MUME WA ISHAMASHAUZI AMCHANA MUME WA SHILOLE KUACHWA/ANATUAHIBISHA WANAUME/KULALA NDANI/VIBE TEN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 чер 2024
  • NI UJINGA NI UPUMBAVU ROMMY KAZINGUA SANA HUWEZI KULALA MWANAMKE AMEENDA KUTAFUTA -Tumepiga story na mpenzi wa isha masdhauzi mabango kingdom ameonekana kuchukizwa na na kuongelea kuvunjika kwa penzi la #shilole na aliekua mpenzi wake #rommy3d mabango amesema anaona #shilole yuko sahihi kumuacha mwanaume ambae hatoi pesa fua
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 19

  • @zayanazayana5518
    @zayanazayana5518 8 днів тому +3

    Anafanana na Sheikh Abdul
    Sijui wanahusiana

  • @hussenyahaya8675
    @hussenyahaya8675 10 днів тому +6

    Ucmalize maneno bro ngoja tukupe muda

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 7 днів тому

    Mhhh🙌🏼

  • @eestermos9933
    @eestermos9933 10 днів тому +3

    Unaongea sana
    Shida nyingne subir uachike tutajua

  • @melanialeonard4031
    @melanialeonard4031 9 днів тому +2

    Ongea kwa nukta dunia ina mengi. Mpk hapo ushajiaibisha ni aibu😏😏

  • @Marjeby
    @Marjeby 6 днів тому

    😂😂😂Vijana wa Bongo wa hovyo sana masikio kama popo

  • @joycemuhoja4729
    @joycemuhoja4729 7 днів тому

    Ndugu yangu yasije yakakukuta mambo haya

  • @Marjeby
    @Marjeby 6 днів тому

    😂😂😂😂Huyu mtoto kwanza hakuna ubishi ni darasa la saba huyu!

  • @marthatv9335
    @marthatv9335 8 днів тому +1

    Yanamuda tunakupa mwaka to😮

  • @user-ur8cq1ye3b
    @user-ur8cq1ye3b 6 днів тому

    Mwanaume acha kuongea sana

  • @user-km5iy6wd8c
    @user-km5iy6wd8c 9 днів тому

    Uko sawa.

  • @user-vm1vu4hu5j
    @user-vm1vu4hu5j 9 днів тому +1

    Achana nao hao penda mpendane mapezi kupeana furaha

  • @mimahmimah1595
    @mimahmimah1595 2 дні тому

    Nnachojua wanaume hawaongei sana ati mpka unaonesha transaction 😂😂 yan unalazimisha tukuone unajamjali mwanamke wako punguza tambo bro tunaijua hii mapenz ya mwanzo yana mbwembwe ata Rommy na shishi walianza hivihivi na ndoa wakafunga lakin sai ameanikwa hatoi matumizi😅

  • @mushtaqakram9843
    @mushtaqakram9843 9 днів тому +1

    Acha kuongea sana ww bado ayajakukuta awo viumbe ata ufanye nn mda wowote wanabadilika acha ujinga

  • @Officialjidaa-sn9cs
    @Officialjidaa-sn9cs 9 днів тому +1

    Uyo mwanaum unaongea ivooo duuuh

  • @eestermos9933
    @eestermos9933 10 днів тому +1

    Huyu nae mpuuzi tu

  • @Rahima-kv6mn
    @Rahima-kv6mn 12 годин тому

    Tushakuchoka nawewe bwana lelewagwa uko chefu au ndo unautafuta umaarufu kwa nguvu komwe kama paa la nyumba 😏😏

  • @elizabethchikoti3534
    @elizabethchikoti3534 8 днів тому

    Tena anyamaze yy apambane tu isha apate mtoto

  • @user-vm1vu4hu5j
    @user-vm1vu4hu5j 9 днів тому

    Wanaona donge tumia paty yako