lakini katika dhabihu hizo liko kumbukumbu la dhambi kila mwaka. Maana haiwezekani damu ya mafahali na mbuzi kuondoa dhambi. Kwa hiyo ajapo ulimwenguni, asema, Dhabihu na toleo hukutaka, Lakini mwili uliniwekea tayari; Sadaka za kuteketezwa na sadaka za dhambi hukupendezwa nazo; Hapo juu asemapo, Dhabihu na matoleo na sadaka za kuteketezwa na hizo za dhambi hukuzitaka, wala hukupendezwa nazo (zitolewazo kama ilivyoamuru torati), ndipo aliposema, Tazama, nimekuja niyafanye mapenzi yako. Aondoa la kwanza, ili kusudi alisimamishe la pili. Katika mapenzi hayo mmepata utakaso, kwa kutolewa mwili wa Yesu Kristo mara moja tu. Sasa haya mambo ya kuchinja ni kuikana kazi ya msalaba aliyoifanya Yesu Kristo. Hakuna Roho Mtakatifu hapo.

  • @ivana9837
    @ivana9837 7 днів тому

    Mwakipesile wewe lazima ni mchawi😂😂😂

  • @martinsimon7689
    @martinsimon7689 7 днів тому

    Wote mnajenga mwili wa Kristo,bila shaka wivu unakusumbua.Kuhani/Nabii Musa Richard Mwacha Mwenyenzi MUNGU aendelee kukubariki tumemuona kupitia kwako

  • @jdh5432
    @jdh5432 7 днів тому

    Ndugu zangu mnaoamini upotoshaji na uchonganishi wa huyu jamaa, nawashauri mfike wenyewe KANISANI KWA KUHANI MUSA, mjionee maajabu ya UTUMISHI wake. Na tena kama una ndugu yako ana magonjwa makubwa kama kansa, presha, kisukari, kafirisika, au mambo yake ni mikosi mitupu, azai, kafukuzwa kazi, n.k. mpelwkeni Ngomeni kwa Kuhani Musa wapate uponyaji' na mkisha pata upnyaji mrudi hapa mtoe ushuhuda.

  • @jdh5432
    @jdh5432 7 днів тому

    Kuhani Musa ni kiboko wa wachawi. Fika Kanisani kwake mwenyewe ujionee Yesu wake anavyotendea watu miujiza na kuwaponya. Huyu MBARIKIWA anachukua vipande vya video ili awapotoshe watu na kuwachonganisha na Kuhani Musa juu ya huduma yake anayofanya' Kama unataka watu waamini na kujua ukweli wa UTUMISHI wa Kuhani Musa, Baba Lao weka VIDEO nzima acha kukatakata vipande.